Gazeti la CCM, Uhuru leo limechapisha habari hii, kuwa mtuhumiwa wa ufisadi alikwenda Nigeria kuombewa. naona limeanza kuwaandaman mapacha watatu, na hii ni ishara kuwa mkakati wa kuwatema uko jikoni.
Gazeti la CCM, Uhuru leo limechapisha habari hii, kuwa mtuhumiwa wa ufisadi alikwenda Nigeria kuombewa. naona limeanza kuwaandaman mapacha watatu, na hii ni ishara kuwa mkakati wa kuwatema uko jikoni.
Kwa nini hawakumtaja kama kweli wanamaanisha?
A MAN'S BEST OR WORST CHOICE IN LIFE IS HIS WIFE
Mie nakaa mkao wa kula sasa.
Lowassa amekwenda Nigeria kusimikwa rasmi kuwa IGWE
"Esprit de Corps"
Zinakaribia karibia 39 kuingia 40
mimi na tanzania, wakati mwingine wanasiasa wanatupotezea muda..
Vita vya panzi neema kwa kunguru
Naona wanazidi kumchokonoa jamaa, ngoja awarudi.
hilo ndio gazeti kongwe la chama cha mapinduzi..
my take; wanambip EL akiwapigia wasijeshindwa kupokea tu
''Mipango na Mikakati imekamilika na sasa tuko kwenye mchakato wa mazungumzo na wafadhili"- M Pinda
umejuaje kuwa ni lowassa wakati gazeti halijataja jina lake?
Hivi Liwassa ni mtuhumiwa wa mkataba wa Richmond au ufisadi? Ufisadi ni tuhuma nzito
Wana ccm aka magamba chekeleeni tu, lakini jamaa ndio kashika mpini wengine wote mmeshika makali sasa kazi kwenu, hakuna mjanja kati yenu zaidi yake, hata mkuu wa kaya.
A wise man will make more opportunities than he finds:
Lazima tujue akilini kuwa huyu jamaa alikuwa waziri mkuu na ndiye kamwingiza JK madarakani hivyo anajua rafu zote zilivyochezwa so itakua mbwai kwa mkuu wa kaya kama akijibu mapigo.
Follow Us Here