Wamiliki Vituo kuwa vigogo serikalini inawezekana?
Vurugu, visa vimetawala kwenye vituo vichache vinavyouza mafuta leo hii, baada ya kutangaza mgomo baridi wa kujifanya mafuta yameisha ili kupingana na bei elelekezi ya EWURA na CCM baada ya kikao chao hivi karibuni.
Leo nimetembelea vituo vifuatavyo kwenye barabara kuu ya Bagamoyo kuanzia Bunju B mpaka mjini. Haya ndiyo yaliyojiri,
Kituo cha Oil Com Boko= Kimefungwa wafanyakazi wapo,
Kituo cha Dawasco GBP = Kimefungwa jana kilikuwa kinapima mafuta,
Kituo Cha Gapco Chanika TGT = kuna Petrol tu,
Kituo cha Tegeta Kibaoni = Kinamafuta na vurugu tupu kuingia na kutoka
Kituo cha Oilcom Skanska= kimefungwa
Kituo cha Oilcom pale Rad House Mbuyuni = Kimefungwa
Kituo cha Kobil + kuna vurugu sana ndiko kuna mafuta
Mwenge BP = wanaendelea
Gapco Mjini City center =kimefungwa
"Mtoto wa Maskini Hachagui Malezi, Tanganyika siyo Masikini Masikini ni wewe Unayehonga Haki yako Kwa Mafisadi" Bamugileki
Follow Us Here