Re: JK nae kujivua gamba?

By
eliesikia
Mbona sijaona waandishi wa habari wakimfuata Mhe JK na kumuuliza nae lini atajivua gamba.
Wameng'ang'ania Mhe Lowassa ambaye alishajivua gamba mwaka 2008.
Aliyebaki kujivua gamba kwa tuhuma za ufisadi na mkuu wa kaya tuu Mhe JK basi..
Uchaguzi uitishwe tuwape CHADEMA nchi.
Kwishnei..
Aksanteni Saaaaaana.
Kuitisha uchaguzi tena leo hii hakutoshi kwa vile tulikuwa na uchaguzi mwaka jana tu; inabidi sasa uonegee na Tume ya UCHAGUZI kwanza kwa vile ndiyo iliyomtangaza K.I.Kwete kuwa ni ndiye RisAiSI pekee ya kutumaliza kihalalai.
Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo
Follow Us Here