Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mh Kafulila ana hoja nzito, aungwe mkono

    Report Post
    Results 1 to 18 of 18
    1. #1
      ibange's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 1,372
      Rep Power : 1114
      Likes Received
      407
      Likes Given
      23

      Default Mh Kafulila ana hoja nzito, aungwe mkono

      Nimemsikia Mh Kafulila akihojiwa BBC akisema tuwe na a parallel process ya kutengeneza katiba mbadala. Ni obvious ya kwetu itakuwa nzuri zaidi kwa hiyo ni kwenda kuipinga ya kwao bungeni na pia kuipinga kwenye referandum.

      Mimi nina hakika tukipiga kampeni ya nguvu kuhakikisha watu wote wanajiandikisha na kwenda kupiga kura tutaizuia katiba isipite. Tukifanikiwa itakuwa pigo kubwa kwa CCM na dalili za kushindwa 2015.

      Kampeni ya kupinga katiba itakuwa ndio kampeni ya urais. Nashauri chadema izungumze na akina kafulila ili kuwapa nafasi kwenye serikali kivuli maana wamedhihirisha kuwa ni wapinzani.
      Relief, only83 and Daudi Mchambuzi like this.


    2. #2
      POMPO's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 12th March 2011
      Posts : 3,055
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1129
      Likes Given
      652

      Default Re: Mh Kafulila ana hoja nzito, aungwe mkono

      Mkuu chini ya NEC hii ya kina Kilavu, mbona hatutoweza kitu? Mabingwa wa kuchakachua, hata maajab mapya7 duniani ingefanya NEC, mbona mt. Kilimanjaro ungekuwa wa kwanza? Mabingwa wa kuchakachua. Mwaka jana Slaa kashinda ndio ikawa hvyo mara TISS karatas fake. Anyway l behind on that movement

    3. #3
      Cipro's Avatar
      Member Array
      Join Date : 8th August 2011
      Posts : 64
      Rep Power : 410
      Likes Received
      13
      Likes Given
      4

      Default Re: Mh Kafulila ana hoja nzito, aungwe mkono

      wazo zuri ila sioni kama linatekelezeka hapa kwetu tz.

    4. #4
      maandamano's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th March 2011
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 1,080
      Rep Power : 636
      Likes Received
      359
      Likes Given
      944

      Default Re: Mh Kafulila ana hoja nzito, aungwe mkono

      i don't know what to believe anymore!mara bunge la katiba,mara bunge maalum,..tuelimisheni basi maana ya hayo maneno in layman's terms,ila kitu kimoja nina uhakika nacho ni kuwa NEC ya kiravu ikisimamia kura ya maoni yatachakachuliwa., period...
      Women are not allowed to attend school. You can be jailed for owning a television. A man can be jailed in Afghanistan if his beard is not long enough.George W.Bush,2001

    5. #5
      Duble Chris's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th May 2011
      Posts : 2,378
      Rep Power : 883
      Likes Received
      389
      Likes Given
      310

      Default Re: Mh Kafulila ana hoja nzito, aungwe mkono

      Tatizo kubwa ni kuwa upande mwingine wa wabunge hawaoni, hawasikii, hawambiliki, hawashawiki ndiyo kwanza wanakazana kuwabeleza watu ambao muungano hawautaki wana nchi yao na katiba yao Eti tuwe pasu pasu kwenye maamuzi ya kuunda katiba
      frustration is given by expectationdivide by
      outcome
      ie
      frustration = expectation/outcome



    6. #6
      Jackbauer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2010
      Location : CTU
      Posts : 4,914
      Rep Power : 1702
      Likes Received
      1367
      Likes Given
      284

      Default Re: Mh Kafulila ana hoja nzito, aungwe mkono

      do you think there is fairness in tanzania?

    7. #7
      Mwita25's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th April 2011
      Posts : 3,852
      Rep Power : 1321
      Likes Received
      1120
      Likes Given
      43

      Default Re: Mh Kafulila ana hoja nzito, aungwe mkono

      Kafulila is foolish by talking about parallel approach of composing a new constitution while the assembly is dominated chiefly by CCM's parlimentarians. Unless he has an alternative means to sanction his methodology, I do not see any possibility of convincing CCM MPs to ratify his approach inside the house.
      Safari_ni_Safari and TECHMAN like this.

    8. FJM is offline
      FJM
      #8
      FJM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 7,213
      Rep Power : 2580
      Likes Received
      5344
      Likes Given
      4607

      Default Re: Mh Kafulila ana hoja nzito, aungwe mkono

      Kama mlimsikia CHENGE bungeni na kama ccm watafuata ushauri wake (nahisi wataufata) ni kwamba Rais atateu majina ya watu wanaokubalika kwa jamii ili waongoze tume ya kukusanya maoni.

    9. #9
      February's Avatar
      Member Array
      Join Date : 15th November 2011
      Posts : 89
      Rep Power : 401
      Likes Received
      21
      Likes Given
      1

      Default Re: Mh Kafulila ana hoja nzito, aungwe mkono

      Kama nimemsikia vizuri mh kafulila ni kwamba utaratibu huo wa wanaharakati ndani na nje ya siasa kuunganisha nguvu kuanzisha mchakato sambamba na ule wa serikali amependekeza ufanyike kama spika na serikali wataendelea kushikilia msimamo wao wa kukataa mswada usisome mara ya kwanza.

      Hasara za pendekezo hili ni kwamba litachochea vurugu na fujo katika mchakato mzima na itakuwa ngumu kufikia malengo labda kama kuna ajenda za siri. Lakin nijuavyo mimi bado tunayo nafasi ya kusikilizana kama taifa na tusijaribbu kutengeneza mfano mbaya nchini kwetu.

      Tujipe muda tusikie JK ata amua nini.

    10. #10
      Shiefl's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Posts : 134
      Rep Power : 464
      Likes Received
      30
      Likes Given
      0

      Default Re: Mh Kafulila ana hoja nzito, aungwe mkono

      Hakuna cha kuleta vurugu hatuna haja ya kuendelea kukaa na mjadala wa kishenzi. Napendekeza na sisi tuwe na kazi yetu.

      Take my point.... CCM wanakufa na hii katiba yao

    11. #11
      Ernest Messa's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 5th November 2011
      Posts : 1
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Mh Kafulila ana hoja nzito, aungwe mkono

      mambo mengi sana wapinzani walisha shauri, ccm kwa kuwa ni wengi na wanapalilia kitumbua chao walipinga. sasa katika hili la katiba mpya wanatakiwa waweke ushabiki pembeni na kufanya mambo kwa busara zaidi kwa maslahi ya Tz ijayo.

    12. #12
      Relief's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th August 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 255
      Rep Power : 1363
      Likes Received
      44
      Likes Given
      83

      Default Re: Mh Kafulila ana hoja nzito, aungwe mkono

      Quote By maandamano View Post
      i don't know what to believe anymore!mara bunge la katiba,mara bunge maalum,..tuelimisheni basi maana ya hayo maneno in layman's terms,ila kitu kimoja nina uhakika nacho ni kuwa NEC ya kiravu ikisimamia kura ya maoni yatachakachuliwa., period...
      Ndugu yangu uliyosema ni sahihi na watanzania wengi yanawachanganya, ufafanuzi wa juu ya nini ni nini kwakweli ni muhimu ili kuwafanya wananchi waweze kuelewe lipi linalopiganiwa na wanaharakati hapa na kuondokana na fikra potofu za magamba.
      " The main thing is to keep the main thing the main thing"

    13. #13
      Malova's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st April 2011
      Posts : 534
      Rep Power : 519
      Likes Received
      82
      Likes Given
      9

      Default Re: Mh Kafulila ana hoja nzito, aungwe mkono

      Quote By Duble Chris View Post
      tatizo kubwa ni kuwa upande mwingine wa wabunge hawaoni, hawasikii, hawambiliki, hawashawiki ndiyo kwanza wanakazana kuwabeleza watu ambao muungano hawautaki wana nchi yao na katiba yao Eti tuwe pasu pasu kwenye maamuzi ya kuunda katiba
      Uko sawa kabisa mkuu

    14. #14
      ibange's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 1,372
      Rep Power : 1114
      Likes Received
      407
      Likes Given
      23

      Default Re: Mh Kafulila ana hoja nzito, aungwe mkono

      Quote By February View Post
      Kama nimemsikia vizuri mh kafulila ni kwamba utaratibu huo wa wanaharakati ndani na nje ya siasa kuunganisha nguvu kuanzisha mchakato sambamba na ule wa serikali amependekeza ufanyike kama spika na serikali wataendelea kushikilia msimamo wao wa kukataa mswada usisome mara ya kwanza. Hasara za pendekezo hili ni kwamba litachochea vurugu na fujo katika mchakato mzima na itakuwa ngumu kufikia malengo labda kama kuna ajenda za siri. Lakin nijuavyo mimi bado tunayo nafasi ya kusikilizana kama taifa na tusijaribbu kutengeneza mfano mbaya nchini kwetu. Tujipe muda tusikie jk atamua nini.
      Hizo lugha za ki ccm kuwa serikali ni sikivu nazichukia sana

    15. #15
      SIXPLANET's Avatar
      Member Array
      Join Date : 15th March 2011
      Posts : 65
      Rep Power : 432
      Likes Received
      6
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By February View Post
      Kama nimemsikia vizuri mh kafulila ni kwamba utaratibu huo wa wanaharakati ndani na nje ya siasa kuunganisha nguvu kuanzisha mchakato sambamba na ule wa serikali amependekeza ufanyike kama spika na serikali wataendelea kushikilia msimamo wao wa kukataa mswada usisome mara ya kwanza.

      Hasara za pendekezo hili ni kwamba litachochea vurugu na fujo katika mchakato mzima na itakuwa ngumu kufikia malengo labda kama kuna ajenda za siri. Lakin nijuavyo mimi bado tunayo nafasi ya kusikilizana kama taifa na tusijaribbu kutengeneza mfano mbaya nchini kwetu.

      Tujipe muda tusikie jk atamua nini.
      Mpaka sasa tulipo fika tayari mchakato umevurugwa. Kwasababu jukwaa la katiba nao wanamchakato wao, kwahiyo hakuna katiba hapo.

      Naujue watu walidai katiba baada ya kuona ccm inachakachua matokeo. Kwahiyo lazima wa monopolize mchakato ili katiba mpya ipatikane na wao waendelee kubaki madarakani.

    16. #16
      TECHMAN's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th May 2011
      Location : TRIPOL
      Posts : 848
      Rep Power : 578
      Likes Received
      198
      Likes Given
      451

      Default Re: Mh Kafulila ana hoja nzito, aungwe mkono

      Mulika mwizi, I said before, the only way to defeat CCM in election, is on the KATIBA MPYA. even CCM know this, that is why they are not ready for the changes that will change them.

      Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.
      Malcolm X

      If you're not ready to die for it, put the word 'freedom' out of your vocabulary.
      Malcolm X

      The future belongs to those who prepare for it today.
      Malcolm X

      You can't separate peace from freedom because no one can be at peace unless he has his freedom.
      Malcolm X

      You don't have to be a man to fight for freedom. All you have to do is to be an intelligent human being.
      Malcolm X

    17. #17
      Safari_ni_Safari's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2007
      Location : Kibaruani
      Posts : 12,474
      Rep Power : 24253
      Likes Received
      5103
      Likes Given
      2739

      Default Re: Mh Kafulila ana hoja nzito, aungwe mkono

      Quote By Mwita25 View Post
      Kafulila is foolish by talking about parallel approach of composing a new constitution while the assembly is dominated chiefly by CCM's parlimentarians. Unless he has an alternative means to sanction his methodology, I do not see any possibility of convincing CCM MPs to ratify his approach inside the house.
      See how our nemesis up north did.....

      The Constitution of Kenya was the final document resulting from the revision of the Harmonized draft constitution of Kenya written by the Committee of Experts initially released to the public on November 17, 2009 so that the public could debate the document and then parliament could decide whether to subject it to a referendum in June 2010. The public was given 30 days to scrutinize the draft and forward proposals and amendments to their respective Members of Parliament, after which a revised draft was presented to the Parliamentary Committee on January 8, 2010.

      The Parliamentary Select Committee (PSC) revised the draft and returned the draft to the Committee of Experts who published a Proposed Constitution on February 23, 2010 that was presented to Parliament for final amendments if necessary. After failing to incorporate over 150 amendments to the proposed constitution, parliament unanimously approved the proposed constitution on April 1, 2010. The proposed constitution was presented to the Attorney General of Kenya on April 7, 2010, officially published on May 6, 2010, and was subjected to a referendum on August 4, 2010.The new Constitution was approved by 67% of Kenyan voters.

      Its so plain for all to see save for CCM nicampoons

      Zogolo Dangu Dawika Miye!


    18. #18
      only83's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Dodoma-Mjengoni
      Posts : 4,202
      Rep Power : 1859
      Likes Received
      1445
      Likes Given
      1560

      Default Re: Mh Kafulila ana hoja nzito, aungwe mkono

      Quote By ibange View Post
      Nimemsikia Mh Kafulila akihojiwa BBC akisema tuwe na a parallel process ya kutengeneza katiba mbadala. Ni obvious ya kwetu itakuwa nzuri zaidi kwa hiyo ni kwenda kuipinga ya kwao bungeni na pia kuipinga kwenye referandum. Mimi nina hakika tukipiga kampeni ya nguvu kuhakikisha watu wote wanajiandikisha na kwenda kupiga kura tutaizuia katiba isipite. Tukifanikiwa itakuwa pigo kubwa kwa ccm na dalili za kushindwa 2015. Kampeni ya kupinga katiba itakuwa ndio kampeni ya urais. Nashauri chadema izungumze na akina kafulila ili kuwapa nafasi kwenye serikali kivuli maana wamedhihirisha kuwa ni wapinzani

      Yah!! Na mie nimemkubali huyu jamaa,good idea....
      "Problems can not be solved by the same level of thinking that created them"
      "Matatizo hayawezi kutatuliwa na uwezo ule ule mdogo wa watawala wa CCM walioyasababisha"




    Similar Topics

    1. Nape aungwe mkono kukemea ufisadi-bawacha
      By Mwanajamii in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 6
      Last Post: 31st October 2011, 14:58
    2. Replies: 5
      Last Post: 14th March 2011, 14:33
    3. Hoja ya Mnyika(Katiba Mpya) na hoja ya Dowans(kafulila) zakataliwa
      By Lokissa in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 1
      Last Post: 7th February 2011, 19:27
    4. Mwisho wa "Per Diem"? - Pinda aungwe mkono
      By Mzee Mwanakijiji in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 49
      Last Post: 20th November 2008, 19:39

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...