Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: CV ya naibu waziri!

    Report Post
    Results 1 to 16 of 16
    1. #1
      Jamberi's Avatar
      Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Location : France
      Posts : 23
      Rep Power : 681
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default CV ya naibu waziri!

      jamani kuna habari zimezagaa kwenye mtandao kwamba Naibu waziri wetu ni tapeli na ni "kihiyo", kwamba elimu aliyoandika kwenye CV si ya kweli, sasa hili mie linanitatiza.

      Tuhuma ni hizi:
      http://www.midweeksun.co.bw/1882175951645.html

      CV yake ni hii:
      http://www.parliament.go.tz/bunge/Mp...5-2010&fpkey=3 76&vusername=GUEST%22)

      Je ni habari za kweli kwa mliopo huko TZ au mnao mfahamu?

    2. RukaaJuu Final

    3. #2
      Spiderman's Avatar
      JF Admin Array
      Join Date : 1st January 1970
      Posts : 495
      Rep Power : 100000
      Likes Received
      69
      Likes Given
      6

      Default

      Wa Botswana waonyeshe barua za huyu jamaa anaposema kuwa yeye ni mgonjwa na hawezi kufanya kazi. Na huku Tanzania achunguzwe kama kweli kipindi anachosema alikuwa mgonjwa kweli, vinginevyo jamaa ameiba!! Na serikali isimwonee aya!! Aidha arudishe fedha za Wabotswana na kuwaomba radhi au aachie ngazi ya Unaibu Waziri aendelee na Ubunge. Kama ameshindwa kuwa mwaminifu kwa jambo dogo atawezaje kuwa Mwaminifu kwa jambo kubwa?

    4. #3
      Kitila Mkumbo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th February 2006
      Posts : 3,919
      Rep Power : 6962
      Likes Received
      1065
      Likes Given
      35

      Default

      Nafikiri tatizo lililolipotiwa sio kudanganya CV, ila kudanganya kwamba anaumwa na kuendelea kulipwa mshahara wakati tayari ameacha kazi. Mbaya zaidi yeye ni kiongozi wa nchi. Sasa mimi nilidahni Kikwete alifanya home yake vizuri katika kuteua timu yake, lakini kwa kashfa hii inaonekana uteuzi wake una walakini. Kumbuka huyu ni kiongozi wa pili kuibuka na udanganyifu ukiacha wale waliodanganya PhD zao!
      MWELE BIN TAABAN likes this.

    5. #4
      Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th March 2006
      Posts : 1,725
      Rep Power : 1022
      Likes Received
      54
      Likes Given
      6

      Default

      Mshahara kuingizwa siyo kosa cha msingi kabla ya kumtuhumu huyu mhusika je alizichukua hizo fedha zilizokuwa kwenye payroll?Kama alichukua basi ni mwizi na anastahili kushitakiwa na ni aibu kwa taifa hivyo Rais amuondoe mara moja kwenye hiyo nafasi baada ya kufanya uchunguzi kwa kuwasiliana na serikali ya Botswana,na wakati Uchunguzi unafanyika basi asimamishwe kazi kwa muda.Pili kama hakuwa na nia mbaya kwanini baada ya kukubali kazi nyingine asiwandikie barua waajiri wake kwamba hata endelea na kazi hapa inaonyesha kwamba alikuwa na nia ya kutenda kosa?Achunguzwe na hatufai anatia nchi doa na ameshavuruga credibility ya watanzania nchini Botswana.

    6. #5
      Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th March 2006
      Posts : 1,725
      Rep Power : 1022
      Likes Received
      54
      Likes Given
      6

      Default WITO WANABODI YA BCSTIMES KIJIWE CHA SIASA HAMIENI HUMU !

      Ndugu wanabodi wa Bsctimes !
      kutokana na ile bodi kuathirika na watu wengi kutoweza kupata Access ya kutoa dukukuku lao ningependekeza kijiwe kihamishiwe kwenye hii bodi.MZEE ES,KARIBU HUMU NA WENGINE WOTE!Mkandara Bro wewe tayari umo kama una uwezo wa kuwapata wanabodi wengine wa kijiwe cha zamani wape taarifa ,naona na mizambwa karudi kule!

    7. Miaka 50

    8. #6
      Mkandara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd March 2006
      Location : T dot
      Posts : 13,770
      Rep Power : 7662
      Likes Received
      4929
      Likes Given
      4509

      Default

      Kazi ndio kipimo cha utu,
      Shukrani sana lakini ndugu yangu siwezi kwa sababu huyo jamaa kani-target kishenzi. Siwezi kutuma salaam na kila mara hujaribu kuniingilia kati napoandika kama vile PC ku-freeze. Ningependa sana kuendelea kule lakini sioni juhudi zozote za wamiliki na nadhani Idd Simba alikuwa mmoja wao. Mzee ES sina mawasiliano nae zaidi ya kupitia jamaa na ndugu lakini sio e-mail.. Nina hakika wachangiaji huko wameisha fahamu kuwa kuna tatizo hasa mimi mpenda madongo kutochangia.
      Narudi ktk mada yetu! jamani mbona sielewi kabisa swala hili vizuri?... Huyu mshirika ni Mtanzania ambaye anafanya kazi kule kama mgeni mwajiriwa au ni mwalimu mwenye uraia wa sehemu mbili. Inakuwaje kuwa naibu waziri huku akiwa bado amekamata sehemu zote kwa visingizio vya kuumwa - hali yupo hapa nchini mzima wa afya. Huyu anavuta sehemu zote na hii ni dalili mbaya sana kwa kiongozi anayeweka maslahi yake mbele ya uadirifu.
      King'asti likes this.

    9. #7
      Jamberi's Avatar
      Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Location : France
      Posts : 23
      Rep Power : 681
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Mkandara
      Kazi ndio kipimo cha utu,
      Narudi ktk mada yetu! jamani mbona sielewi kabisa swala hili vizuri?... Huyu mshirika ni Mtanzania ambaye anafanya kazi kule kama mgeni mwajiriwa au ni mwalimu mwenye uraia wa sehemu mbili. Inakuwaje kuwa naibu waziri huku akiwa bado amekamata sehemu zote kwa visingizio vya kuumwa - hali yupo hapa nchini mzima wa afya. Huyu anavuta sehemu zote na hii ni dalili mbaya sana kwa kiongozi anayeweka maslahi yake mbele ya uadirifu.
      Jamani naona tuhuma zinaongezeka juu ya huyu kijana... (kasi mpya, hali mpya, .. :D :D )

      Mie napenda kumuuliza huyu mtuhumiwa (kama anatembelea ma-bodi kama haya), je, tuhuma zote dhidi yake ni za kweli? kwanini hajakanusha wala kukubali, au ndio tusema hajazisikia!

      kama hajazisikia basi hafai kuw anaibu waziri tena KIJANA MSOMI, maana tuhuma zipo kila mahala kwenye mtandao, zipo kila bodi ya wa-tanzania, kwenye e-mails, magazeti nk.

      Inamaana hakuna hata mtu wa karibu yake au hata usalama wa Taifa wakampa taarifa?

      Pili, hao usalama wa taifa hawajasikia hizi tuhuma wazichunguze na kumfikishia JK taarifa ili kama ni za kweli mtuhumiwa awajibishwe?

    10. #8
      Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th March 2006
      Posts : 1,725
      Rep Power : 1022
      Likes Received
      54
      Likes Given
      6

      Default

      Mkandara!
      Hata mimi nimeajaribu mara kadhaa kuingia kwenye ile bodi lakini wapi nimeshindwa jamaa wamenidhibiti.Nilijaribu kufuata ushauri aliopewa Mzee Es Na Mwanakijiji jinsi ya ku log lakini nimegonga mwamba hivyo siwezi kuendelea Lakini watu Kama Mzee Es ,Mwanakijiji na Hata Mizabwa ambaye amerudi bado wana uwezo wa kutuma msg.Sawa cha Msingi bado tunaweza tukatumia hiki kijiwe na tukaanzisha topic kama za kule BCSTIMES WATU WATAKUJA TU NA BADO TUTACHANGIA KILE TUNACHOONA KITALETA MABADILIKO NDANI YA NCHI YETU NA HILO NDIYO LENGO KUU.Hivi kwanini watu hawapendi kuliona hilo,Nchi ni yetu wote na maendeleo tunayoyahitaji kupitia michango ni ya kwetu wote.Stay Blessed!
      Kuhusu huyu Naibu Waziri si Raia wa Botswana bali ni Raia WATANZANIA LAKINI CHA MSINGI KWENYE SWALA LAKE NI KUJIPATIA FEDHA KWA NJIA YA UDANGANYIFU KUPITIA KWA MUAAJIRI WAKE WA ZAMANI AMBAYE MUAJIRI HUYO BADO ANAMUHESABU KUWA NI MFANYAKAZI WAKE WAKATI AMEKUBALI KAZI NYINGINE NYUMBANI NA AMESHINDWA KUMFAHAMISHA MUAJIRI WAKE KUHUSU HILO.
      Quote By Mkandara
      Kazi ndio kipimo cha utu,
      Shukrani sana lakini ndugu yangu siwezi kwa sababu huyo jamaa kani-target kishenzi. Siwezi kutuma salaam na kila mara hujaribu kuniingilia kati napoandika kama vile PC ku-freeze. Ningependa sana kuendelea kule lakini sioni juhudi zozote za wamiliki na nadhani Idd Simba alikuwa mmoja wao. Mzee ES sina mawasiliano nae zaidi ya kupitia jamaa na ndugu lakini sio e-mail.. Nina hakika wachangiaji huko wameisha fahamu kuwa kuna tatizo hasa mimi mpenda madongo kutochangia.
      Narudi ktk mada yetu! jamani mbona sielewi kabisa swala hili vizuri?... Huyu mshirika ni Mtanzania ambaye anafanya kazi kule kama mgeni mwajiriwa au ni mwalimu mwenye uraia wa sehemu mbili. Inakuwaje kuwa naibu waziri huku akiwa bado amekamata sehemu zote kwa visingizio vya kuumwa - hali yupo hapa nchini mzima wa afya. Huyu anavuta sehemu zote na hii ni dalili mbaya sana kwa kiongozi anayeweka maslahi yake mbele ya uadirifu.

    11. #9
      falesy's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 15th March 2006
      Posts : 119
      Rep Power : 699
      Likes Received
      14
      Likes Given
      12

      Default hii cv ni feki

      Quote By Jamberi
      jamani kuna habari zimezagaa kwenye mtandao kwamba Naibu waziri wetu ni tapeli na ni "kihiyo", kwamba elimu aliyoandika kwenye CV si ya kweli, sasa hili mie linanitatiza.

      Tuhuma ni hizi:
      http://www.midweeksun.co.bw/1882175951645.html

      CV yake ni hii:
      http://www.parliament.go.tz/bunge/Mp...5-2010&fpkey=3 76&vusername=GUEST%22)

      Je ni habari za kweli kwa mliopo huko TZ au mnao mfahamu?

      hebu iangalie halafu ujaribu kufikiria alifanya kazi muda gani na ndo maana anadaiwa bado kulipwa mshahara bure wa walipa kodi huko tswana.

      hivi kama tanzania tunalalamika mafisadi kutoka nje wenye kujinufaisha kwa kodi zetu kwa nini tusiwakemee hawa wanaodhulumu nje na kuharibu sifa ya nchi yetu hebu tuchangamke na maoni

      halafu hivi JK kweli anaendelea kukaa na mafisadi wakubwa kama huyu ni lini nchi hii tutapata kiongozi mwenye kujali masilahi ya nchi na wananchi wake?

      hebu iangalie hii cv halafu toa maoni

      David , Dr. David M.
      GENERAL

      --------------------------------------------------------------------------------
      ID No.: MEMBER'S PICTURE
      Salutation: honorable
      First Name: Dr. David
      Middle Name: Mathayo
      Last Name: david
      Member Type: constituency member
      Constituent: same magharibi
      Political Party: chama Cha Mapinduzi
      Office Location: P.O.Box 9503, Dar es Salaam
      Office Phone: +255 784 633000/+255 754 865505
      Office Fax: 2112538
      Office E-mail: [email protected]
      Member Status: Current Member
      Start Date: 28 Dec 2005
      End Date: 27 Dec 2010
      Date of Birth 24 July 1969

      --------------------------------------------------------------------------------
      EDUCATION
      School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
      Free States University PhD (Agriculture) 2001 2003 PHD

      Ambala University - India PGD (Int r'tion) 2000 2001 POSTGRADUATE

      Pretoria University Masters of Science 1998 2001 MASTERS DEGREE

      India PostGraduate Diploma in Public Admin. 1998 1999 POSTGRADUATE

      Sokoine University of Agriculture BSc. Veterinary Medicine 1992 1997 GRADUATE

      Tosamaganga High School A-Level Education 1989 1991 HIGH SCHOOL

      Galanos Secondary School Secondary Education 1985 1988 SECONDARY

      Marindi Primary School Primary Education 1978 1984 PRIMARY

      --------------------------------------------------------------------------------
      CERTIFICATIONS
      Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
      No items on list

      --------------------------------------------------------------------------------
      EMPLOYMENT HISTORY
      Company Name Position From Date To Date
      Ministry of Industry, Trade & Marketing Deputy Minister 2006
      University Affiliates (Agric -Economics + Animal Science) Senior Lecturer 2001 -
      Affiliated Colleges of University of Botswana Lecturer 1998 -

      --------------------------------------------------------------------------------
      POLITICAL EXPERIENCE
      Ministry/Political Party/Location Position From To
      Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of Parliament of Tanzania 2005 2010
      Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of Youth Council 2002 2007
      Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of National Executive Council(NEC) 1997 2002

      HALAFU CHANGAMKA

    12. #10
      tibwilitibwili's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th September 2006
      Posts : 223
      Rep Power : 694
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default

      Kidumu Chama cha Mapinduzi na ma speed oos kasi kuanzia Ikulu hadi Bungeni .Maana hawa wote wanao lalamikiwa ni wana CCM lakini kwa kuwa wanalindana watu kimyaa.Angalikuwa ni Mpinzani tayari nma jimbo lingalikuwa wazi na kesi Mahakamani .
      Ngoma kapigiwa kenge akiwa mtoni akicheza lazima maji yawe tibwilitibwili.

    13. #11
      Jizaledo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 5th September 2006
      Posts : 166
      Rep Power : 684
      Likes Received
      5
      Likes Given
      0

      Default

      Tumekwisha piga kelele chungu nzima kuhusu vihiyo na bado wanapeta na hadi kubadilishwa wizara. Msolla aliahidi kushuhulikia, naye huyo ameingia mitini. Spika naye, kimyaaaaaaa! Lingine la kufanya ni lipi? Inaonekana tunapiga konde ukutani tu.

    14. #12
      Mswahili's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th September 2006
      Posts : 654
      Rep Power : 778
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default

      Mnajisumbua tu na mheshimiwa Mathayo David hakuna chochote kitakachofanyika kwani yeye yupo above the law,
      wanaoweza kuhukumiwa ni kama akina Marehemu Kihiyo kwani ametoka kundi la wanyonge,
      kifupi David ni mtoto wa mjumbe wa kamati kuu ya chama aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na akawambia wananchi wabebe misalaba yao wenyewe.
      sasa unafikiri David Mathayo ni kama mimi na wewe?hawa ndio wenye nchi sio kama serikali haijui au haisikii ni uzito wa mhusika mwenyewe.
      si mnaona PCB inavyofanya kukamata mwl mkuu wa sekondari, hakimu wa mahakama ya mwanzo n.k, kuendelea kupiga kelele ni sawa na kelele za mpangaji hazimnyimi usingizi mwenye nyumba.

    15. #13
      Mwanagenzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th September 2006
      Location : Mtandaoni
      Posts : 760
      Rep Power : 802
      Likes Received
      10
      Likes Given
      9

      Default

      Ninavyofahamu mimi huyu jamaa huwa anataka aonekane kuwa ni mtoto wa huyo mjumbe wa kamati kuu huku akijua si kweli...sana sana wana ujirani huko kijijini kwao.
      ____________
      Ili Tuendelee Tunahitaji Dikteta mwenye Uzalendo na Visheni
      _____________
      "UTU BUSARA UJINGA HASARA,
      "TUPINGANE BILA KUPIGANA"

    16. mTz
      #14
      mTz's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th August 2006
      Posts : 407
      Rep Power : 736
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default

      Mwanamagenzi hapo umenena, si kweli kuwa wana undugu wa karibu kiasi hicho. Huyu jamaa historia yake kisiasa kama sikosei ilianzia umoja wa vijana ambapo aliweza kuingia NEC kwa kofia ya vijana. Jambo jingine kubwa alilofanya ni kuvuta kikundi cha wanafunzi wa SUA kujiunga na CCM wakati upizani ukiwa umepamba moto sana ndani ya vyuo kikuu. Vile vile inaeleka kuwa hajafanya kazi Tanzania kabisa maana muda si mrefu alipotela Botswana na Tz alikuwa anakuja kutembelea ndugu, jamaa na marafiki akiwa na gari yake inayopepea bandera ya CCM. Tatizo lake kubwa ni usanii, postgraduate training yake highly questionable na vilevile kile kitendo cha kupiga fix mwajiri wake kuwa anaumwa wakati anapiga kampeni kinamfanya aonekane tapeli. In one way anaonyesha trend ya waTz kutaka kupata utajiri/madaraka at any cost.
      "Be not afraid of growing slowly, be only afraid of standing still." Old Chinese Proverb

    17. mTz
      #15
      mTz's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th August 2006
      Posts : 407
      Rep Power : 736
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default

      Prof Msolla anatakiwa aanzie kusafisha baraza la Mawaziri kwanza, then Mzumbe University halafu ndio aingie mitaani!

      Prof Msolla decries forged certificates in EA
      DASSU STEPHEN
      Daily News; Tuesday,December 12, 2006 @00:07

      THERE has been an increase in forgery of academic qualifications, examination leakages and emergence of persons with dubious academic certificates, including degrees and diplomas in East Africa.

      In view of this, the Minister for Higher Education, Science and Technology, Prof Peter Msolla, has challenged members of Inter-University Council for East Africa (IUCEA) to double efforts to arrest the situation.

      Prof Msolla was speaking yesterday during a workshop on the development of quality assurance handbook for East African universities attended by representatives of the three countries’ higher education accreditation councils, universities’ quality assurance bodies and the Germany International Exchange Programme (DAAD)

      He said: “I challenge you to take up the issue of bogus providers of higher education and other frauds in all forms and manifestations. Already Tanzania, and I believe Kenya and Uganda, are experiencing increasing incidences of forged academic documents, examination leakages and emergence of persons accessing providers of and obtaining certificates, diplomas and degrees of no academic quality or validity.”

      Prof Msolla urged the regulatory organs in the countries to take necessary measures to protect the public. “This would inhibit persons with fake qualifications to access opportunities for and obtaining admissions in higher education, job positions and promotions, and even assuming undeserved academic titles. If this trend is left unchecked, it would lead our countries into wrong destinations,” he cautioned.
      He also called for concerted efforts to confront educational challenges of the day.

      “We need a regional quality assurance handbook that is nationally, regionally and internationally credible. I believe that a proposed handbook will serve both our regional and international purposes, that will assist our universities to improve their commitment to quality education,” he noted.

      IUCEA is a regional inter-governmental organisation whose mission is to encourage and develop mutually beneficial collaboration between universities in East Africa, and between them and governments and other organisations, both public and private.

      As part of efforts to promote quality education, several universities in the region have been engaged in exchange programmes.

      The Vice-Chancellor of Saint Augustine University of Tanzania (SAUT), Fr Dr Charles Kitima, told the Daily News: “We are collaborating with other universities such as the University of Dar es Salaam and Georgetown University based in the US. SAUT has sent at least ten lecturers abroad as part of an exchange program, this year,” he said, adding that it has become difficult to send a big number of students abroad due to high costs.

      He also said SAUT had been striving to ensure the university’s curricula suited current demands. “We review our curricula after every three years to cope with changing purposes and needs.”
      Another member, Prof Mayunga Nkunya of the University of Dar es Salaam, challenged IUCEA members to share and harmonise ideas that will ultimately assure quality education to the people.

      http://www.dailynews-tsn.com/page.php?id=4813
      "Be not afraid of growing slowly, be only afraid of standing still." Old Chinese Proverb

    18. #16
      Bigirita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Under a mango tree
      Posts : 11,263
      Rep Power : 3043
      Likes Received
      3052
      Likes Given
      4137

      Default Re: CV ya naibu waziri!

      Quote By Kitila Mkumbo
      Nafikiri tatizo lililolipotiwa sio kudanganya CV, ila kudanganya kwamba anaumwa na kuendelea kulipwa mshahara wakati tayari ameacha kazi. Mbaya zaidi yeye ni kiongozi wa nchi. Sasa mimi nilidahni Kikwete alifanya home yake vizuri katika kuteua timu yake, lakini kwa kashfa hii inaonekana uteuzi wake una walakini. Kumbuka huyu ni kiongozi wa pili kuibuka na udanganyifu ukiacha wale waliodanganya PhD zao!
      Sure,
      Then mumpeleke huyu kijana wenu akagombee ubunge Mbeya.
      * LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF

    Similar Topics

    1. Wabunge wamkataa Naibu Waziri
      By Excellent in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 8
      Last Post: 25th October 2011, 10:57
    2. Naibu waziri na ulinzi mkali
      By Crucifix in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 0
      Last Post: 22nd July 2011, 12:29
    3. Ajali ya ndege Kenya yaua Waziri na Naibu Waziri
      By Nemesis in forum Kenyan News
      Replies: 4
      Last Post: 11th June 2008, 14:46
    4. Naibu Waziri Mkuu?
      By Mzee Mwanakijiji in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 7
      Last Post: 11th February 2008, 12:04
    5. Gari la Naibu Waziri lapatikana
      By Bubu Msemaovyo in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 8
      Last Post: 29th January 2008, 22:04

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...