Lowasa asipokuwa Rais 2015 mniue - Askofu (Gazeti la Nyakati,10th Julai). Ngoma imeanza!
Lowasa asipokuwa Rais 2015 mniue - Askofu (Gazeti la Nyakati,10th Julai). Ngoma imeanza!
[QUOTE=Ami;2209688]Ni Kakobe au nani huyo?.Vipi tena kamtupa mkono Slaa!.Tatizo hawa maaskofu hawana uoni sahihi wanategemea ndoto za shetani kama yule babu wa LoL...[/ THE greater thinker una uhakika na unasema, au unaongea ili uonekane nawe umechangia? Je wewe uono wak sahihi ni upi juu ya hili kama huyo hana uoni sahihi
ngoja tusubiri huu utabiri.time will tell.
Huo utabiri ni wangurumo ya upako nini???
'' Mtu ni Utu sio Kitu''
Lowassa tunakuamini na tunakuhitaji. Tafadhali gombea urais 2015 ili serikalimakini inayowajibika kwa wananchi wake ipatikane. Tunakuombea ushinde. Achana na wahuni wa ccj maana tayari wana chama chao ccj.
Hehehe, naona wewe na msema hovyo mnaendena. Haya kila laheri. Tukutane 2015 kwenye kampeni.
Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala
una imani ya ajabu sana,hongera.
Simulated Automated Breakthroughs....
Imani potofu ya kishirikina.
create tension to anyone who wish not to think
Yaani mashabiki wa Lowassa hamchoki? Kila siku anakubalika, kila siku ni mchapa kazi, lakini haijabadilisha ukweli kuwa kila siku ni mwizi.
Kuna nukuu ya Mwalimu Nyerere inayosema kuwa Lowassa hafai ata kuwa kiongozi wa mifugo!
Labda anakubalika kwako na familia yako awe kiongozi wa bata!
Achaneni na wezi wa rasilimali za taifa.Lowasa bora amfuate shoga yake uswis
kwedikwezu
Join Date : 6th June 2011
Posts : 35
Rep Power : 0
TUHURUMIENI WATANZANIA LOWASA APUMZIKE MAANA ATAISHIA JELA KWA MAKOSA ALIYOTUFANYIA, URAIS WETU PIA AWAACHIE WATZ WENGINE
ndoto za alinacha
Duu! Siasa za bongo uwa pasua kichwa
Follow Us Here