Nimepata habari hivi punde imekuja ikiwa imevunjia vunjika gazeti la Mwanahalisi limefungiwa miezi 3 stay tuned...
Nimepata habari hivi punde imekuja ikiwa imevunjia vunjika gazeti la Mwanahalisi limefungiwa miezi 3 stay tuned...
Last edited by PainKiller; 13th October 2008 at 23:12. Reason: prefix removed
Haya wakuu tumsubiri Presida wetu JK tuone kama anajua kucheza chess!! Mkuchika ni mtu wake, lakini hapa JK anaweza kumlazimisha kutengua huo uamuzi kama kweli anataka wananchi tuamini kuwa yeye ni mpenda haki.
Mwanahalisi wao wamesema tu kuwa kuna habari za kutaka kumtoa JK, all the govt had to do ni kutoa habari kuwa mwanahalisi habari zao si za kweli na hakuna mpango huo. Simple as that.
Sasa kama kila habari ya uongo mtafungia magazeti si itakuwa wazimu??
[email protected]
Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji
Na inasomeka hivi:
wamefungia kimwanahalisi na kuzaliwa wanahalisi wengi tu
waanze kufungia huu uchafu hapo chini
gazeti la uhuru
CCM YAONGOZA UCHAGUZI TARIME
nakulikazia zaidi hili hapo chini
ccm wapeta tarime
source: darleo; alasiri
Hii font balaaa...
Kindness is the language which the deaf can hear and the blind can see - Mark Twain
CCM is enemy of GOD
"Each generation must, out of relative obscurity, discover its mission, fulfil it, or betray it"/Kila kizazi, katika utata wa kipindi chake, lazima kiutambue wajibu wake na kiutekeleze au kiusaliti - Frantz Fanon
Hatakiwi kutoa sababu za kufungia chombo cha habari!
Nakwambia kuna ma evil genius walishaona hivyo vitu wakavipangilia ki dikteta dikteka long time ago!
THE TANZANIA NEWS AGENCY ACT, 1976
PART III Section 7, Section 2
Provide that the Agency may, without assigning reasons therefor, refuse to issue any authorization under this subsection or suspend or revoke any authorization issued by it.
Habari ndio hiyo!
Yaani ndio nazidi kugundua unafiki wa viongozi wetu, inatakiwa Rai pia lifungiwe! Wanatuachia gazeti gani sasa lenye uhuru maana meengi yameingiziwa virusi vya mafisadi! No, hili jamani tujitahidi hata kuandamana kulipinga. Kama Rais wetu hakumkataza mwanae kutaka madaraka CCM wakati huu yeye akiwa Rais, ajue hizi ndizo gharama zake. Kweli jina la mwanae limetajwa mara nyingi tu kweye kumharibia JK ikiwa ni pamoja na kujihusha na Ufisadi!!
Editors forum wanakutana, kabla ya kutoa statement maana Mkuchika amewasema vibaya editors forums akisema kuna editors forums mbili moja ikiwa ni ya Sakina Datoo ambayo yeye haitambui na ingine ni ya Yassin Sadiki wa gazeti la Hoja (la Usalama).
Kisasi cha Mkuchika kimetokana na wahariri kumsusia kikao chake wiki iliyopita. Mkuchika aliawataka Editors forum wamuite, wakamuita wakamwambia wakutane katika ukumbi walipanga. Mkuchika akakataa akasema yeye ni Waziri hawezi kwenda, bali wao ndio wamfuate. Wahariri wakamwacha, akawaalika, akawaita ofisini kwake, hawakwenda. Alikaa ukumbi ukawa na wapiga picha wa TBC1 pekee, maana hata wahariri wa vyombo vya serikali hawakwenda. Alikasirika sana na sasa ndio anasema hawatambui. Alipowaita aliwatambua, Mwanyika, IGP walipokwenda, waliwatambua, Waziri Mkuu Pinda naye anaelezwa kukubali kukutana nao, aliwatambua, leo Mkuchika anasema hawatambui. Nadhani na yeye ameingia KUNDINI.
Kwa hiyo ule uvumi kuwa Kubenea anafanya kazi akiungwa mkono na JK au ndio kamdomo ka JK kumbe ilikuwa fiksi, magirini au nini?
"Those who cannot remember the past are condemned to repeat it." George Santayana(1863-1952), U.S Philosopher and Poet. Life of Reason, 'Reason in Common Sense', Scribners, 1905, page 284
DCI summons MwanaHALISI managing editor
2008-10-13 11:12:17
By Guardian Reporter
The Director of Criminal Investigations yesterday summoned MwanaHalisi editor Saeed Kubenea for reasons which could not be immediately established.
Kubenea was expected at the DCI`s office yesterday afternoon.
On Wednesday, Kubenea`s weekly newspaper, MwanaHalisi, carried a story on its front page, saying there was a plot to oust President Jakaya Kikwete, a move said to be spearheaded by some senior leaders in his party and his own son.
The tabloid reported that schemers were working to bar the president from vying for the presidency in 2010.
In response, the State House through its Director of Communications Salva Rweyemamu, said the story was a total fabrication and a tale of a century.
The Editors Forum, through its chairperson Sakina Datoo, last week appealed to the government to give Kubenea a fair chance to prove his case. She also said that time for banning of newspapers was long gone.
SOURCE: Guardian
Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action
Follow Us Here