Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Tanzania signs a land deal in Iowa (last week)...

    Report Post
    Page 4 of 5 FirstFirst ... 2345 LastLast
    Results 61 to 80 of 94
    1. #1
      TigoPesa's Avatar
      Member Array
      Join Date : 4th September 2011
      Posts : 63
      Rep Power : 417
      Likes Received
      36
      Likes Given
      0

      Default Tanzania signs a land deal in Iowa (last week)...

      Tukiandika vitu humu tunaitwa Wazushi. hatunyamazi hadi kieleweke. tunatumia mbinu nyingine kwa maana tuna nyaraka nyingi ambazo tumepata kwa mbinu zetu kutoka VODACOM. Subirini muda utafika mtagundua ukweli kwenye mambo yetu. Hii wiki Mtoto wa Mkulima PM: Pinda ametoka Iowa USA ambako alikutana na Agrisol Energy ambako amesign kuwapa hawa watu heka 800,000. Hawa watu wanauza nchi yote. hii inaenda kuleta matatizo. Mtoto wa mkulima elezea umma ulifuata nini Iowa.. Source OAKLAND INSTITUTE

      Iowa-based investor Bruce Rastetter and fellow investors in the industrial agricultural corporation AgriSol Energy have their sights on 800,000 acres (325,000 hectares) of land in Tanzania that is home to 162,000 people.The proposed site is inhabited by former refugees from neighboring Burundi. Most of the residents, several generations of families who have successfully re-established their lives by developing and farming the land over the last 40 years, will be displaced against their will. They will lose their livelihoods and their community. Once they are gone, Agrisol Energy will move in.

      Despite rising international criticism of the proposed plan to evict the residents in the proposed lease areas for foreign investors, the Tanzanian government plans to move forward with the project. We need your help today to make sure that won’t happen. Please send a message to Bruce Rastetter, other principal investors, and the Prime Minister of the United Republic of Tanzania, to urge them to drop this project.

      AgriSol has promoted this large-scale land acquisition as a project to transform Tanzania into a “regional agricultural powerhouse” by combining thecountry’s abundant agricultural natural resources with “modern” farming practices, including the use of genetically modifiecrops.Unfortunately, AgriSol’s plans--which include seeking Strategic Investor Status from the Tanzanian government that would grant them tax holidays and other critical investment incentives (including waiver of duties on agricultural and industrial equipment supplies, export guarantees, and certainty for

      use of GMO and Biotech and production of biofuels), while generating tremendous profit for the investorsiv--will do little, if anything, for Tanzanians. On the contrary, it is likely that if this land deal goes ahead it will set a precedent for future land rights abuses.More details can be found in the Oakland Institute Brief, AgriSol Energy and Pharos Global Agriculture Fund’s Land Deal in Tanzania.

      We fear that this project could move quickly forward unless the Tanzanian government and the US investors realize that the world is watching. We ask that you join the Oakland Institute in holding Bruce Rastetter and AgriSol team accountable and send them the message that proceeding with their plans is not “socially responsible agricultural investment.”
      Ntemi Kazwile likes this.

    2. #61
      Lyceum's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st October 2009
      Posts : 552
      Rep Power : 605
      Likes Received
      104
      Likes Given
      132

      Default Re: Tanzania signs a land deal in Iowa (last week)...

      Huu ni mwanzo wa mwisho wetu walalahoi. Hakika sasa hatuna cha kupoteza zaidi ya umasikini wetu. Tumeuzwa pamoja na wake zetu na wahuni wachache. Agrh

    3. #62
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,661
      Rep Power : 4023
      Likes Received
      2944
      Likes Given
      5072

      Default Re: Tanzania signs a land deal in Iowa (last week)...

      Hii land grabing inayoendelea italeta tatizo kubwa siku nyingi. Kwa kiasi kikubwa watu maskini wa vijijini wameweza kusalimika na njaa kwa sababu ya kuwepo maeneo ya kilimo. Kwanini tunayagawa kwa wenye navyo na kusahau kuwaendeleza hawa wanavijiji watumie vyema ardhi waliyonayo? Hakuna kitu kibaya katika maisha ya binadamu kama kukosa akili.

    4. #63
      menny terry's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 18th March 2011
      Posts : 179
      Rep Power : 453
      Likes Received
      24
      Likes Given
      0

      Default Re: Tanzania signs a land deal in Iowa (last week)...

      Acheni ujinga msiwe kama mnafikiria kwa kutumia masaburi! Ahh! Mbona mnakuwa hivi! Ah! Ardhi mbona ipo kubwa tu! Tena haina kazi? Kwani akipewa mwekezaji kunakosa gani?Yaani tuache kuwapa wawekezaji kisa kelele za wafamaji.inakadiriwa asilimia 80 ya ardhi haifanyiwi kazi Tanzania huu ni ujinga kuogopa kuwapa wawekezaji.Acheni woga.

    5. #64
      Ngonini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st September 2010
      Posts : 1,308
      Rep Power : 1285
      Likes Received
      281
      Likes Given
      41

      Default Re: Tanzania signs a land deal in Iowa (last week)...

      Kinachofurahisha na kusikitisha hapa ni
      1. watanzania tunaletewa GMO ambayo for sure maradhi lazima ya ongezeke na life expectancy lazima ishuke to less than 40 years kwa vizazi vijavyo.

      2. Investers are interested in production of maize for biofuel na si chakula. Rukwa ni kati ya mikoa ambayo ni Mhimili wa Tanzania kwa chakula halafu ibadilishwe, hivi nchi hii tutakua nini?

      3. Makabulu wanakuja kuwa farm managers, watanzania watakuwa manamba/vibarua kwenye ardhi yao. Natutegemee watanzania kuwashwa risasi na makabulu.
      4.Pinda aliapa bungeni kuwa atafia kwenye huu mkataba hivyo nadhani naye ndo deal lake ameamua asiondoke hivihivi.

      5. Chadema kazi kwenu kuna wapiga kura 160,000 wako kule Rukwa watatimuliwa kwenye ardhi waliyokaa zaidi ya 40 years. Naamini wengi wao ni raia tayari. Mtumeni Mdee akapambane kwa ajili yao.
      5. La mwisho tunafarijika kwamba Mungu anazidi kuwapiga upofu watesi wetu iliwaendelee kuharibu mambo Ili kuharakisha ushindi.

    6. #65
      Muke Ya Muzungu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th June 2009
      Posts : 1,906
      Rep Power : 3861
      Likes Received
      180
      Likes Given
      31

      Default Dawa Ya Mageuzi Tanzania Dhidi Ya Wakina Iddi Simba

      Ni aibu kusikia kwamba hata mtoto wa mkulima, Waziri Pinda anakula ufisadi wa wakina Iddi simba.

      Wiki Iliyopita Waziri Mkuu alikuwa Iowa Marekani kukutana na Kampuni ya Cargil Energy ambao wananunua mamillion ya hekari Tanzania kwa ajili ya GMO.

      Ili kuleta mabadiliko Tanzania, tunahitaji wapiganaji wakweli ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya taifa lao kama,

      Dr. Wilbroad Slaa 15
      Generali ulimwengu 5
      Dr. Harrison Mwakyembe 8
      Johnson Mbwambo 5
      John Mashaka 10
      Zitto Kabwe 10
      John Mnyika 10
      Tindu Lissu 10
      Alima Mdee 10
      Ananilea Nkya 10
      January Makamba 10
      John Shibuda 10
      Maggid Mjengwa 10
      ***************
      Dr. Emanuel Nchimbi -0
      Nape Nnauye -5
      Makongolo Mahanga -0

      Tanzania itaendelea na Itanyooka Tena mafisadi wa kifikra na kimaadili watatoweka.

    7. #66
      Muke Ya Muzungu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th June 2009
      Posts : 1,906
      Rep Power : 3861
      Likes Received
      180
      Likes Given
      31

      Default Re: Dawa Ya Mageuzi Tanzania Dhidi Ya Wakina Iddi Simba

      Pamoja na Edward Lowassa 120

    8. #67
      Tekelinalokujia's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2010
      Location : Planet Earth
      Posts : 344
      Rep Power : 514
      Likes Received
      31
      Likes Given
      166

      Default Re: Tanzania signs a land deal in Iowa (last week)...

      Quote By Ether View Post
      wananchi hii dili ndo imeshapita na hakuna chochote tunaweza kufanya. sasa hivi hii kampuni inailazimisha serikali kubadili sheria moja tu ili waweze ku-export mazao hata kama kuna njaa nchini.

      HII SI BURE WATANGANYIKA TUTAKUA TUMEROGWA KWA KWELI HAIWEZEKANI NCHI ZINGINE WAWEZE KUPINGA KWA NGUVU ZOTE JAMBO KAMA LA KUPANDA KWA BEI YA SUKARI NA SISI TUNASHINDWA KUKUPINGA MAMBO HAYA YA KIHAYAWANI TUNABAKI KULALAMIKIA PEMBENI TUU KILA KUKICHA. TUAMKE JAMANI HIVI TUNACHOSUBIRI NI NINI KWA KWELI? INASIKITISHA SANA.

      Alafu hivi ndivyo mtoto wa mkulima (PM) anavyotunadi watanzania kwa hawa wawekezaji huko alikoenda kufanya hizi deals, hivi huko mbele ya safari tutakua na majibu ya kwanini tuliyaangalia haya yakifanyika na tukakubali tuu?

      When asked if AgriSol had considered potential job creation for local populations in the lease areas,
      the response to the Institute was:
      “You know, we haven’t done that...what I appreciate, from a practical standpoint, is how he [The Tanzanian Prime Minis- ter] understands the country and the capabilities and what we’ll need to bring in. They quite frankly think we’ll need to [bring in outside farmers], and they’re fine with bringing in South African farm managers...the white South African farm managers, to be able to provide that general expertise...”27
      These comments directly contradict claims made by Pharos that AgriSol is in the process of “identifying local farm project managers.”28

    9. #68
      JF-BAN1's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 13th April 2011
      Posts : 10,447
      Rep Power : 0
      Likes Received
      3753
      Likes Given
      2889

      Default Re: Tanzania signs a land deal in Iowa (last week)...

      Kilimo Kwanza, wakati Nyerere alitowa Ardhi kuwapa wakulima wa Canada na Wakichina bure, kwa miaka kadhaa, hakuna aliyesema hata kwii.

      Leo tunaletewa mafunzo ya ukulima tunaouhitaji hapa hapa na kwa faida ya wote, tunaanza longolongo. Jee, ni nani asiotaka maendeleo?

      Kabla ya kuleta longolongo tuanze na kusema ardhi yote waliopewa kanisa katoliki kulima irudishwe (Kanisa katoliki lina hodhi ardhi kubwa kuliko mwingine yoyote baada ya Serikali Tanzania hii). Mbona hilo hamlisemi? au kwa kuwa hawa hawajaja kwa mgongo wa kanisa? Msilete za kuleta hapa, wacheni watu wafanye kazi, ardhi imekaa bure kule, wacha watu wafaidike nayo.
      sekulu likes this.

    10. #69
      GIVENALITY's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th January 2011
      Posts : 805
      Rep Power : 600
      Likes Received
      164
      Likes Given
      200

      Default Re: Tanzania signs a land deal in Iowa (last week)...

      Nchi yetu ni kama gari bovu. Litapona kama litapata fundi ambaye yupo tayari kulitengeneza kwa moyo wote bila kuongeza bei ya spea au kunyofoa vipuri.

    11. #70
      sekulu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th January 2011
      Location : loading...
      Posts : 808
      Rep Power : 592
      Likes Received
      85
      Likes Given
      65

      Default Re: Tanzania signs a land deal in Iowa (last week)...

      Quote By FaizaFoxy View Post
      Kilimo Kwanza, wakati Nyerere alitowa Ardhi kuwapa wakulima wa Canada na Wakichina bure, kwa miaka kadhaa, hakuna aliyesema hata kwii.

      Leo tunaletewa mafunzo ya ukulima tunaouhitaji hapa hapa na kwa faida ya wote, tunaanza longolongo. Jee, ni nani asiotaka maendeleo?

      Kabla ya kuleta longolongo tuanze na kusema ardhi yote waliopewa kanisa katoliki kulima irudishwe (Kanisa katoliki lina hodhi ardhi kubwa kuliko mwingine yoyote baada ya Serikali Tanzania hii). Mbona hilo hamlisemi? au kwa kuwa hawa hawajaja kwa mgongo wa kanisa? Msilete za kuleta hapa, wacheni watu wafanye kazi, ardhi imekaa bure kule, wacha watu wafaidike nayo.
      FF
      our population is Growing and we also need a space for our activities, it is not the matter of comparison, it is the matter of Displacement of those people!.

      Kuna mchezo unaendelea wa kupora Ardhi Africa, kwa mfano tu Uganda kuna watu wanafanye hivo, Zambia, Malawi ndo nchio ninazozijua.

      Hao wachina na Wakanada waliopewa ardhi na Nyerere (R.I.P) ilikuwa wapi na Hao wawekezaji wapo au inakuaje??
      be the changes that you want to see......

    12. #71
      JF-BAN1's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 13th April 2011
      Posts : 10,447
      Rep Power : 0
      Likes Received
      3753
      Likes Given
      2889

      Default Re: Tanzania signs a land deal in Iowa (last week)...

      Quote By Givenality View Post
      Nchi yetu ni kama gari bovu. Litapona kama litapata fundi ambaye yupo tayari kulitengeneza kwa moyo wote bila kuongeza bei ya spea au kunyofoa vipuri.
      Kwanza uanze kwa kuagiza magari mapya na si mitumba. Na hili ulionalo ni gari jipya Model 2011, mpaka uanze kutafuta spare ni leo?

      Waswahili hunena: "walozowea vya kunyonga vya kuchinja hawaviwezi".

    13. #72
      JF-BAN1's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 13th April 2011
      Posts : 10,447
      Rep Power : 0
      Likes Received
      3753
      Likes Given
      2889

      Default Re: Tanzania signs a land deal in Iowa (last week)...

      Quote By sekulu View Post
      FF
      our population is Growing and we also need a space for our activities, it is not the matter of comparison, it is the matter of Displacement of those people!.

      Kuna mchezo unaendelea wa kupora Ardhi Africa, kwa mfano tu Uganda kuna watu wanafanye hivo, Zambia, Malawi ndo nchio ninazozijua.

      Hao wachina na Wakanada waliopewa ardhi na Nyerere (R.I.P) ilikuwa wapi na Hao wawekezaji wapo au inakuaje??

      Displacement of who? those grounds were refugee camps and the refugees are either back to their homelands or have been neutralized and granted Tanzania nationality, they are not supposed to be there by now, if they are, they are illegals.

      Besides, every development has its victims, you can not stop developing because you are about to move peoples from one area to another. Its absurd and way back thinking. We need to move forward and the consequences are obvious.

      You are talking about population growth, with your current farming methods, how are you going to feed the masses? lets be real.

      Wachina = Mbarali

      Wa Canada = Hanang.
      sekulu likes this.

    14. #73
      Tekelinalokujia's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2010
      Location : Planet Earth
      Posts : 344
      Rep Power : 514
      Likes Received
      31
      Likes Given
      166

      Default Re: Tanzania signs a land deal in Iowa (last week)...

      We Faiza dont blind yourself, swala la wawekezaji kuja na kufanya kilimo cha kisasa hapa hakina hatari na kina faida endapo na sisi tunafaidi fairly katika mpango mzima, haya yanayoonekana kufanyika ni tofauti na mpanga ama nia kwa maana inaonekana wawekezaji ndio wanaoonekana wao ku-fulfill haja zao na sisi kubaki bila kupata hizo faida za hiyo mipango, kwa kifupi serekali inachosema na kinachotokea in reality sicho, sasa kama tuna vyuo vikuu vya kilimo manaake tunao wataalam wa kilimo, lakini hawa wajamaa wanasema PM kawaambia anategemea walete supervison yenye uwezo haswa kutoka SA wazungu (The Tanzanian Prime Minis- ter] understands the country and the capabilities and what we’ll need to bring in. They quite frankly think we’ll need to [bring in outside farmers], and they’re fine with bringing in South African farm managers...the white South African farm managers) sasa hawa wasomi wetu wa kilimo wao wanafaa kwa lipi? na kama hawako compatible na hichi kilimo wanachokuja nacho wawekezaji kwanini vyuo havitoi wasomi compatible? Yaliyosemwa wakati wa kuwaleta wawekezaji katika madini na yaliopo sasa ni tofauti, haya ndio tunayolalamikia sio sawa, so usizungumze tuu inavyotakikana zungumza inavyofanyika ni sawa? unajua ukiangalia sera za sisiem utakubali ni nzuri na zinaweza kututoa katika umasikini ila sisiem ndio wanaotudidimiza, sababu hayafanywi yale yalioandikwa. we should speak for Tanzania and not just for some people. This is our TANZANIA in a whole.

    15. #74
      JF-BAN1's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 13th April 2011
      Posts : 10,447
      Rep Power : 0
      Likes Received
      3753
      Likes Given
      2889

      Default Re: Tanzania signs a land deal in Iowa (last week)...

      Quote By Tekelinalokujia View Post

      You are blinding yourself, sasa katazame mashamba ya farm managers Watanzania halafu katazame mashamba ya ma farm managers wa South Africa halafu uniambie tunahitaji kujifunza kutoka kwao au hatuhitaji? wala usiende mbali, kuna shamba Handeni lilikuwa la Serikali likafa kaja mzungu kalichukuwa kaweka manager m South Africa sasa hivi linauza mbegu za mahindi, swafi kabisa. Kiliwashinda nini Watanzania na shamba lao, ardhi yao? na huyu Msouth Afrika ni wakuja tu lakini kaweza. Watanzania bado tupo nyuma na bila kupata ujuzi wa kilimo kutoka nje hatutendelea maisha. Tusijidai tunajuwa kumbe hata vyoo vyetu mpaka leo ukiingia unatafuta pakuiweka pua.

    16. #75
      sekulu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th January 2011
      Location : loading...
      Posts : 808
      Rep Power : 592
      Likes Received
      85
      Likes Given
      65

      Default Re: Tanzania signs a land deal in Iowa (last week)...

      Quote By FaizaFoxy View Post
      Displacement of who? those grounds were refugee camps and the refugees are either back to their homelands or have been neutralized and granted Tanzania nationality, they are not supposed to be there by now, if they are, they are illegals.

      Besides, every development has its victims, you can not stop developing because you are about to move peoples from one area to another. Its absurd and way back thinking. We need to move forward and the consequences are obvious.

      You are talking about population growth, with your current farming methods, how are you going to feed the masses? lets be real.

      Wachina = Mbarali

      Wa Canada = Hanang.
      Asante FF
      Tuendelee na maisha!. Tutaona mwisho wake!.
      be the changes that you want to see......

    17. #76

      By the way Wachina waliingia mbarali mwaka 1960, Na sijui nyerere alitoa hayo mashamba wakati gani na akiwa kama nani!
      be the changes that you want to see......

    18. #77
      JF-BAN1's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 13th April 2011
      Posts : 10,447
      Rep Power : 0
      Likes Received
      3753
      Likes Given
      2889

      Default Re: Tanzania signs a land deal in Iowa (last week)...

      Quote By sekulu View Post
      By the way Wachina waliingia mbarali mwaka 1960, Na sijui nyerere alitoa hayo mashamba wakati gani na akiwa kama nani!
      Jiulize wewe, nijuavyo mimi walipewa hayo mashamba mwaka 68

    19. #78
      Tekelinalokujia's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2010
      Location : Planet Earth
      Posts : 344
      Rep Power : 514
      Likes Received
      31
      Likes Given
      166

      Default Re: Tanzania signs a land deal in Iowa (last week)...

      Quote By FaizaFoxy View Post
      You are blinding yourself, sasa katazame mashamba ya farm managers Watanzania halafu katazame mashamba ya ma farm managers wa South Africa halafu uniambie tunahitaji kujifunza kutoka kwao au hatuhitaji? wala usiende mbali, kuna shamba Handeni lilikuwa la Serikali likafa kaja mzungu kalichukuwa kaweka manager m South Africa sasa hivi linauza mbegu za mahindi, swafi kabisa. Kiliwashinda nini Watanzania na shamba lao, ardhi yao? na huyu Msouth Afrika ni wakuja tu lakini kaweza. Watanzania bado tupo nyuma na bila kupata ujuzi wa kilimo kutoka nje hatutendelea maisha. Tusijidai tunajuwa kumbe hata vyoo vyetu mpaka leo ukiingia unatafuta pakuiweka pua.
      Still blinding urself swala hapo sio uzungu ni comitment na hayo waliosoma ama kufundishwa, stricness kwenye kufanya kazi na seriousness katika kutaka kufanya standard quality, ndio maana wachache wenye kuamua kusimamia quality developments personally wanaweza hapahapa tanzania, kwani Bakhresa ameweka hao wazungu? mbona amekua akitoa products mpya na ni quality?
      IF YOU HAVE NO CONFIDENCE IN SELF, YOU ARE TWICE DEFEATED IN THE RACE, BUT WITH CONFIDENCE YOU HAVE WON EVEN BEFORE YOU HAVE STARTED THE RACE. na hayo ya kuwaleta wawekezaji wa dizaini hizo huku ukiwaambia walete ma-manager wazungu sababu sisi hatuna sio kuwafundisha waTZ bali ni kuwa-undermine intelligence capability yao, wawekeze kwenye
      vyuo in terms of waalimu na vifaa ili wazalishe graduates compatible na pia wafundishe maadili ya kusimamia na kutekeleza profession zao katika utendaji, anachofanya huyo mzungu ni kua na ujuzi na kwenda na principles basi that we should be able to do as well.

    20. #79
      ngudzu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 16th September 2010
      Posts : 69
      Rep Power : 457
      Likes Received
      20
      Likes Given
      31

      Default Re: Tanzania signs a land deal in Iowa (last week)...

      hakuna anayesema uwekezaji ni mbaya na sote tunajua kuwa hakuna nchi ambayo imeendelea duniani bila kufanya uwekezaji katika sekta mbalimbali uwe uwekezaji wa ndani au wa nje. Point ambayo mista President ameendelea kuikosa ni mfumo gani wa uwekezaji. Kwa namna sisi watz tunavyowakaribisha hao wawekezaji toka nje wachukue rasilimali zetu kupitia mikataba mibovu inayowapa wao manufaa zaidi yetu sisi wenye rasilimali haitakaa iingie akilini tuone kuwa uwekezaji huu ni mzuri. Ardhi ya pale Mpanda waliyopewa hizo ekari 800,000 bei yake ni sh. 700 za kitanzania kwa kila eka kwa mwaka. Ni nani mwenye akili timamu atafanya biashara ya hivyo kwa mkataba wa miaka 99 kama tiulivyofanya sisi? Mi naamini kuandamana nchi nzima kupinga madhila ya hivi kutawarudishia akili zao hawa jamaa wanaojishau

    21. #80
      Masaki's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 3,059
      Rep Power : 1292
      Likes Received
      341
      Likes Given
      808

      Default Re: Tanzania signs a land deal in Iowa (last week)...

      Nimegundua nikiendelea kulalamika badala ya kuchangamkia fursa kama hizi wanangu watakuja kunilaumu. If you can't beat them, join them. I don't want to be the next national hero of this God-forsaken country....!!
      Ability may get you to the top, but it takes character to keep you there.

    Page 4 of 5 FirstFirst ... 2345 LastLast

    Similar Topics

    1. Migration issue gop debate live iowa now!
      By KIM KARDASH in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 0
      Last Post: 16th December 2011, 05:31
    2. News: S Korea agrees Tanzania land deal
      By Manta in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 0
      Last Post: 24th September 2009, 13:55
    3. TIC in Land Deal With Prisons
      By MaxShimba in forum Business & Economic Forum
      Replies: 4
      Last Post: 18th September 2009, 18:06
    4. Replies: 76
      Last Post: 23rd April 2009, 15:16

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...