Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Propaganda za uongo: Elimu bure, CHADEMA ikishinda

    Report Post
    Page 8 of 8 FirstFirst ... 678
    Results 141 to 146 of 146
    1. #1
      Zawadi Ngoda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th August 2009
      Posts : 1,789
      Rep Power : 854
      Likes Received
      98
      Likes Given
      98

      Default Propaganda za uongo: Elimu bure, CHADEMA ikishinda

      Mwalimu NYerere alitoa elimu bure, matokeo yake baada ya miaka 20 nchi ilitembelea magoti. CHADEMA (Mh Slaa) japo ya kujua hilo bado ilisisitiza kutoa Elimu bure kwa watanzania wote ili ishinde uchaguzi 2010, lakini ikaanguka. Hii ni kutokana na ueleo mkubwa wa watanzania na kuelewa kuwa hizo ni PROPAGANDA ZA UONGO.

      Wiki iliyopita nilipoandika Thread "CHADEMA NI CHAMA CHA PROPAGANDA" wengi walidai nilete ushahidi au vyanzo vya taarifa hizo. Sikufanya hivyo kwa kuogopa Mod kuifuta habari hiyo. Leo nimeamua kuandika ushahidi wa Propaganda hizo za uongo tukianzia kwenye kipengele cha ELIMU BURE KWA WATANZANIA WOTE.

      Ili twende hatua kwa hatua naona vyema tuanzie na mkoa wa Kilimanjaro ambako ndio Ngome ya CHADEMA ilikojikita. Naomba waziri kivuli wa fedha wa CHADEMA aeleze kinaga ubaga ni vipi kwa kutumia kodi ya mkoa wa Kilimanjaro itamudu kutoa elimu bure kwa wananchi wa mkoa huo kabla hatujazungumzia Tanzania nzima.

      Mkoa wa Kilimanjaro unaongoza Tanzania nzima kwa kuwa na shule za Sekondari nyingi kuliko mikoa yote ya Tanzania. Una sekondari 288 wakati hata Dar es salaam ina sekondari 252 tu (Chanzo: www.moe.go.tz/NectaResuls). Wakazi wa kilimanjaro ni 1441000 ukilinganisha na Dar es salaam ambao ni takriban 2,809,000 (Chanzo: Tanzania: Regions, Major Cities & Urban Localities - Statistics & Maps on City Population). Pato la kodi la mkoa wa Kilimanjaro (Rombo, Hai, Mwanga, Same, Mosho mjini na Moshi vijijini) ni 14,236.4 Milioni (Tzsh) wakati lile la Dar es salaam ni 441,000.5 Milioni (Tzsh) (Chanzo: Tanzania Revenue Authority - Kigoma).

      Kabla sijaandika zaidi naomba huyu waziri kivuli wa fedha wa CHADEMA akisaidiana na wapambe wake hapa JF wanieleze ni vipi watazigawanya hizo 14,236.4 milioni Tzsh katika huduma za matibabu (hospitali, zahanati na elimu ya afya), Polisi, utawala mkoa na wilayani, pembejeo, na Elimu (mishahara ya walimu, ukarabati na stationaries).

      Mkishindwa kufanya hivyo maana yake ELIMU BURE KWA WATANZANIA WOTE NI PROPAGANDA YA UONGO. Vinginevyo mlitaka kutumia pesa ya walipa kodi wa mikoa mingine kuendeleza mkoa wenu maana kiuchumi haiwezekani Kilimanjaro yenye wakazi 1441000 iwe na shule kupita Dar es salaam yenye wakazi 2,809,000.

      Nasubiri majibu yenu kabla sijaendelea na sekta nyingine.
      mpunumpunyenye likes this.

    2. Miaka 50

    3. #141
      Nicholas's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Posts : 4,885
      Rep Power : 3594
      Likes Received
      1244
      Likes Given
      2108

      Default Re: Propaganda za uongo: Elimu bure, CHADEMA ikishinda

      Quote By Zawadi Ngoda
      Mwalimu NYerere alitoa elimu bure, matokeo yake baada ya miaka 20 nchi ilitembelea magoti. CHADEMA (Mh Slaa) japo ya kujua hilo bado ilisisitiza kutoa Elimu bure kwa watanzania wote ili ishinde uchaguzi 2010, lakini ikaanguka. Hii ni kutokana na ueleo mkubwa wa watanzania na kuelewa kuwa hizo ni PROPAGANDA ZA UONGO.
      wait a minute.......mwalimu alitoa elimu bure , alipigana vita ya kagera, alitoa msaada wa mali na hali kukomboa nchi nyingine na baba wa hawa mafisadi wa leo wa ccm wakamhujumu na kuuwa kila kiwanda.

      Suala la uelewa wananchi na sera ya Dr. Slaa-tunahitaji maelezo.Kwani vilivyofanyika kwa vitendo na CCM ni vibaya sana,sasa sijui kwanini waamini kitu walichokiona ubaya halafu wasiamini walichoahidiwa na mtu asiye shemu ya ubaya?
      Wiki iliyopita nilipoandika Thread "CHADEMA NI CHAMA CHA PROPAGANDA" wengi walidai nilete ushahidi au vyanzo vya taarifa hizo. Sikufanya hivyo kwa kuogopa Mod kuifuta habari hiyo. Leo nimeamua kuandika ushahidi wa Propaganda hizo za uongo tukianzia kwenye kipengele cha ELIMU BURE KWA WATANZANIA WOTE.

      Ili twende hatua kwa hatua naona vyema tuanzie na mkoa wa Kilimanjaro ambako ndio Ngome ya CHADEMA ilikojikita. Naomba waziri kivuli wa fedha wa CHADEMA aeleze kinaga ubaga ni vipi kwa kutumia kodi ya mkoa wa Kilimanjaro itamudu kutoa elimu bure kwa wananchi wa mkoa huo kabla hatujazungumzia Tanzania nzima.
      Umechemsha Kilimanjaro si Ngome ya CDM.Ila kuna maeneo CDM ina nguvu .Na unahitaji kuthibitisha hili.
      Mkoa wa Kilimanjaro unaongoza Tanzania nzima kwa kuwa na shule za Sekondari nyingi kuliko mikoa yote ya Tanzania. Una sekondari 288 wakati hata Dar es salaam ina sekondari 252 tu (Chanzo: www.moe.go.tz/NectaResuls). Wakazi wa kilimanjaro ni 1441000 ukilinganisha na Dar es salaam ambao ni takriban 2,809,000 (Chanzo: Tanzania: Regions, Major Cities & Urban Localities - Statistics & Maps on City Population). Pato la kodi la mkoa wa Kilimanjaro (Rombo, Hai, Mwanga, Same, Mosho mjini na Moshi vijijini) ni 14,236.4 Milioni (Tzsh) wakati lile la Dar es salaam ni 441,000.5 Milioni (Tzsh) (Chanzo: Tanzania Revenue Authority - Kigoma).
      Naona umeamua weka link ya Kigoma sijui ndio hila hizo ama?
      Kwa taarifa yako Kilimanjaro Vipindi vya Mkapa na hata mwanzoni Kikwete akiingia Kilimanjaro ilikuwa inacheza kuanzia no.1 hadi 5.Vyanzo vikubwa vikiwa border ya Holili, utalii ,misitu ya west, na mazao kama viazi,vitunguu, nyanya, carrots etc..
      Usisahau pia kuwa Sukari ya TPC ,Gypsum ichimbwayo upare na dhahabu, pamoj ana madin mengine ambayo serikali ya ccm haijua hata kama yanachimbwa ni maeneo CDM wanaweza rudisha hivyo vyanzo kataka njia sahihi na maisha yakenda vizuri.
      Data TRA walizoweka ni selective sana na ni za miaka ya nyuma.
      http://www.tra.go.tz/index.php?optio...=282&Itemid=64
      Kwanza mkoa mdogo na uliopigwa vita kama kilimanjaro kuwa na shule zote hizo ukilinganisha na idadi ya watu inaonysha jinsi gani wakitumi shule zao vizuri.Muda si mrefu wanabadili mkoa kuwa Macau.
      Kabla sijaandika zaidi naomba huyu waziri kivuli wa fedha wa CHADEMA akisaidiana na wapambe wake hapa JF wanieleze ni vipi watazigawanya hizo 14,236.4 milioni Tzsh katika huduma za matibabu (hospitali, zahanati na elimu ya afya), Polisi, utawala mkoa na wilayani, pembejeo, na Elimu (mishahara ya walimu, ukarabati na stationaries).

      Mkishindwa kufanya hivyo maana yake ELIMU BURE KWA WATANZANIA WOTE NI PROPAGANDA YA UONGO. Vinginevyo mlitaka kutumia pesa ya walipa kodi wa mikoa mingine kuendeleza mkoa wenu maana kiuchumi haiwezekani Kilimanjaro yenye wakazi 1441000 iwe na shule kupita Dar es salaam yenye wakazi 2,809,000.

      Nasubiri majibu yenu kabla sijaendelea na sekta nyingine.
      Kwanza ujue kuwa Sera ya majimbo inapinga dhana potofu yako.Kuwa watatumia hela za mikoa mingine kuendeleza mingine.majimbo yanakuwa na gavana anayekuwa na utawala unaojitegemea kabisa bila kupingana na serikali kuu.Majukumu ya jimbo yanajulikana kam aleo watu wajuavyo ya mikoa na ya serikali kuu pia hujulikana pakiwa na tofauti ya umiliki hela.

      CDM wana insist kuwa watacontrol mapato ambayo leo CCM wanapeleka kuficha nje na kuwaachia wawekezaji, wataongeza kipato pia kwa kutumia vitu vilivyolazwa na kukosa ubunifu kwa CCM.

      Hiyo figure (14,236.4 milioni) ya zamani ambayo imekuja kutokana na wizi wa CCM, vita ya kuuangusha huu mkoa ktk kila nyanja.Hiii si figure iliyopaswa iangaliwe kama vile matokeo mengi ya kura yasivyo asilia.Ila nakupa majibu.
      Na suala la deficit ni kawaida kwa nchi nyingi duniani ndio maana hata Nyerere na hata Kikwete leo anakopa.Jimbo linalopungukiwa na hela linaweza kopa serikali kuu na kuhitajika lipa baadaye.Hofu ni kwa mikoa ya wavivu,wataishi sana kwa federal governement rescue packages.hawa ndio watakula vya wenzao.

      Mwisho nakuambia kuwa hiyo figure ya TRA ni kodi TRA waliyopata na si vinginevyo.Hakuna makusanyo ya Manispaa,vijiji na kata.Nahdani umeanza ona ni wapi kichwa yako haikuwa sawasawa kama si makini sana.Idara ya misitu inakusanya mapato toka katika misitu,KINAPA wanakusanya toka kataka mlima na mbuga iliyopo chini ya mlima.Hata ni mapato ambayo sio kodi ya kwenda TRA.Tanesco,Posta, national House etc.Hawa wote wanapokea mapato kwa niaba ya serikali na haya yote si kodi ya kwenda TRA,kwani katika risit zao utaona VAT na kodi nyingine vikiwa zimevunjwa.Ila mwisho wa siku hela zinakwenda hazina.

      Manispaa na taasisi nyingine ndizo zimeweka Lami mji mzima.Ndio wanaomikili shule,zahanati, ma hospital, na hata za makanisa kodi za kipuuzi zikipunguzwa au kuondolewa watachaji kiasi kidogo cha ada ambacho serikali ya ngazi husika itaweza lipia.
      Kuthibitisha kuwa CCM ni vimeo, kuna mikoa imekuwa ikitoa dhahabu, alamsi na makaa ya mawe, na sasa gesi ila hadi leo miji yao vumbi kama vile barabara za maporini.Tatizo hapa si kipato,ila misuse na misallocation.
      Last edited by Nicholas; 15th September 2012 at 17:57.
      SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.

    4. #142
      Vatoi's Avatar
      Member Array
      Join Date : 17th August 2011
      Posts : 53
      Rep Power : 402
      Likes Received
      4
      Likes Given
      13

      Default Re: Propaganda za uongo- Elimu bure, CHADEMA IKISHINDA

      Quote By kichomi
      Naona sasa kuna haja ya kuwachunguza baadhi ya watu,naona kuna wengine sio raia wa nchi hii kabisa,we mleta mada unatokea nchi gani?
      === Wewe inabidi uchunguzwe, kwani slaa si ndiye anapita kama bendera fuata upepo anawafanya waTZ hawana akili eti kila kitu atawapa bure, yaani ndio agenda aliyoitumia kwenye Upadiri YAKAMSHINDA WAKAMTIMUA, NA HAKUNA KIPINI SLAA ATAKACHOANGUKA KAMA2015. HATAAMINI!
      Kule babati mpaka leo wanaishi nyumba za nyasi huku SLAA ANAPETA NA MAHELKOPTA,,, JE AKIPEWA NCHI HATA UDSM ATAWATEMBELEA KWA NDEGE,,, HAWAFAI KABISS CHADEMA, WANAJITAFUTIA MATUMBO YAO TUUUUUUUUUUUUU!

    5. #143
      kupelwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th August 2011
      Location : DAR-ES-SALAAM
      Posts : 456
      Rep Power : 482
      Likes Received
      120
      Likes Given
      31

      Default Re: Propaganda za uongo- Elimu bure, CHADEMA IKISHINDA

      Quote By WA-UKENYENGE
      Huhitaji kwenda shule kuelewa hiyo hoja ya elimu bure!! Elimu bure inawezekana, fanya homework yako vizuri tutakuelewa kama utatuletea facts siyo kuturudisha nyuma wakati tuko karne ya 21.

      Kuna tatizo la vijana wetu kupata uelewa na kutumika vibaya kwa masilahi ya chama tawala kwenye mitandao ;Dhana ya mchumia tumbo ndo tatizo.Hivi uchambuzi wa mleta thread hii unaonyesha utupu wa fikra wa shule aliyonayo.nafikiri ndo kuungaunga, maana uchambuzi huu ni aibu kwa elimu kama janga.yeye huyonayepinga inaonyesha upeo wake ndo st.kayumba university.Twende kwenye uhalisia, mi binafsi nimesoma tagu shule ya msingi mpka chuo kikuu, bila mzazi wangu kutoa hata senti.si nauli si chakula njiani, si ada na si mazi chuo.je mwl. nyerere alikuwa na uchumi mkubwa kufanya hivyo?na je fedha hizo alikuwa nazipta wapi?Kimsingi huyu mdaukichwa box , gazt la mazalendo kabisa.Tujikumbushe kwenye uchumi wa mtanzania, ambaye hawezi kupata hata mlo mmoja unategemea anaweza kumudu gharama za elimu?Ki takwimu karibu 75% ya watanzania wanapata mlo mmoja tu na wanaishi kwa dola moja ya kimarekani, je kwa kipato hicho wanauwezo wa kumudu gharama za elimu?kwa hiyo mdau anakubali kutengeneza matabaka ya kielimu katika jamii.tujikumbushe ni jamii gani inaweza kuendelea bila elimu?tujikumbushe nchi amabzo zinapiga hatua kama singapore, malaysia, taiwan. indonesia, korea, wamefikaje hapo?waliwekeza kielimu bila kubagua kusaidia jamii ipate elimu kwa gharama za serikali , na pia haikuwa bora elimu bali elimu bora.Tunatakiwa kujenga jamii yenye elimu ndo uwezeshwaji ambao serikali kufanya hivyo kwa kutoa bure ili kuwadai nao wachangie kushiriki uzalishaji ili kujenga nchi.hapa inakuwa jamii haitakuwa na matabaka kielimu, kiiitikadi, kiutamaduni , na inakuwa rahisi kuwapatia ajira kirahisi.Leo ajira kwa tabaka la walionacho.Huyu jamaa mleta thread hii mtupu kiuchambuzi.Bila elimu jamii kubwa kama jinsia ya kike itabaki nyuma milele, jamii kubwa masikini, itabaki nyuma milele, jamii ya vijijini itabakia nyuma milele sababu kipato chao ni kidogo.Serikali lazima itafute vyanzo vya kufanya mradi huu bila kujali kuwa si watoto wao.Ni lazima tanzania iwe yetu sote, jamii yote ifaidike na rasilimali za nchii hii,kwa sasa kumekuwa na tabaka linalofaidi, ndo mambo wanapata elimu nzuri, ajira nzuri maisha mazuri.Ni vyema viongozi wa nchi wajali watanzania, bado kuna vyanzo vingi mno vinavyowezesha kupata fedha hiyo.je nchi nilizozitaja awali, kama malaysia walipta wapi fedha hizo?huyu mdau haoni opprtunity cost ya nchi kusomesha jamii yake kwa ujumla kwa elimu bora ni tija kubwa kwa usitawi wa taifa baadaye?na pia uchambuzi wa pato la kimkoa.ni uchambuzi dhaifu.wala si kigezo cha kufanya serikali isiwekeze kwenye elimu ya bure.Kila mkoa kuna rasilimali na maendelo kimkoa huchangiwa na mapato kutoka mikoa mingine.je mikoa kama singida, lindi ambayo inakikpato kidogo , je sual la afya, maji, elimu, serikali haiwasaidii?mdau ni mtupu sana kiuchambuzi, nahisi si mtanzania anayelitakia taifa maendeleo, elimu ni maendeleo, lazima serikali iwekeze , hatuwezi kubaki na matabaka kielimu tutajenga sumu mbaya kwenye jamii kuleta mapambano.
      Last edited by kupelwa; 15th September 2012 at 17:18.
      USTAADHI and WA-UKENYENGE like this.

    6. #144
      WA-UKENYENGE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st October 2011
      Location : Inside a Smart Grid
      Posts : 2,410
      Rep Power : 5037
      Likes Received
      780
      Likes Given
      1780

      Default Re: Propaganda za uongo- Elimu bure, CHADEMA IKISHINDA

      Quote By kupelwa

      Well said mkuu!! Kama amekusikia na akusikie, hataki atakuja kujua ukweli huko mbeleni.
      "The usual conclusion is that you can't put a price on a human life. But you can if you must".

    7. #145
      USTAADHI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th July 2011
      Posts : 512
      Rep Power : 498
      Likes Received
      92
      Likes Given
      78

      Default Re: Propaganda za uongo: Elimu bure, CHADEMA ikishinda

      Quote By Zawadi Ngoda
      Mwalimu NYerere alitoa elimu bure, matokeo yake baada ya miaka 20 nchi ilitembelea magoti. CHADEMA (Mh Slaa) japo ya kujua hilo bado ilisisitiza kutoa Elimu bure kwa watanzania wote ili ishinde uchaguzi 2010, lakini ikaanguka. Hii ni kutokana na ueleo mkubwa wa watanzania na kuelewa kuwa hizo ni PROPAGANDA ZA UONGO.

      Wiki iliyopita nilipoandika Thread "CHADEMA NI CHAMA CHA PROPAGANDA" wengi walidai nilete ushahidi au vyanzo vya taarifa hizo. Sikufanya hivyo kwa kuogopa Mod kuifuta habari hiyo. Leo nimeamua kuandika ushahidi wa Propaganda hizo za uongo tukianzia kwenye kipengele cha ELIMU BURE KWA WATANZANIA WOTE.

      Ili twende hatua kwa hatua naona vyema tuanzie na mkoa wa Kilimanjaro ambako ndio Ngome ya CHADEMA ilikojikita. Naomba waziri kivuli wa fedha wa CHADEMA aeleze kinaga ubaga ni vipi kwa kutumia kodi ya mkoa wa Kilimanjaro itamudu kutoa elimu bure kwa wananchi wa mkoa huo kabla hatujazungumzia Tanzania nzima.

      Mkoa wa Kilimanjaro unaongoza Tanzania nzima kwa kuwa na shule za Sekondari nyingi kuliko mikoa yote ya Tanzania. Una sekondari 288 wakati hata Dar es salaam ina sekondari 252 tu (Chanzo: www.moe.go.tz/NectaResuls). Wakazi wa kilimanjaro ni 1441000 ukilinganisha na Dar es salaam ambao ni takriban 2,809,000 (Chanzo: Tanzania: Regions, Major Cities & Urban Localities - Statistics & Maps on City Population). Pato la kodi la mkoa wa Kilimanjaro (Rombo, Hai, Mwanga, Same, Mosho mjini na Moshi vijijini) ni 14,236.4 Milioni (Tzsh) wakati lile la Dar es salaam ni 441,000.5 Milioni (Tzsh) (Chanzo: Tanzania Revenue Authority - Kigoma).

      Kabla sijaandika zaidi naomba huyu waziri kivuli wa fedha wa CHADEMA akisaidiana na wapambe wake hapa JF wanieleze ni vipi watazigawanya hizo 14,236.4 milioni Tzsh katika huduma za matibabu (hospitali, zahanati na elimu ya afya), Polisi, utawala mkoa na wilayani, pembejeo, na Elimu (mishahara ya walimu, ukarabati na stationaries).

      Mkishindwa kufanya hivyo maana yake ELIMU BURE KWA WATANZANIA WOTE NI PROPAGANDA YA UONGO. Vinginevyo mlitaka kutumia pesa ya walipa kodi wa mikoa mingine kuendeleza mkoa wenu maana kiuchumi haiwezekani Kilimanjaro yenye wakazi 1441000 iwe na shule kupita Dar es salaam yenye wakazi 2,809,000.

      Nasubiri majibu yenu kabla sijaendelea na sekta nyingine.
      mbona hujaweka dhahabu au mbona hujasabstute kwamba magari ya vigogo yakiuzwa inaweza simamia elimu hujui kuwa kuna nchi ukiwa waziri unakopeshwa gari nasikali hilo ndilo la kazi na familia ? hapa unakuta kwa waziri kuna magari mangapi? hujui kuwa shule zinazotoa elimu kwa watanzania ni za umma kwa nini zile za private zisirudishwe kuhudumia umma kwa gharama ndogo we kula mayai na chips tu kaka omba mungu usikae manzese

    8. Study Abroad

    9. #146
      Antonov 225's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd November 2010
      Location : namiungo
      Posts : 247
      Rep Power : 482
      Likes Received
      27
      Likes Given
      30

      Default Re: Propaganda za uongo: Elimu bure, CHADEMA ikishinda

      Very suprising:- unahoji ahadi za mtu ambaye hujampa nchi, unaacha kuhoji yaliyohaidiwa mwaka 2005 maisha bora kwa kila mtanzania, 2010 ukampa tena kama zuzu, tena inabidi upewe kipaumbele cha kuhudhuria hii elimu ya bure pindi itakapo kuwepo. Maana inaonekana hujawahi kabisa pata elimu kwa hii mada yako ilivyo. Kwanza wewe unaonekana ni mtu unayempenda mtu si nchi maana leo hii ungekuwa ni mzalendo kweli ungekuwa na kichefu chefu cha ahadi za ccm, upo madaarakani mmiaka 50 inatosha kuondolewa maana nchi unayo unaahiddi nini na wakati 50 yrs umeshashindwa?
      Every time Chadema Plant seeds But ccm kill them before they Grow

    10. FemaTV & Radio
    Page 8 of 8 FirstFirst ... 678

    Similar Topics

    1. chadema ikishinda 2015 Rizone kikwete hama nchi
      By rosemarie in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 9
      Last Post: 30th October 2011, 17:39
    2. Chadema Kuleta Elimu Bure Mwanza
      By VoiceOfReason in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 3
      Last Post: 24th November 2010, 15:21
    3. Replies: 30
      Last Post: 22nd November 2010, 16:17
    4. Replies: 4
      Last Post: 15th November 2010, 16:04
    5. Ccm walisema elimu bure haiwezekani, leo wanasema bure??
      By Kisendi in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 2
      Last Post: 28th October 2010, 10:58

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...