Katika hali ya kushangaza EL amesema amezua mjadala juu ya serikali kushindwa kuchukua maamuzi magumu kwa hyo wananchi wataamua juu ya kauli yake.
Katika hali ya kushangaza EL amesema amezua mjadala juu ya serikali kushindwa kuchukua maamuzi magumu kwa hyo wananchi wataamua juu ya kauli yake.
in lowassa i trust
Tena kasema kila mtu atakuwa na wakati mzuri(yeye lowassa na serikali ya jk) na hapo ndipo wananchi watatambua nani yupo sahihi kuhusu huo mjadala
Gamba limegina!
kwi kwi kwi!
Yamkini,sijui, labda wale wanaomwita yeye gamba ndio waliomagamba-kwa nini hawaamui maamuzi mazito?
anataka kujisafisha kwa kutumia mkojo wake
nchi hii bila udikteta kama wa lowasa,magufuli slaa nchi haiwezi endelea
Lowasa anakaribia kunyakua kombe dhidi ya mpinzani wake jmk!
Sitta&mwakyembe wamesikia?
To hell with Lowasa
Edward Ngoyayi Lowassa (amezaliwa 26 Agosti, 1953) ni mwanasiasa nchini Tanzania kupitia chama cha CCM. Alichaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa kumi wa nchi hii tarehe 30 Desemba 2005 na akalazimishwa kujiuzulu tarehe 7 Februari, 2008 kwa kutajwa katika kamati ya bunge ya uchunguzi wa ufisadi katika utoaji wa tenda kwa kampuni ya umeme ya Richmond kama mhusika mkuu.
Lowassa ni mwenyeji na mbunge wa Monduli katika Mkoa wa Arusha. Alisoma shahada ya kwanza katika mada ya tamthilia kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, halafu shahada ya pili katika sayansi kwenye Chuo Kikuu cha Bath (Uingereza).
Lowassa alishika vyeo mbalimbali katika serikali ya Tanzania kama vile:
- Waziri Mkuu (2005 - 2008)
- Waziri wa Maji na Mifugo (2000 - 2005)
- Waziri wa ardhi na makazi (1993 - 1995)
- Waziri mdogo wa haki na mambo ya bunge katika ofisi ya Makamu wa Rais (1990-1993)
- Mkurugenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano (1989 - 1990)
- Waziri mdogo wa mazingira na mapambano dhii ya umasini katika ofisi ya Makamu wa Rais (1988-2000)
- Mbunge wa Monduli tangu 1990
Andrew John Chenge is a Tanzanian politician and a Member of Parliament in the National Assembly of Tanzania through CCM. After serving as Attorney-General, he was appointed as Minister of East African Affairs in the Cabinet named on January 4, 2006.[1] He was then appointed as Minister of Infrastructure on October 15, 2006,[2] retaining that post in the Cabinet named on February 12, 2008.[3] He resigned on 20 April 2008 after it was earlier revealed by UK's Serious Fraud Office that he holds US$ 1million (over 1 billion Tanzania shillings) in an overseas offshore account as kickbacks from a controversial military radar deal between UK's BAE Systems and Tanzania government which he partly oversaw while serving as Attorney-General. UK's Serious Fraud Office has however confirmed that Andrew Chenge is innocent by verifying that the cash was not illegally obtained and have closed the file for investigation
Rostam Aziz ni mwanasiasa mashuhuli nchini Tanzania kupitia chama cha CCM, ni mbunge wa Igunga mkoani Tabora,
ni mwanasiasa anaesadikika kuwa na pesa za kutosha sana nje na ndani ya chama CCM.
Ni nguzo kubwa sana katika maendeleo ya chama cha CCM kwa kuuchukua utawala wa nchi kwa kutumia kiasi cha pesa alichonacho.
Alikuwa mjumbe wa halmashauli kuu ya CCM ambayo inamaamzi makubwa sana ndani ya CCM na kwa kumshauri rais aliyetokea chama cha CCM kwa maendeleo ya nchi.
Anamiliki kampuni kubwa sana hapa nchini ikiwemo kampuni ya simu ya VODACOM,KASPIANI inayohusika na huduma za migodini kama uchimbaji ambapo ukienda mgodi wa nzega utaikuta kampuni yake, ukienda mgodi wa Buzwagi utaikuta,ukienda mgodi wa Bulyanhulu utaikuta. Ana kampuni ya RHINO iliyoko migodini pia ana makampuni mengi ndani na nje ya nchi ikiwemo Richmond na Dowans japo watz hawajui undani wake.
Ni mbunge mwenye nguvu sana ndani ya chama cha CCM na bungeni pia, ni mbunge mwenye wafuasi wengi ndani ya chama cha CCM.
Ni tegemeo kubwa sana kwa chama cha CCM wakati wote wa uchaguzi wowote ule ili washinde.
HAKUNA MTU MWENYE UWEZO WA KUWANG'OA NDANI YA CCM
Umemsahau mkuu wa kaya kama kiunganishi chao!
IF NOT US, WHO? IF NOT NOW, WHEN?
Kwanini wang'olewe CCM?
Nape kaishasema hajawahi kusema kuwa katoa siku 90 kwa mapacha watatu, sasa unategema nani anaweza kusema waondoke CCM? Hamna
Sipingi chocho juu ya hawa vigogo!
Guuuud guys ... who can chase them out of CCM as magamba???? no one, may be they decide to take the
action of resign themselves but nor Kikwete neither NNAPE.......
Follow Us Here