Katika hali isiyo ya kawaida leo spika ametangaza kuwa hakutakuwa na maswali ya papo kwa papo kwa kuwa waziri mkuu hayupo.ndugu wana jf je hii ni ishara ya kitu gani?
Katika hali isiyo ya kawaida leo spika ametangaza kuwa hakutakuwa na maswali ya papo kwa papo kwa kuwa waziri mkuu hayupo.ndugu wana jf je hii ni ishara ya kitu gani?
ccm wanaita ukomavu wa kisiasa!!
Kwa Hali ya hewa waliyoichafua CCM kuhusiana na vurugu maeneo mbalimbali nchini, ni wazi maswali yangekua mengi kuliko majibu,
PM kasoma alama za nyakati!!!!
Kwa hiyo Waziri mkuu na CCM wenzake wana nafasi ya kusikiliza mipasho tu au?
Hiki kipindi cha maswali na majibu ni wakati wa SITTA chini ya huyu asiyeelewa nini maana ya utawala wa sheria hakuna maana.
Anakwenda kuweka sawa Uchunguzi wa JAIRO.
maji yamefika shingoni..mtoto wa mkulima kala kona..ala..
Kwi Kwiii Mizengo Pinda kweli ame-pinda kama ameanza mizengwe ya kukacha kipindi cha maswali
ya papo kwa papo na hiyo yote ni kumkimbia Tundu Lissu baada ya Jana waziri wake Celina
Kombani kuonjeshwa joto ya jiwe STAR TV.
But on serious note, hivi u-PM ni mtu individual siyo Institution? Haya ndiyo majibu mepesi ya
viongozi (Spika) kwa maswali magumu. Mbona Sitta na Magufuri huwa wana kaimu hiyo
nafasi kwanini leo wasiwajibike kujibu maswali. Na Kama kiongozi wa Serikali leo hayupo Bungeni
then kwanini bunge liendelee na shughuli zake?
Huu ujanja ujanja wa kijinga kukwepa hoja badala ya kujibu hoja ndio uliotufikisha hapa.
yarabi tobaaaaa, amekimbia?
They wiil disqualify you for the little weaknesses you have and they will never glorify you for the great strength you have shown, Phd- Houston Texas July 23, 2012
....Khalasi...yarabi tobaaaaa, amekimbia?
@@
Huyu ni mwoga tunamfahamu siku nyingi,ameogopa misumari ya moto.
'Mwoga hana makovu'
anajua maswali ya katiba yangekuwa mengi na maswali magumu na hakika hana majibu sahihi sana ya maswali hayo.
kwanini asiwepo wakatia anajua leo ni siku yake
"Be the Window through which many young will see their future"
Kwani ofisi yake si ndio kiongozi wa shughuli za serikali bungeni? Sasa wanaomwakilisha leo kwanini wasimsaidie kujibu?
Kuna jambo lakimbiwa hapo.
Who is next on the run?
Mwanzo wa mwisho wa CCM
Ni Afadhali Vita Inayotafuta Haki na Usawa Kuliko Amani Inayopumbaza na Kudhalilisha Utu wa Mwanadamu-G. Lema
Follow Us Here