Wana Jf
Leo ni mwaka Mmoja toka CCM walipotutangazia Hussein Bashe Kada wa CCM alieongoza Kura za Maoni kuwa Si RAIA wa Tanzania,Cha ajabu yupo anashiriki vikao vya CCM na ni Kiongozi wa Chama hicho.
Nimeleta hapa kama kumbukumbu naomba kuwasilisha

huu ni upuuzi mkuu hapa sio sehemu yake haya mambo ya uraia wa BASHE yameongelewa sana hapa
tumia voucher zako kujenga nchi, ina maana hujui kama hiyo ilishakanushwa na waziri wa mambo ya ndani? au unataka tujadiri nini hapa?
MODS iungeni hii post na zile za BASHE tumechoka kujadili watu, au chit chat
----> nchi yetu ni ya vimemo
Acha kufikiri kibwana mdogo wewe. Hoja siyo Bashe "msomali" hapa, hoja ni kitendo cha chama cha MAJOKA kutwambia mtu si mtanzania, wakamvua nyazifa zote alizokuwa nazo katika chama chao alafu bila kupewa taarifa nini kilijili baadae, mtu huyo huyo leo ghafla amekuwa raia mwema na kiongozi ndani ya chama hicho hicho cha MAJOKA.
Tunakumbuka kikao kilichoharamisha uraia wa Bashe kiliongozwa na brazamen JK ambaye (kwa bahati mbaya sana kwetu) leo ndiye rais na mwenyekiti wa chama hicho hicho cha MAJOKA. Huu ni zaidi ya uwendawazimu. Kwa kitendo hiki(cha kuruhusu mtu asiye raia kuwa kiongozi ndani ya chama anachokiongoza) kwanini tusiamini huyu jamaa anaweza kuuza nchi (anaiuza) muda wowote na yeye akasepa!!??
Follow Us Here