"Wananchi tunaomba mtusikilize na sisi" - George Simbachawene
"Wananchi tunaomba mtusikilize na sisi" - George Simbachawene, alipokuwa akichangia muswada wa katiba mpya. Natafakari ina maana wananchi hawawasikilizi?mbona wameshinda na wapo bungeni? Mbona anazungumza kiujumla na kama hao wa kijumla hawasikilizwi mbona wao wapo wengi bungeni? Wamejipeleka au wamepelekwa?
Nikitafakari kwa makini kauli hii napata shaka na ushindi wao, napata shaka kwanini wanataka kuonewa huruma na sio kuweka hoja na ukweli mbele?kimsingi wao wapo wengi bungeni, kimsingi wao ndio wanastahili kusikilizwa zaidi sasa ukiona wananchi hawataki kuwasiliza uje wamejiepeleka na hawakupelekwa na wananchi, walienda kwa ubabe, nguvu ya mtutu na advantage ya uelewa mdodo wa wananchi sasa wameamka chupi zinawabana
Hii inathibitisha ule usemi wa kiiengereza kuwa "YOU CAN FOOL PEOPLE FOR SOMETIME BUT YOU CANNOT FOOL THEM ALWAYS"
Re: Nyinyi wabunge hivi tatizo la ITV ni nini......?
Great Minds Discuss Ideas; Average Minds Discuss Events; Small Minds Discuss People. Naona wabunge wengi wanadiscuss Tundu Lissu, CDM na sasa ITV. Hakuna anayediscuss hoja!
Re: Nyinyi wabunge hivi tatizo la ITV ni nini......?
Sikio la kufa halisikii dawa. .........watasingizia mpaka mawe mwaka huu...... mmoja jana BBC alikuwa anasema kila walipopeleka mjadala wa katiba walikuta CDM wameandaa vijana wa kuwazomea wakiongea na kuchana au kufanya fujo hivyo wakaacha.
Re: Nyinyi wabunge hivi tatizo la ITV ni nini......?
Huyu mbunge wa Mafia nae katoa pumba tu! Yaani kutokupata line kwake kila alipokuwa akipiga simu ITV basi ITV wamekuwa na upendeleo na kwamba wanapanga watu wa kuongea, nadhani huu ni uzushi usio kifani! Natamani ITV waombe uthibitisho kutoka kwake kama wamekuwa wana-upendeleo wowote ule kwa mtu au chama chochote kile, vinginevyo huyu ni wa kumshtaki kabisa mahakamani kwa kuharibu reputation nzuri ya kituo hicho! Anaisifia TBC1 kwamba imekuwa fair ktk mchakato huu kitu ambacho si kweli kabisa! Huwezi sema mchanganyiko wa CCM (A) na CCM (B)-CUF ati ni mchanganyiko wa upinzani na chama tawala. Huu nao ni upuuzi mtupu!
Bungeni: Ngonjera yaendelea! Wabunge waendeleza mipasho dhidi ya CHADEMA (Nov 17)
..Jamaa kaanza kuchangia kwa mipasho kama kawaida.Anasema anaomba tumuongezee muda JK kwa miaka 2 baada ya 2015 ili aweke mambo sawa ya katiba na baadae tufanye uchaguzi 2017..
Na akasema mwanaume mwenye sharubu ni JK pekee na si vinginevyo....
Last edited by only83; 17th November 2011 at 09:49.
"Problems can not be solved by the same level of thinking that created them"
"Matatizo hayawezi kutatuliwa na uwezo ule ule mdogo wa watawala wa CCM walioyasababisha"
Re: Kilaza lusinde mbunge wa mtera anachangia sasa.........
shetani alikuwa akigawa ukilaza kidogo kidogo killa kwa mwanadamu ILA ALIPOFIKA KWA LUSINDE kapu likamponyoka ukilaza wooooote uliobaki ukamwingia LUSINDE.
shetani alikuwa akigawa ukilaza kidogo kidogo killa kwa mwanadamu ILA ALIPOFIKA KWA LUSINDE kapu likamponyoka ukilaza wooooote uliobaki ukamwingia LUSINDE.
LUSINDE ni kilaza sjawai asiyeelezeka
huyu ndiyo vuvuzela lao.nafikiri kwenye kikao chao cha chama kuwa wapange mavuvuzela ili wapige kelele bunge.
Ninashangazwa sana uendeshaji wa bunge letu jamani, hoja iliyopo ni mjadala wa uundwaji wa katiba, kinachoshangaza ni hawa wabunge wa ccm wao ni kujadili watu wa chadema tu, mara tundu lisu, mara mke wa Slaa, mara mboye.. Duu, na spika kakalia kiti.. Eti wanasema Lisu,Sendeka, Mboye ,Slaa wameweka ndugu zao tu bungeni, wana ukoo., Eti CCm haijaweka ndugu... Dah, upuuzi mtupuuu
Re: "Wananchi tunaomba mtusikilize na sisi" - George Simbachawene
Paza sauti, lia hadi pandez zote za nchi....wananchi ndio watawadharau zaidi.....sasa wanajua kuwa wananchi wana power....wakati wanapobanwa!!!Vinginevyo, wananchi ni kwa kutumia tu kama ladder ya kupandia and then to be thrown and trampled upon...Not at all, wananchi wameamka na bado....
Follow Us Here