Lowasa asipokuwa Rais 2015 mniue - Askofu (Gazeti la Nyakati,10th Julai). Ngoma imeanza!
Lowasa asipokuwa Rais 2015 mniue - Askofu (Gazeti la Nyakati,10th Julai). Ngoma imeanza!
usiwe mpumbavu wewe, hata kama lowassa anakupa cash lakini sidhani anakupa cash yingi kiasi hicho mpaka kuandika ujinga kuhusu baba wa taifa. lowassa aliingia kwenye siasa [ubunge na uwaziri ]1990 alafu 1995 alikua tajiri. baba wa taifa hakumtaka lowassa kwasababu
1] lowassa ni fisadi [tajiri]
2] lowassa anatamaa ya madaraka alipata ubunge 1990 alafu 1995 akautaka urais
3] lowassa anatabia ya ukabila na udini. tabia hii haitakiwi hapa tanzania
4] lowassa anatabia ya kulipa visasi. kama hamkuelewana nae siku za nyuma huyu mtu akusahau.
5] lowassa alivunja sheria za chama 1995.
Lowasa anayo kura yangu 2015 kama akigombea..
Hahahahaaaaaaaa.........kufa kabisa kuliko kusubiri akikosa kuwa rais. Mungu kamwe hashindani na mwanadamu
Hii ni nchi huwezi kukurupuka tu na kudai wewe uwe RAIS ,kuna maadili ,tutampima na kumwangalia anawaza nini kuhusu tanzania au anawaza monduli tu.ameitumikiaje tanzania katika nyadhifa zake au amejitumikia yeye ,ana msimamo gani kitaifa ni mkurupakaji. anawachukulia vipi watanzania anaridhika na hali waliyonayo ,uchumi kama ni mchumia tumbo huyo hatufai hata askofu molel akijiua sawa tu .rais tunayemtaka hajakidhi viwango .
NDUGU ZANGU HUYO ASKOFU NI NANI. NINACHOJUA MWAKA 2015 watanzania ndio watakaoamua nani anakuwa Raisi wao si askofu wala nani, inawezekana askofu ana maslahi yake atueleze ni kwanini anasema lowassa atakuwa raisi amefanya utafiti wapi, au ni ndoto. Ni watanzania pekee ndiyo watakaoamua. Pia suala la utajiri si kikwazo kwa mtu kuwa kiongozi. Hakuna sheria inayozuia, na wala nyerere si msahafu au biblia kwamba kila atakachosema sisi tukubaliane nacho. Kama ni utabiri arekodi kwenye kanda ili tuje tumuulize kwani huwa hawachelewi kugeuka kwamba tuliwaquote vibaya. Labda angetabiri Raisi kutika nje ya CCM.
Kuna anayemfahamu huyo askofu?maana Jason Bourne went AWOL...
"One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato
Wanabodi, tuwaheshimu maskofu ni watu makini na wasomi sio watu wa kukurupuka.
anaeweza kutoa umabii dunia nzima ni tb joshua tu akuna mwingine tena daima
Lazima ni Gamanywa huyo
wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.
....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"
Anataka pesa tu sio mtu wa dini huyo ni mchumia tumbo
nina wasiwasi na uaskofu wa huyo askofu,nafikiri abashiri mambo ya kiimani zaidi
Huwa si changii utabiri kama huu
maaskofu bwana hapo ashapanda mbegu tayali kwa waumini zaidi ya 6000 tunaopinga jf hatufiki 300.
Kwanza huyu el si mgonjwa huyu kwanini asiachane na siasa tuu.
Follow Us Here