 |
 |

28th July 2008, 10:00 PM
|
 |
Robot
|
|
Join Date: Sun Jan 2004
Location: Africa, Europe, America & Asia
Posts: 2,269
Rep Power: 100000
Thanks: 1,316
Thanked 4,528 Times in 1,168 Posts
|
|
Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake
Amefariki muda si mrefu kwa ajali ya gari akitokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam eneo la Pandambili (kama sijakosea).
PICHA:

Marehemu Chacha Wangwe...

Mzee Mwiguni George aliyefika katika eneo na kumsaidia Chacha na wenzake!

Deus Francis Mallya aliyetoa maelezo yenye utata na sasa watu wanamgeuzia kuwa kuna jambo analificha! (Huyu pia aliwahi kujitambulisha kuwa yeye ndiye (mimi) Invisible wa JF.

Gari lililohitimisha maisha ya Chacha likiwa limeharibika vibaya
Zaidi nitawafahamisha
Last edited by Silencer; 30th July 2008 at 05:33 PM.
|
|
The Following 55 Users Say Thank You to Invisible For This Useful Post:
|
AmaniGK (29th July 2008), Augustoons (28th July 2008), Azimio Jipya (29th July 2008), Bubu Ataka Kusema (29th July 2008), Bubu Msemaovyo (29th July 2008), ChocolateColor (29th July 2008), Domisianus (1st August 2008), FDR.Jr (29th July 2008), GM (29th July 2008), green29 (28th July 2008), Hofstede (28th July 2008), isayamwita (16th September 2008), kakindomaster (29th July 2008), Kichuguu (28th July 2008), kichwamaji (28th July 2008), Kitila Mkumbo (28th July 2008), korosho (29th July 2008), Kubwajinga (28th July 2008), Kuhani (28th July 2008), Kungurumweupe (29th July 2008), Kuntakinte (29th July 2008), kwetunikwetu (1st August 2008), LazyDog (25th August 2008), Mag3 (29th July 2008), Mbogela (1st August 2008), Mchukia Fisadi (29th July 2008), Mfwatiliaji (29th July 2008), Mkandara (29th July 2008), Mkuu (29th July 2008), Mpita Njia (29th July 2008), Mtanzania (28th July 2008), Mtuwamungu (29th July 2008), Mwikimbi (29th July 2008), Mwita Maranya (29th July 2008), Mzee Mwanakijiji (28th July 2008), Mzuzu (29th July 2008), NakuliliaTanzania (28th July 2008), Ng'azagala (29th July 2008), Ng'oga (1st August 2008), nyauba (1st August 2008), nyerererist (29th July 2008), Ochu (29th July 2008), Ogah (28th July 2008), Paka mwitu (28th July 2008), Phillemon Mikael (28th July 2008), Pundamilia07 (29th July 2008), Realist (29th July 2008), Rev. Kishoka (29th July 2008), Richard (28th July 2008), samora (29th July 2008), Sikonge (28th July 2008), Silencer (28th July 2008), SteveD (29th July 2008), wembemkali (29th July 2008), Yebo Yebo (29th July 2008) |

28th July 2008, 10:01 PM
|
 |
Senior Member
|
|
Join Date: Mon Aug 2007
Location: Nyumbani
Posts: 133
Rep Power: 22
Thanks: 60
Thanked 72 Times in 47 Posts
|
|
Re: Chacha Wange is dead!
Whaaaat!!! anyway, RIP Chacha
|
|
The Following User Says Thank You to kkiwango For This Useful Post:
|
|

28th July 2008, 10:03 PM
|
|
JF Senior & Premium Member
|
|
Join Date: Thu May 2006
Location: UK
Posts: 3,861
Rep Power: 30
Thanks: 2,680
Thanked 3,508 Times in 1,606 Posts
|
|
Re: Chacha Wange is dead!
Mmmmhhhhhh!!!! Pole sana kwa familia, ndugu na marafiki wa Wangwe. Inasikitisha na kutisha, hizi ajali zitatumaliza.
|
|
The Following 2 Users Say Thank You to Mtanzania For This Useful Post:
|
|

28th July 2008, 10:04 PM
|
|
JF Senior Expert Member
|
|
Join Date: Tue May 2007
Posts: 758
Rep Power: 23
Thanks: 399
Thanked 573 Times in 293 Posts
|
|
Re: Chacha Wange is dead!
Inna Lillah Wainna Ilaih Raajiun(We belong to the Almighty God and to Him all we shall return)
May The Almighty God rest him in peace
Amin
__________________
Ni haki yangu kuukataa uwongo kama ilivyo wajibu wangu kuukubali ukweli ,itakuwa ni makosa makubwa kuukataa ukweli eti kwa vile siupendi-gamba la nyoka.
|
|
The Following 8 Users Say Thank You to Gamba la Nyoka For This Useful Post:
|
|

28th July 2008, 10:05 PM
|
 |
JF Senior Expert Member
|
|
Join Date: Wed Jul 2007
Posts: 1,226
Rep Power: 24
Thanks: 644
Thanked 351 Times in 236 Posts
|
|
Re: Chacha Wange is dead!
Pole sana wanachadema kwa kuondokewa na mpambanaji...
How pity
Mungu awafariji na kuwapa subira wafiwa
__________________
Utashi wa Kisiasa,
Unaiangamiza NCHI
|
|
The Following 3 Users Say Thank You to Msanii For This Useful Post:
|
|

28th July 2008, 10:07 PM
|
|
JF Senior Expert Member
|
|
Join Date: Sun Mar 2008
Posts: 370
Rep Power: 21
Thanks: 13
Thanked 150 Times in 106 Posts
|
|
Re: Chacha Wange is dead!
Pole kwa familia na wanachadema.
|
|
The Following 2 Users Say Thank You to Mutu For This Useful Post:
|
|

28th July 2008, 10:09 PM
|
 |
JF Senior Expert Member
|
|
Join Date: Fri Nov 2007
Location: USA
Posts: 5,143
Rep Power: 72
Thanks: 4,711
Thanked 1,330 Times in 979 Posts
|
|
Re: Chacha Wange is dead!
Quote:
Originally Posted by Invisible
Amefariki muda si mrefu kwa ajali ya gari akitokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam eneo la Pandambili (kama sijakosea).
Zaidi nitawafahamisha
|
RIP Wangwe...Natumia FURSA HII PIA KUFUTA USEMI WA KULIMWA RISASI KWA WANGWE.
Bwana ametoa...Na Bwana ametwaa.
Pia naomba radhi kwa Mgagagigikoko...Na wale waliokuwa na mawazo ya tofauti kama ilivyojionyesha kwenye issue ya Marehemu Bhoke...Tutoe nafasi hii kwa wanachadema na wanafamilia bila kusahahu Taifa kwa ujumla kwenye majonzi haya.
Kweli wanadamu si kitu na ni budi tufanye majukumu yetu mara moja kwani maisha haya ni mafupi na tuko duniani kwa malengo...Tuhakikishe tunayatambuwa malengo ambayo Mungu ametuleta hapa Duniani kuyatimiliza.
Ili tusije kuondoka kabla ya kuyatimiliza.
La kujiuliza hapa...Je Wangwe aliyafanya yale aliyoletwa kuyafanya na MUNGU ALIYEKUWA AKIMWAMINI?
JE...KIFO CHAKE NI MAPENZI YA MUNGU?
SOTE TUMO SAFARINI.
Amen.
__________________
We Study More About Less and Less Until we learn something about NOTHING.
|
|
The Following 12 Users Say Thank You to jmushi1 For This Useful Post:
|
Bubu Msemaovyo (29th July 2008), Haika (29th July 2008), Jasusi (28th July 2008), kakindomaster (29th July 2008), Kinyamana (29th July 2008), Kungurumweupe (29th July 2008), mahesabu (28th July 2008), Mchukia Fisadi (29th July 2008), Mkandara (29th July 2008), Ng'oga (1st August 2008), Rev. Kishoka (29th July 2008), Tonga (29th July 2008) |

28th July 2008, 10:10 PM
|
 |
JF Senior & Premium Member
|
|
Join Date: Wed Oct 2006
Location: Popote Porini
Posts: 3,423
Rep Power: 30
Thanks: 1,073
Thanked 2,214 Times in 963 Posts
|
|
Re: Chacha Wange is dead!
Watu wasijehusisha hiyo accident na mgogoro wa kiuongozi aliokuwa nao ndani ya CHADEMA.
Mungu aiweke roho ya marehemu pema peponi. Sote ndiyo njia yetu hiyo.
__________________
Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo
|
|
The Following 4 Users Say Thank You to Kichuguu For This Useful Post:
|
|

28th July 2008, 10:10 PM
|
 |
Robot
|
|
Join Date: Sun Jan 2004
Location: Africa, Europe, America & Asia
Posts: 2,269
Rep Power: 100000
Thanks: 1,316
Thanked 4,528 Times in 1,168 Posts
|
|
Quote:
Originally Posted by Mutu
Pole kwa familia na wanachadema.
|
Pia pole ziende kwa watanzania waishio Tarime ambao muda si mrefu ujao watalazimika kufanya uchaguzi mdogo!
|
|
The Following 2 Users Say Thank You to Invisible For This Useful Post:
|
|

28th July 2008, 10:11 PM
|
 |
JF Senior & Premium Member
|
|
Join Date: Fri Mar 2006
Location: Kijijini
Posts: 12,987
Rep Power: 51
Thanks: 7,173
Thanked 9,916 Times in 3,688 Posts
|
|
Re: Chacha Wange is dead!
Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi. Amina.
__________________
Ukipewa uchaguzi na adui yako, chagua kile wanachohofia! - M.M. Original
Kijarida cha "Cheche za Fikra" kimetoka! Jipatie nakala yako hapa
|
|
The Following 4 Users Say Thank You to Mzee Mwanakijiji For This Useful Post:
|
|
LinkBacks (?)
LinkBack to this Thread: http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/16241-kifo-cha-mhe-chacha-wangwe-na-uchunguzi-wake.html
|
| Posted By |
For |
Type |
Date |
| Gari Ndiye |
This thread |
Refback |
30th October 2008 02:51 PM |
|
Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
|
|
|
| Thread Tools |
|
|
| Display Modes |
Linear Mode
|
Posting Rules
|
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts
HTML code is Off
|
|
|
All times are GMT +3. The time now is 01:49 PM.
|
 |