Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Nini kimetokea kwa gazeti la Raia Mwema

    Report Post
    Results 1 to 9 of 9
    1. #1
      Mkodoleaji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th April 2008
      Posts : 428
      Rep Power : 654
      Likes Received
      100
      Likes Given
      70

      Default Nini kimetokea kwa gazeti la Raia Mwema

      Wakuu nimezunguka kwa wauza magazeti wa hapa ubungo na mwenge lakini wote wameniambia gazeti la Raia Mwema halijatoka. Je ni kweli halijatoka au watu wamelinunua lote? Je kuna mtu yeyote anayejua linapatikana wapi?

    2. RukaaJuu Final

    3. #2
      mwandupe's Avatar
      Member Array
      Join Date : 16th October 2008
      Posts : 51
      Rep Power : 551
      Likes Received
      11
      Likes Given
      3

      Default Re: Nini kimetokea kwa gazeti la Raia Mwema

      Nilisikia jana wanatangaza kwamba linatoka kesho alhamisi badala ya leo jumatano ili kuwapa wasomaji wake nafasi na uchambuzi wa yale yote yalityotokea leo kwenye kikao cha bajeti.
      zumbemkuu likes this.

    4. #3
      Vin Diesel's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st March 2011
      Posts : 5,866
      Rep Power : 19947
      Likes Received
      2792
      Likes Given
      1615

      Default Re: Nini kimetokea kwa gazeti la Raia Mwema

      kuna thread kama hii na majibu yalishatoka kama hayo hapo juu.

    5. #4
      Malunde-Malundi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th January 2008
      Posts : 1,254
      Rep Power : 831
      Likes Received
      111
      Likes Given
      40

      Default Re: Nini kimetokea kwa gazeti la Raia Mwema

      linasubiria bajeti litatoka kesho

    6. #5
      Mkodoleaji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th April 2008
      Posts : 428
      Rep Power : 654
      Likes Received
      100
      Likes Given
      70

      Default Re: Nini kimetokea kwa gazeti la Raia Mwema

      Quote By mwandupe
      Nilisikia jana wanatangaza kwamba linatoka kesho alhamisi badala ya leo jumatano ili kuwapa wasomaji wake nafasi na uchambuzi wa yale yote yalityotokea leo kwenye kikao cha bajeti.
      Nashukuru mkuu kwa taarifa. This what makes JF great. Asante sana

    7. Miaka 50

    8. #6
      Matola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th October 2010
      Posts : 12,515
      Rep Power : 19751
      Likes Received
      5444
      Likes Given
      3640

      Default Re: Nini kimetokea kwa gazeti la Raia Mwema

      Thread closed!
      Division four point 29 = Masters Mzumbe University. Nape Nnauye is my role model.

    9. #7
      Sigma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2011
      Location : The 2nd House on the Left
      Posts : 4,266
      Rep Power : 1334
      Likes Received
      917
      Likes Given
      615

      Default Re: Nini kimetokea kwa gazeti la Raia Mwema

      Quote By Matola
      Thread closed!
      Mwongo.
      Bado.
      ...------------------------------------------------.---------------------------------------------------------------------..Rather Kill a FRIEND than Risk Missing an ENEMY

    10. #8
      Biro's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th August 2010
      Location : Kulwisi
      Posts : 108
      Rep Power : 464
      Likes Received
      8
      Likes Given
      7

      Default Re: Nini kimetokea kwa gazeti la Raia Mwema

      nimeipenda signature yako

    11. #9
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Nini kimetokea kwa gazeti la Raia Mwema

      Hivi gazeti linaotoka kulingana na matukio tu au linafuata ratiba yake.........kama kuna jambo la dharura linatoa makala maalumu..............it only in TZ u see this kind of nonsense............
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    Similar Topics

    1. Gazeti Raia Mwema na tuhuma zake kwa CHADEMA
      By Molemo in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 14
      Last Post: 6th October 2011, 10:01
    2. Gazeti Raia Mwema nalo mfukoni?
      By Molemo in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 46
      Last Post: 23rd September 2011, 08:00
    3. Gazeti la Raia Mwema la leo mmmh..
      By Ulimakafu in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 27
      Last Post: 6th July 2011, 16:19
    4. Tetesi: Gazeti la Raia Mwema lachakachuliwa ?
      By nguvumali in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 6
      Last Post: 9th June 2011, 01:55
    5. Kulikoni gazeti la raia mwema
      By Advocate Jasha in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 0
      Last Post: 9th November 2009, 11:55

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...