Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Nape: Sikuwahi sema kuwa Mafisadi wataondolewa CCM baada ya siku 90

    Report Post
    Page 14 of 14 FirstFirst ... 4121314
    Results 261 to 274 of 274
    1. #1
      Malafyale's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th August 2008
      Posts : 1,229
      Rep Power : 799
      Likes Received
      322
      Likes Given
      25

      Default Nape: Sikuwahi sema kuwa Mafisadi wataondolewa CCM baada ya siku 90

      Haya ndiyo maelezo mapya ya Nape kuhusu ahadi yake kwetu ya kuwavua gamba mafisadi 3 vigogo ndani ya CCM ifikapo July 10;Nape alitamka maneno haya" hopeless" jana wakati anazungumza na wahariri wa magazeti ya Mwananchi Communication LTD.

      Kuhusu watuhumiwa wa ufisadi na siku 90 walizopewa kujiondoa kwenye nyadhifa wanazoshikilia ndani ya chama, Nape alisema kuwa hakuna suala la siku 90 bali ni vikao vya chama vitakutana na kutoa maamuzi.

      "Siku 90 zinazozungumzwa ni tafsiri ya watu pale mwenyekiti wa chama (Jakaya Kikwete) aliposema tutakutana baada ya miezi mitatu na watu wakatafsiri hivyo, lakini vikao vya NEC ndivyo vinatoa maamuzi,"alisema Nape.

      Alisema kuwa hadi hivi sasa hajui makamu mwenyekiti wa CCM Bara, Pius Msekwa alichozungumza na watuhumiwa hao wa ufisadi baada ya kukutana nao.

      "Sikuwepo kwenye kikao hivyo hadi sasa sijui walizungumza nini, na siwezi kwenda kumtaka Katibu Mkuu anieleze kilichozungumzwa kwani katika vikao vijavyo tutapata taarifa,"alisema Nape.

      Source:Gazeti la Mwananchi June 29,2011


    2. #261
      Makupa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 2,184
      Rep Power : 815
      Likes Received
      257
      Likes Given
      0

      Default re: Siku 90 kwishaa! Magamba kiunoni

      Jibu hoja sio unaedit post za watu na bado unakosea

    3. #262
      Mumwi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th January 2011
      Posts : 555
      Rep Power : 539
      Likes Received
      98
      Likes Given
      0

      Default Re: Siku 90 kwishaa! Magamba kiunoni

      Jibu kwanza swali

    4. #263
      Makupa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 2,184
      Rep Power : 815
      Likes Received
      257
      Likes Given
      0

      Default Re: Siku 90 kwishaa! Magamba kiunoni

      asante mungu Igunga.ccm tumeshashinda nani kama mungu

    5. #264
      dhahabuinang'aa's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th August 2011
      Posts : 119
      Rep Power : 421
      Likes Received
      22
      Likes Given
      16

      Default Re: Siku 90 kwishaa! Magamba kiunoni

      Walikuja kugundua eti walikurupuka si unajua sisiyem yote mangiri,punguani mpaka sasa aliepewa hio kazi amebebeshwa
      mzigo wa lawama na ameambiwa jimbo likipotea watajua wamfanyeje! na hapo unakumbushia machungu kwa watu eti
      wanadai hayakuwa maamuzi sahihi kwahiyo hakuna kitu kama hicho tena wameona dalili mbaya kuwa wakiwavua hayo
      majimbo yote yataenda CHADEMA.walidhani CHAMA cha msimu kumbe ni CHAMA TAWALA baada ya 2015

      inasomeka hivi


      T 2015 CDM.

    6. #265
      Makupa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 2,184
      Rep Power : 815
      Likes Received
      257
      Likes Given
      0

      Default Re: Siku 90 kwishaa! Magamba kiunoni

      T2015 CDM wabunge kumi na moja tu


    7. #266
      BABA JUNJO's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 9th November 2010
      Location : Iringa
      Posts : 241
      Rep Power : 485
      Likes Received
      12
      Likes Given
      11

      Default Re: Nape: Sikuwahi sema kuwa Mafisadi wataondolewa CCM baada ya siku 90!

      Quote By Invisible View Post
      Safi, hii ndo tungependa mara nyingi ufanye hapa JF, always firm kwny unachoamini, tatizo 'vijana wako' hapa JF (you know what I mean) kama usingewahi kuyaandika haya mwenyewe wangei-spin hii habari na kusababisha watu kuhama hata hoja.

      Kidumu?
      Dogo anamsimamo huyu!!! na anajiamini kuliko Daudi alivyo mfanya goliath. Big upp dogo lakini kuwa mwangalifu walikuwepo watu wa aina yako kwenye chama chako hicho hicho wako wapi leo? Take care.

    8. #267
      melxkb's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 11th September 2010
      Posts : 202
      Rep Power : 485
      Likes Received
      55
      Likes Given
      165

      Default Re: Nape: Sikuwahi sema kuwa Mafisadi wataondolewa CCM baada ya siku 90!

      NAPE,

      KWANZA NISEME KWAMBA BINAFSI SINA UGONVI NAWE NA WALA HATUFAHAMIANI HATA KIDOGO ZAIDI YA KWENYE MTADAO TU BASI NA VYOMBO VINGINE VYA HABARI NA MIDAHALO. PILI NIJITAMBULISHE KWAKO FAIRLY KWAMBA SIUNGI CHAMA CHAKO CHA CCM MKONO KWA SABABU AMBAZO NAAMINI ZIKO WAZI KWAKO KAMA HAUTAKUWA MSHABIKI, UTAKUBALIANA NA MIMI KWAMBA CHAMA CHAKO KINAPOROMOKA KWA SABABU TU ZA UZEMBE NA ULEGEVU WA KIUONGOZI UKISHEREHESHWA NA WIZI WA RASLIMALI ZA WATANZANIA KWA NJIA MBALIMBALI AMBAZO ZI MUDA MUHAFAKA KIZIJADILI KWA SASA NAAMINI UNAZIJUA PIA.

      TATU, NISEME TU KWAMBA NAAMINI PIA KATIKA UTIMAMU WA AKILI ZAKO KAMA AMBAVYO UMEWAHI KUJITAMBULISHA KWA KUMSHUKURU MZEE WAKO KWA KUKUPA URITHI WA KUJIVUNIA AMBAO NI ELIMU YA KUTOSHA. HILO NI JEMA JAPO SINA HAKIKA KAMA KWELI UMEKWISHA KURIDHIHILISHA VYA KUTOSHA KIFIKRA NA KIUTENDAJI KWAMBA KWELI "NI YA KUTOSHA".

      BAADA YA HAYO MACHACHE NISEME TU KWA UFUPI KWAMBA UMENISIKITISHA SANA SANA KULIKO WAKATI WOWOTE KUONA UNAAMUA BILA AIBU KUYAMEZA MANENO YAKO MWENYEWE. NA KUYAKANA KAMA VILE WEWE HUJAENDA HATA DARASA LA KWANZA. NAPE, NI MARA NGAPI UMESISITIZA WEWE KATIKA ZIARA ZAKO KWAMBA EL, RA NA CHENGE WASIPOJIONDOA KATIKA MDA WALIOPEWA WA SIKU 90 BASI NEC ITAWAFUKUZA TENA UKISEMA KWA KUSISITIZA KWAMBA HAKUNA MZAA KATIKA HILO. KWA KUONGEZEA UKASEMA NA BARUA ZAO WAMEKWISHA KUANDIKIWA NA WATAPEWA MDA WOWOTE. NAPE NI KWELI KWAMBA KATIKA KUMBUKUMBU ZAKO HAYAMO HAYA MANENO.

      AAAH! NINAYO MENGI YA KUANDIKA LAKINI, SIAMINI KAMA YATAKUSAIDIA LOLOTE KWA JINSI ULIVYO AMUA KUWA FARISAYO NA KUJIFICHA KATIKA VAZI REFU LA UNAFIKI LENYE RANGI YA KIJANI NA NJANO, AFADHALI WENZAKO WALIKUWA WANAVAA YA RANGI NYEUPE. KILA LA KHERI NAPE MIMI YANGU MACHO USIJE UKANIKIMBIA KESHO. LAKINI NIKUSHAURI TU KWAMBA UNAJIMALIZA MWENYEWE, BORA UNGETUSIKILIZA SISI TUNAOKWAMBIA UKWELI NA SIO HAO WANAFIKI WANAOKUSHABIKIA KIJIN.GA BILA KUKUSAIDAI MAWAZO. UNA HALI MBAYA SANA NA CHAMA CHAKO KINAZAMA KWA HARAKA. SISI TUDHARAU, UWASIKILIZE WAZEE WAKO BASI AKINA MZEE WARIOBA, BUTIKU NA WENGINEO AU NA HAO NI WAPINZANI WA CHADEMA NA NCCR SIO CCM TENA. WASALIMIE


      [/QUOTE] SI swala la kudai wala vikao kuamua upya bali vikao VILISHAFANYA UAMUZI NA UAMUZI NI WAJIPIME NA KUONDOKA WENYEWE WASIPOFANYA WATAFUKUZWA NA CHAMA.

      SWALA LA LINI NI PERIOD KUTOKA KIKAO KILICHOPITA CHA NEC MPAKA KIKAO KIJACHO CHA NEC, AMBACHO KWA MUJIBU WA KATIBA HUWA KINAKUTANA KILA BAADA YA MIEZI MINNE. Lakini SI LAZIMA IWE MIEZI MINNE KAMILI,KATIBA YA CCM INARUHUSU KUWA NA VIKAO MAALUMU KATIKATI KABLA YA MUDA HUO,HIVYO NEC INAWEZA KUKUTANA KABLA YA MIEZI HIYO KATIKATI KAMA ITAONEKANA IPO HAJA. NA INWEZA IKAKUTANA BAADA YA MIEZI MINNE KUTOKANA NA MAZINGIRA,KWA MFANO NAFASI YA MKITI KAMA IMEBANA TUNAWEZA KUSOGEZA MBELE SO SI SWALA LA SIKU EXACTLY.

      GALIA HATA BUNGE KUNA MUDA UMEPANGWA LAKINI LINAWEZASOGEZA SIKU ZA KUANZA AU KUMALIZA KUTEGEMEANA NA HAJA YA KUFANYA HIVYO.

      Kikubwa hapa NI KUWA WAHUSIKA WAMEITWA NA KUJULISHWA UAMUZI WA NEC NA KUWA UPO MUDA WA WAO KUTEKELEZA WASIPOFANYA KIKAO KIJACHO CHA NEC NI KUWASILISHA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MAAMUZI ITAKAYO ONYESHA IMETEKELEZWA KWA KIASI GANI NA KUTEKELEZA SEHEMU YA PILI YA UAMUZI.

      KUMBUKA ILISEMWA HAPA JF KUWA UAMUZI HUU HAUTATEKELEZWA NA KUWA HAYO YALIKUWA MANENO (yalitumika maneno makali, machafu) YA NAPE NA CHILIGATI SI UAMUZI WA CHAMA, AKATOKA DR. KIKWETE MWENYEKITI WA CHAMA AKASEMA PALE DIAMOND ALIPOONGEA NA MAASKOFU KUWA ANACHOSEMA NAPE NI UAMUZI HALALI WA CHAMA, WATU WAKAFUMBA MACHO NA MASIKIO NA KUENDELEA KUDAI NI YA NAPE NA KUWA WATUHUMIWA HAWATACHUKULIWA HATUA ZOZOTE HATA KUJULISHWA TU. WAMEITWA NA KUPEWAA UAMUZI WA NEC, WATU WAKAKIMBIA JF, HATA WALE WALIONITUKANA NILIDHANI WATARUDI KUPONGEZA HATUA ILIYOFIKIWA, SIKUWAONA.

      NINACHOWEZA KUHAKIKISHIA HAPA UAMUZI HUU WA KUWAWAJIBISHA BAADHI YA WATUHUMIWA HAUTABADILISHWA KWA KELELE ZA BARABARANI NA SARAKASI ZA WATUHUMIWA, TUMETHUBUTU KUAMUA, TUTATEKELEZA MAAMUZI.

      KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.[/QUOTE]
      Last edited by melxkb; 25th September 2011 at 21:42.

    9. #268
      mambomengi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th May 2009
      Posts : 453
      Rep Power : 604
      Likes Received
      99
      Likes Given
      13

      Default Re: Nape: Sikuwahi sema kuwa Mafisadi wataondolewa CCM baada ya siku 90!

      Quote By Nnauye Jr View Post
      SI swala la kudai wala vikao kuamua upya bali vikao VILISHAFANYA UAMUZI NA UAMUZI NI WAJIPIME NA KUONDOKA WENYEWE WASIPOFANYA WATAFUKUZWA NA CHAMA.....
      Mkuu wa Uenezi naomba mwongozo wa hizi sarakasi............

    10. #269
      makundi4619's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th July 2012
      Posts : 485
      Rep Power : 447
      Likes Received
      135
      Likes Given
      388

      Default Re: Nape: Sikuwahi sema kuwa Mafisadi wataondolewa CCM baada ya siku 90!

      Quote By Oxlade-Chamberlain View Post
      Mkuu kwanini ni baadhi tu ndio watawajibishwa wengine vipi? Mmewasamehe au mnawahitaji?
      Comment yako ni nzuri sana sidhani kama CCM wanatuzuga tu. Nape anaongea kama kasuku vile iweweje baadhi tu wawajibishwe? Ndiyo maana wengine wanakomaa hawana mpango kabisa wa kujivua gamba if CCM is so subjective in such a critical issue. You and your gang are not serious at all. You are heading for trouble unknowingly.

    11. #270
      kisimani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th August 2011
      Posts : 441
      Rep Power : 484
      Likes Received
      124
      Likes Given
      105

      Default

      Nnauye Jr, kidumu, safi sana tuashukuru kwa maelezo , vipi ile hona iliyozimwa kwenye cc pale dom, lowasa alivyokuwa akilalamika amechafuliwa na watu ndani ya chama kwa fedha za chama nchi nzima? Akasema kama amekosa mbona hakuitwa kamati ya maadili? Alafu akasimama sumaye na kusema the same. Kisha Mwenyekiti akafunga kikao. Huoni huo ni ushahidi tosha kwetu kuwa kujivua gamba imeshindwa? Pengine hamkujipanga vizuri?

      Ushauri: epuka kutumiwa pasipo kanuni kufuatwa hata mama ni mwenyekiti wako anakushawishi, nape ukweli hamkufuata taratibu za chama, kamati ya nidhamu na maadili haikutumika, mwisho utaachiwa zigo uangaike nao na utagonga mwamba

    12. #271
      masabo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 8th July 2012
      Posts : 59
      Rep Power : 361
      Likes Received
      11
      Likes Given
      5

      Default Re: Nape: Sikuwahi sema kuwa Mafisadi wataondolewa CCM baada ya siku 90!

      Nnauye Jr umekuwa unaongea sana bila vitendo.Vitendo speak Lauder than maneno.Timizeni mnayoongea alafu tuone hicho kidumu chama cha mapinduzi

    13. #272
      malaka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th April 2012
      Posts : 1,024
      Rep Power : 653
      Likes Received
      241
      Likes Given
      68

      Default Re: Nape: Sikuwahi sema kuwa Mafisadi wataondolewa CCM baada ya siku 90

      Basi mwacheni nape apumzike. Hajui alitendalo na sisi kama vijana wenzake tumeshamshauri vya kutosha na inaonekana haelewi. Basi mwacheni aendeele na anayo jua yeye.

    14. #273
      Honey K's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th September 2008
      Posts : 628
      Rep Power : 525
      Likes Received
      67
      Likes Given
      0

      Default Re: Nape: Sikuwahi sema kuwa Mafisadi wataondolewa CCM baada ya siku 90

      Hivi KUNA MTU HAPA ANA UCHUNGU NA ANGUKO LA NAPE KAMA MNAVYOTAKA KUWAAMINISHA WATU HAPA?!!! KAMA NAPE ANAANGUKA KAMA MNAVYODAI KELELE ZA NINI SASA SI MUMWACHE AANGUKE, NYIE KINAWAUMA NINI???!!MARA USHAURI MARA OOH MZIGO MZITO!! SASA MZIGO ANABEBA YEYE UZITO MNASIKIA NYIE!!!!!!! akhaaaaaaah inakera

    15. #274
      K.Msese's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 262
      Rep Power : 416
      Likes Received
      160
      Likes Given
      242

      Default Re: Nape: Sikuwahi sema kuwa Mafisadi wataondolewa CCM baada ya siku 90

      Nape anafaa sana kuimba taarabu jamani, maelezo yake naona kama anaimba tu, anachosema ni kama simu ya mchina iliyowekewa wimbo.........halafu inakeleleeeeeee.....zisizo na maana....!

      Siasa ni akili Nape, siyo kupayuka, kuongea mipasho, wala kuongea hili na kesho unasema hujasema hili.....!

      Kibanga msese

    Page 14 of 14 FirstFirst ... 4121314

    Similar Topics

    1. Replies: 11
      Last Post: 12th May 2011, 19:42
    2. Mambo 5 atayofanya Mh Slaa siku 30 baada ya kuwa Rais.
      By Zawadi Ngoda in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 32
      Last Post: 27th October 2010, 11:14
    3. Sema hapana kwa mafisadi!
      By Asked for a BAN in forum Jamii Photos
      Replies: 0
      Last Post: 1st December 2009, 15:43

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...