Lowasa asipokuwa Rais 2015 mniue - Askofu (Gazeti la Nyakati,10th Julai). Ngoma imeanza!
Lowasa asipokuwa Rais 2015 mniue - Askofu (Gazeti la Nyakati,10th Julai). Ngoma imeanza!
lowassa ntampa kura yangu haina ubishi
Mungu hayuko pamoja na huyo askofu...
Simulated Automated Breakthroughs....
Hatuhitaji kumuua anywe sumu mwenyewe.
Wengi tuna wazo la Tanzania tunayoitaka/hitaji,tutafikaje huko ?
Ni askofu gani huyo?
jamani ,umpe kura lowassa umerogwa,kwanza atapitishwa na chama gani, labda akitaka kutengeneza cv kuwa ameishawahi kugombea urais basi ajiunge na chama cha mtikila- DP PARTY. Ila cv ya kuchukua fomu ya kugombea urais anayo ingawa MWL NYERERE alimdisqualify kwamba ANAUTAJIRI WA KUPINDUKIA na hakutoa majibu mpaka leo .Huyu captain wa jeshi ni afadhali aendelee kufanya biashara zake nasio urais
Atauwawa kweli,namuhurumia sana, maana nijuwavyo Rais wa 2015 atachaguliwa na Mungu,hata kikwete hamjuwi!
siku hizi kuna marais wengi mbona hajaeleza asipokuwa rais wa wapi.
" No Data No Research No Right to Talk"...
kwaio lowasa anataka kuwa rais wa nini?rais wa masharobalo au
Ni Kakobe au nani huyo?.
Vipi tena kamtupa mkono Slaa!.
Tatizo hawa maaskofu hawana uoni sahihi wanategemea ndoto za shetani kama yule babu wa LoL...
ha ha ha nicheke mie.Chakumuomba Mungu ni uhai tu .Tusubiri hiyo 2015. Uhai kwa huyo Askofu, mimi na sote tunasubiri na huyo mtarajiwa
akifa kabla itakuwaje?
kura zote kwa lowasa nyie pigeni makelele tu hapo jamvini
Follow Us Here