| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 142
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Niliiona clip ya hiyo story BBC, wanasema Mmarekani kakipata hicho kijipande cha jua kutoka Serikali ya Tanzania. Nani kampa? Kauziwa shilingi ngapi huyo Mmarekani jamani? Si tungekitunza tu, kieleweke? Inafedhehesha ile mbaya yani. |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Huyo mBongo aliyeiuza kwa mMarekani anabembea siku nyingi kwenye $$$$$$ ............inaelekea ni mtu "selfish" sana.......Story kama hii inaudhi sana.
|
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Na ndio maana nilitaka kujua pamoja na mambo mengine...Sirkali imewapa nini wamarkanii!
__________________
Res Ipsa Loquitur- "Our POVERTY is the EVIDENCE to the NEGLIGENCE of OURLEADERS" The facts speaks for themselves. |
|
#5
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
__________________
Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo |
|||||||||||||||
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Tukisha recover je tutaenda kuomba Ivuna yetu irudi ama ndiyo imetoka .JK na hili atasema ni siri za Serikali ? Ndiyo wanataka tukae kimya kwa njia hii kweli ?
|
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Jamani kabala ya kulaumu tujue kwanini ipo huko. Labda hatuihitaji au hatuwezi kuitunza. toeni benefit of doubt kwanza.
__________________
A positive thinker! |
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Inawezekana ni some Barrick Gold walipewa tax holiday, wakachukua meteorite kiulaini bila hata kulipia...
__________________
Pundit is sitting out Christmas |
|
#9
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Aliigundua Sinclair, akaichukua. LOL
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 01:50 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||