Zitto awasilisha Bungeni hoja kuhusu Zimbabwe - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Public Forums > Jukwaa la Siasa


Jukwaa la Siasa Tanzania & World Politics General Discussion Forum. You need to be registered in order to post your comment(s)


Reply
 
LinkBack Thread Tools Rate Thread Display Modes
Old 23rd June 2008, 01:30 PM   #1
Zitto awasilisha Bungeni hoja kuhusu Zimbabwe
Mpita Njia Mpita Njia is offline 23rd June 2008, 01:30 PM

Zitto Kabwe leo asubuhi amewasilisha hoja akitiliataka Bunge kuacha shughuli nyingine ili kujadili hali ya kisiasa na kidemokrasia inayotokea Zimbabwe kwa maelezo kuwa hiyo ni dharura.

Zitto amejenga hoja yake chini ya mambo yanayotokea nchini humo, an uamuzi wa Zimbabwe kumuondoa balozi wake nchini, siku chache baada ya membe kutoa msimamo wa nchi dhidi ya yanayofanywa na serikali ya Zimbabwe.

Amesema uamuzi wa Zimbabwe kumuondoa balozi wake ni sawa na kutangaza vita ya kidemokrasia na kuna uwezekano hata balozi wa Tanzania huko Zimbabwe akawa hatarini.

Amesema vitendo na Kauli ya Serikali ya Zimbabwe kwamba ZANU PF haiwez\i kuachia madaraka hata ikishindwa uchaguzi inaashiria shari na "viongozi kama akina Mugabe ambao walikuwa na heshima kubwa na mfano wa kuigwa kwa viongozi vijana wa Afrika, wanapofanya vitendo kama hivyo anavyofanya sasa wanatutia aibu na kulichafua bara la Afrika."

Kwa maana hiyo, Zitto alitoa hoja kuwa Bunge lijadili kwa ufupi hali hiyo ya Zimbabwe na kwamba balozi wa Tanzania aliyeko harare arudi nyumbani mara moja ili kuonyesha Zimbabwe, Afrika na Dunia kwa ujumla kwamba Tanzania ipo thabiti katika kulinda demokrasia na haki za binadamu.

Lakini, pamoja na kukiri kuwa hoja hiyo ni nzito, Spika alisema kuwa haitaweza kujadiliwa Bungeni moja kwa moja hivyo ameipeleka kqwenye Kamati ya Mambo ya Nje, ikajadiliwe huko kwanza kabla ya kuchukua hatua zaidi.

Mpita Njia
JF Premium Member
Points: 743,785, Level: 100 Points: 743,785, Level: 100 Points: 743,785, Level: 100
Activity: 5% Activity: 5% Activity: 5%
Join Date: Mon Mar 2008
Posts: 3,161
Thanks: 82
Thanked 101 Times in 66 Posts
Views: 1869
Reply With Quote
  #2  
Old 23rd June 2008, 01:54 PM
Lunyungu Lunyungu is offline
Lunyungu Kisu Kikali Mno
JF Senior Expert Member
Points: 1,697,655, Level: 100 Points: 1,697,655, Level: 100 Points: 1,697,655, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Tue Dec 2006
Location: Malampaka
Posts: 4,706
Thanks: 1
Thanked 205 Times in 111 Posts
Rep Power: 33
Lunyungu will become famous soon enoughLunyungu will become famous soon enoughLunyungu will become famous soon enoughLunyungu will become famous soon enoughLunyungu will become famous soon enoughLunyungu will become famous soon enoughLunyungu will become famous soon enoughLunyungu will become famous soon enough
Default Re: Zitto awasilisha Bungeni hoja kuhusu Zimbabwe

Wacha tungoje kusikia watasema nini .Kama kawaida hoja imetolewa na Mpinzani wana ogopa kama nini .Hali ya Zimb ni mbaya sana .
Reply With Quote
  #3  
Old 23rd June 2008, 02:03 PM
WildCard WildCard is offline
WildCard has no status.
JF Premium Member
Points: 118,432, Level: 100 Points: 118,432, Level: 100 Points: 118,432, Level: 100
Activity: 11% Activity: 11% Activity: 11%
 
Join Date: Tue Apr 2008
Posts: 1,482
Thanks: 39
Thanked 323 Times in 191 Posts
Rep Power: 24
WildCard will become famous soon enoughWildCard will become famous soon enoughWildCard will become famous soon enoughWildCard will become famous soon enoughWildCard will become famous soon enoughWildCard will become famous soon enoughWildCard will become famous soon enoughWildCard will become famous soon enough
Default Re: Zitto awasilisha Bungeni hoja kuhusu Zimbabwe

Tumemlea wenyewe Mugabe hasa wakati wa utawala wa Mkapa kama Marekani ilivyofanya kwa Osama kabla hajawageuka. Jeshi na vyombo vyote vya Usalama nchini Zimbabwe vinamtaka Mugabe, Mke wake naye anataka aendelee kuwa First Lady kwa kuwa umri unamruhusu na kuna watu ndani ya utawala wa Mugabe wanafaidika sana, wanataka mzee huyu afie madarakani.
Reply With Quote
  #4  
Old 23rd June 2008, 02:10 PM
Mwikimbi Mwikimbi is offline
Mwikimbi hakuna aliye bora kuliko taifa lake
JF Senior Expert Member
Points: 339,417, Level: 100 Points: 339,417, Level: 100 Points: 339,417, Level: 100
Activity: 1% Activity: 1% Activity: 1%
 
Join Date: Sat Mar 2008
Posts: 823
Thanks: 0
Thanked 33 Times in 8 Posts
Rep Power: 24
Mwikimbi will become famous soon enoughMwikimbi will become famous soon enoughMwikimbi will become famous soon enoughMwikimbi will become famous soon enoughMwikimbi will become famous soon enoughMwikimbi will become famous soon enoughMwikimbi will become famous soon enoughMwikimbi will become famous soon enough
Default Re: Zitto awasilisha Bungeni hoja kuhusu Zimbabwe

umesahau kuwa huyu ni jongwe wazee? jogoo huyu anawika na kusikika kwa mbali. wanaomjua mugabe wanajua kuwa ni dikteta wa siku nyingi ndo maana hico chama kimepasuka toka zanu-pf toka zanu original ya yule marehemu nimemesahau, ambaye walichuma na mugabe baadaye akampeleka kizuizini mpaka akafia huko

mugabe anavyoonekana kwa nje utadhani ni bonge la shujaa, lakini anapelekwa puta na wamama ile mbaya. marehemu sally yule mke wa kwanza mghana ali-saidia sana ku-contain, lakini huyu secretary wake cum first lady ndo kwanza anasema mzee haondoki madarakani labda atolewe akiwa kwenye jeneza. sasa wewe kama morgan tsangarai uende kwenye uchaguzi kufanya nini?
Reply With Quote
  #5  
Old 23rd June 2008, 02:30 PM
Kungurumweupe Kungurumweupe is offline
Kungurumweupe is Independent minded
JF Senior Expert Member
Points: 81,017, Level: 100 Points: 81,017, Level: 100 Points: 81,017, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Tue Jun 2008
Posts: 311
Thanks: 0
Thanked 10 Times in 7 Posts
Rep Power: 22
Kungurumweupe will become famous soon enoughKungurumweupe will become famous soon enoughKungurumweupe will become famous soon enoughKungurumweupe will become famous soon enoughKungurumweupe will become famous soon enoughKungurumweupe will become famous soon enoughKungurumweupe will become famous soon enoughKungurumweupe will become famous soon enough
Post Re: Zitto awasilisha Bungeni hoja kuhusu Zimbabwe

Quote:
View Post
umesahau kuwa huyu ni jongwe wazee? jogoo huyu anawika na kusikika kwa mbali. wanaomjua mugabe wanajua kuwa ni dikteta wa siku nyingi ndo maana hico chama kimepasuka toka zanu-pf toka zanu original ya yule marehemu nimemesahau, ambaye walichuma na mugabe baadaye akampeleka kizuizini mpaka akafia huko

mugabe anavyoonekana kwa nje utadhani ni bonge la shujaa, lakini anapelekwa puta na wamama ile mbaya. marehemu sally yule mke wa kwanza mghana ali-saidia sana ku-contain, lakini huyu secretary wake cum first lady ndo kwanza anasema mzee haondoki madarakani labda atolewe akiwa kwenye jeneza. sasa wewe kama morgan tsangarai uende kwenye uchaguzi kufanya nini?
Mkuu nakubaliana na hoja zako, lakini kwa jinsi ninavoijua Zimbabwe na interest za Uingereza na US kwa nchi hiyo, nalazimika kusema kwamba ni heri Mugabe akaendelea kuitawala nchi hiyo hata kwa miaka minne zaidi.

MUNGU IBARIKI ZIMBABWE.
Reply With Quote
  #6  
Old 23rd June 2008, 02:34 PM
Tuandamane Tuandamane is offline
Tuandamane has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 154,013, Level: 100 Points: 154,013, Level: 100 Points: 154,013, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Sat Feb 2008
Location: Every where
Posts: 1,146
Thanks: 7
Thanked 19 Times in 7 Posts
Rep Power: 25
Tuandamane will become famous soon enoughTuandamane will become famous soon enoughTuandamane will become famous soon enoughTuandamane will become famous soon enoughTuandamane will become famous soon enoughTuandamane will become famous soon enoughTuandamane will become famous soon enoughTuandamane will become famous soon enough
Default Re: Zitto awasilisha Bungeni hoja kuhusu Zimbabwe

Zitto nakuelewa lakn naona kama unachanganya bana...... mi naona danadana tu zinazidi kwenye ishu ya EPA, weka vitu hapo bungeni, wabaneni hao jamaa, uliruhusu ishu ya zim ije hapo una maana umewafurahisha maana ishu ya EPA ndo watakuwa wanaipatia muda wa kuiundia uongo, kuhusu balozi ... wote wezi tu hao, watajuana wenyewe aje au asije, lkn kwanza tunataka EPA na RICHMOND vieleweke kwanza.........
Reply With Quote
  #7  
Old 23rd June 2008, 02:37 PM
Tuandamane Tuandamane is offline
Tuandamane has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 154,013, Level: 100 Points: 154,013, Level: 100 Points: 154,013, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Sat Feb 2008
Location: Every where
Posts: 1,146
Thanks: 7
Thanked 19 Times in 7 Posts
Rep Power: 25
Tuandamane will become famous soon enoughTuandamane will become famous soon enoughTuandamane will become famous soon enoughTuandamane will become famous soon enoughTuandamane will become famous soon enoughTuandamane will become famous soon enoughTuandamane will become famous soon enoughTuandamane will become famous soon enough
Default Re: Zitto awasilisha Bungeni hoja kuhusu Zimbabwe

Quote:
View Post
Tumemlea wenyewe Mugabe hasa wakati wa utawala wa Mkapa kama Marekani ilivyofanya kwa Osama kabla hajawageuka. Jeshi na vyombo vyote vya Usalama nchini Zimbabwe vinamtaka Mugabe, Mke wake naye anataka aendelee kuwa First Lady kwa kuwa umri unamruhusu na kuna watu ndani ya utawala wa Mugabe wanafaidika sana, wanataka mzee huyu afie madarakani.
Na istoshe Tabia za Mugabe ni kopi rait ya CCM....
Reply With Quote
  #8  
Old 23rd June 2008, 02:39 PM
Mfwatiliaji Mfwatiliaji is online now
Mfwatiliaji has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 110,508, Level: 100 Points: 110,508, Level: 100 Points: 110,508, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Fri Oct 2007
Posts: 376
Thanks: 172
Thanked 7 Times in 5 Posts
Rep Power: 23
Mfwatiliaji will become famous soon enoughMfwatiliaji will become famous soon enoughMfwatiliaji will become famous soon enoughMfwatiliaji will become famous soon enoughMfwatiliaji will become famous soon enoughMfwatiliaji will become famous soon enoughMfwatiliaji will become famous soon enoughMfwatiliaji will become famous soon enough
Default Re: Zitto awasilisha Bungeni hoja kuhusu Zimbabwe

Quote:
View Post
Mkuu nakubaliana na hoja zako, lakini kwa jinsi ninavoijua Zimbabwe na interest za Uingereza na US kwa nchi hiyo, nalazimika kusema kwamba ni heri Mugabe akaendelea kuitawala nchi hiyo hata kwa miaka minne zaidi.

MUNGU IBARIKI ZIMBABWE.
Nadhani term ya uraisi zimbabwe ni miaka 7 unless wamebadili hivi karibuni
Reply With Quote
  #9  
Old 23rd June 2008, 02:50 PM
Alois Laizer M Alois Laizer M is offline
Alois Laizer M has no status.
Member
Points: 68,652, Level: 100 Points: 68,652, Level: 100 Points: 68,652, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Wed Jun 2008
Location: Arusha
Posts: 19
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
Alois Laizer M will become famous soon enoughAlois Laizer M will become famous soon enoughAlois Laizer M will become famous soon enoughAlois Laizer M will become famous soon enoughAlois Laizer M will become famous soon enoughAlois Laizer M will become famous soon enoughAlois Laizer M will become famous soon enoughAlois Laizer M will become famous soon enough
Send a message via ICQ to Alois Laizer M Send a message via AIM to Alois Laizer M Send a message via Skype™ to Alois Laizer M
Default Re: Zitto awasilisha Bungeni hoja kuhusu Zimbabwe

Haya tena! Bado tuna ya kwetu yanatuzibu bado tunataka kuingilia ya wengine. Huu si ulimbukeni jamani wa Kisiasa? wakati unafanya forecasting ya nchi yako unahitajika kukocentrate hilo kwanza mambo mengine baadaye.

Mimi nafikiri hiyo ni hoja muhimu sana lakini sio sasa, muda wake bado.
Reply With Quote
  #10  
Old 23rd June 2008, 03:04 PM
nat867 nat867 is offline
nat867 tupo pamoja
Senior Member
Points: 164,671, Level: 100 Points: 164,671, Level: 100 Points: 164,671, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Thu Feb 2008
Posts: 97
Thanks: 0
Thanked 16 Times in 4 Posts
Rep Power: 23
nat867 will become famous soon enoughnat867 will become famous soon enoughnat867 will become famous soon enoughnat867 will become famous soon enoughnat867 will become famous soon enoughnat867 will become famous soon enoughnat867 will become famous soon enoughnat867 will become famous soon enough
Default Re: Zitto awasilisha Bungeni hoja kuhusu Zimbabwe

Natofautiana na wote ambao wanaona haina haja ya kujadili suala la zim.
Hamuoni viashiria vya vita kutokea zim. Au mnasubiri kuomboleza baada ya kuona majeneza ya watanzania wanaoishi/kufanya kazi zim?
Au mnasema tusubiri ili tujenge makambi ya wakimbizi wa Zim pale mbeya na kwingineko?
Zitto upo right, suala hili ni nyeti lijadiliwe haraka na serikali ifanye jitihada kurudisha wa-tz kabla vita haijaanza.Maana viashiria vinaonyesha.
Zitto nakupongeza kwa wazo lako bungeni
__________________
Tanzania= shamba la bibi...
"Uungwana ni matendo"- raia mwema
Reply With Quote
Reply

Bookmarks

Tags
awasilisha, bungeni, hoja, kuhusu, zimbabwe, zitto


Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes Rate This Thread
Rate This Thread:

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On


Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
BoT Scandal: Tulikotoka, Tulipo, Tunakoelekea Maxence Melo Jamii Intelligence 3079 12th November 2009 08:12 AM
Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi Mzee Mwanakijiji Jamii Intelligence 3235 7th November 2009 02:18 AM
Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future! Lunyungu International Forum 732 27th December 2008 09:17 AM
Kabwe Zitto ni msaliti wa Upinzani? Kithuku Habari na Hoja mchanganyiko 5 1st December 2007 06:36 PM
Mtandao kuanza kumchafua Zitto! Bro,Jay4 Jukwaa la Siasa 21 22nd September 2007 06:07 AM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!


All times are GMT +3. The time now is 07:56 PM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com