Wadau bunge ndio hilo limeahirishwa tuambizane hapa jamvini ni wabunge gani waliokua makini katika kutetea maslahi ya nchi na kuwawakilisha wapiga kura wao, honestly siwezi kumsahau mh John Mnyika Mh Freeman na Mh Anne kilango Mbowe kwa kuweka kipaumbele utaifa, pia tuambizane ni wapi walisimama madhubuti kupinga maslahi ya nchi na kutetea maslahi yao pekee pamoja na posho.nawasilisha.

Reply With Quote



Follow Us Here