Je nini matokeo ya mnyukano kati ya LOWASSA na NAPE katika chama cha magamba? je nani anaelekea kukimbizwa kwenye chama
Je nini matokeo ya mnyukano kati ya LOWASSA na NAPE katika chama cha magamba? je nani anaelekea kukimbizwa kwenye chama
kama ni jeshi nape ni chambo hata kikilipuliwa hatatia hasara
CDM wasiwasi wao mkubwa ni lowasa kuwa mgombea wa urais 2015, wanajua kuwa jamaa atachaguliwa kwa 80% au zaidi.
Mi naona CCM iweke mtu asie na mvuto ili CDM isidhalilike kiasi hicho. Lazima vyama vya upinzani vipate hata kura chache ili wasipotee kwenye siasa. Tunahitaji waendelee kuwepo ili misaada iendelee kuja TZ.
Na ni muhimu sana CDM wamuweke mtu mwenye mvuto wa hali ya juu ili wapate hata 30% ya kura.
heee heee waache we wafu wazikwe wafuao
Huyu bwana mdogo anayeitwa nepi namwonea huruma sana. Amewekwa pale kama vuvuzela la jk na yeye anapiga kelele bila kujitambua wakati mwenzie ndiyo anamalizia political life yake. Atakaposikia EL ni rais wa tano wa nchi hii sijui atakimbilia wapi!!
Aaaaaa!nape anapiga kelele tu hana nguvu bado mchanga sana
pesa ndo tatizo.
EL ni mzoefu na Nape ni TV ambayo remote ipo magogoni. Soon hiyo remote battery zitakwisha nguvu, ndio mwisho wa hilo TV. EL for 2015
haaa, Nape ashindanishwe na EL ,siku zote nimekuwa nikisadikishwa niamini kuwa Nape yale yote anayoyasema amekuwa akitumwa basi kama ni kweli basi tutende haki tumpambanishe EL na hao watu wanaoamini wanamtuma huyu Nape. kwani siku zote EL amekaa kimya na kasisitiza ukimya wake ni hekima toka kwa Mungu, ni mara moja tu ndani ya vikao halali vya CCM alipohoji sababu za hao wanaomchafua kutumia fedha za chama na rasilimali zingine kuzunguka nchi nzima na uongozi wa juu kukaa kimya , hali ilikuwa tete heko mzee Mkapa kuokoa jahazi.binafsi nimjuavyo JK anatabia ya kukaa kimya mpumbavu anaporopoka ili aweze kuropoka upumbavu wake wote usipokuwa makini utadhani anamtuma mtu aseme hivyo kumbe hapana.mwisho EL yuko mbele Nape ni mtumishi wa chama .
Ni matusi kumfananisha kanepi na Raisi ajae LOWASA,NEPI HATA UBWABWA WA SHINGO BADO HAUJAMTOKA.
mnyukano na nani? mkuu hivi NAPE unamuweka na Lowassa, plse.....
Lowassa amewekeza katika chama cha Mapinduzi tangu akiwa kijana hadi leo, Nape kateuliwa tu kama mganga njaa na kama mtumishi wa chama hana nafasi yoyote ndani ya chama, kwanza ni MUASI, alianzisha CCJ na mzee wake Sitta yakawashindandiyo kasaidiwa kupewa ukatibu wa tarumbeta na mwenzake uwaziri.
In short huwezi kufanya comparison kaa hizi.... Who is NAPE by the way as far as CCM is concerned? unalingalisha kichuguu na mlima kilimanjaro?
EL, Another Class....you can never reach.. believe me.
msilinganishe kifaranga na jogoo hata siku moja
Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde
One man's good fortune is another man's misfortune
Lowasa hana nguvu kuliko Amin, kuliko Ghadaffi, kuliko Hosni Mubarak, kuliko Arap Moi kuliko......... lakini kawaulize hao waliokuwa wanaitwa ma-giant leo wako wapi?
Nape anaweza kuonekana kama sisimizi na Lowasa kama tembo lakini mnajua sisimizi akimwingilia tembo masikioni nini kinatokea!!
Mbona mnakuwa watu wasio na fikira pevu? Kwa hiyo ile riport ya Mwakyembe mliyoishangilia ilikuwa fake? Whatever! mtu hawezi kufikia level aliyokuwa nayo (PM) halafu akajipima mwenyewe na kuachia ngazi leo tumuone anafaa urais???? I shall be the last to accept this fool...ness. Mjue kuwa kesi ya richmond itafufuliwa tu na mimi mwenyewe kama si mwanangu siku zijazo!
I believe I can fly! JK na fly-overz, EL na sky-scraperz!
Napisha kidigo na wewe kusimamishwa kwa EL. kwawa mgombea wa CCM kutaipa mtermko sana CDM sababu ya moija ni kuwa EL. mbele ya macho ya wengi anaonekana ni mtu mchafu sana Fisadi ambapo CDM watatumia kete kama mtaji wa kumdhofisha alafu la pili ndani ya chama chake haungwi mkono na watu waliojipambanaua kuwa wapambanaji wa ufisadi hivyo kuteuliwa kwa EL.
Kutapasua zaidi CCM kimakundi na kiusalama kuliko wakti mwingine wowote na CCM wanajua hilo hata NAPE pia anajua hilo ndiyo maana wamweanza kamapeni za kushambulia mapema. fikiria ikiwa El atasimamishwa nafasi ya kina NAPE na wenzake wakina SITTA , MEMBE ndani ya CHAMA itakuwaje?
Je watakuwa tayari kwa nguvu zote kumuunga mkono EL.?.
Kwa mtazo wangu kusimamishwa kwa EL. ni pigo kwa CCM zaidi.
Simpendi Huyu ma(m)vi nahisi niliathiriwa na ripoti ya Mwakyembe.
Wajinga ndiyo waliwao.
Wajinga ndiyo waliwao.
Tehh tehh tehh eti panya anapambana na na simba
Follow Us Here