hivi jamani REDET na ile kampuni iliyokuwa inafanya utafiti wa kujua hali na joto la kisiasa iko wapi sasa? tunataka tupate updates jamani... au walitumwa? si walisema huwa wanafanya kila baada ya miezi 3?
hivi jamani REDET na ile kampuni iliyokuwa inafanya utafiti wa kujua hali na joto la kisiasa iko wapi sasa? tunataka tupate updates jamani... au walitumwa? si walisema huwa wanafanya kila baada ya miezi 3?
REDET ni kampuni ya kisiasa zaidi ya utafiti kwa manufaa ya taifa huwa inafanyakazi kwa malengo na muda watakaoelekezwa na majibu huwa tayari wameshapangiwa.
na sasa hawana wa kuwapa kazi hiyo maana magamba yanapakatika. mweee
Wasomi wetu bwana! Yani tafiti inafanywa kwa maslahi ya magamba usomi wote pembeni, mimi nafikiri ingepasa kuwe na utaratibu wa kuwanyang'anya maprofesa uprofesa wao, haiwezekani kuwa na tafiti za kishenzi kama za redet
Redet wamefulia na wamebaki kuwa gamba gumu,wafadhiri walishajitoa siku nyingi ktk kuwapa pesa za kuendesha tafiti zao zenye majibu ya kupangwa.
Na Dr bana anafanya nini maana yeye ndie ganba la redet hasa
Dr Slaa alisema ataibomoa kuanzi hapa dar mpaka kwa wafadhiri! Watu wakabisha, sasa ipo wapi?
Wafadhili wao wakubwa NORWAY nadhani wamekata mrija wa fund baada ya kuwagundua wako kimagamba magamba.
Baadhi ya wasomi wa hapa bongo ni mashushushu, hawa ndio wenye nyadhifa za kuongoza taasisi mbalimbali za serkali na binafsi. Usalama wa taifa unalinda maslahi ya ccm na ni kizuizi kizito kwenye hizi haramati za ukombozi wa kweli wa mtanzania mnyonge dhidi ya dhuluma za chama cha magamba.
Redet inafanya kazi maalum (propaganda) kwa wakati maalum (wakati wa uchaguzi)
kwa ajili ya watu maalum (magamba), basi!
Follow Us Here