JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

  Report Post
  Page 3 of 20 FirstFirst 12345 13 ... LastLast
  Results 41 to 60 of 386
  1. Invisible's Avatar
   Robot Array
   Join Date : 11th February 2006
   Location : Here...!
   Posts : 9,652
   Rep Power : 100000
   Likes Received
   6824
   Likes Given
   11201

   Default Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

   Taarifa zilizotufikia wakati huu ni kuwa yule jamaa 'aliyewalipua' Rostam, Manji na wenzao jana; kakamatwa na Polisi toka ofisi ya DCI (Manumba) na anaendelea kuhojiwa.

   Taarifa zinadai kuwa Msemakweli alielekea kwa DPP kama alivyoahidi hiyo jana kuwa angeenda kwake na kuambiwa kuwa appointment yake imesogezwa mpaka Jumatatu lakini akiwa njiani kurudi akakamatwa na maofisa wa polisi ambao mpaka sasa wanaendelea kumhoji.

   Hatujapata taarifa za nini amehojiwa na nani kamhoji. Tutaendelea kufahamishana kadiri muda utakavyoruhusu.

   Huu ni mwanzo tu, kuna mengine yatajiri muda si mrefu!

   KUMBUKA KAULI YAKE:
   Rostam na Manji nawamudu, siogopi usalama wangu. Siwaogopi na liwalo na liwe! Sitishiki juu ya usalama wangu.

   Msemakweli
   UPDATES:

   Maelezo mapya:

   Msemakweli alikamatiwa ofisini kwa DPP. DCI Manumba alienda kwa DPP asubuhi akiwa na timu yake kisha Msemakweli alipofika na kuambiwa arudi Jumatatu akawakuta nje ya ofisi wakiwa wanamsubiria, akachukuliwa na kwenda naye Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani kwa DCI kabla ya kumchukua kwenda naye Mikocheni zilipokuwa ofisi za tume ya EPA.

   Update 1:
   Quote By Prof View Post
   Ningependa kuwataarifu wana jamii kuwa Msemakweli yuko huru mpaka sasa ninavyoandika. Nimempigia simu muda si mrefu na kunieleza kuwa yuko huru.

   Kuhusu kukamatwa kwake na nini amehojiwa nawaahidi kuwapa taarifa hapo baadae.

   Aluta continua!!
   Update 2:

   Msemakweli yupo huru kuongea na simu lakini si kama kaachiwa, mida hii (02:00PM) anaelekea kuandika maelezo.

   Update 3:

   Quote By Prof View Post
   Wadau habari nilizozipata sasa ni kuwa mwanaharakati Kainerugaba Msemakweli bado yuko polisi kituo cha Oysterbay na anasubiri kuandika maelezo (2:12 pm); hata hivyo the guy looks so healthy and confident.

   Nitafanya naye mahojiano saa 10 na nitawajulisha kipi amehojiwa na kipi ameandika kwenye maelezo huko polisi.
   Update 4:
   Msemakweli kaweka ngumu kuandika maelezo, kaachiwa... Atarudi Jumatatu kuweza kutoa ushirikiano kwa task force ya polisi inayofuatilia issue ya EPA.

   Quote By Prof View Post
   Ndugu wadau, kama mwananchi mzalendo nimeonelea vyema niwape taarifa fupi niliyo ipata kutoka kwenye original source(msemakweli) mwenyewe mala baada ya kuachiliwa na polisi. ni kwamba DPP alimpigia simu tangu jana kwamba anataka waonane ofisioni kwake(kwa DPP) na ilikuwepo appointment na DPP mwenyewe alijua kuwa msemakweli atawasili ofisini kwake leo asubuhi. wakati yuko kwa DPP akaambiwa kuwa tuhuma hizo za wizi zinatakiwa zipitie polisi kama procedure and then further action will commence from thereon. wakati anatoka nje akakutana na polisi wanamsubiri kwa nje akiwemo DCI( director of criminal investigation).

   Arrest ilifanyika kama request hivi, according to msemakweli kwani aliombwa akaandikishe maelezo polisi na ndipo wakitumia gari maalum la usalama wa taifa, walipoelekea makao makuu ya usalama wa taifa na pia makao makuu ya polisi kwa nyakati tofauti.

   Wakati yuko huko polisi aligoma kuandikisha maelezo, na aliwambia usalama wa taifa na polisi kwa kusema, hapa namnukuu" tangia asubuhi sijapumzika na nimechoka. nina njaa na siwezi kuandika chochote. subirini mpaka ijumatatu." alisema bwana msemakweli. hata hivyo walimshukuru kwa ushirikiano.

   Hivyo basi, ameshauriwa asiwe anatembea zaidi ya saa moja kwa usalama wake.

   MWISHO WA REPORT.
   More updates coming
   Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
   24/7 Email SUPPORT: [email protected]  2. Kishongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th May 2010
   Posts : 933
   Rep Power : 778
   Likes Received
   62
   Likes Given
   47

   Default re: Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

   MSEMAKWELI ana hulka za kupenda misifa....hizo ndo gharama zake. Hata mashabiki zake hapa JF wamejitenga naye....wanamwonea huruma kisanii kupitia keyboard.
   Jiulize: Umeitendea nini Tanzania katika Miaka 50 ya Uhuru wake!

  3. #42
   Bijou's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th February 2011
   Posts : 1,000
   Rep Power : 4216381
   Likes Received
   200
   Likes Given
   4089

   Default re: Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

   Quote By kishongo View Post
   ameyataka mwenyewe, kukurupuka ni kubaya!
   kakurupuka??? Mandela lazima wawepo au kina bouezine??? Yule wa tunisia

  4. #43
   Iza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2009
   Location : palipo na Internet
   Posts : 1,769
   Rep Power : 1013
   Likes Received
   308
   Likes Given
   604

   Default re: Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

   Nasubiri kusikia walichomhoji hao Polisi..Ila naamini naye alishajiandaa kwa 'haya' kwani hizo tuhuma zinawahusu 'mapapa' ya ufisadi ambayo mpaka viongozi waandamizi wa nchi hii wanawagwaya.
   Mwisho wa siku ukweli utajitenga na uongo..
   Fikiria kwa u-makini...!

  5. TOWNSEND's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th May 2011
   Location : kwa ngulelo
   Posts : 2,441
   Rep Power : 1026
   Likes Received
   401
   Likes Given
   35

   Default re: Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

   Quote By Jeykey View Post
   Ni vizuri kukamatwa na kufungwa yeye maana ushahidi hana anakurupuka na kuchezea dola
   kwani rais wako pia anawajuwa wote alishatamka hadharani atakayerudisha pesa atamsamhe, hata wauza unga anawajua lakini mashtaka au kuchukuwa hatua hamna kazi kweli ipo...

  6. #45
   Mzee's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd February 2011
   Location : DUNIANI
   Posts : 9,907
   Rep Power : 165030
   Likes Received
   1807
   Likes Given
   3338

   Default re: Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

   Mdai anakamatwa wakati mdaiwa anapeta. Mungu ibariki Tanzania.


  7. Ulimakafu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th March 2011
   Location : Itabanya Balasi
   Posts : 15,243
   Rep Power : 6806
   Likes Received
   1053
   Likes Given
   2367

   Default re: Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

   Ngoja tuone.

  8. njaaka's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 28th August 2011
   Posts : 8
   Rep Power : 523
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default re: Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

   Quote By Jeykey View Post
   Ni vizuri kukamatwa na kufungwa yeye maana ushahidi hana anakurupuka na kuchezea dola
   Jamani huu ni uwanja wa great thnkers. Msikashifu mapema bila utafiti. Msemakweli kafanya utafiti wa miaka miwili nyie mnadai kakurupuka. Nyie ndo mnakurupuka. Mtuhumiwa hakamatwi badala yake mtuhumu hilo ndo lakujadili na siyo ----- wenu huo.

  9. Kishongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th May 2010
   Posts : 933
   Rep Power : 778
   Likes Received
   62
   Likes Given
   47

   Default re: Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

   Wamemchukua siku nzuri sana ya Ijumaa.....atapata muda wa kutosha kuandaa utetezi wake wa Jumatatu.
   Jiulize: Umeitendea nini Tanzania katika Miaka 50 ya Uhuru wake!

  10. Somoche's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th October 2010
   Posts : 2,730
   Rep Power : 1119
   Likes Received
   653
   Likes Given
   557

   Default re: Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

   Mbona hawakamati hao watuhumiwa?!

  11. maulaga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2009
   Posts : 473
   Rep Power : 747
   Likes Received
   117
   Likes Given
   126

   Default re: Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

   Quote By GHOST RYDER View Post
   Amekubali kutumika Bila mipango kwa wanasiasa wenye kurushiana makombora katika Kambi mbili za GAMBA...Si mwanaharakati I HATE HIM
   You shouldn't hate him if you believe in democracy and transparency, let time give solution to what is pertaining.

  12. #51
   Rejao's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th May 2010
   Location : Long Street
   Posts : 9,171
   Rep Power : 25865
   Likes Received
   3685
   Likes Given
   3122

   Default re: Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

   Quote By lukatony View Post
   haki ya mungu ulaaniwe!!!!!wanaoivuruga nchi na wewe upo kwa michango yenu hiyo!!mimi nasema lowassa hawezi kuwa rais wa nchi hii hata siku moja!!
   Ya Lowasa yameingiaje hapa?
   Umekosa chakuandika?
   Hapa tunamsikitikia huyu Mropokaji!
   Hii ni defamation!
   hatoki mtu hapa...
   If you can't convince them, confuse them.


  13. Ikwanja's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th July 2011
   Posts : 1,559
   Rep Power : 840
   Likes Received
   235
   Likes Given
   89

   Default re: Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

   Mi naona kwa mtindo huu wa serikali hii, watu wataanza kuchukua sheria mkononi, maana ukipeleka taarifa kuwa kuna watu wanapanga kuiba basi unachuliwa kwenda kuhojiwa. hii ni ajabu sana. I hope the guy has copies of all documents.

  14. #53
   Elli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th March 2008
   Location : Kijito-Upele
   Posts : 19,805
   Rep Power : 429501092
   Likes Received
   9056
   Likes Given
   7694

   Default re: Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

   Nawashangaa kweli nyie mnaosema eti I hate him; hebu waone na kiingereza chao cha ugoko; sasa ulitaka apendwe na kila mtu amekuwa malaika? mmh nyie nanyi bhana
   "The Lord will fight my case and I shall hold my peace".Exodus 14:14

  15. Feedback's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th March 2011
   Posts : 7,816
   Rep Power : 7592
   Likes Received
   4023
   Likes Given
   1523

   Default re: Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

   Quote By AK-47 View Post
   Anakamatwa mlalamikaji watuhumiwa wanapeta nchi hii inatia kinyaaa
   Haya ndiyo alikuwa akiyafanya Gaddafi na serikali yake kuwanyima watu uhuru wa kuongea.
   Only in Tanzania

  16. Mthuya's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th June 2011
   Posts : 1,273
   Rep Power : 788
   Likes Received
   163
   Likes Given
   7

   Default re: Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

   Hihi ndo Tanzania bwana, Mimi nasemaga ccm niyamajambazi mualifu anakula kuku shaidi ndo yupo polisi kazi kweli kweli

  17. Fidel80's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2008
   Location : UVUNGUNI
   Posts : 21,971
   Rep Power : 127370
   Likes Received
   4156
   Likes Given
   1349

   Default re: Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

   Quote By Invisible View Post
   Taarifa zilizotufikia wakati huu ni kuwa yule jamaa 'aliyewalipua' Rostam, Manji na wenzao jana; kakamatwa na Polisi toka ofisi ya DCI (Manumba) na anaendelea kuhojiwa.

   Taarifa zinadai kuwa Msemakweli alielekea kwa DPP kama alivyoahidi hiyo jana kuwa angeenda kwake na kuambiwa kuwa appointment yake imesogezwa mpaka Jumatatu lakini akiwa njiani kurudi akakamatwa na maofisa wa polisi ambao mpaka sasa wanaendelea kumhoji.

   Hatujapata taarifa za nini amehojiwa na nani kamhoji. Tutaendelea kufahamishana kadiri muda utakavyoruhusu.

   Huu ni mwanzo tu, kuna mengine yatajiri muda si mrefu!

   KUMBUKA KAULI YAKE:
   Hao hao walio mkamata si walitamka wazi mwananchi mwenye ushahidi awapelekee ili waufanyie kazi inakuwaje sasa.
   Au ndo kutekeleza Ilani ya chama cha Magamba "...tutakufa tukiyatetea magamba"
   **^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**
   Chuda Raha
   Email: [email protected]

  18. #57
   Elli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th March 2008
   Location : Kijito-Upele
   Posts : 19,805
   Rep Power : 429501092
   Likes Received
   9056
   Likes Given
   7694

   Default re: Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

   nasubiri kibali toka kwa Mods nitukane kidogo maana mchana huu hata chakula hakitapita jamani
   "The Lord will fight my case and I shall hold my peace".Exodus 14:14

  19. Ngambo Ngali's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th April 2009
   Posts : 3,086
   Rep Power : 104092966
   Likes Received
   833
   Likes Given
   578

   Default re: Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

   Quote By Feedback View Post
   Haya ndiyo alikuwa akiyafanya Gaddafi na serikali yake kuwanyima watu uhuru wa kuongea.
   Sasa hii ya kukamatwa msemakweli ni kali, nadhani tusipoangalia watataka kutunyima uhuru wa kufikiri
   Injustice anywhere is a threat to justice everywhere.

  20. #59
   Elli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th March 2008
   Location : Kijito-Upele
   Posts : 19,805
   Rep Power : 429501092
   Likes Received
   9056
   Likes Given
   7694

   Default re: Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

   kwani maigizo na komedi zinaisha nyumba hii Mpwa? mmh yaani hawana tofauti na kile kipande cha karatsi laini kilee, sijui kinaitwaje kile au kale kapulizo kale kenye majina mengi mengi; sijui na kenyewe kanaitwaje vile...yaani ukiviona hivyo vitu halafu ukiangalia kazi za hao jamaa huwa mimi nashindwa kutofautisha zaidi huwa naishia kukapa credit kale kakaratasi na kale kafutuza maana vinalipwa na vinathaminiwa japo kwa muda fulani tu....
   Quote By Fidel80 View Post
   Hao hao walio mkamata si walitamka wazi mwananchi mwenye ushahidi awapelekee ili waufanyie kazi inakuwaje sasa.
   Au ndo kutekeleza Ilani ya chama cha Magamba "...tutakufa tukiyatetea magamba"
   "The Lord will fight my case and I shall hold my peace".Exodus 14:14

  21. lukindo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th March 2010
   Posts : 3,726
   Rep Power : 1342
   Likes Received
   1527
   Likes Given
   2078

   Default re: Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

   nimemsikia Ghadafi kupitia TV ya Syria akielekeza wafuasi wake kuikomboa Libya kama kwamba sio aliyewaita NTC-National Transition Council 'panya' majuma mawili yaliyopita, pia nakumbuka kiapo cha Hayati Saddam Hussein mahakamani kuwa "yeye ni rais wa Iraq".
   Sijui ungewasikia na wewe ungetefakari vipi kauli zao!??
   Quote By Kishongo View Post
   Ameyataka mwenyewe, KUKURUPUKA NI KUBAYA!


  Page 3 of 20 FirstFirst 1234513 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Mbowe ajisalimisha polisi; ahojiwa na kuachiwa
   By AK-47 in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 314
   Last Post: 10th November 2011, 15:08
  2. Mahanga akamatwa na polisi, akamatwa na kura feki
   By Hardwood in forum Uchaguzi Tanzania
   Replies: 47
   Last Post: 2nd November 2010, 16:26
  3. Justin Nyari ashikiliwa na polisi, ahojiwa
   By Msee Lekasio in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 26
   Last Post: 15th July 2010, 19:17

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...