| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 6302
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Hicho kipindi wamekitangaza au ni supprise kwa watazamani ??
|
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Kama ukiweza turekodia basi kisha utuwekee kama sio usumbufu wengine huku hiyo TV aishiki kabisa!
__________________
"We are what we repeatedly do. Excellence, therefore is not an act but a habit" - Aristotle |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
__________________
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako! ![]() Thank you for supporting JF! <---(click to support us) Waliochangia 2010: <--- (click to read) JINSI YA KUCHANGIA JF<---(click to read) ![]() 24/7 Email SUPPORT: support@jamiiforums.com ![]() |
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Kama vile SINEMA,mCHUNGAJI Christpher Mtikila ametoa waraka KUTUBU DHAMBI ZAKE kwa kitendo alichokifanya huko Tarime.
Amekiri wazi kuwa alitumwa na watu kuichafua CHADEMA na kuidhoofisha nguvu yake. Iko LIVE ITV
__________________
'When corruption becomes justice,war becomes the law' |
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Na bado, ataweweseka sana
|
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
sasa sisi yanatuhusu nini ? kama alifanya makosa basi angoja afikishwe katika vyombo vya sheria mahakama ndio itaweza kumsamehe sio sisi
|
|
#8
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Ndio hiyo ya mtikila kutubu au ?
Nani wanadhamini hicho kipindi ? Chadema wenyewe ?? |
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Mtikila anasema
- Nililipwa kwa kazi niliyokuwa nafanya ya kusema uwongo kuhusu Uchaguzi wa Tarime na Chacha Wangwe - Niliahidiwa kupewa ulinzi mkali katika harakati za kufanya hiyo kazi. - Sikupewa ulinzi nilivyokuwa Tarime na kujikuta napigwa na kutokwa na damu yangu. - Nimetubu Mwisho Nia yangu ya kutetea taifa langu la Tanzania iko pale pale na nina sababu zote za kuhakikisha kuwa rasilimali za nchi yangu ambazo tumepewa urithi kwa ajili yetu na watoto wetu haziporwi na Mafisadi na Magabachori bali zinavunwa na kutumiwa kwa manufaa ya wana na mabinti wa nchi yangu Tanzania
__________________
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako! ![]() Thank you for supporting JF! <---(click to support us) Waliochangia 2010: <--- (click to read) JINSI YA KUCHANGIA JF<---(click to read) ![]() 24/7 Email SUPPORT: support@jamiiforums.com ![]() |
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Wooow! Hard to believe
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 10:16 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||