Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Polisi Waweka Mgomo Baridi kutokana na Posho ambayo Ilisemwa ni 150,000 kumbe wanalipwa 100,000

    Report Post
    Page 1 of 3 123 LastLast
    Results 1 to 20 of 49
    1. #1
      Arafat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2009
      Posts : 2,372
      Rep Power : 962
      Likes Received
      583
      Likes Given
      576

      Default Polisi Waweka Mgomo Baridi kutokana na Posho ambayo Ilisemwa ni 150,000 kumbe wanalipwa 100,000

      Tetesi zinazoaminika ni kuwa Polisi nchni nzima wameweka Mgomo Baridi kupokea hile Posho ambayo Bunge waliambiwa ni Tsh.150,000 wakati wao wanapewa Tsh.100,000, Mgomo umeanza tokea tarehe 15 Mwezi huu baada ya kutolewa posho ya August, wamegoma kupokea wamekubalia kutokupokea hiyo fedha nchni nzima hadi kieleweke.

      Thathimini inaonyesha Polisi watakuwa na mass vote kwa Chadema 2015 kama msimamo wao utaendelea kama ulivyo hivi sasa. wamesema wapo tayari kufanya kazi bure bila hiyo Posho.

      Neema inanukia maana wakianzisha Polisi nadhani na Jeshi watafuta sisi tutabaki na kazi ya kupiga makofi tu! Hongereni sana Polisi nyie na Waalimu ndio mmekuwa Mlima unaotushinda kupanda kila mwaka.
      Saint Ivuga and zumbemkuu like this.
      Siku tutakapoacha kuwa mashabiki wa wanasiasa ndio siku hatua ya kwanza ya kujikomboa itakapo anza

    2. RukaaJuu Final

    3. #2
      WAMURUBHERE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st April 2010
      Posts : 334
      Rep Power : 528
      Likes Received
      16
      Likes Given
      5

      Default Re: Polisi Waweka Mgomo Baridi kutokana na Posho ambayo Ilisemwa ni 150,000 kumbe wanalipwa 100,000

      ni kweli posho hawajapewa hadi sasa make inatakiwa wapewe kila tarehe 15 ya kila mwezi
      mooduke likes this.
      only elephants should wear ivory

    4. #3
      mkolosai's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 14th June 2011
      Posts : 119
      Rep Power : 425
      Likes Received
      20
      Likes Given
      0

      Default Re: Polisi Waweka Mgomo Baridi kutokana na Posho ambayo Ilisemwa ni 150,000 kumbe wanalipwa 100,000

      Mpaka kieleweke. Huu mwaka ni wa wanyonge. Polisi kazeni buti. Tuko pamoja til kieleweke.

    5. #4
      Manyiri's Avatar
      Member Array
      Join Date : 27th October 2007
      Posts : 69
      Rep Power : 604
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default Re: Polisi Waweka Mgomo Baridi kutokana na Posho ambayo Ilisemwa ni 150,000 kumbe wanalipwa 100,000

      Polisi mbona cku nying wako upinzani fuatilia matokeo ya uchaguz kwenye kambi mbali mbali za polisi

    6. #5
      mmbangifingi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th March 2011
      Posts : 2,569
      Rep Power : 858
      Likes Received
      452
      Likes Given
      2908

      Default Re: Polisi Waweka Mgomo Baridi kutokana na Posho ambayo Ilisemwa ni 150,000 kumbe wanalipwa 100,000

      If seriously they stik at it,,hakika utakuwa ndo ukombozi wao. these people wanafanya kazi ktk mazingira magumu sana unfortunately for decades imekuwa ni kwa maslahi ya wakubwa (brass) wachache ndani ya jeshi lao na serikalini. kazeni buti watu waache kuwapigia siasa kwenye mambo ya msingi
      mooduke likes this.

    7. Miaka 50

    8. #6
      ndetichia's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 18th March 2011
      Location : Mwime - Buswangili
      Posts : 18,238
      Rep Power : 5109
      Likes Received
      2789
      Likes Given
      232

      Default

      Quote By Arafat
      <font size="3">Tetesi zinazoaminika ni kuwa Polisi nchni nzima wameweka Mgomo Baridi kupokea hile Posho ambayo Bunge waliambiwa ni Tsh.150,000 wakati wao wanapewa Tsh.100,000, Mgomo umeanza tokea tarehe 15 Mwezi huu baada ya kutolewa posho ya August, wamegoma kupokea wamekubalia kutokupokea hiyo fedha nchni nzima hadi kieleweke.<br />
      <br />
      Thathimini inaonyesha Polisi watakuwa na mass vote kwa Chadema 2015 kama msimamo wao utaendelea kama ulivyo hivi sasa. wamesema wapo tayari kufanya kazi bure bila hiyo Posho.<br />
      <br />
      Neema inanukia maana wakianzisha Polisi nadhani na Jeshi watafuta sisi tutabaki na kazi ya kupiga makofi tu! Hongereni sana Polisi nyie na Waalimu ndio mmekuwa Mlima unaotushinda kupanda kila mwaka.</font>
      <br />
      <br />
      tetesi yako nzuri sana ila umechanganya na siasa ambapo kido italeta mada mpya tofauti na mgomo wa polisi amini nakuambia we subiri utaona..

    9. #7
      Sungurampole's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 17th November 2007
      Posts : 709
      Rep Power : 729
      Likes Received
      121
      Likes Given
      563

      Default Re: Polisi Waweka Mgomo Baridi kutokana na Posho ambayo Ilisemwa ni 150,000 kumbe wanalipwa 100,000

      Next ? Serikali yetu sikivu wataenda kukopa ili kupata hiyo iliyopelea. hamna shida wamefanya kwa bajeti ya uchukuzi watafanya kwa mengi. tatizo ni kutawala kwa kuitikia mashinikizo.

    10. #8
      Tetere Enjiwa's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 21st August 2011
      Posts : 219
      Rep Power : 439
      Likes Received
      65
      Likes Given
      7

      Default Re: Polisi Waweka Mgomo Baridi kutokana na Posho ambayo Ilisemwa ni 150,000 kumbe wanalipwa 100,000

      Hao waliogoma sio polisi, huwezi kula kiapo cha utii tena utii wenyewe ni wa ndio afande halafu ukagoma, haipo hiyo ajua.
      Mzee wa Rula likes this.

    11. #9
      ngwendu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th June 2010
      Posts : 1,971
      Rep Power : 858
      Likes Received
      160
      Likes Given
      50

      Default Re: Polisi Waweka Mgomo Baridi kutokana na Posho ambayo Ilisemwa ni 150,000 kumbe wanalipwa 100,000

      Quote By Arafat
      Tetesi zinazoaminika ni kuwa Polisi nchni nzima wameweka Mgomo Baridi kupokea hile Posho ambayo Bunge waliambiwa ni Tsh.150,000 wakati wao wanapewa Tsh.100,000, Mgomo umeanza tokea tarehe 15 Mwezi huu baada ya kutolewa posho ya August, wamegoma kupokea wamekubalia kutokupokea hiyo fedha nchni nzima hadi kieleweke.

      Thathimini in
      aonyesha Polisi watakuwa na mass vote kwa Chadema 2015 kama msimamo wao utaendelea kama ulivyo hivi sasa. wamesema wapo tayari kufanya kazi bure bila hiyo Posho.

      Neema inanukia maana wakianzisha Polisi nadhani na Jeshi watafuta sisi tutabaki na kazi ya kupiga makofi tu! Hongereni sana Polisi nyie na Waalimu ndio mmekuwa Mlima unaotushinda kupanda kila mwaka.

      wewe unaona upinzani ni chadema tu, chama maslahi(by shibuda), chama cha wezi (by zombe)
      we have to be focused!

    12. #10
      mashikolomageni's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th January 2010
      Location : Dar es Salaam, Tanzania
      Posts : 1,445
      Rep Power : 766
      Likes Received
      144
      Likes Given
      130

      Default Re: Polisi Waweka Mgomo Baridi kutokana na Posho ambayo Ilisemwa ni 150,000 kumbe wanalipwa 100,000

      Wanachochewa na cdm maana uchaguzi igunga umekaribia

    13. #11
      hengo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th June 2011
      Location : BONGO
      Posts : 405
      Rep Power : 484
      Likes Received
      47
      Likes Given
      32

      Default Re: Polisi Waweka Mgomo Baridi kutokana na Posho ambayo Ilisemwa ni 150,000 kumbe wanalipwa 100,000

      Polisi kama wasimamizi sheria( Law enforcers) hawana budi kusimamia haki zao na kuhakikisha hawanyonywi ndipo watasimamia haki zetu sisi raia.Vitisho na utii wa sheria kwa vitisho umepitwa na wakati.POLISI AMKENI KUDAI STAHILI ZENU IPASAVYO.

    14. #12
      Kurunzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st July 2009
      Location : DAR ES SALAAM
      Posts : 1,956
      Rep Power : 891
      Likes Received
      386
      Likes Given
      147

      Default

      Quote By Manyiri
      Polisi mbona cku nying wako upinzani fuatilia matokeo ya uchaguz kwenye kambi mbali mbali za polisi
      Ni kweli mkuu hata waliopagwa kusimamia uchaguzi ulinpita wapo ambao hajalipwa mpaka leo.

    15. #13
      Msema hovyo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 3rd July 2011
      Posts : 195
      Rep Power : 438
      Likes Received
      80
      Likes Given
      116

      Default Re: Polisi Waweka Mgomo Baridi kutokana na Posho ambayo Ilisemwa ni 150,000 kumbe wanalipwa 100,000

      Mnadanganyana tu wakubwa. Polisi wa nchi gani hao wanaoweza kutia mgomo? Hawa polisi wa Tanzania ninaowafahamu mimi? Kama wanajeshi tu wananyanyasika lakini wanaendelea kuwa watiifu kama mbwa mbele ya anayemlisha, watakuwa polisi? Hakuna polisi mwenye ubavu wa kutia mgomo baridi au mgomo moto.

    16. #14
      Mwita Maranya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2008
      Location : Ikorongo Game Reserve
      Posts : 7,989
      Rep Power : 12010
      Likes Received
      5319
      Likes Given
      5144

      Default

      Quote By Tetere Enjiwa
      Hao waliogoma sio polisi, huwezi kula kiapo cha utii tena utii wenyewe ni wa ndio afande halafu ukagoma, haipo hiyo ajua.
      Sina shaka kwamba wewe ni koplo mtiifu wa jeshi la porish!

    17. #15
      reformer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd July 2011
      Posts : 296
      Rep Power : 456
      Likes Received
      79
      Likes Given
      6

      Default Re: Polisi Waweka Mgomo Baridi kutokana na Posho ambayo Ilisemwa ni 150,000 kumbe wanalipwa 100,000

      Quote By ngwendu

      wewe unaona upinzani ni chadema tu, chama maslahi(by shibuda), chama cha wezi (by zombe)
      Zombe ni mwizi, jambazi na muuaji..yuko huru sababu tu tz hatuna utawala wa haki na sheria kwa watu wote. Shibuda ana mtitindio wa ubongo. So hawawezi kuwa reference ya argument yoyote ile, unless na ww you have something in common with them.

    18. #16
      Mwita Maranya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2008
      Location : Ikorongo Game Reserve
      Posts : 7,989
      Rep Power : 12010
      Likes Received
      5319
      Likes Given
      5144

      Default

      Quote By Msema hovyo
      Mnadanganyana tu wakubwa. Polisi wa nchi gani hao wanaoweza kutia mgomo? Hawa polisi wa Tanzania ninaowafahamu mimi? Kama wanajeshi tu wananyanyasika lakini wanaendelea kuwa watiifu kama mbwa mbele ya anayemlisha, watakuwa polisi? Hakuna polisi mwenye ubavu wa kutia mgomo baridi au mgomo moto.
      Pamoja na kwamba ni tetesi lakini kwa mazingira na hali halisi ya bongoland ni vigumu sana jambo kama hilo kutokea kwa ndugu zetu hawa wa jeshi la polisi. Labda tuambiwe wananung'unika kwa kupunjwa posho hapo nitakubaliana na taarifa hii.

    19. #17
      Tetere Enjiwa's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 21st August 2011
      Posts : 219
      Rep Power : 439
      Likes Received
      65
      Likes Given
      7

      Default Re: Polisi Waweka Mgomo Baridi kutokana na Posho ambayo Ilisemwa ni 150,000 kumbe wanalipwa 100,000

      Quote By Mwita Maranya
      Sina shaka kwamba wewe ni koplo mtiifu wa jeshi la porish!
      Ndio afande tusongembere na kufagiria kwa kujua hiro.

    20. #18
      Arafat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2009
      Posts : 2,372
      Rep Power : 962
      Likes Received
      583
      Likes Given
      576

      Default Re: Polisi Waweka Mgomo Baridi kutokana na Posho ambayo Ilisemwa ni 150,000 kumbe wanalipwa 100,000

      Quote By ngwendu
      wewe unaona upinzani ni chadema tu, chama maslahi(by shibuda), chama cha wezi (by zombe)

      Jaribu kuweka akili yako na mawazo yako nje ya JF utajuwa Ukweli na ukweli ndio utakao kuweka huru Polisi hawapo Mbinguni kujuwa mawazo yao, acha ushabiki na fuatilia maana husipo ujuwa ukweli hata kama unaichukia CDM hutaiweza kupambana nao maana hutajuwa nguvu na weakness yake.

      Mimi ni CCM lakini sina budi kujuwa ukweli na kuongea na kila Mtanzania kujuwa hatima ya CCM ipo wapi? Wao majority ya Polisi ninaoongea nao wanasema hata uchaguzi uliopita hawakuipigia CCM kura na huo ndio msimamo wao, na ndio maana Mauwaji ya Arusha Mwema alitoa wanafunzi wa Polisi ambao hata hawatahitimu kufanya hayo mauwaji inasemekana kama ni Polisi wa siku nyingi wasinge fanya yale mauwaji.
      Siku tutakapoacha kuwa mashabiki wa wanasiasa ndio siku hatua ya kwanza ya kujikomboa itakapo anza

    21. #19
      Arafat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2009
      Posts : 2,372
      Rep Power : 962
      Likes Received
      583
      Likes Given
      576

      Default Re: Polisi Waweka Mgomo Baridi kutokana na Posho ambayo Ilisemwa ni 150,000 kumbe wanalipwa 100,000

      Quote By Mwita Maranya
      Pamoja na kwamba ni tetesi lakini kwa mazingira na hali halisi ya bongoland ni vigumu sana jambo kama hilo kutokea kwa ndugu zetu hawa wa jeshi la polisi. Labda tuambiwe wananung'unika kwa kupunjwa posho hapo nitakubaliana na taarifa hii.

      Hawajapokea na fedha imetoka ila hawaitaki mpaka iongezwe wamekubaliana kutoichukuwa wote nchni nzima.

      Kama unavyosema labda mgomo baridi unaweza kuganda au kuyeyuka.
      Siku tutakapoacha kuwa mashabiki wa wanasiasa ndio siku hatua ya kwanza ya kujikomboa itakapo anza

    22. #20
      Arafat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2009
      Posts : 2,372
      Rep Power : 962
      Likes Received
      583
      Likes Given
      576

      Default Re: Polisi Waweka Mgomo Baridi kutokana na Posho ambayo Ilisemwa ni 150,000 kumbe wanalipwa 100,000

      Quote By Msema hovyo
      Mnadanganyana tu wakubwa. Polisi wa nchi gani hao wanaoweza kutia mgomo? Hawa polisi wa Tanzania ninaowafahamu mimi? Kama wanajeshi tu wananyanyasika lakini wanaendelea kuwa watiifu kama mbwa mbele ya anayemlisha, watakuwa polisi? Hakuna polisi mwenye ubavu wa kutia mgomo baridi au mgomo moto.

      Yana mwisho ingawa hatuombei
      Siku tutakapoacha kuwa mashabiki wa wanasiasa ndio siku hatua ya kwanza ya kujikomboa itakapo anza

    Page 1 of 3 123 LastLast

    Similar Topics

    1. Chadema Wanalipwa posho ya 30,000 Igunga!
      By John Marwa in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 56
      Last Post: 2nd September 2011, 22:35
    2. Tetesi: Nbc bank kuna mgomo baridi?
      By POMPO in forum Business & Economic Forum
      Replies: 1
      Last Post: 15th March 2011, 21:15
    3. Yusufu Makamba Ana Mgomo Baridi?
      By Ng'wanangwa in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 12
      Last Post: 8th March 2011, 08:10
    4. Matokeo ya kidato cha nne ni mgomo baridi wa walimu?
      By elimukwanza in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 2
      Last Post: 28th January 2011, 18:02
    5. Mgomo baridi ticts.
      By Old member in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 8
      Last Post: 10th August 2008, 14:26

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...