Si mchezo, mawaziri sasa wanaonekana kwenye TVs karibu kila siku, wengine wanafoka wakitoa matamshi makali bila kuchukua hatua. Mara mia Lyatonga mrema anayewabana watendaji kwa kukata mishahara.
Kitu gani kimewasukuma hao mawaziri, ni ombi la JK kuwa anawataka kuwaona wakijibu hoja za wasiona maendeleo. Nasubiri watashia wapi.

Reply With Quote
Follow Us Here