JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Tanzania Automotive Technology (Nyumbu): Si Kama Unavyoifikiria

  Report Post
  Page 2 of 5 FirstFirst 1234 ... LastLast
  Results 21 to 40 of 100
  1. Chamoto's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th December 2007
   Posts : 1,429
   Rep Power : 32372584
   Likes Received
   551
   Likes Given
   371

   Default Tanzania Automotive Technology (Nyumbu): Si Kama Unavyoifikiria

   Magari Ya Nyumbu

   Utengenezaji Wa Minara   Mashine Ya kulimia
   Mashine za Kutengenezea Matofali   Mzee Mwinyi Akikagua
   Mwalimu Akipata Maelezo Kuhusu utangenezaji Wa Vipuri

   Last edited by Chamoto; 24th June 2011 at 04:21.
   If numbers are not beautiful, I don't know what is. - Paul Erdős

  2. NDINDA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Location : behind you
   Posts : 1,921
   Rep Power : 613817
   Likes Received
   1094
   Likes Given
   1054

   Default Re: (TANZANIA AUTOMOTIVE TECHNOLOGY - Nyumbu) Si Kama Unavyoifikiria

   Quote By Amoeba View Post
   VETA na wenyewe bana, wameshindwa walau kukatransform haka kagari kakae kimvuto; hata rangi sijui wamepaka kwa brush kama nyumba!
   teh teh mkuu umeniacha hoi kweli, hilo brush lao litakua matata, teh teh, kama mdau alivyosena hapo juu, hivi vitu visiishie sabasaba tuum, angalau tuanze kutumia

  3. RedDevil's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th April 2009
   Location : Hapa Hapa
   Posts : 1,655
   Rep Power : 975
   Likes Received
   366
   Likes Given
   831

   Default Re: (TANZANIA AUTOMOTIVE TECHNOLOGY - Nyumbu) Si Kama Unavyoifikiria

   Quote By ndetichia View Post
   juhudi ni nzuri ndo myalete sasa mashambani sio tu sabasaba..
   Hakuna haja ya kuwasifu! Yawezekana hiyo gari wameunganisha injini ya gari lingine na board la gari lingine wakaenda kula kodi zetu. Nitawasifia wakifikia hatua ya kuzalisha magari mengi yatakayouzwa hapa hapa nchini na africa mashariki angalau.
   "Never argue with stupid people, they will drag you down to their level and then beat you with experience" Mark Twain

  4. Amoeba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th August 2009
   Posts : 3,333
   Rep Power : 1308
   Likes Received
   558
   Likes Given
   725

   Default Re: (TANZANIA AUTOMOTIVE TECHNOLOGY - Nyumbu) Si Kama Unavyoifikiria

   Ni kweli mkuu NDIDA, VETA wako well funded; wanavifaa vya kila aina, lakini product zao ni kama za mafundi wa mitaani.
   Kama unatazama Discovery Channel, angalia kazi kama za OVERHAULING, au WCC; wakina Ryan wanafanya kazi ambazo kila mtu anasema "wow".
   Name: pontiac68.JPG
Views: 281
Size: 36.5 KB

   Hiyo ni Pontiac ya 1968, before and after!!

  5. BABA JUICE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th September 2010
   Location : HOME
   Posts : 424
   Rep Power : 657
   Likes Received
   44
   Likes Given
   57

   Default Re: (TANZANIA AUTOMOTIVE TECHNOLOGY - Nyumbu) Si Kama Unavyoifikiria

   I hate where this country is heading all the people who are driving this country to the deep hole

  6. RedDevil's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th April 2009
   Location : Hapa Hapa
   Posts : 1,655
   Rep Power : 975
   Likes Received
   366
   Likes Given
   831

   Default Re: (TANZANIA AUTOMOTIVE TECHNOLOGY - Nyumbu) Si Kama Unavyoifikiria

   Quote By BABA JUICE View Post
   I hate where this country is heading all the people who are driving this country to the deep hole
   Me too BABA JUICE, Inahitaji moyo sana kusema natoka Tanzania. Its okay am a Tanzania, lakini inapofikia swali kuwa "Tanzania inasifika kwa kitu gani?" Unasikia moyo unadunda, then unakumbuka Mt. Kilimanjaro, then unaangalia kitu gani tena aaaaaa! unasema labda keshawahi kusikia Serengeti basi unataja Wild-animals basi inakuwa inashangaza sana wanaJF.

   Pamoja na kuwa rasilimali watu inazidi kuongezeka, lakini serikali haisomi alama za nyakati namna ya kucreate opportunities, kulinda afya zao, kuboresha kila sector kwa ajili ya hawa watu. Zaidi kila kitu kimeachwa mikononi mwa watu wenyewe ambao nao wengi wao exposure ni ndogo basi inabaki kuwa mtaji wa kisiasa. We have to declare a state of emergency kila sector, sijui kwa nini bado hatutangaza? Angalia Elimu inavyoshuka kwa Geometric progression with time, Energy sector utadhani kuna watu wamemilikishwa hiyo sector au hakuna watu wengine!!

   Gharama ya hizo gari ukiuliza, utaambiwa bei ya kutupwa sababu, oooooh gharama za vipuli marasijui watu hawayanunui kwa sababu wamezoea magari ya mitumba toka japan, kama ni hivyo rekebisheni policies watu wanunue ya hapa hapa, au boresheni sector ya usafiri kama kumiliki makampuni ya usafirishaji kwenye miji mikubwa kama Dar, Mwanza,Arusha, Mbeya nk na kupiga marufuku uingizwaji holela wa magari nchini.
   Last edited by RedDevil; 5th July 2011 at 18:39.
   "Never argue with stupid people, they will drag you down to their level and then beat you with experience" Mark Twain

  7. NDINDA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Location : behind you
   Posts : 1,921
   Rep Power : 613817
   Likes Received
   1094
   Likes Given
   1054

   Default Re: (TANZANIA AUTOMOTIVE TECHNOLOGY - Nyumbu) Si Kama Unavyoifikiria

   Quote By RedDevil View Post
   Me too BABA JUICE, Inahitaji moyo sana kusema natoka Tanzania. Its okay am a Tanzania, lakini inapofikia swali kuwa "Tanzania inasifika kwa kitu gani?" Unasikia moyo unadunda, then unakumbuka Mt. Kilimanjaro, then unaangalia kitu gani tena aaaaaa! unasema labda keshawahi kusikia Serengeti basi unataja Wild-animals basi inakuwa inashangaza sana wanaJF.

   Pamoja na kuwa rasilimali watu inazidi kuongezeka, lakini serikali haisomi alama za nyakati namna ya kucreate opportunities, kulinda afya zao, kuboresha kila sector kwa ajili ya hawa watu. Zaidi kila kitu kimeachwa mikononi mwa watu wenyewe ambao nao wengi wao exposure ni ndogo basi inabaki kuwa mtaji wa kisiasa. We have to declare a state of emergency kila sector, sijui kwa nini bado hatutangaza? Angalia Elimu inavyoshuka kwa Geometric progression with time, Energy sector utadhani kuna watu wamemilikishwa hiyo sector au hakuna watu wengine!!

   Gharama ya hizo gari ukiuliza, utaambiwa bei ya kutupwa sababu, oooooh gharama za vipuli marasijui watu hawayanunui kwa sababu wamezoea magari ya mitumba toka japan, kama ni hivyo rekebisheni policies watu wanunue ya hapa hapa, au boresheni sector ya usafiri kama kumiliki makampuni ya usafirishaji kwenye miji mikubwa kama Dar, Mwanza,Arusha, Mbeya nk na kupiga marufuku uingizwaji holela wa magari nchini.
   mkuu umenena

  8. Viper's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st December 2007
   Location : Zaragoza (Spain)
   Posts : 3,658
   Rep Power : 3561
   Likes Received
   1287
   Likes Given
   850

   Default Re: (TANZANIA AUTOMOTIVE TECHNOLOGY - Nyumbu) Si Kama Unavyoifikiria

   Quote By Chamoto View Post
   Kwakweli maswali yako magumu kidogo labda ungeenda hapa kupata maelezo zaidi
   mkuu website yao nadhani ipo on trial... hakuna info yoyote zaidi ya picha kwenye tab moja TU... other tabs zinasema page ipo under construction tembelea siku nyingine .. hawapo serious jamaa
   “Not only am I better looking….I’m just plain better.”
   Arsenal My heart Juventus My soul

  9. King'asti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th November 2009
   Location : Masaini
   Posts : 26,141
   Rep Power : 429502271
   Likes Received
   20925
   Likes Given
   10494

   Default

   itakuwa ajabu kama watakuwa na website! ukiingia kule ndani kwenye site yao,ukaona hali iliyopo na ukaongea na wafanyakazi: unaweza dondosha chozi. inshort hakuna tofauti na mashirika mengine ya umma.kuna vifaa vya nguvu,vinaoga vumbi tu! mwalimu alikuwa na ndoto kweli juu ya nchi hii,inawezekana kufifishwa kwa ndoto zake ndo kulimuondoa haraka,mbona mugabe anadunda hadi leo jamani!
   Quote By Viper View Post
   mkuu website yao nadhani ipo on trial... hakuna info yoyote zaidi ya picha kwenye tab moja TU... other tabs zinasema page ipo under construction tembelea siku nyingine .. hawapo serious jamaa

  10. Mzee Mwanakijiji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th March 2006
   Location : Kijijini
   Posts : 32,117
   Rep Power : 87995664
   Likes Received
   24668
   Likes Given
   13382

   Default Re: (TANZANIA AUTOMOTIVE TECHNOLOGY - Nyumbu) Si Kama Unavyoifikiria

   Hivi hamjajiuliza kwanini mabingwa wa ubinafsishaji na uwekezaji hawajajitahidi kufanya ushirikiano na Wajapani, Wamarekani au hata Wachina kutengeneza magari hapo Bongo kwenye hii Nyumbu na kufanya kufikia International Standard? Hata kuwa na kiwanda cha kuunganisha magari mengine tu, mbona utaalamu umekuwepo nchini kwa muda mrefu tu.. au watu wamesahau kuunganisha Maskania na ma Leyland?
   [email protected]
   The Best of Tanzanian Socio-Political Blogging - http://www.mwanakijiji.com

  11. UmkhontoweSizwe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th December 2008
   Posts : 2,569
   Rep Power : 1176
   Likes Received
   809
   Likes Given
   465

   Default Re: (TANZANIA AUTOMOTIVE TECHNOLOGY - Nyumbu) Si Kama Unavyoifikiria

   Hakuna kitu kimoja ambacho sisi tunaweza tukafanya seriously.

  12. Mtazamaji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th February 2008
   Location : global village
   Posts : 5,978
   Rep Power : 1907
   Likes Received
   1354
   Likes Given
   2657

   Default Re: (TANZANIA AUTOMOTIVE TECHNOLOGY - Nyumbu) Si Kama Unavyoifikiria

   Quote By Viper View Post
   mkuu website yao nadhani ipo on trial... hakuna info yoyote zaidi ya picha kwenye tab moja TU... other tabs zinasema page ipo under construction tembelea siku nyingine .. hawapo serious jamaa
   Nadhani dhumuni lao ni maonyesho tuu. teh teh teh. na unajua haya mambo ya JW ukihoji watu wanasema si mzalendo.

   Quote By Mzee Mwanakijiji View Post
   Hivi hamjajiuliza kwanini mabingwa wa ubinafsishaji na uwekezaji hawajajitahidi kufanya ushirikiano na Wajapani, Wamarekani au hata Wachina kutengeneza magari hapo Bongo kwenye hii Nyumbu na kufanya kufikia International Standard? Hata kuwa na kiwanda cha kuunganisha magari mengine tu, mbona utaalamu umekuwepo nchini kwa muda mrefu tu.. au watu wamesahau kuunganisha Maskania na ma Leyland?
   Tudokezee mkuuu

   kwa nn wakuu wetu hawaombi japan hata protype a kuwezesha watu na viwanda binafsi watengeneze japo seat cover za magari ya kijapan kwa ajili ya soko Tanzania

  13. Idimi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th March 2007
   Location : Ikwiriri
   Posts : 7,542
   Rep Power : 85915142
   Likes Received
   2004
   Likes Given
   1025

   Default Re: (TANZANIA AUTOMOTIVE TECHNOLOGY - Nyumbu) Si Kama Unavyoifikiria

   Nilipita katika kiwanda cha nyumbu mnamo mwaka 2009, jamaa wana vifaa vya kutosha kuweza kutengeneza mitambo yenye manufaa kwa nchi. Hayo maswali mliyohoji hapo juu nilimhoji mhandisi mmoja (nitamhifadhi jina), akasema kwamba serikali ya Mwalimu enzi hizo ilisomesha wahandisi wengi wa uundaji wa magari katika nchi zenye viwanda vya magari, lakini hatujatilia mkazo kuendeleza elimu ile kwa vitendo. Ukiachilia magari, nyumbu wanatengeneza vifaa vingi tu vya kilimo, kimsingi ni wazuri, wamekosa uwezeshaji tu!
   A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man!
   [email protected]

  14. RedDevil's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th April 2009
   Location : Hapa Hapa
   Posts : 1,655
   Rep Power : 975
   Likes Received
   366
   Likes Given
   831

   Default Re: (TANZANIA AUTOMOTIVE TECHNOLOGY - Nyumbu) Si Kama Unavyoifikiria

   Quote By Idimi View Post
   Nilipita katika kiwanda cha nyumbu mnamo mwaka 2009, jamaa wana vifaa vya kutosha kuweza kutengeneza mitambo yenye manufaa kwa nchi. Hayo maswali mliyohoji hapo juu nilimhoji mhandisi mmoja (nitamhifadhi jina), akasema kwamba serikali ya Mwalimu enzi hizo ilisomesha wahandisi wengi wa uundaji wa magari katika nchi zenye viwanda vya magari, lakini hatujatilia mkazo kuendeleza elimu ile kwa vitendo. Ukiachilia magari, nyumbu wanatengeneza vifaa vingi tu vya kilimo, kimsingi ni wazuri, wamekosa uwezeshaji tu!
   We need more detail about this! kwa sababu yawezekana wanawezeshwa lakini kuna bomba kubwa la kumeza pesa yote (aka kuna ufisadi) hivyo malengo yanakuwa hayatekelezwi, au wakati mwingine hakuna motivation/creativity kwenye kuwafanya watu wenye sifa sahihi kufanya kazi pale. So someone with more detail about their cash-flow at nyumbu, naimani kuna wazalendo wengi watatujuza japo kwa ufupi.
   "Never argue with stupid people, they will drag you down to their level and then beat you with experience" Mark Twain

  15. Amoeba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th August 2009
   Posts : 3,333
   Rep Power : 1308
   Likes Received
   558
   Likes Given
   725

   Default Re: (TANZANIA AUTOMOTIVE TECHNOLOGY - Nyumbu) Si Kama Unavyoifikiria

   Quote By Mzee Mwanakijiji View Post
   Hivi hamjajiuliza kwanini mabingwa wa ubinafsishaji na uwekezaji hawajajitahidi kufanya ushirikiano na Wajapani, Wamarekani au hata Wachina kutengeneza magari hapo Bongo kwenye hii Nyumbu na kufanya kufikia International Standard? Hata kuwa na kiwanda cha kuunganisha magari mengine tu, mbona utaalamu umekuwepo nchini kwa muda mrefu tu.. au watu wamesahau kuunganisha Maskania na ma Leyland?
   Kweli mkuu, nakkumbuka zamani tulikuwa na asembly za magari hapa hapa; SCANIA, NISSAN PATROL, right? Hivi baiskeli za Swala zilitengenezwa hapa ama? Leo kuna sababu gani ya kuhalalisha vifo vya Viwanda kama hivi ambavyo obviously bei za bidhaa zao zingekuwa cheap kuliko za kutoka China na Japan?..........SAD, SO SAAAAAD!

  16. mbweta's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th December 2010
   Posts : 602
   Rep Power : 680
   Likes Received
   68
   Likes Given
   3

   Default Re: (TANZANIA AUTOMOTIVE TECHNOLOGY - Nyumbu) Si Kama Unavyoifikiria

   Nyumbu kwenyewe miaka kumi wanatengeneza gari moja.

  17. Babkey's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th December 2010
   Posts : 2,645
   Rep Power : 1177
   Likes Received
   591
   Likes Given
   253

   Default

   Quote By Amoeba View Post
   Kweli mkuu, nakkumbuka zamani tulikuwa na asembly za magari hapa hapa; SCANIA, NISSAN PATROL, right? Hivi baiskeli za Swala zilitengenezwa hapa ama? Leo kuna sababu gani ya kuhalalisha vifo vya Viwanda kama hivi ambavyo obviously bei za bidhaa zao zingekuwa cheap kuliko za kutoka China na Japan?..........SAD, SO SAAAAAD!
   Sukari yatengenezwa hapa hapa kadhalika saruji ila bei yake, mh!

  18. lukindo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th March 2010
   Posts : 3,732
   Rep Power : 1344
   Likes Received
   1528
   Likes Given
   2078

   Default Re: (TANZANIA AUTOMOTIVE TECHNOLOGY - Nyumbu) Si Kama Unavyoifikiria

   Mawazo mazuri sana mkuu lakini fikiria mfano huu, Shule Form I-IV ni miaka 4 na kila likizo huwa ni week 4 na likizo fupi week 1. Lakini fikiria kama ungelienda likizo (baada ya form I) kwa miezi 40 ungeliweza kuendelea na hiyo shule baada ya likizo??
   Ukiangalia China tangia walivyoshika kasi (enzi za Mao) hawakuwahi kwenda likizo lakini sisi tangia Mwalimu alivyoondoka akaondoka na hata mawazo mazuri kama haya. Sasa wasi wasi wangu ni kuwa miaka 27 ya 'likizo' tangia alivyoondoka kweli bado tunayakumbuka tuliyoanza nayo au tunahitaji kuanza tena na moja!?

   Quote By NDINDA View Post
   Nyerere alikuwa na dira akaona haja ya kuwa na kiwanda hicho, Warithi ni kama vile wamekitelekeza sana, wakumbuke kuwa hakuna maendeleo popote duniani bila ya kuwa na mageuzi ya Sayansi na Tekinolojia.
   Quote By NDINDA View Post
   mkuu umenena, mbali na yutong hapa china, ukiwa mitaani utagundua kwamba magari yote maarufu duniani ni wameassemble hapa hapa kwao, mfano kila mji unakiwanda kinachoassemble magari brand flani utakuta beijing hyundai, beiijing jeep, beijing benz , huko guangzhou ambako ndio moyo wa china unadunda ndio usiseme, guangzhou toyota, guangzhou honda, nk, pia unakuta wanatumia kampuni zao hizi kununua kampuni kubwa kubwa, mfano geely ya china ishanunua volvo, sasa hivi wanazifyatua hpahapa kama matofali, sichuan waliikosa kosa hummer mwaka jana na ingeshanunuliwa, hapo shanghai ndio usiseme VW(shanghai volkswagen), kila kitu kinawezekana kma serikali inasupport, china makampuni yana support kubwa sana kutoka serikalini (chama ,teh teh)ingawa wengi hawakipendi kama sisi tusivyopenda ccm. lakini ccm huwezi kulinganisha na hiki cha china

  19. MduduWashawasha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th March 2008
   Location : Dar es salaam
   Posts : 659
   Rep Power : 835
   Likes Received
   76
   Likes Given
   9

   Default Re: (TANZANIA AUTOMOTIVE TECHNOLOGY - Nyumbu) Si Kama Unavyoifikiria

   Hizo Nyumbo zikitestiwa toka kibaha kufika Mto wami huwa ni mbinde

  20. Viper's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st December 2007
   Location : Zaragoza (Spain)
   Posts : 3,658
   Rep Power : 3561
   Likes Received
   1287
   Likes Given
   850

   Default Re: (TANZANIA AUTOMOTIVE TECHNOLOGY - Nyumbu) Si Kama Unavyoifikiria

   Quote By mbweta View Post
   Nyumbu kwenyewe miaka kumi wanatengeneza gari moja.
   hahaha acha dharau mkuu ....
   “Not only am I better looking….I’m just plain better.”
   Arsenal My heart Juventus My soul

  21. Chamoto's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th December 2007
   Posts : 1,429
   Rep Power : 32372584
   Likes Received
   551
   Likes Given
   371

   Default Re: (TANZANIA AUTOMOTIVE TECHNOLOGY - Nyumbu) Si Kama Unavyoifikiria

   Quote By MduduWashawasha View Post
   Hizo Nyumbo zikitestiwa toka kibaha kufika Mto wami huwa ni mbinde
   Sijui hapa nicheke au nisikitike
   If numbers are not beautiful, I don't know what is. - Paul Erdős

  Page 2 of 5 FirstFirst 1234 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Tanzania Information Technology Association
   By PlanckScale in forum Tech, Gadgets & Science Forum
   Replies: 3
   Last Post: 24th August 2014, 00:20
  2. Finland boosts Tanzania technology sector
   By Maxence Melo in forum Tech, Gadgets & Science Forum
   Replies: 5
   Last Post: 5th October 2011, 00:07
  3. Tanzania won on technology advances competiton
   By Pukudu in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
   Replies: 6
   Last Post: 21st August 2011, 22:57
  4. Replies: 5
   Last Post: 29th November 2010, 08:22

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...