Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Nape vs Lowassa

    Report Post
    Page 3 of 14 FirstFirst 1234513 ... LastLast
    Results 41 to 60 of 266
    1. #1
      Godwine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th January 2010
      Location : dar
      Posts : 1,317
      Rep Power : 743
      Likes Received
      217
      Likes Given
      124

      Default Nape vs Lowassa

      Je nini matokeo ya mnyukano kati ya LOWASSA na NAPE katika chama cha magamba? je nani anaelekea kukimbizwa kwenye chama

    2. RukaaJuu Final

    3. #41
      Mbopo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2008
      Posts : 2,531
      Rep Power : 1084
      Likes Received
      375
      Likes Given
      13

      Default Re: Nape vs Lowassa

      Quote By KakaKiiza
      Ukweli hapa ni usanii hakuna wakuthubutu kuwafukuza hao three guys mtikisiko ndani ya chama ni mkubwa sana endapo watafanya hivyo!
      Ndo maana nasema kwamba kuna watu bado kongwa la utumwa halijawatoka. Kama wao wangekuwa wakubwa kuliko chama wangekuwa na moyo wa uthubutu kwa kujiondoa na hapo wangethibitisha umwamba wao. Hawa ni paper tigers, hawana lolote.

    4. #42
      Mwalu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th February 2010
      Location : dsm
      Posts : 359
      Rep Power : 544
      Likes Received
      71
      Likes Given
      57

      Default Re: Nape vs Lowassa

      Wadanganyika bana kwa kuangalia personalities !!! Mi hoi !
      Reply With Quote

    5. #43
      alpha5's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 26th May 2011
      Posts : 127
      Rep Power : 430
      Likes Received
      20
      Likes Given
      217

      Default Re: Nape vs Lowassa

      Lowasa oyeeeeeeeeeeeeee

    6. #44
      Caroline Danzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th December 2008
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 2,719
      Rep Power : 1075
      Likes Received
      652
      Likes Given
      214

      Default Re: Nape vs Lowassa

      du! mambo magumu.

    7. #45
      Twasila's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th May 2011
      Posts : 436
      Rep Power : 494
      Likes Received
      58
      Likes Given
      0

      Default Re: Nape vs Lowassa

      Maneno matupu hayavunji mfupa. Nilitarajia akina Nape wangekuwa wanaandaa na kutekeza maazimio ya nec, kama yapo. Uvuvuzela wao unaiweka ccm pabaya.
      Ngoja nikamwombe Mungu aniepushe na upayukaji.


      bya.

    8. Miaka 50

    9. #46
      ebrah's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th October 2010
      Posts : 376
      Rep Power : 512
      Likes Received
      50
      Likes Given
      52

      Default Re: Nape vs Lowassa

      wote takataka tu, najua hata tukisema siku kumi na mbili hakuna kitakachofanyika kwani JK ni kama yule nyoka asiye na sumu, so hana uwezo wa kufanya maamuzi, nasubiri kifo cha CCM kwa kuendelea kuonyesha kuwa wamejaa ahadi hewa! shame to all magamba, after magamba njooni na kuparua mapezi!

    10. #47
      Mbopo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2008
      Posts : 2,531
      Rep Power : 1084
      Likes Received
      375
      Likes Given
      13

      Default Re: Nape vs Lowassa

      Quote By alpha5
      Lowasa oyeeeeeeeeeeeeee
      Wale wale. Washalishwa nyama ya mbuzi mnadani au chako ni chako!

    11. #48
      Msongoru's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th April 2008
      Location : Japan
      Posts : 305
      Rep Power : 628
      Likes Received
      14
      Likes Given
      37

      Default Re: Nape vs Lowassa

      jambo ambalo wengi hawalijui ni kuwa lowasa na jk hawana uadui! kumlinganisha na nape ni kama tyson na matumla! lowasa ni mashine ingine, ndie pekee tumaini lililobaki kuiokoa nchi hii...

    12. #49
      Kwedikwezu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 6th June 2011
      Posts : 52
      Rep Power : 413
      Likes Received
      4
      Likes Given
      0

      Default Re: Nape vs Lowassa

      Quote By PauliMasao
      We want leaders with balls! Where is Mubarak today with his rhetoric over the Nile River water rights? Shinyanga, Nzega na Monduli kamwe hawatamsahau.
      huyu bwana na nyerere hawaogopi wala kuwababaikia eti wazungu.........Mwalimu alimpa mzungu 24........baada ya kusema serikali ya tanzania ipo mfukoni mwake......... Lowassa kweli ana uwezo huo pia...

    13. #50
      GodfreyTajiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th September 2010
      Posts : 561
      Rep Power : 551
      Likes Received
      80
      Likes Given
      63

      Default Re: Nape vs Lowassa

      sasa si mngoje siku 90 ziishe ndio
      mtoe tathmini zenu?!
      “Unless power is legitimate there can be no social order“
      P. F. Drucker

    14. #51
      Shark's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 25th January 2010
      Posts : 4,573
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1305
      Likes Given
      245

      Default Re: Nape vs Lowassa

      Hata ile sentensi ya 'watu wasiogope kutoa maamuzi' ilikua ni dongo kwa kina NAPE kua wasiogope, waanze kutoa maamuzi ili yeye ajibu mapigo

    15. #52
      Kapela Msonda's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th May 2009
      Posts : 25
      Rep Power : 526
      Likes Received
      8
      Likes Given
      0

      Default Re: Nape vs Lowassa

      Quote By Ismaily
      Nadhani huu wakati mwafaka kwa NAPE kujiondoa katika chama cha CCM na kujichimbia kaburi,sijui ni nani alimdaganya apambane na CAPITALIST LOWASSA NA WENZAKE WAWILI,kwa tukio la jana LOWASSA kushangiliwa kwa nguvu wakati akichangia hotuba ya waziri mkuu ilionyesha ni jinsi gani mtandao wake ulivyo nanguvu ndani ya wabunge wa CCM na ndiyo ule usemi wa kuwa asilimia 90% ya wabunge wa CCM Anawamiliki yeye jana ulidhihirisha kwa uma,NAPE anawakati mngumu sana.
      WEWEE, UNAISHI ULAYA NINI? Kushangiliwa kule kwa Lowassa kulitolewa pesa mwanangu! Lowassa hafanyi kitu siku hizi bila kuchochea kwa fedha. Makofi mengi aliyopigiwa Bungeni yalilipiwa; mengi yalipigwa na Wazanzibari ambao inaaminika wanarubuniwa kwa urahisi zaidi kuliko Wabunge wengine. Wagawa fedha wakuu walikuwa Pindi Chana, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, na Peter Serukamba, Mjumbe wa NEC ya CCM!

    16. #53
      Godwine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th January 2010
      Location : dar
      Posts : 1,317
      Rep Power : 743
      Likes Received
      217
      Likes Given
      124

      Default Re: Nape vs Lowassa

      Quote By GodfreyTajiri
      sasa si mngoje siku 90 ziishe ndio
      mtoe tathmini zenu?!
      taharifa za chama cha magamba zinasema siku zitasogezwa mpaka 120 na si 90 mkuu , inasemekana kulikuwa na mawasiliano yanayojichanganya kati ya wajumbe wa chama ndio maana wakasema siku 90 na wengine wanasema siku 120......
      lakini ukijaribu kuangalia misimamo ya wakuu wa chama hiki imepungua sana kwani Mukama anasema si lazima kufukuzana ili kuimarisha chama na wajumbe wengine wanasema ni lazima gamba liondoke , na gamba limeweza kuwasiliana na wajumbe wengi wa NEC kuhusu mustakabali wake na kabla ya kundi hili kwenda kwenye NEC litaongea na wanahabari na kuweka msimamo wao

    17. #54
      Godwine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th January 2010
      Location : dar
      Posts : 1,317
      Rep Power : 743
      Likes Received
      217
      Likes Given
      124

      Default Re: Nape vs Lowassa

      Quote By GodfreyTajiri
      sasa si mngoje siku 90 ziishe ndio
      mtoe tathmini zenu?!
      bro sasa tathimini yetu tanayoitoa ni kuwa lowassa bingwa wewe je unasemaje

    18. #55
      baba B's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 4th August 2011
      Posts : 1
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Nape vs Lowassa

      hii beto ni tamu hapa ilipofikia, na ukitaka ufaidi kuiona ni vyema ukaaka kimya jukwaan kama unangalia mieleka vile then mwisho utaona anaechapwa! lets be kwayat tuone mwisho wa mbio hizi

    19. #56
      emmanuel1976's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 17th June 2011
      Location : Mwitongo
      Posts : 152
      Rep Power : 432
      Likes Received
      23
      Likes Given
      19

      Default Re: Nape vs Lowassa

      Lowasa kashika mpini wa kisu, JK na Nape wameshika makali ya kisu..tuvute subira bado kidogo utaona damu
      Heri kufa na fikra iliyo hai kuliko kuishi na fikra iliyo kufa..

    20. #57
      Kaisikii's Avatar
      Member Array
      Join Date : 10th November 2010
      Posts : 74
      Rep Power : 447
      Likes Received
      3
      Likes Given
      1

      Default Re: Nape vs Lowassa

      Quote By Edson
      yule dogo ana siku 11
      za nini tena?tunamwombea sana,nadhani na LOWASSA anamwombea maana siku hizi kaokoka naenda hadi kwa tb joshua nigeria.sema tunoje september si ndo mwisho wa wanaohusika na UFISADI?

    21. #58
      Kaisikii's Avatar
      Member Array
      Join Date : 10th November 2010
      Posts : 74
      Rep Power : 447
      Likes Received
      3
      Likes Given
      1

      Default Re: Nape vs Lowassa

      Quote By godwine
      je nini matokeo ya mnyukano kati ya lowassa na nape katika chama cha magamba? Je nani anaelekea kukimbizwa kwenye chama
      mnyukano au kunyukwa?

    22. #59
      Godwine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th January 2010
      Location : dar
      Posts : 1,317
      Rep Power : 743
      Likes Received
      217
      Likes Given
      124

      Default Re: Nape vs Lowassa

      Quote By NYEGELESHA
      mnyukano au kunyukwa?
      ni mnyukano kwani mwenyekiti na katibu mwenezi dhidi ya mwasisi wa mtandao

    23. #60
      kingukitano's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th July 2011
      Posts : 318
      Rep Power : 460
      Likes Received
      46
      Likes Given
      0

      Default Re: Nape vs Lowassa

      Quote By Mbopo
      Poor analysis. Nani hajui kwamba wengi wa wabunge wa CCM walikuwa-sponsored na Lowassa? Kushangiliwa hakumaanishi chochote zaidi ya wajibu wa wapambe kwa master wao. Mwisho wa yote maamuzi ya chama hayachukuliwi bungeni, ni kwenye vikao vya chama ambavyo tayari vimeshaamua kwamba yeye na wenzake wapotee. Wewe unashangaa yeye kutawala bunge, mbona alipomuondoa Sitta na kujigawia kamati za bunge wote tulijua kwamba vikaragosi wale walikuwa wake? In this contest, losser ni Lowassa na yeye anajua na ndiyo maana anahangaika hata kufikia kufanya outsourcing ya nguvu za giza kutoka Nigeria. Maji ya shingo!
      wewe ulaaniwe kwa kuamini kwako kuwa Lowasa alifuata nguvu za giza Nigeria,una laana kwa Mungu wewe,hivi kweli Poasto wa Nigeria alipokwenda Lowasa ni nguvu za giza,tubu kabla hujapigwa na ghadhabu ya Mungu kwa kiburi chako na kukufuru,Lowasa atawashangaza wengi na hamtaamini

    Page 3 of 14 FirstFirst 1234513 ... LastLast

    Similar Topics

    1. Nape alipogongana na Lowassa leo
      By Sniper in forum Jamii Photos
      Replies: 20
      Last Post: 23rd November 2011, 16:57
    2. Mmh Nape anazidi kumbomoa Lowassa
      By Indume Yene in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 26
      Last Post: 7th November 2011, 11:31
    3. Nape Amdonyoa Lowassa?
      By Ng'wanangwa in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 15
      Last Post: 14th October 2011, 14:04
    4. Nape, tuambie ufisadi wa Lowassa
      By Msema hovyo in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 89
      Last Post: 18th July 2011, 17:13

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...