Amefariki muda si mrefu kwa ajali ya gari akitokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam eneo la Pandambili (kama sijakosea).
PICHA:
Marehemu Chacha Wangwe...
Mzee Mwiguni George aliyefika katika eneo na kumsaidia Chacha na wenzake!
Deus Francis Mallya aliyetoa maelezo yenye utata na sasa watu wanamgeuzia kuwa kuna jambo analificha! (Huyu pia aliwahi kujitambulisha kuwa yeye ndiye (mimi) Invisible wa JF.
Gari lililohitimisha maisha ya Chacha likiwa limeharibika vibaya
Ngabu, mi hii nilipoambiwa nilijikuta najiuliza 'Hivi miaka 5 mingi sana eh?' kuna vitu vingi vya ajabu vimejitokeza tangia 2005 na hata hiyo 2010 haijafika. Vifo sasa vimekuwa vingi, matukio yasiyotarajiwa nayo lukuki tena ya kushangaza. What's wrong?
sasa waliokuwa wakitaka atwangwe risasi naona watapumua
GT, wenzio wanatoa pole kwanza msibani... mengine yanafuata baadaye. Siyo kila kitu kujitafutia pointi.
__________________ Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - Nyerere katika "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania"
Re: Chacha Wange Afariki dunia - Katika Ajali ya Gari
Natumaini kuna tulilojifunza Watanzania kwa kifo hiki. Wangwe tangulia, tutaendelea kupambana na mafisadi wawe CCM, Serikalini au hata Upinzani kwa ajili ya kukuenzi na kuweka maslahi ya mama yetu Tanganyika mbele zaidi ya kila kitu. RIP Chacha Wangwe.
__________________
Now is the time to cut off the infected parts of society from active public life, before they endanger the entire body politic.