Wadau,
Amani ya Tz aliyoienzi baba wa Taifa haipo tena.
Polisi walioapa kulianda raia na mali zao, wakiishi kwa mishara ya kodi zetu ..dio wanaongoza mashambuliz na mauaji ya raia wasio na hatia.
Viongoz walipewa dhamana ya kutuongoza, wamegeka kuwa za viongoz wa kupola rasimali zetu, kutunyanyasa,kutupiga na kutuua sababu tu tuna tofautiana nao kisiasa.
Tumeshuhudia wakala wa CHADEMA igunga (Bwana Masoudi) akipoteza maisha kwasababu za kisiasa, na wengine hawajulikani walipo..mpaka leo hakuna aliyekamatwa.
Tumeshuhida ndugu zetu wakiuwawa na pilisi kwenye migodi ya Norh Mara,Nyamongo n.k..mpaka leo hakuna aliyekamatwa.
Tumeshuhudia kiongoz wa CHADEMA Arusha akitekwa,kunyanyaswa na kumwagiwa tindikali...mpaka leo hakuna aliyekamatwa.
Tumeshuhudi watu mbali mbali walio mstari wa mbele kuttea haki na kutufumbua macho wakitaka kuwawa,kumwagiwa tindikali,kuwekewa sumu,kubambikizwa kesi nk..mfano Mh Mwakyembe, Sued kubenea, Mwibala,Gobless Lema,Mama Anenelia Ankya, n.k n.k
Na hii ya sasa inazidi kuvuka mipaka...viongoz wetu, wabunge wetu (Mh. Kiwia na Mh Machali)..wamekatwa mapanga, kiasi cha kutaka kuliwa mbele ya macho ya polisi. bila polisi kuchukua hatua zozote.
Pamoja na kuwekwa wazi kwamba kada wa UVCCM, Ahmed Mkilindi aliongoza uvamiz huo na anamjeruhi mkononi, na gari zilikuwepo eneo la tukiao ni namba T 377 ARF la mh. Kiwia, T 729 DAD la Mohamed Juma pamoja na T 397 ANU aina ya Land Cruiser ambalo mmiliki wake hakupatikana, (kwanini hakupatikana, Polisi inashindwaje kumpata/kumjua mmiliki siku zote hizo?)...lkn mpaka sasa hakuna hata mtuhumiwa mmoja alikemmatwa, japo kwa mahojiano tu.
Pamoja na matukio mengi tu kama haya yanaondelea mitaani kwetu, ambayo yanafichwa..JE NANI ATAFUATA? JE NANI YUPO SALAMA TZ, KAMA HATA VIONGOZ WANATAKA KUWAWA NA POLISI WANAANGALIA?
JE TUTAENDELEA KUISH HIVI, KTK NCHI YETU MPAKA LINI?
HAKIKA, HAUTAWEZA..NI VIGUMU KUVUMILA.KARIBU UVUMILIVU UTATUSHANDA... BORA KINUKE TUJUE TU!
Follow Us Here