Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ni unafiki kumsifia JK hata anapoharibu - Shyrose amwambia Chiligati

    Report Post
    Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast
    Results 41 to 60 of 81
    1. #1
      gwambali's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th May 2011
      Posts : 149
      Rep Power : 436
      Likes Received
      32
      Likes Given
      41

      Default Ni unafiki kumsifia JK hata anapoharibu - Shyrose amwambia Chiligati

      Mwana dada Shyrose Bhanji amemtolea uvivu Mzee Johni Chiligati alipo post kwenye ukurasa wake wa faacebook kauli mbiu yao ya

      "TUMETHUBUTU,TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE!"

      Mwana Dada Shyrose akamwandikia mzee Chiligati maneno haya

      @Mhe. John Chiligati. kauli mbiu kama hizi ndizo zinazoturudisha nyuma. Tazizo moja kwenye Serikali ya CCM tunaongoza kwa kauli mbiu lakini utekelezaji ndiyo kasheshe...huu siyo tena wakati wa mbwembwe za kauli mbiu, ila kikubwa kinachotakiwa ni utekelezaji. Mimi naomba nikwambie ukweli kuhusu mtazamo wa watanzania leo juu ya chama chetu CCM...

      Wananchi wengi sana wameanza kukosa imani na CCM kutokana na fitna, majungu, unafiki wa kumsifia Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete hata pale anapoharibu. Ni ukweli usiopingika kwamba leo hii CCM iko katika hali mbaya kimtazamo mbele ya macho ya jamii. Je unalifahamu hili Mhe Chilligati? Je unafahamu kwamba wananchi wameanza kuichoka CCM? Je unafahamu kwamba Rais JK ndiyo kiongozi anayechangia kwa kiasi kikubwa sana kukigawa hichi chama chetu

      hivi mnamwambia ukweli wa mambo au mnampotosha kwa kutomwambia ukweli? Nitashukuru sana ukimfikishia ujumbe wangu JK kwamba style yake ya uongozi ndani ya chama chetu na akiwa kama mkuu wa nchi inalalamikiwa sana huku mitaani, hata na mwananchi wa kawaida...kila mtu anauliza JK yuko wapi? mbona yuko kimya sana? Mwambie wananchi wanataka kuskia kauli yake nchi inapoelekea kwani kila kikicha kuna matatizo lukuki...kwa leo ni hayo tu Mhe. Chilligati...naomba kuwasilisha!

      Hayo ni maneno makali sana kutoka kwa mwanadada Shyrose, ana muona wa mbali sana tofauti na wana CCM wengine ambao hawataki kukubaliana na ukweli kwamba CCM inaelekea kufa.

    2. RukaaJuu Final

    3. #41
      Domhome's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th June 2010
      Location : Chimbo
      Posts : 703
      Rep Power : 592
      Likes Received
      182
      Likes Given
      142

      Default Re: Ni unafiki kumsifia JK hata anapoharibu - Shyrose amwambia Chiligati

      Quote By gwambali
      Mwana dada Shyrose Bhanji amemtolea uvivu Mzee Johni Chiligati alipo post kwenye ukurasa wake wa faacebook kauli mbiu yao ya

      "TUMETHUBUTU,TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE!"

      Mwana Dada Shyrose akamwandikia mzee Chiligati maneno haya




      Hayo ni maneno makali sana kutoka kwa mwanadada Shyrose, ana muona wa mbali sana tofauti na wana CCM wengine ambao hawataki kukubaliana na ukweli kwamba CCM inaelekea kufa.

      Hongera sana Shyrose, wewe umesema ukweli japo wanaume kule CCM wameshindwa. Sasa kuwa makini kwani adui mkubwa wa CCM ni yule mwana-CCM mwenzao na hasa yule anayewaambia kweli, unamkumbuka Horrace Kolimba? yule waliyemkolimba pale white house Dodoma? Kisa hiki nakikumbuka vizuri sana kwani nilisimuliwa A-Z na jamaa yangu Ben. Kaa chonjo bibie hawaishi visa hao, hawana aibu toka januari hadi disemba!!!
      malimamalima likes this.
      “It’s now the moment for political baboons to see their backsides” - Time for politicians to look at themselves in the mirror! (Kenyan human right's activist)

    4. #42
      malimamalima's Avatar
      Member Array
      Join Date : 18th February 2011
      Posts : 62
      Rep Power : 430
      Likes Received
      7
      Likes Given
      40

      Thumbs up Re: Ni unafiki kumsifia JK hata anapoharibu - Shyrose amwambia Chiligati

      Quote By apolycaripto
      Shyrose Banji(chotala wa kihindi),amekuwa msaka madaraka sana ndani ya magamba lakini bahati mbaya sana amekuwa akipigwa chini,si ubunge wa kuchaguliwa Kinondoni,si viti maalum wala ukuu wa wilaya hajaambulia.Yeye ni mrembo na mzuri wa kujirusha hata na watoto,hivyo alijua Mr. Bean JK angenasa haraka na mambo yake yange nyooka ndani hata ughaibuni that's why she gave him a lot of support just then.

      Ni kweli ni mpambanaji mzuri hasa katika maswala ya mass com,lakini huangushwa na tabia zake zisizokuwa na haiba ya nidhamu(kuendeleza mapenzi ya kitoto na scandal za mbali mbali za ufuska).Hii ni tabia ambayo inaweza kumu-outsmart kiongozi yeyote wa kisiasa hasa mambo yanapokuwa wazi wazi sana.

      Namuunga mkono kumkosoa JK tena sana tu lakini siungi mkono kilichopo moyoni mwake kwani kinaweza kuwa so personal kuliko tunavyodhani.Namshauri atumie mijadala ya wazi kama TV na vikao vyao vya chama kumkosoa JK na sio katika fb ambapo tunaosoma ni wachache,hivyo wengi hawajui anasema nini!
      mkuu nilipotembelea ukurasa wa fb wa Shy-Rose Bhanji alikuwa na naneno haya kwa wale kama wewe wanaombeza:

      POINT OF CLARIFICATION: The present economic and political situation in Tanzania is a reflection of JKs leadership. These reflections are expressed by most Tanzanians in different forums.

      Therefore, the expression of one`s views does not mean seeking leadership positions but they express a sincere patriotism of wishing well our nation.

      My patriotic opinion is genuine and not meant for winning favors or consideration for any political post or title as some would want to believe!ana maneno haya kwa wadau wanaombeza:

      mwisho wa maneno ya Shy-Rose

    5. #43
      Mapujds's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th May 2011
      Location : Dar es salaam
      Posts : 1,282
      Rep Power : 667
      Likes Received
      118
      Likes Given
      6

      Default Re: Ni unafiki kumsifia JK hata anapoharibu - Shyrose amwambia Chiligati

      time has come now to stand for truth no matter what might happen

    6. #44
      Kaunga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th November 2010
      Location : Wild wild west
      Posts : 8,443
      Rep Power : 13325
      Likes Received
      7669
      Likes Given
      6911

      Default Re: Ni unafiki kumsifia JK hata anapoharibu - Shyrose amwambia Chiligati

      Jamani Maneno ya Chiligati ni 100% right! Wamethubutu -kukwiba, Wameweza -kukwiba na Wanasonga mbele -kukwiba! Na There is nothing nobody can do! Sorry some corrections- The only thing you guys can do is kuchonga sana; wao wanaendelea kusonga mbele!

      Anybody can dare to prove me wrong, be my guest!

    7. #45
      POMPO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2011
      Posts : 3,009
      Rep Power : 1185
      Likes Received
      1109
      Likes Given
      640

      Default Re: Ni unafiki kumsifia JK hata anapoharibu - Shyrose amwambia Chiligati

      Safi sana mh. Sugu kwa tubadilishia mtazamo huyu cadre wa ccm, bongo flava walikuwa wanampotosha, ka vipi sugu mkaribishe cdm kieleweke

    8. Miaka 50

    9. #46
      Lukansola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2010
      Location : 6°48′S 39°17′E
      Posts : 3,237
      Rep Power : 1051
      Likes Received
      728
      Likes Given
      971

      Default

      Quote By ritz
      Hivi huyo Shyrose bhanji, kaishalifanyia nini taifa letu au ana msaada gani! naona kila siku Pro-CDM-JF, mnaangaika nae.

      Mnatoa umbea kule FB mnaleta JF, Magwanda bana au kwa sababu shemeji yenu demu wa Sugu
      Hebu niambie katika hayo aliyosema shy umbea uko wapi, magamba bwana kazi mipasho tu, unakumbuka bosi wenu bingwa wa mipasho alisema kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala, muulize bado anaamini katima msemo huo? Naona siku hizi kimya kama kamwagiwa maji au ndo anaendelea kulala!

    10. #47
      Lukansola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2010
      Location : 6°48′S 39°17′E
      Posts : 3,237
      Rep Power : 1051
      Likes Received
      728
      Likes Given
      971

      Default

      Quote By My husband
      C.C.M ni chama ambacho knapokea changamoto na hakiwez kumwambia kuwa anasaliti ingekua chadema sawa c unaona ya zito na shbuda!
      Mbona nasikia wengi wamekolimbwa kwa kusema ukweli?

    11. #48
      Chakaza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2007
      Location : everywhere
      Posts : 3,557
      Rep Power : 1477
      Likes Received
      893
      Likes Given
      529

      Default

      Quote By ritz
      Hivi huyo Shyrose bhanji, kaishalifanyia nini taifa letu au ana msaada gani! naona kila siku Pro-CDM-JF, mnaangaika nae.<br />
      Mnatoa umbea kule FB mnaleta JF, Magwanda bana au kwa sababu shemeji yenu demu wa Sugu
      Ulitaka wewe ndio uwe demu wa Sugu?

    12. #49
      Mwendabure's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2011
      Posts : 1,044
      Rep Power : 624
      Likes Received
      178
      Likes Given
      41

      Default Re: Ni unafiki kumsifia JK hata anapoharibu - Shyrose amwambia Chiligati

      Hongera Dada ShyRose!

      Ila nakushauri ujaribu kubadilika hasa ktk masuala ya kifaragha. Hali ya kuwa midomoni kwa watu kuhusu faragha zako inachangia kiasi kikubwa kupunguza heshima yako miongoni mwa jamii. Binafsi naamini bado unayo nafasi ya kurudisha imani iliyopotea juu yako. Na unaweza kutimiza ndoto zako za kuwatumikia watanzania bila kujali uko chama gani.

      La muhimu hapa ni kupunguza kashfa zinazokuandama kuhusu hasa mambo ya faragha. Nyingi ya hizo kashfa ni za kweli kabisa kama ninavyokufahamu dhahir shahir! Nasikitika sina ujasiri kama wako wa kutumia jina langu halisi hapa sembuse kukukabili uso kwa uso..!!?, hiyo itoshe kubainisha tofauti ya ujasiri kati yetu. Badili mwenendo walau uzibe ufa unaohatarisha uhai na hadhi ya ukuta wa mafanikio yako.

      JUKUMU LA KUBADILIKA NI LA MTU BINAFSI AKIONGOZWA NA DHAMIRA SAFI.
      mooduke likes this.

    13. #50
      King Kong III's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Enaboishu-Umenyeni
      Posts : 11,927
      Rep Power : 5063
      Likes Received
      3201
      Likes Given
      2661

      Default Re: Ni unafiki kumsifia JK hata anapoharibu - Shyrose amwambia Chiligati

      Njoo Huku CHADEMA Dada Shy-Rose achana na Magamba hayo...Njoo uku kwa Makamanda Tukuvalishe MAGWANDA ya Kazi.
      M4C with No Apology

    14. #51
      Mzee wa Posho's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 14th July 2011
      Posts : 160
      Rep Power : 430
      Likes Received
      13
      Likes Given
      0

      Default Re: Ni unafiki kumsifia JK hata anapoharibu - Shyrose amwambia Chiligati

      Kwa vile ameona hawala yake Lowassa kaundiwa zengwe basi anamuona JK anakiharibu Chama! Siku zote alikua wapi kusema haya! Ni unafiki tu aende huko na umbeya wake

    15. #52
      mooduke's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2010
      Posts : 354
      Rep Power : 505
      Likes Received
      39
      Likes Given
      739

      Default Re: Ni unafiki kumsifia JK hata anapoharibu - Shyrose amwambia Chiligati

      Sasa naona tunaelekea kuzuri ni lazima tuweze kuambia ukweli kwa manufaa ya taifa ndipo tunaweza kuchangia positivelly katika maendeleo ya taifa.,.... kwa ufupi CCM imepoteza muelekeo ndo sababu wananchi tunaipa mgongo sio chama cha wakulima na wafanyakazi tena.

      Lakini hii ya Chiligati inanikumbusha ile hadithi ya Mfalme Juha alietembezwa uchi wa nyama akiambiwa kapendeza na mpambe wake kumbe yuko uchi Chiligati alitakiwa amwambie Rais kuwa tumechoshwa na CCM hii ya mafisadi tunataka kiongozi anaeweza chukua maamuzi bila kuangalia sura.

    16. #53
      Kwetu Iringa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th July 2011
      Posts : 340
      Rep Power : 467
      Likes Received
      54
      Likes Given
      595

      Default Re: Ni unafiki kumsifia JK hata anapoharibu - Shyrose amwambia Chiligati

      Alichokisema Shy ndicho wanamagamba wengi wanakisema chini chini. Anachowazidi Shy ni ujasiri wa kusema hadharani.

    17. #54
      mashikolomageni's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th January 2010
      Location : Dar es Salaam, Tanzania
      Posts : 1,445
      Rep Power : 766
      Likes Received
      144
      Likes Given
      130

      Default Re: Ni unafiki kumsifia JK hata anapoharibu - Shyrose amwambia Chiligati

      Shemeji kaamua kuwatolea uvivu wana magamba maana ni kweli kwa kauli8mbiu wako juu ila kuzisimamia na kutekeleza wako kama ZIRO mtanzania

    18. #55
      Chigwiyemisi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd June 2011
      Posts : 160
      Rep Power : 433
      Likes Received
      74
      Likes Given
      21

      Default Re: Ni unafiki kumsifia JK hata anapoharibu - Shyrose amwambia Chiligati

      Quote By ritz
      Hivi huyo Shyrose bhanji, kaishalifanyia nini taifa letu au ana msaada gani! naona kila siku Pro-CDM-JF, mnaangaika nae.Mnatoa umbea kule FB mnaleta JF, Magwanda bana au kwa sababu shemeji yenu demu wa Sugu
      Akili yako imefanana na avator yako! Una mawazo ya ki-magamba gamba! Kwani hao magamba wenzio wamelifanyia nini taifa hili au wana msaada gani kama si ufisadi na uroho wa rasilimali za taifa letu! Shyrose kanena ukweli mtupu pamoja na kwamba kwa upande mwingine nina amini ana hasira nao sababu ya kukosa mambo fulani kutoka kwako! Hata kama ameongea kwa unafiki lakini alichongea ni kweli tupu na UKWELI UTASIMAMA DAIMA!

    19. #56
      apolycaripto's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2011
      Posts : 576
      Rep Power : 531
      Likes Received
      136
      Likes Given
      0

      Default

      Given statement typically justifies the presence of a ''comprehensive defence merchanism'' on its stake.I couldn't surprise to find whatever you are giving me,simply i expected to have that line between her statement to signify the ''malice afore thought'' from the critic point of view she ought!

    20. #57
      ngwendu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th June 2010
      Posts : 1,971
      Rep Power : 858
      Likes Received
      160
      Likes Given
      50

      Default Re: Ni unafiki kumsifia JK hata anapoharibu - Shyrose amwambia Chiligati

      huyu mama siaende chadema, mbona hata makamba baba alishatuambia kuwa anahawara chadema? Sasa niwakati mzuri kwake akaongelee haya akiwa chadema. ccm si mama yake(mpendazoe)
      we have to be focused!

    21. #58
      Nyalotsi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th July 2011
      Posts : 2,653
      Rep Power : 927
      Likes Received
      587
      Likes Given
      83

      Default

      Quote By Bundewe
      Good Shyrose! umebakiza neno moja tu ........VUA GAMBA ....VAA GWANDA
      jamani tunaumiza vichwa bure,huyu ni kambi ya lowasa! Wanatumika kutafuta gia ya kuingilia tu,hana lolote la kuipenda nchi. Mbona wakati wa uchaguzi hawakusema?

    22. #59
      Uwezo Tunao's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th November 2010
      Posts : 6,897
      Rep Power : 2294
      Likes Received
      1154
      Likes Given
      1495

      Default Re: Ni unafiki kumsifia JK hata anapoharibu - Shyrose amwambia Chiligati

      Hakika mama umenitekenya sana kwa KUTHUBUTU KWAKO kivitendo (na wala si kwa maneno matupu tu kama Mzee Chiligati), na mtaji huu sisi vijana wenzako tunaona kila dalili kwamba kweli UTAWEZA (kwa kuwa wenye kuamua nani kaweza au kapoteza ni sisi huku chini na wala si WEZA yao CCM kama ambavyo Mzee Chiligati anavyoonekana kutafuta kujifariji mwenyewe roho yake hivi sasa.

      Cha msingi hapa da Rose, sisi vijana wenzako tungependa kukuona ukichukua hatua nzito zaidi kwa wakati muafaka huu KUSONGA MBELE kiukweli kwa kujiunga ama na CHADEMA, CUF au NCCR-Mageuzi nchini.

      Jamani wala si siri kwamba hapo ndani ya hiyo CCM Photokopi mtu hata ukikesha ukipiga kelele kwa kujaribu kuwagutusha kwamba MFALME yuko uchi kwa zaidi ya robo tatu ya mwili hivyo kuchukuliwe hatua za kumfunika bila kufunika pia kilichomvua hadi mahala alipo.

      Ama kweli CCM sasa KIMEKUA NONGWA kwa kauli mbiu kibao kwa zaidi hata ya kero za Umeme wa Ngeleja kwenye kibaba.

      Mmmmmhhhh!!!! Na bado akina Mzee chiligati watakugeuka na kuanza kukukejeli kwa
      kudai eti mkuu alikua ANAPUNGA tu upepo joto la Dar es Salaam baada ya Umeme wa Ngeleja kwenye kibaba kugeuka nongwa nchini.

      Da Rose, wala usishangae utakapoambiwa na hao hao kwamba waaaalaa MKUU HUYO 'hayuko uchi hata kidogo' bali ni kujinafasi tu kisiasa kwa raha zake mwenyewe tu!!!!!!!


      --------------------------

      @Mhe. John Chiligati. kauli mbiu kama hizi ndizo zinazoturudisha nyuma. Tazizo moja kwenye Serikali ya CCM tunaongoza kwa kauli mbiu lakini utekelezaji ndiyo kasheshe...huu siyo tena wakati wa mbwembwe za kauli mbiu, ila kikubwa kinachotakiwa ni utekelezaji. Mimi naomba nikwambie ukweli kuhusu mtazamo wa watanzania leo juu ya chama chetu CCM...

      Wananchi wengi sana wameanza kukosa imani na CCM kutokana na fitna, majungu, unafiki wa kumsifia Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete hata pale anapoharibu. Ni ukweli usiopingika kwamba leo hii CCM iko katika hali mbaya kimtazamo mbele ya macho ya jamii. Je unalifahamu hili Mhe Chilligati? Je unafahamu kwamba wananchi wameanza kuichoka CCM? Je unafahamu kwamba Rais JK ndiyo kiongozi anayechangia kwa kiasi kikubwa sana kukigawa hichi chama chetu

      hivi mnamwambia ukweli wa mambo au mnampotosha kwa kutomwambia ukweli? Nitashukuru sana ukimfikishia ujumbe wangu JK kwamba style yake ya uongozi ndani ya chama chetu na akiwa kama mkuu wa nchi inalalamikiwa sana huku mitaani, hata na mwananchi wa kawaida...kila mtu anauliza JK yuko wapi? mbona yuko kimya sana? Mwambie wananchi wanataka kuskia kauli yake nchi inapoelekea kwani kila kikicha kuna matatizo lukuki...kwa leo ni hayo tu Mhe. Chilligati...naomba kuwasilisha!

    23. #60
      MAGEUZI KWELI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th July 2011
      Location : Nagagaa na Upwa
      Posts : 972
      Rep Power : 591
      Likes Received
      150
      Likes Given
      161

      Default Re: Ni unafiki kumsifia JK hata anapoharibu - Shyrose amwambia Chiligati

      CCM ni donda ndugu la kung'oa sasa..iwe isiwe

    Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast

    Similar Topics

    1. Replies: 6
      Last Post: 16th December 2011, 14:45
    2. Lazima ujiuzulu: Tsvangirai amwambia Mugabe
      By Askari Kanzu in forum International Forum
      Replies: 4
      Last Post: 3rd November 2011, 00:31
    3. Je, Zitto kumsifia Kikwete ni ....?
      By Kisoda2 in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 7
      Last Post: 30th June 2010, 15:55
    4. HILALARY CLINTON AMPENDA NA KUMSIFIA David Miliband
      By MziziMkavu in forum Jamii Photos
      Replies: 3
      Last Post: 18th November 2009, 21:51

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...