JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: VIDEO: Siri zaidi za kambi ya Singida zajulikana

  Report Post
  Page 5 of 5 FirstFirst ... 345
  Results 81 to 94 of 94
  1. #1
   EasyFit's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th July 2011
   Posts : 1,170
   Rep Power : 765
   Likes Received
   865
   Likes Given
   206

   Default VIDEO: Siri zaidi za kambi ya Singida zajulikana

   Shuhudia mwenyewe video hii   MORE UPDATES

   Mwita Waitara azungumzia mpango ulikuwaje   Slaa azungumzia tukio la tindikali   Mwigulu akiri kuna kambi

   KATIKA hali inayoonyesha Chama cha Mapinduzi (CCM) kinafanya kampeni za kijasusi katika uchaguzi mdogo wa Igunga, kimekiri kuwa kimewaweka kambini vijana 386 kwa ajili ya kupata “mafunzo maalumu.”

   “Wanadai tumeandaa kambi zaidi ya moja, si kweli, tunayo kambi moja kule Ulemo. Mbona wao CHADEMA wameamua kuwaleta mawakala wa kuhesabu kura kutoka vyuo vikuu? Sisi tukasema hapana, tutawatumia vijana wa Igunga, tukapita kwenye vijiji vyote 96 tukawachukua vijana wanne kila kijiji".

   Alisema vijana hao wamekusanywa kutoka vijiji 96 vya jimbo hilo. Kambi hiyo ya vijana imewekwa katika eneo la Ulemo, wilayani Iramba. CHADEMA inadai lengo la CCM ni kuwapa mafunzo ya kigaidi kwa ajili ya kuiba kura na kuanzisha vurugu siku ya uchaguzi.
   Gazeti hili limepata habari kwamba kambi hiyo ya wiki moja, ilifungwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana CCM (UVCCM), Martin Shigella, wiki iliyopita, Septemba 9, mwaka huu, na itafanyika tena wiki moja kabla ya uchaguzi.

   (Tanzania Daima)
   Last edited by EasyFit; 17th September 2011 at 19:14.


  2. Fredrick Sanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th January 2011
   Location : Kijitonyama
   Posts : 3,126
   Rep Power : 2750
   Likes Received
   678
   Likes Given
   802

   Default Re: VIDEO: Siri zaidi za kambi ya Singida zajulikana

   Sasa hapa tuseme nini? Taifa kwanza au chama kwanza. Taifa lililofisika kimawazo huwaka chama kwanza. Hii ni Hatari sana.

  3. #82
   Salimia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th February 2011
   Posts : 645
   Rep Power : 680
   Likes Received
   98
   Likes Given
   0

   Default Re: VIDEO: Siri zaidi za kambi ya Singida zajulikana

   Quote By Feedback View Post
   Yote hiyo ni kuwachanganya watu kama wewe msijue imerekodiwa wapi na lini kalagabaho..
   sasa hapo umemchanganya nani? Au umejichora tu maana wajanja wameshaelewa kwamba ni video ya kupikwa. Ni pandikizintu na halina mashiko.

  4. #83
   alpha5's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 26th May 2011
   Posts : 152
   Rep Power : 566
   Likes Received
   30
   Likes Given
   239

   Default Re: VIDEO: Siri zaidi za kambi ya Singida zajulikana

   dah ccm noma

  5. Feedback's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th March 2011
   Posts : 7,816
   Rep Power : 7592
   Likes Received
   4023
   Likes Given
   1523

   Default Re: VIDEO: Siri zaidi za kambi ya Singida zajulikana

   Quote By Salimia View Post
   sasa hapo umemchanganya nani? Au umejichora tu maana wajanja wameshaelewa kwamba ni video ya kupikwa. Ni pandikizintu na halina mashiko.
   Yakupikwa wakati mbakaji mwenzenu amekiri.
   Only in Tanzania

  6. Mwanaweja's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th February 2011
   Posts : 3,575
   Rep Power : 1266
   Likes Received
   498
   Likes Given
   1132

   Default Re: VIDEO: Siri zaidi za kambi ya Singida zajulikana

   igunga kuweni makini sana na ccm kama mnaufahamu mtaona njisi gani ccm inavyojifanya ndumila kuwili lakini ukweli nyoka mwenye sumu mbaya sana (koboko)


  7. LATTICE BOND's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 30th May 2011
   Posts : 219
   Rep Power : 579
   Likes Received
   48
   Likes Given
   17

   Default Re: VIDEO: Siri zaidi za kambi ya Singida zajulikana

   NOW AFTER WATCHING THE CLIP I DECLARE THAT!
   THE LIBERATION WAR HAS OFFICIALLY STARTED!
   Please join me to fight this holy WAR!!

  8. #87
   niweze's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2009
   Posts : 1,011
   Rep Power : 829
   Likes Received
   114
   Likes Given
   82

   Default Re: VIDEO: Siri zaidi za kambi ya Singida zajulikana

   Namshukuru sana Mungu kila leo vyote ninavyovijua juu ya nchi yangu kweli vinafanyika. kikwete kweli ni kama Gadaffi hakuna tofauti yeyote ile na kila ushahidi tunao. Wananchi lets move forward kumwondoa kikwete kwani wengi hatutaki hata sura yake tena.

   Hakuna haja ya kuwa na Taifa linaitwa Tanzania tena ila ni nchi ya Utumwa wa ajabu huu ... udikteta .... ubaguzi .... I am fed up.

   Usalama wa Taifa sio. kikwete anatumia hii ofisi ya ikulu ili kuwaangamiza watanzania sio. Then kuna watu huko US wanakubali kufanya unyama wa kumwita aongee kwenye dicota na mataifa yanadhbutu hata kumwani kikwete na kumpa funds za nchi. What a shame to usalama wa Taifa na Tunawapa jina la Unyama wa Taifa ...

  9. Fredrick Sanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th January 2011
   Location : Kijitonyama
   Posts : 3,126
   Rep Power : 2750
   Likes Received
   678
   Likes Given
   802

   Default Re: VIDEO: Siri zaidi za kambi ya Singida zajulikana

   Mimi siamini kama CCM wanaweza kufanya hivi. Vinginevyo Kolimba aliona mbali sana.

  10. usininukuu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th August 2011
   Posts : 382
   Rep Power : 602
   Likes Received
   45
   Likes Given
   128

   Default Re: VIDEO: Siri zaidi za kambi ya Singida zajulikana

   Tunakoelekea ni kubaya hali hii isipodhibitiwa Tanzania haitatawalika.

  11. Fredrick Sanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th January 2011
   Location : Kijitonyama
   Posts : 3,126
   Rep Power : 2750
   Likes Received
   678
   Likes Given
   802

   Default Re: VIDEO: Siri zaidi za kambi ya Singida zajulikana

   Quote By usininukuu View Post
   Tunakoelekea ni kubaya hali hii isipodhibitiwa Tanzania haitatawalika.
   Hakika kabisa. Hii inabidi kuangaliwa kwa mslahi ya Taifa

  12. Feedback's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th March 2011
   Posts : 7,816
   Rep Power : 7592
   Likes Received
   4023
   Likes Given
   1523

   Default Re: VIDEO: Siri zaidi za kambi ya Singida zajulikana

   Jana nilimsikia Lissu akisema wanapeleka malalamiko kwa mabalozi nchini ya viongozi wa upinzani kufunguliwa kesi wasisahau kuunganisha na hizi picha za makambi ya kigaidi.
   Only in Tanzania

  13. mashikolomageni's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th January 2010
   Location : Jamhuri ya Ukenge
   Posts : 1,561
   Rep Power : 920
   Likes Received
   162
   Likes Given
   147

   Default Re: VIDEO: Siri zaidi za kambi ya Singida zajulikana

   Its high time now these information should be sent to Ocampo before its too late, whoever with the knowledge how to reach Ocampo can do it now!

  14. #93
   SOTI's Avatar
   Member Array
   Join Date : 9th September 2011
   Posts : 80
   Rep Power : 537
   Likes Received
   20
   Likes Given
   18

   Default Re: VIDEO: Siri zaidi za kambi ya Singida zajulikana

   tumuombe mungu hali mbaya

  15. Fredrick Sanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th January 2011
   Location : Kijitonyama
   Posts : 3,126
   Rep Power : 2750
   Likes Received
   678
   Likes Given
   802

   Default Re: VIDEO: Siri zaidi za kambi ya Singida zajulikana

   Quote By SOTI View Post
   tumuombe mungu hali mbaya
   Kwanza tuiombee TISS kuanza kujitambua.


  Page 5 of 5 FirstFirst ... 345

  Similar Topics

  1. RC Singida waombe radhi wananchi wa Singida
   By MADORO in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 21
   Last Post: 20th December 2011, 20:37
  2. Singida goigoi kiuchumi, ila hoi zaidi kielimu zaidi!
   By Isango in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 13
   Last Post: 16th November 2011, 13:12
  3. Replies: 6
   Last Post: 3rd November 2011, 23:15
  4. Replies: 24
   Last Post: 25th August 2011, 16:48
  5. Replies: 22
   Last Post: 3rd February 2011, 17:49

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...