JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

  Report Post
  Page 6 of 9 FirstFirst ... 45678 ... LastLast
  Results 101 to 120 of 169
  1. Pasco_jr_ngumi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th November 2010
   Posts : 1,784
   Rep Power : 330763
   Likes Received
   236
   Likes Given
   57

   Default Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

   Wakubwa,
   gazeti la leo la Magamba-Mzalendo, limeandika hyo habari!

   Tena mshahara wa Dr. Slaa ni sh.1,700,000 na wamesema hauna kodi.

   Wamesema chadema haijalipa kodi tangu 1992. Na wamedai walipe haraka sana pamoja na adhabu.

   My take: TRA WALIKUWA WAPI hadi wakurupuke leo kutoa hyo taarfa? Majungu hayaish yaan hadi TRA yaingia katka siasa!

  2. Lukansola's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th September 2010
   Location : 6°48′S 39°17′E
   Posts : 5,341
   Rep Power : 1604
   Likes Received
   1439
   Likes Given
   1972

   Default Re: Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

   Hivi mzalendo bado lipo, mnamkumbuka kakamiye?

  3. makoye2009's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th June 2009
   Posts : 2,174
   Rep Power : 1079
   Likes Received
   700
   Likes Given
   744

   Default Re: Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

   Quote By kobello View Post
   Amelipa kodi?...kama hajalipa,kwanini?
   Tax evasion is a serious crime,sitaitetea!
   ''....Vijiserikali CORRPUT havikusanyi kodi kazi ni kufukuzana na............ kina Dr. Slaa tu!'' Mwalimu JK Nyerere on corruption and Taxes.
   Huo ndiyo ukweli uliopo kwa sasa kuhusu hii serikali yetu ya Chama Cha Magamba-CCM.
   TRA chini ya serikali ya CCM wameshindwa kukusanya kodi na sasa Hazina inayumba na kutembeza bakuli huku na kule;mara kwenye mabenki mara wafadhili n.k. Government coffers are empty!

   Halafu mtu MMOJA MPUUZI anayetakiwa kukusanya ,yaani TRA anakuja kutuambia ati kuna M-Tz mmoja anaitwa Dr. Slaa halipi KODI ya mshahara kiasi cha shs.400,000/=+ Nonsense!

   • TRA wametoa misamaha mingapi ya KODI kwa wawekezaji wa MIGODI YETU na yenye thamani kiasi gani?
   • Wafanya biashara wangapi wanawahonga maofisa wa TRA na kuondoka bila kulipa kodi na hivo kuikosesha serikali mapato ya kodi?
   TRA acheni longolongo na siasa za maji taka. Kusanyeni kodi!

  4. Lukansola's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th September 2010
   Location : 6°48′S 39°17′E
   Posts : 5,341
   Rep Power : 1604
   Likes Received
   1439
   Likes Given
   1972

   Default

   Quote By W. J. Malecela View Post
   - Siasa za majitaka, Two wrongs haziwezi ku-make it right: Dr. Slaa ameingia Chadema baada ya Mkapa kumkataa asiwe mgombea ubunge wa Karatu, kwenye uchaguzi wa Mwaka 2000 unless alikuwa halipi kodi toka akiwa CCM.

   - Now why now? Halafu huu utaratibu wa kuwatangaza wananchi kwa public kwamba hawajalipa kodi umeanza lini? Does it mean viongozi wote wa CCM hawadaiwi kodi kabisa? Kweli TRA inaweza kulithibitisha hilo kwamba hakuna kiongozi wa CCM anayedaiwa hata senti tano huko TRA?

   - Mzalendo ni gazeti la Serikali ya CCM, tunawaambia CCM kwamba kwa this kind of politics tutaishia kuondoka kwenye power 2015, kwa sababu all you accomplish here politically ni kuwaonyesha wananchi kwamba unamuogopa Slaa na kumpa umaarufu wa bure katika hiki kipindi kigumu sana kwetu CCM, badala ya kuwakomalia mafisadi warudishe hela za EPA, IPTL, KAGODA, DOWANS, DEEPGREEN na wazilipie kodi kwanza, wewe unakwenda kuongelea za kodi za Slaa! nonsense!

   - I mean what is the point kwamba hela hizo za kodi ya Slaa ndio zinasababisha mgawo wa umeme? Aghhhhhhhh Nonsense!

   Nothing but power abuse!

   William @ NYC, USA.
   You have a point Bill.

  5. W. J. Malecela's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 15th March 2009
   Posts : 11,558
   Rep Power : 584407
   Likes Received
   5336
   Likes Given
   2515

   Default Re: Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

   Quote By kobello View Post
   Mkuu are you serious?
   leo nikiiba mbuzi kijijini kwetu,nikapatikana,gazeti gani litaandika?
   Ila,Dr akiiba mbuzi,mpaka New York Times litaandika!.....it comes with the territory son!
   If you are being audited for tax evasion,hiyo ni public record and once journalists finds it,of course they gonna publish it.
   If not,the TRA being the archnemesis of Slaa,will definately publish it.....
   welcome to politics!!!
   - Mkuu I am dead serious, ngoja nikusaidie how can this nonsense backfire to CCM politically, Wabunge wa Upinzani bungeni kudai orodha ya Viongozi wote wa taifa na malipo yao ya kodi, which I supposedly under our Democracy inatakiwa kuwa open to the public, since you have mentioned New York Times, maana huku US hizo info ni open to the public, leo ninajua Obama mwaka jana ameliwpa hela ngapi na amelipa ngapi kodi,

   - Sasa to be fair, TRA walitakiwa watoe to the public orodha ya viongozi wote wa taifa wa pande zote mbili, zikionyesha kwamba wote wengine wamelipa isipokuwa Slaa peke yake, hapo ndipo unaweza ku-score a point kwenye National Politics which was the case behind hii revelation, anything less than this ni Political foolishness!

   - Nitakupa mfano mdogo sana kwamba New York Times hawawezi kujiingiza kwenye mitego ya siasa za majitaka kama hizi: Republicans Congress walimshitaki Cliton na ishu yake ya Monica kwa US Senate, kuna Mwananchi mmoja anaitwa Larry Flint akatangaza kwamba kama kuna mwanamke yoyote aliyewahi kulala na any of those Republicans wanaomshitaki Clinton, akijitokeza to the public na evidence, atamlipa USD 1 Million. Mkuu wangu mbona ilikuwa aibu sana, wakajitokeza wengi sana infact ikampelekea hata Spika mpya Mr. Livingston a Republican kuondolewa kwa sababu na yeye alikuwa na ishu pia, ndio maana US Senate ikatupilia mbali ile kesi.

   - Sasa jaribu ku-relate this na hii ishu ya Slaa, Mzalendo ni gazeti la Serikali ya CCM sasa kama hizo info za jinsi viongozi wetu wanavyolipa kodi ni siri, basi hapo kuna abuse imefanyika kupata info Za Slaa, kama sio siri basi zitolewe za viongozi wote tuone facts, kwamba ni Slaa peke yake ndiye hajalipa katika viongozi wa Tanzania nzima na pande zote mbili, anything less ni upuuuzi at best!-

   - Mkuu ndio maana Dan Rather alifukuzwa kazi CBS ni kwa sababu ya unfair journalism practice kama hizi za Mzalendo, gazeti makini linatakiwa kuwa na watu ndani yake wanao-deal na fairness ya habari zake za kila siku kwa wananchi na viongozi, according to the law of the land!

   William @ NYC, USA.

  6. fredmlay's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th April 2008
   Posts : 1,849
   Rep Power : 1065
   Likes Received
   357
   Likes Given
   1182

   Default

   Quote By Makupa View Post
   wakuu slaa lazima alipe kodi anayodaiwa kwa maendeleo ya taifa na si vinginevyo
   Tatizo sio kulipa ila kuna kashfa nyingi tu za ukwepaji kodi tunataka zifanyiwe kazi tra waache ushabiki wa kisiasa. Kimsingi Dr Slaa ni public figure hivyo tra watoe taarifa ya kueleweka kwa umma wa watanzania kwamba tangu wakati huo aliajiriwa na nani na mshahara wake ulikuwa kiasi gani na pia kodi stahili ilikuwa ngapi. Hata hivyo mwajiriwa mkuu wa Dr Slaa kwa miaka zaidi ya 10 ni bunge letu na kwa taratibu mwajiri ndiye mkusanyaji wa kodi kwenye mshahara wa mwajiriwa.

  7. mopaozi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th November 2010
   Posts : 3,044
   Rep Power : 1008
   Likes Received
   370
   Likes Given
   55

   Default Re: Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

   Kodi itakayokusanywa kupitia CDM itakuza uchumi kwa akili zao ushuzi

  8. melxkb's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 11th September 2010
   Posts : 206
   Rep Power : 614
   Likes Received
   55
   Likes Given
   175

   Default Re: Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

   Hii ni wazi kwamba TRA wanaiingizia serikali Mapato Kama Mzee mzima Dr. Slaa alivyowaambia. Ni kweli TRA ni wahujumu wa uchumi wa watanzania kama kweli kuna kodi hazilipwi tangu 1992 na hii ni kwa Dr. Slaa tu!!! Je vipi kwa makampuni yaliyojaa kama uyoga humu nchini na watu wenye shughuri binafsi ambao hawana umaarufu wowote na hawa ni maelfu kwa maelfu. Kwa hili naona TRA wana maswali ya kuwajibu watanzania na kutwambia wao wanafanya kazi gani kama nchi inapoteza mapato kwa miaka ishirini na wao wapo, wanaona na siku zinapita.

   Hili kwangu aidha ni kiin macho au kama ni kweli basi Dr. Slaa alipe kodi ndio lakini TRA wawajibike kwa uzembe na uchunguzi ufanyike kubaini ni kiasi gani cha mapato nchi inapoteza kwa uzembe huu wa wazi wa TRA.

  9. melxkb's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 11th September 2010
   Posts : 206
   Rep Power : 614
   Likes Received
   55
   Likes Given
   175

   Default Re: Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

   Quote By fredmlay View Post
   Tatizo sio kulipa ila kuna kashfa nyingi tu za ukwepaji kodi tunataka zifanyiwe kazi tra waache ushabiki wa kisiasa. Kimsingi Dr Slaa ni public figure hivyo tra watoe taarifa ya kueleweka kwa umma wa watanzania kwamba tangu wakati huo aliajiriwa na nani na mshahara wake ulikuwa kiasi gani na pia kodi stahili ilikuwa ngapi. Hata hivyo mwajiriwa mkuu wa Dr Slaa kwa miaka zaidi ya 10 ni bunge letu na kwa taratibu mwajiri ndiye mkusanyaji wa kodi kwenye mshahara wa mwajiriwa.
   ASANTE SANA!!!

   Kwa hiyo TRA na Serikali wanakula rushwa au kama si hivyo wanawahonga wabunge wetu kwa kutokuwakata kodi, tuelewe hivyo. Watwambie!! Ukiwa fisadi na akili zinaharibika kabisa hata kushindwa kujua nini unaongea, TRA wasomi tunaowaamini wanafanya kazi za siasa. Ooo!! My God!!! Tanzania, Tanzania, Tanzania na umma wako pole sana!!

  10. MAFILILI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th April 2011
   Posts : 1,743
   Rep Power : 648
   Likes Received
   392
   Likes Given
   102

   Default Re: Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

   Dr Slaa achana na maoni yasiyokuwa na busara. Wewe ni mzalendo tena padre, unachotakiwa ni KUUNGAMA kwa watanzania kuwa umuwakosea sana kwa kutokulipa kodi ambayo ingetumika kununulia madawa hospitalini.

   Siasa weka pembeni tangulia mwenyewe TRA inaendeshwa na wanadamu waweza kuwaomba ukalipa kwa awamu. Kwa kuwa una nia ya kugombea URAIS mwaka 2015 jitahidi umalizane na TRA. Utakuwa ni UPUUZI mkubwa kuufuata ushauri wa WANACDM wanaotaka ukauke, KWANI UTAZIDI KUTUUMIZA WATZ

  11. Kobello's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th February 2011
   Posts : 4,875
   Rep Power : 366427
   Likes Received
   2417
   Likes Given
   392

   Default Re: Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

   Quote By W. J. Malecela View Post

   - Nitakupa mfano mdogo sana kwamba New York Times hawawezi kujiingiza kwenye mitego ya siasa za majitaka kama hizi: Republicans Congress walimshitaki Cliton na ishu yake ya Monica kwa US Senate, kuna Mwananchi mmoja anaitwa Larry Flint akatangaza kwamba kama kuna mwanamke yoyote aliyewahi kulala na any of those Republicans wanaomshitaki Clinton, akijitokeza to the public na evidence, atamlipa USD 1 Million. Mkuu wangu mbona ilikuwa aibu sana, wakajitokeza wengi sana infact ikampelekea hata Spika mpya Mr. Livingston a Republican kuondolewa kwa sababu na yeye alikuwa na ishu pia, ndio maana US Senate ikatupilia mbali ile kesi.

   - Sasa jaribu ku-relate this na hii ishu ya Slaa, Mzalendo ni gazeti la Serikali ya CCM sasa kama hizo info za jinsi viongozi wetu wanavyolipa kodi ni siri, basi hapo kuna abuse imefanyika kupata info Za Slaa, kama sio siri basi zitolewe za viongozi wote tuone facts, kwamba ni Slaa peke yake ndiye hajalipa katika viongozi wa Tanzania nzima na pande zote mbili, anything less ni upuuuzi at best!-   William @ NYC, USA.
   New york times inajiingizaga kwenye siasa mbuzi karibu kila siku,but thats not the issue!
   Clinton alikuwa impeached/dismissed by up and down vote ya congress na siyo kwamba eti waliitupilia mbali kwa sababu kila mtu huwa anacheat!..thats flimsy.
   Na hiyo vote iligawanyika on party lines just like anywhere else.
   Kuhusu CCM kuwa hii issue itabackfire so what??
   I want it to backfire on any politician who evaded tax,dont you??
   Opposition camp naomba wawaexpose CCM tax evaders na CCM camp wafanye the same!
   Kuhusu Mzalendo,hili ni gazeti la CCM so expect them to attack Slaa.
   Kwani wewe hujui tofauti ya Boston herald na Globe? au Fox na MSNBC?
   Mbona mna act like hamjui siasa huwa zinaendaje?...one mistake,one goal!
   Last edited by Kobello; 29th May 2011 at 18:21.

  12. CHESEA INGINE's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 7th November 2010
   Posts : 176
   Rep Power : 600
   Likes Received
   16
   Likes Given
   257

   Default Re: Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

   Mimi naona huu mtindo wa TRA kama ni kweli waliwapa taarifa za mteja wao kwenye haya magazeti sio nidhamu nzuri! Kama wanataka tuwaone wanafanya kazi nzuri basi waanike za viongozi wote serikalini wanaolipa na wasiolipa wananchi waone uadilifu wa viongozi wao kama hii ndiyo sera mpya ya TRA. Viongozi wetu wamwige Obama! Sifa ya kiongozi kwanza ni kulipa kodi! Mnapojisamehe kulipa kodi haitaishia kwenu! Matokeo yake ni misamaha kushoto na kulia! TRA waeleze vizuri kimetokea nini?

  13. kanyagio's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th December 2009
   Location : PeriUrban
   Posts : 905
   Rep Power : 10886684
   Likes Received
   252
   Likes Given
   32

   Default Re: Gazeti Mzalendo: TRA YAMWITA DR. Slaa fisadi, halipi kodi!

   Quote By FaizaFoxy View Post
   Huyu Slaa PhD ya kanoni isiyoukuwa na digrii hata maja si ndio anajidai kutetea umma? Kumbe mwenyewe mbabaishaji halipi kodi? Looooo! Yatamshinda.
   FAizafoxy NAKUSHAURI USOME POST YA MJJ QUOTED HERE:
   Kama TRA wana hoja wanatakiwa kufungua kesi mahakamani lakini kabla ya hapo wanatakiwa kuleta madai yao kwa mhusika. Walete madai na ushahidi wao na jamaa akiona si ya haki na akakataa wanafungua kesi mahakamani ambapo ushahidi wao unatoolewa. Remember, the burdern of proof haiko kwa Slaa iko kwa TRA. Slaa anaweza kuserma "mnasema uongo" wao wathibitishe kuwa wanasema kweli.
   n
   always apply the law of leverage

  14. Katibu Tarafa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th February 2007
   Posts : 1,196
   Rep Power : 998
   Likes Received
   6
   Likes Given
   0

   Default Re: Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

   Moja ya sifa ya kugombea uraisi ni kuwa mgombea lazina asiwe anadaiwa kodi na serikali, sasa tujiulize ni mamlaka ipi ilithibitisha kuwa slaa hakuwa anadaiwa kodi wakati wa uchaguzi uliopita? .Mimi kweli huwa napata shida kuelewa viongozi tuliowapa madaraka jinsi wanavyo yatumia.

  15. melxkb's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 11th September 2010
   Posts : 206
   Rep Power : 614
   Likes Received
   55
   Likes Given
   175

   Default Re: Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

   Quote By Katibu Tarafa View Post

   Ndio Tanzania yetu ndg. Katibu, tukisema tuna viongozi wasanii na nchi inaendeshwa kwa mizengwe na usanii mwingi wengine wanaona noma!!!

  16. Mkandara's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2006
   Location : T dot
   Posts : 16,573
   Rep Power : 124739545
   Likes Received
   8259
   Likes Given
   8156

   Default Re: Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

   Quote By Katibu Tarafa View Post
   Moja ya sifa ya kugombea uraisi ni kuwa mgombea lazina asiwe anadaiwa kodi na serikali, sasa tujiulize ni mamlaka ipi ilithibitisha kuwa slaa hakuwa anadaiwa kodi wakati wa uchaguzi uliopita? .Mimi kweli huwa napata shida kuelewa viongozi tuliowapa madaraka jinsi wanavyo yatumia.
   Mkuu umeeleza vizuri sana lakini kushangaa kwako kunaondoa uzito wa hoja kwani inabidi tushangae dr.Slaa aliwezaje kupitishwa hali akiwa na madeni tena ya TRA..Hawa TRA waliweza vipi kupitisha jina lake wakati akidaiwa kodi?
   Exploration of reality

  17. melxkb's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 11th September 2010
   Posts : 206
   Rep Power : 614
   Likes Received
   55
   Likes Given
   175

   Default Re: Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

   Quote By Mkandara View Post
   Mkuu umeeleza vizuri sana lakini kushangaa kwako kunaondoa uzito wa hoja kwani inabidi tushangae dr.Slaa aliwezaje kupitishwa hali akiwa na madeni tena ya TRA..Hawa TRA waliweza vipi kupitisha jina lake wakati akidaiwa kodi?
   Mkuu!! Mbona umepunguza hoja yako uzito kwa kushangaa kitu kilekile!!! Hilo ndo linaloshangaza!!

   TRA ndo serikali hiyo iliyoko mdarakani tunayoishangaa kumbe huwa haifanyi kazi ni usanii na siasa tupu kila secta sio TRA tu nenda hata mahospitalini utakuta hadi dawa zilzo-expire. ....hapo ndo utayaona ya firauni.

  18. Kiranga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th January 2009
   Posts : 27,965
   Rep Power : 77628745
   Likes Received
   14706
   Likes Given
   2693

   Default Re: Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

   Quote By Mkandara View Post
   Mkuu umeeleza vizuri sana lakini kushangaa kwako kunaondoa uzito wa hoja kwani inabidi tushangae dr.Slaa aliwezaje kupitishwa hali akiwa na madeni tena ya TRA..Hawa TRA waliweza vipi kupitisha jina lake wakati akidaiwa kodi?
   Hivi kwa nini kila mtu anachukulia allegations za TRA kama facts? I am certainly no Slaa cheerleader, lakini ninavyojua katika nchi inayofuata rule of law na due process, a person is considered innocent until proven guilty. Je, tushasikia upande wa Slaa / CHADEMA wa habari hii ? Tunajuaje kwamba hii si cooked up story in retaliation to Slaa's outspokenness against TRA impunity and corruption?

   TRA procedure yake ya ku deal na wakwepa kodi ikoje? Wanaifuata? Kwa nini hawampeleki Dr. Slaa mahakamani / kwenye collection? Kwa nini hawa seize assets kadiri ya wanavyoruhusiwa kufanya? Kwa nini so far wanaongelea haya mambo kwenye magazeti tu ?
   “Sanity is not truth. Sanity is conformity to what is socially expected. Truth is sometimes in conformity, sometimes not.”: Pirsig, Zen and the Art..

  19. Kobello's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th February 2011
   Posts : 4,875
   Rep Power : 366427
   Likes Received
   2417
   Likes Given
   392

   Default Re: Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

   Quote By Mkandara View Post
   Mkuu umeeleza vizuri sana lakini kushangaa kwako kunaondoa uzito wa hoja kwani inabidi tushangae dr.Slaa aliwezaje kupitishwa hali akiwa na madeni tena ya TRA..Hawa TRA waliweza vipi kupitisha jina lake wakati akidaiwa kodi?
   Kila mwananchi analipa kodi in one way or another,ukinunua mafuta tu ujue ushalipa kodi.
   Tatizo ni income tax,ambayo iko very tricky if you dont pay attention.
   Unaweza ukawa unalipa na ukaonyesha makaratasi yote!
   Na hata hivyo ukawa una evade baadhi ya income tax kwa kuripoti income ya kiusanii,
   TRA wanayo namba na watakupa zawadi ukiripoti mkimbia kodi,
   Naomba tu akawaone,athibitishe kama amelipa na kama hajalipa,
   Naomba tu akubali na atumikie kifungo jela,au alipe faini whatever the judge says...

  20. W. J. Malecela's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 15th March 2009
   Posts : 11,558
   Rep Power : 584407
   Likes Received
   5336
   Likes Given
   2515

   Default Re: Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

   Quote By kobello View Post
   New york times inajiingizaga kwenye siasa mbuzi karibu kila siku,but thats not the issue!
   Clinton alikuwa impeached/dismissed by up and down vote ya congress na siyo kwamba eti waliitupilia mbali kwa sababu kila mtu huwa anacheat!..thats flimsy.

   Na hiyo vote iligawanyika on party lines just like anywhere else.
   Kuhusu CCM kuwa hii issue itabackfire so what??
   I want it to backfire on any politician who evaded tax,dont you??
   Opposition camp naomba wawaexpose CCM tax evaders na CCM camp wafanye the same!
   Kuhusu Mzalendo,hili ni gazeti la CCM so expect them to attack Slaa.
   Kwani wewe hujui tofauti ya Boston herald na Globe? au Fox na MSNBC?
   Mbona mna act like hamjui siasa huwa zinaendaje?...one mistake,one goal!
   - New York Times hawajiingizi kwenye siasa mbuzi na ikitokea muhusika hupoteza kazi, wao hujihusisha na fairness journalism as opposed na Mzalendo, ambao hapa kwenye hii habari wapo kwenye legal fault unless they can prove to us wananchi kwamba info za malipo na kodi za viongozi wa taifa ni open to the public.

   - Clinton was impeached na Congress lakini uamuzi wa mwisho ulikuwa ni wa Senate, ambayo ilikuwa na Republican Majority kwa hiyo vote on the party lines was never the case kwa sababu Republicans were the majority, wananchi wengi kwenye majimbo ya uchaguzi walikataa sana hii kesi kwa sababu ya wanawake wengi waliojitokeza kuhusika na wale Congressman waliokuwa wakim-prosecute Clinton kule Congress, hii inaitwa fairness ambayo hapa kwenye ishu ya Mzalendo na Slaa haipo!

   - We are acting as we know how the politics of fairness are supposed to be played, Mzalendo as gazeti la Serikali ya CCM walitakiwa kuweka info za viongozi wote kuhusu malipo yao na kodi walizolipa na kuonyesha Slaa asivyolipa na sheria inasema nini kuhusu suala zima la kulipa kodi na viongozi, siasa hakiwezi kuwa kisingizio cha kukwepa uwajibikaji kwa gazeti la Mzalendo, yes we want our leaders kulipa kodi, na pale wanapokosa kulipa wananchi tupewe habari kamili sio nusu nusu kama hizi na zinazochagua sura na chama cha siasa!   William @ NYC, USA.

  21. Ngonini's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st September 2010
   Posts : 2,016
   Rep Power : 5776
   Likes Received
   556
   Likes Given
   43

   Default

   Quote By Mkandara View Post
   Mkuu umeeleza vizuri sana lakini kushangaa kwako kunaondoa uzito wa hoja kwani inabidi tushangae dr.Slaa aliwezaje kupitishwa hali akiwa na madeni tena ya TRA..Hawa TRA waliweza vipi kupitisha jina lake wakati akidaiwa kodi?
   Hii imekaa vizuri maana iko kabisa kwenye mashariti ya mgombea uraisi.
   Serikali kupitia TRA ijibu hili ndipo watakapokuwa na uhalali kama majibu yao yataridhisha akili zetu.

   Wakishindwa kujibu hoja hii basi hizi zitakuwa ni siasa tu za maji ya chooni.

  Page 6 of 9 FirstFirst ... 45678 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Dr. Slaa: Mzalendo wa kweli
   By FRANK EDWARD in forum Uchaguzi Tanzania
   Replies: 27
   Last Post: 30th September 2010, 19:35
  2. Tunaye fisadi mzalendo? Rai 02.01.09
   By Kamuzu in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 9
   Last Post: 12th January 2009, 02:02

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...