JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Elimu yetu, Walimu Wetu na Hatma Yetu

  Report Post
  Results 1 to 2 of 2
  1. Entrepreneur's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th June 2011
   Posts : 1,092
   Rep Power : 753
   Likes Received
   592
   Likes Given
   176

   Post Elimu yetu, Walimu Wetu na Hatma Yetu

   Tangazo la nafasi za masomo ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Tz. Tovuti: www.moe.go.tz. Linasema hivi “Waombaji wa Mafunzo ya Ualimu ngazi ya Cheti (IIIA) watachaguliwa kupitia “Selforms”. .... Watakaohusika ni wahitimu wa kidato cha IV … wenye ufaulu usiopungua Divisheni IV…

   Na Sera ya Elimu inasema hivi; Minimum admission requirements for the teacher education certificate course shall be division iii of the Certificate of secondary Education Examination while for the diploma teacher certificate course, minimum entry qualification shall be division III in the Advanced Certificate of Secondary Education Examination”.

   Ingawa si sahihi kupima elimu ya mtu kwa cheti chake cha shuleni bali uelewa wake, but ni kwa nini hawa wenzetu tuliowakabidhi watuendeshee nchi kwa muda huu wanafanya kinyume na tulichokubaliana? Kama Taifa tunaandaa kizazi cha aina gani kukabiliana na Dunia ya Sayansi na Teknolojia tena iliyojaa ushindani wa hali ya juu, kwa kukubaliana na hali ya kufundishwa na watu ambao uelewa wao unatiliwa mashaka? Au ndio sera za CCM? Je tutafika? Others are learning from the best, my people
   Last edited by Entrepreneur; 30th June 2011 at 10:10.


  2. Entrepreneur's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th June 2011
   Posts : 1,092
   Rep Power : 753
   Likes Received
   592
   Likes Given
   176

   Default Re: Elimu yetu, Walimu Wetu na Hatma Yetu

   "If a nation expects to be ignorant and free, in a state of civilization, it expects what never was and will never be." -Thomas Jefferson


  Similar Topics

  1. Hii elimu yetu vp?
   By kuringe in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 3
   Last Post: 2nd October 2011, 14:04
  2. Tafakuri juu ya picha ya Habari Leo na hatma ya Ikulu yetu
   By Chief Isike in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 44
   Last Post: 1st October 2011, 23:30
  3. Vyombo vya habari Tanzania na hatma yetu
   By Augustine Moshi in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 325
   Last Post: 15th December 2010, 21:08
  4. Elimu yetu
   By Acha Dhambi in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 0
   Last Post: 19th October 2010, 22:10
  5. Pinda na kauli zake zilizopinda (Hatma ya nchi yetu)
   By Ochu in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 5
   Last Post: 29th January 2009, 12:08

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...