| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||
|
Views: 2765
|
||||||||||||||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Sawa Muungwana tumekusikia, umeshatuletea kisingizio cha Bei za mafuta. Kama sikosei ulitumia kisingizio hiki miezi kadhaa pamoja na kuyumba uchumi wa Marekani kutokana na uanguka kwa soko la nyumba na mikopo yake.
Sasa sijui Tanzania kushindwa kuzalisha mali kujitosheleza ambako ulisema ungekufanyia kazi kunaendelea kuchangiwa na sababu za nje au ukosefu wa mipango na miundombinu kutoka Serikali yako ili tusiumie sana. Naona umehalalisha U-VDG kwa kusema kuwa kwa nafasi yako kama Mwenyekigoda wa AU, unalishughulikia hili suala! Nitavumulia na kusubiri ahadi zako mpya Juni ya 2010!
__________________
Amani Iwe Nanyi, Camerlengo Plu Camerlenghi- Revolutionary Right Reverend Kishoka "Any existence deprived of freedom is a kind of death." Gen. Michel Aoun 'Who comes to give greeting to the Inkosi-kaas? Who would taste her kiss, whereof the fruit is death? I, the Woodpecker, I, the Slaughterer, I the Swiftfooted! I, Umslopogaas!" |
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Wakati akiwataka Watanzania waendelee kuvumilia shida, Mafisadi wanaendelea na matanuzi yao na pesa za haramu. Yeye mwenyewe anaendelea na matanuzi ya safari zisizokwisha nchi za nje kila kukicha na msururu wa watu ambao wanaigharimu serikali gharama kubwa. Halafu tukisema nchi imemshinda wengine wanakasirika. Aaanze kujibana yeye kwa kufuta safari yake ya US mwezi ujao maana haina maslahi yoyote kwa nchi
__________________
~*~Life is Good~*~ |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Huyu jamaa kwali kichekesho kwanza anakimbilia vijijini kwenda kuongea mbona akiwa Dar anajificha tu, kisha vitu vya muhimu kafumba macho na masikio hawezi kosa kitu cha kusingizia huyu.
__________________
"We are what we repeatedly do. Excellence, therefore is not an act but a habit" - Aristotle |
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Hiki kisingizio wana JF tulishakijadili. Nilifikiri ataona aibu kukitumia kwa vile yeye mwenyewe hakai ofisini kila saa mguu na njia. Kama kweli anaona gharama za usafiri zimepanda kwa nini kila akitoka safari anaaza nyingine. I wonder kama anapitia document zote anazozi-sign. Actually JK anatakiwa awe muangalifu kuliko Mkapa kwa kuwa yeye hatakuwa na watu wa kumlinda. Kizazi cha enzi za uhuru cha CCM kulindana wengi wao hawatakuwepo 2015 hivyo kizazi kipya cha kina yakhe kilichozaliwa baada ya uhuru kitakuwa kinashika hatamu na kitamuhukumu peke yake.
__________________
"Money never made a man happy yet, nor will it. There is nothing in its nature to produce happiness. The more a man has, the more he wants. Instead of filling a vacuum, it makes one" by --Benjamin Franklin-- scientist, inventor, statesman, printer, philosopher, musician and economist |
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Sio siri hii sababu ya mafuta na dunia tulimpa last week hapa JF, lakini isiwe sababu ya kujaribu kuficha uozo wa serikali yake kwa kisingizio cha bei ya mafuta na dunia,
kwa sababu it has nothing to do na ubovu wa uongozi wa serikali yake, ambacho ndicho hasa chanzo cha matatizo mengi ya maisha ya wananchi wa Tanzania kwa sasa. |
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Only God knows that we have a fool for a president.Tuvumilie shida while the few and selected are growing rich while majority die of hunger and poverty.My heart is bleeding with anger and hatred.
__________________
'I could have annihilated all the Jews in the World,but I left some of them so you will know why I was killing them'-Adolf Hitler;Mien Kampf |
|
#8
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA
MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 30 DESEMBA 2005 Mheshimiwa Spika: Serikali ya Awamu ya Nne ambayo nimepewa heshima ya kuiongoza, inaanza kazi wakati nchi ikiwa na hali nzuri kiuchumi, kisiasa na kijamii. Mafanikio hayo yametokana na uongozi imara na thabiti wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Mheshimiwa Benjamin William Mkapa. Napenda kutumia fursa hii kumpongeza kwa dhati kwa kazi kubwa na nzuri aliyoifanyia nchi yetu. Kwangu binafsi, amekuwa mwalimu na mwelekezi ambaye amenijengea uwezo na dhamira ya kuendeleza kazi aliyoianza. Namtakia afya njema na maisha marefu, yeye, Mama Mkapa, na familia yao. |
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Na kweli wananchi tuvumilie tu shida labda mpaka 2010 kama atatokea mkombozi mwingine, maana JK wakati anaingia tuliambiwa yeye ni mesiah yaani mkombozi wa dhiki na matatizo yote ya Watanzania. Lakini kwa kauli yake hii anamaanisha kukiri kushindwa kutupa nchi imimikayo maziwa na asali, yenye neema kwa kila mtanzania na maisha bora kwa kila mtanzania. Nakumbuka wakati JK amepitishwa na CCM kuwa mgombea wa kiti cha urais nilipita mtaa wa Mosque nikamsikia mlemavu mmoja omba omba akisema kwamba hatimaye shida zao zitakwisha sasa na wao walemavu wataishi maisha bora. Ukweli ni kwamba nilimsikitia na kumuonea huruma kwa kuwa nilijua kwamba hiyo ni ndoto ya mchana.
Ukiacha huyo ambaye "obviously ni illiterate" nilishangazwa sana siku moja nimekwenda kuwatembelea ndugu zangu fulani huko Kiwalana ambao walibahatika kuliona darasa. Wakati tunakunywa bia wakapigiwa simu kutoka US, wakawa wanamwambia yule ndugu yao kwamba wao hapa Bongo mambo yatakuwa tamabarare muda si mrefu kwa kuwa JK anaingia madarakani. Si ajabu kuona kwamba muungwana alishinda kwa 80% ya kura zote zilizopigwa. Mimi binafsi kwa mara ya kwanza alipa matumaini makubwa sana ya Tanzania yenye neema na yenye maisha bora kwa kila Mtanzania pale alipotoa hotuba yake ya kwanza bungeni. Laiti kama leo hii tungepata nakala ya hotuba ile tuanza ku "tick" kitu kimoja kimoja tutagundua kwamba hata 20% ya aliyoyaongea hajayafanya bado. May be he was he too ambitious? Ninachojiuliza kwa sasa ni je nafsi yake inamsuta huko aliko kwa kushindwa kuwatimizia ndoto Watanzania hawa masikini? Au ilikuwa lengo ni kufika Ikulu tu kisha mliobaki mtajijua? |
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 02:01 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||