Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Moja ya Maamuzi Magumu ya JK ilikuwa kukulazimisha wewe Lowassa Kujiuzulu; Asema Nape Nauye

    Report Post
    Page 1 of 5 123 ... LastLast
    Results 1 to 20 of 94
    1. #1
      kiwalanikwagude's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 8th June 2011
      Posts : 52
      Rep Power : 0
      Likes Received
      14
      Likes Given
      18

      Default Moja ya Maamuzi Magumu ya JK ilikuwa kukulazimisha wewe Lowassa Kujiuzulu; Asema Nape Nauye

      Akizungumza katika mahojiano na Radio Safari ya mjini Mtwara hivi karibuni Nape amesema serikali ya Rais Jakaya Kikwete ndiyo pekee katika nchi hii iliyokwisha kutoa maamuzi magumu kuliko serikali zote zilizopita.

      Nape amenukuliwa akisema...." uamuzi mgumu wa kwanza uliotolewa na serikali ya awamu ya nne ni kwa yeye Lowassa kulazimishwa kujiuzulu, kuvunjwa Baraza la Mawaziri, kuwafungulia kesi kina Mramba na Yona, kuivunja kamati kuu ya CCM na sekretarieti, Ujenzi wa chuo kikuu cha Dodoma na Ujenzi wa shule za kata".
      Giroy likes this.

    2. RukaaJuu Final

    3. #2
      Tuyuku's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Posts : 658
      Rep Power : 559
      Likes Received
      139
      Likes Given
      16

      Default Re: Moja ya Maamuzi Magumu ya JK ilikuwa kukulazimisha wewe Lowassa Kujiuzulu; Asema Nape Nauye

      Nape ni mwongo mkubwa. Ntarudi kusema kwa nini ni mwongo.

    4. #3
      mwanaharakat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2011
      Posts : 406
      Rep Power : 496
      Likes Received
      70
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By meddie
      maamuzi mengine magumu ilikuwa ni kulichukulia swala la kugombea uraisi kuwa la kifamilia na kwa kushirikiana na usalama wa taifa na nec kuiba kura!!
      teh teh teh teh! hii nimeipenda

    5. #4
      CAMARADERIE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd March 2011
      Location : 1 Luthuli Street
      Posts : 4,163
      Rep Power : 2720
      Likes Received
      1587
      Likes Given
      1145

      Default Re: Moja ya Maamuzi Magumu ya JK ilikuwa kukulazimisha wewe Lowassa Kujiuzulu; Asema Nape Nauye

      Nape hebu kuwa mkweli:
      1. Lowassa kulazimishwa kujiuzulu-ni uamuzi wa JK? au ni nguvu ya umma?
      2. kuvunjwa Baraza la Mawaziri-hii ni kwa mujibu wa katiba na wala si uamuzi wa JK. Waziri Mkuu akijiuzulu automatically baraza linavunjika
      3. kuwafungulia kesi kina Mramba na Yona-halafu akampigia kampeni Mramba.Inaingia akilini kweli?
      4. kuivunja kamati kuu ya CCM na sekretarieti-ambayo aliweka mwenyewe ikamwangusha kwenye uchaguzi kwa kupata kura chache
      5. Ujenzi wa chuo kikuu cha Dodoma na Ujenzi wa shule za kata- haya ni majukumu yake na alitumia pesa za umma na wafadhilki na katu si uamuzi mgumu
      A compliment is something like a kiss through a veil

    6. #5
      Ndallo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st October 2010
      Location : LaRusa
      Posts : 4,133
      Rep Power : 6364
      Likes Received
      1486
      Likes Given
      416

      Default Re: Moja ya Maamuzi Magumu ya JK ilikuwa kukulazimisha wewe Lowassa Kujiuzulu; Asema Nape Nauye

      Maamuzi mengine magumu aliyofanya Jk ni kumshika mkono juu na kumnadi Pesambili Mramba na kusema jembe la zamani haliishi makali! Chukua hiyo Nape ukipenda naomba uipotezee!
      gambatoto and kiwalanikwagude like this.
      '' Mtu ni Utu sio Kitu''

    7. Miaka 50

    8. #6
      Fareed's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th April 2010
      Posts : 328
      Rep Power : 559
      Likes Received
      123
      Likes Given
      19

      Default Re: Moja ya Maamuzi Magumu ya JK ilikuwa kukulazimisha wewe Lowassa Kujiuzulu; Asema Nape Nauye

      Quote By kiwalanikwagude

      Akizungumza katika mahojiano na Radio Safari ya mjini Mtwara hivi karibuni Nape amesema serikali ya Rais Jakaya Kikwete ndiyo pekee katika nchi hii iliyokwisha kutoa maamuzi magumu kuliko serikali zote zilizopita.

      Nape amenukuliwa akisema...." uamuzi mgumu wa kwanza uliotolewa na serikali ya awamu ya nne ni kwa yeye Lowassa kulazimishwa kujiuzulu, kuvunjwa Baraza la Mawaziri, kuwafungulia kesi kina Mramba na Yona, kuivunja kamati kuu ya CCM na sekretarieti, Ujenzi wa chuo kikuu cha Dodoma na Ujenzi wa shule za kata".

      Safi sana, Nape Nnauye na Samuel Sitta wamemjibu vizuri sana Lowassa. Yeye anajigamba kwa kufanya maamuzi magumu gani, kuchukua mlungula wa Richmond? Haya ndiyo majibu ya kumgonga nayo Lowassa kwa tuhuma zake lukuki za ufisadi. Next step iwe kumpeleka mahakamani. Ukicheza na Mbwa atakufuata mpaka msikitini!

    9. #7
      nngu007's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 2nd August 2010
      Posts : 11,235
      Rep Power : 3562
      Likes Received
      3062
      Likes Given
      462

      Default Re: Moja ya Maamuzi Magumu ya JK ilikuwa kukulazimisha wewe Lowassa Kujiuzulu; Asema Nape Nauye

      Lakini hii ndivyo inavyoonyesha saa nyingine kuwa kijana na Madaraka hakuna heshima kwa Wazee ambao walishika Madaraka kable yake; Nadhani hata wakati wa Uchaguzi wa Kikwete, hajui Lowassa alihusikaje mpaka Kikwete akachaguliwa kuwa Rais; Haonyeshi Heshima? hii ndio hasara ya Utami wa madaraka ya CCM, kweli CCM haingalii ilikotoka.

      Kama kwa Sababu ni Fisadi, Mafisadi wengi kweli ndani ya CCM hawakuanza wakati wa utawala wa Kikwete; Ni Tangu Azimio la Zanzibar toka Utawala wa Awamu ya PILI. Kweli CCM mna matatizooooo...

    10. #8
      gkalunde's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 30th March 2011
      Posts : 108
      Rep Power : 434
      Likes Received
      12
      Likes Given
      15

      Default Re: Moja ya Maamuzi Magumu ya JK ilikuwa kukulazimisha wewe Lowassa Kujiuzulu; Asema Nape Nauye

      Maamuzi magumu nikugeuza kigoma kuwa dubai ya tanzania na kununua meli katika maziwa yote tanganyika,victoria na nyasa na kuchagua kulindwa na marehemu shehe yahaya.
      gambatoto likes this.

    11. #9
      ndetichia's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 18th March 2011
      Location : Mwime - Buswangili
      Posts : 18,209
      Rep Power : 5102
      Likes Received
      2782
      Likes Given
      231

      Default Re: Moja ya Maamuzi Magumu ya JK ilikuwa kukulazimisha wewe Lowassa Kujiuzulu; Asema Nape Nauye

      jamani nape yu wapi nahitaji mchango wake hapa jamvini..

    12. #10
      Kombo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th October 2010
      Posts : 1,825
      Rep Power : 799
      Likes Received
      455
      Likes Given
      40

      Default

      Quote By kiwalanikwagude
      Akizungumza katika mahojiano na Radio Safari ya mjini Mtwara hivi karibuni Nape amesema serikali ya Rais Jakaya Kikwete ndiyo pekee katika nchi hii iliyokwisha kutoa maamuzi magumu kuliko serikali zote zilizopita.Nape amenukuliwa akisema...." uamuzi mgumu wa kwanza uliotolewa na serikali ya awamu ya nne ni kwa yeye Lowassa kulazimishwa kujiuzulu, kuvunjwa Baraza la Mawaziri, kuwafungulia kesi kina Mramba na Yona, kuivunja kamati kuu ya CCM na sekretarieti, Ujenzi wa chuo kikuu cha Dodoma na Ujenzi wa shule za kata".
      Tuwekeeni "wimbo" mwingine tafadhali, huu wa maamuzi magumu umechosha masikio, naona sana ni makelele tuuu..!!

    13. #11
      MkimbizwaMbio's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th November 2010
      Posts : 873
      Rep Power : 606
      Likes Received
      292
      Likes Given
      197

      Default Re: Moja ya Maamuzi Magumu ya JK ilikuwa kukulazimisha wewe Lowassa Kujiuzulu; Asema Nape Nauye

      Hata kumtetea Ngeleja ni maamuzi magumu sana yaliyofanywa na JK. Kwa kuwa si rahisi mtu mwengine kumtetea mtu kama Ngeleja.
      We shall heal our wounds, collect our dead and continue fighting

    14. #12
      Ringo Edmund's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th May 2010
      Location : MDAWI
      Posts : 3,670
      Rep Power : 1361
      Likes Received
      885
      Likes Given
      586

      Default Re: Moja ya Maamuzi Magumu ya JK ilikuwa kukulazimisha wewe Lowassa Kujiuzulu; Asema Nape Nauye

      maamuzi mengine magumu ni kukaa hewani kuliko kiongozi mwingine yeyote bila kuhofia kama ndege itaanguka.
      ​kusema ni fedha na kusikilizwa ni zahabu.

    15. #13
      Baba_Enock's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2008
      Location : Bunju "B"
      Posts : 5,818
      Rep Power : 1900
      Likes Received
      1161
      Likes Given
      977

      Default Re: Moja ya Maamuzi Magumu ya JK ilikuwa kukulazimisha wewe Lowassa Kujiuzulu; Asema Nape Nauye

      Nape kwani unatumia mnyama? Mbona umeanza kutuna?
      Ad Majorem Dei Gloriam - "For the greater glory of God"

    16. #14
      Tuyuku's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Posts : 658
      Rep Power : 559
      Likes Received
      139
      Likes Given
      16

      Default Re: Moja ya Maamuzi Magumu ya JK ilikuwa kukulazimisha wewe Lowassa Kujiuzulu; Asema Nape Nauye

      nimerejea. Nape ni mwongo mkubwa sana kudai eti serikali hii ndo iliyowahi kuchukua maamuzi makubwa kuliko serikali zote.

      Kwa taarifa yake serikali ya kwanza na ya pili zimechukuwa maamuzi mazito mara nyingi sana. Pia serikali yya awamu ya tatu nayo imechukua maamuzi mengi makubwa yenye faida kuliko hawa maf..a..la wa awamu ya nne waliochukua maamuzi ya kutuweka gizani mwaka wa tano sasa. Serikali inayowasafisha mafisadi. Serikali inayowapa watu siku tisini kisha inasema haikuwapa. Serikali hii inayosema haitaki kura za wafanyakazi kwa kuwa ilikuwa na uhakika wa kuiba kura.

      Naichukia hii serikali na magamba kuliko maelezo. Inayafanya maisha kuwa magumu kila siku. Pesa haipatikani halafu haina thamani. Huduma kama elimu zinakumbwa na migogoro kila siku. Ni serikali inayoongoza kwa migomo halafu. Serikali ambayo maamuzi makubwa zaidi kuwahi kuyafanya ni kupanga safari za nje kila baada ya siku chache.

      Nape ni mpu...zi sana na digrii yake ya Kihindi nadhani amesomea vyuo vya mkabala na....maana hana logiki katika maongezi yake. Ni kilaza aliyeteuliwa na kilaza gentleman.

    17. smz
      #15
      smz's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th December 2010
      Posts : 251
      Rep Power : 481
      Likes Received
      28
      Likes Given
      1

      Default Re: Moja ya Maamuzi Magumu ya JK ilikuwa kukulazimisha wewe Lowassa Kujiuzulu; Asema Nape Nauye

      Kama kweli Nape kasema hata kujenga UDOM na shule za kata ni maamuzi magumu sasa naanza kujuliza kwa nini kapewa nafasi hiyo.

      Alitaka serikali isijenge shule halafu iweje. Wamejenga shule kwa sababu ndiyo moja ya kazi zake na pesa za wananchi pamoja na nguvu zao zilitumika. Pengine Nape haelewi maana ya hii sentensi: "Fanyeni maamuzi magumu" msaidieni jamani.

    18. #16
      CAMARADERIE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd March 2011
      Location : 1 Luthuli Street
      Posts : 4,163
      Rep Power : 2720
      Likes Received
      1587
      Likes Given
      1145

      Default Re: Moja ya Maamuzi Magumu ya JK ilikuwa kukulazimisha wewe Lowassa Kujiuzulu; Asema Nape Nauye

      Quote By Baba_Enock
      Nape kwani unatumia mnyama? Mbona umeanza kutuna?
      Aloo.......umenijenga appetite tayari!!!!1

      A compliment is something like a kiss through a veil

    19. #17
      Dickson Mpemba's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 21st January 2010
      Posts : 200
      Rep Power : 342
      Likes Received
      25
      Likes Given
      212

      Default Re: Moja ya Maamuzi Magumu ya JK ilikuwa kukulazimisha wewe Lowassa Kujiuzulu; Asema Nape Nauye

      Kwa hili la shule za kata pamoja na Ujenzi wa UDOM nape muogope mungu anayestahili credit hizo ni LOWASA kwani ni juhudi zake binafsi ndizo zilizofanikisha hayo yote na siyo serikali kama unavyohubiri.
      TECHMAN likes this.

    20. #18
      Calnde's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th October 2008
      Location : Still looking where to settle
      Posts : 1,367
      Rep Power : 815
      Likes Received
      251
      Likes Given
      148

      Default Re: Moja ya Maamuzi Magumu ya JK ilikuwa kukulazimisha wewe Lowassa Kujiuzulu; Asema Nape Nauye

      Wasiwasi wangu huyu bwana anacheza ngoma asiyoijua! aombe Mungu mabo yasiharibike, otherwise . . . . .
      In the end will remember,not the words of our enemies but the silence of our friends.

    21. #19
      TECHMAN's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th May 2011
      Location : TRIPOL
      Posts : 818
      Rep Power : 568
      Likes Received
      192
      Likes Given
      435

      Default Re: Moja ya Maamuzi Magumu ya JK ilikuwa kukulazimisha wewe Lowassa Kujiuzulu; Asema Nape Nauye

      Quote By Fareed
      Safi sana, Nape Nnauye na Samuel Sitta wamemjibu vizuri sana Lowassa. Yeye anajigamba kwa kufanya maamuzi magumu gani, kuchukua mlungula wa Richmond? Haya ndiyo majibu ya kumgonga nayo Lowassa kwa tuhuma zake lukuki za ufisadi. Next step iwe kumpeleka mahakamani. Ukicheza na Mbwa atakufuata mpaka msikitini!

      Pumbavu wewe una ushahidi wowote kuwa lowasa alichukua mlungula wa Richmond? Hizo ni propaganda za ccm ili kuwaangalia hao wanao itwa mapacha watatu mkasahau matatizo makubwa ya nchi. Tumetengenezewa chuki kwa hawa watu ili kila unapolala njaa unakumbuka Lowasa, umeme ukikatika unakumbuka lowasa maji yakikatika Lowasa, hatakama lowasa ni mbaya lakini si source of our problem, source is CCM, Tuna sherehekea 50 yrs nchi ikiwa masiki, wameshindwa wakae kando.
      MAAMUZI MAKUBWA NA MAGUMU YA KIKWETE NI KUJIUZULU NA KUITISHA UCHAGUZI
      maandamano likes this.

    22. #20
      Rohombaya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th July 2011
      Posts : 346
      Rep Power : 468
      Likes Received
      52
      Likes Given
      40

      Default Re: Moja ya Maamuzi Magumu ya JK ilikuwa kukulazimisha wewe Lowassa Kujiuzulu; Asema Nape Nauye

      Quote By TECHMAN
      Pumbavu wewe una ushahidi wowote kuwa lowasa alichukua mlungula wa Richmond? Hizo ni propaganda za ccm ili kuwaangalia hao wanao itwa mapacha watatu mkasahau matatizo makubwa ya nchi. Tumetengenezewa chuki kwa hawa watu ili kila unapolala njaa unakumbuka Lowasa, umeme ukikatika unakumbuka lowasa maji yakikatika Lowasa, hatakama lowasa ni mbaya lakini si source of our problem, source is CCM, Tuna sherehekea 50 yrs nchi ikiwa masiki, wameshindwa wakae kando.
      MAAMUZI MAKUBWA NA MAGUMU YA KIKWETE NI KUJIUZULU NA KUITISHA UCHAGUZI
      dah muvi kali sana hili.... nitalicheki hadi mwisho
      Lakum diinukum waliyadiin!!!!

    Page 1 of 5 123 ... LastLast

    Similar Topics

    1. Replies: 69
      Last Post: 27th November 2011, 16:43
    2. Nape Nauye na Wassira ndani ya TBC1
      By Rejao in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 22
      Last Post: 15th April 2011, 09:10

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...