Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Celtel-Zain-Airtel-.., Vodacom (PamojaDaima)-Vodacom (Kazi ni Kwako)...Shamba la Bibi

    Report Post
    Results 1 to 4 of 4
    1. #1
      Dumelambegu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th January 2011
      Posts : 1,032
      Rep Power : 647
      Likes Received
      222
      Likes Given
      0

      Default Celtel-Zain-Airtel-.., Vodacom (PamojaDaima)-Vodacom (Kazi ni Kwako)...Shamba la Bibi

      Ndiyo hivyo jamani, kama shamba lisilo na mwenyewe vile! Wajanja wanakuja na mbegu chache lakini wanazalisha na kuvuna kwa kutumia watumishi walewale na shamba lilelile kisha wanakula, wanashiba halafu wanaondoka na mbegu nyingi mara dufu ya kiasi walichokuja nacho. Kabla ya kuondoka wanawapigia miluzi wajanja wenzao wengine kuashiria kwamba wao wamevimbiwa. Hao nao wakija wanatumia shamba lilelile na watumishi walewale kwa staili ileile mpaka wanavimbiwa na kuondoka. Kila anapoingia mjanja mpya lazima amwalike kiongozi mkuu wa wamiliki wa shamba kwenye hafla ya kubadilishana uendeshaji wa shamba na wamiliki wanashangilia na kugonganisha bilauli zilizojaa vinywaji vya bei mbaya!

    2. Miaka 50

    3. #2
      GJ Mwanakatwe's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 26th March 2011
      Location : Toronto,Ontario
      Posts : 241
      Rep Power : 461
      Likes Received
      26
      Likes Given
      0

      Default Re: Celtel-Zain-Airtel-.., Vodacom (PamojaDaima)-Vodacom (Kazi ni Kwako)...Shamba la Bibi

      Hujamaliza, ongeza Sheraton-sasa moven pick, jina moven pick nafikiri ni la sita toka sheraton, wamiliki ni walewale majina tu ndio yanabadirika ili kulamba tax-holiday. Serikali ikifuta hiyo kitu tax-holiday hutaona tene huo ujinga wa celtel-zain-airtel, wala sheraton to movenpick. Tatizo rushwa kwa watendaji wa serikali kwa kuwa siamini kwamba eti hawajui mchezo huu, ipo siku watayajibu haya mahakamani.Tumechoka kuwa shamba la bibi, tena hawa ni bibi wale wa zamani , maana bibi wa siku hizi angalau wanachapa fimbo kidogo, hakuna mjukuu kudekadeka.

    4. #3
      MWananyati's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 3rd February 2011
      Posts : 122
      Rep Power : 445
      Likes Received
      31
      Likes Given
      48

      Default Re: Celtel-Zain-Airtel-.., Vodacom (PamojaDaima)-Vodacom (Kazi ni Kwako)...Shamba la Bibi

      Ongeza: RICHMOND - DOWANS - SYMBION

    5. #4
      tambarare's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st March 2011
      Location : Dar
      Posts : 148
      Rep Power : 446
      Likes Received
      9
      Likes Given
      0

      Default Re: Celtel-Zain-Airtel-.., Vodacom (PamojaDaima)-Vodacom (Kazi ni Kwako)...Shamba la Bibi

      haki ya baba hawa washenzi lazima tuje tuwavute kwa minyororo haiwezekani wawe wanauza nchi yetu tu kwa dhamana tuliyo wapa ya uongozi ****** chunga sana historia haifutiki wewe ponda raha sasa siku zako zinahesabika

    6. RukaaJuu Final

    Similar Topics

    1. Upatikanaji wa kazi airtel na vodacom
      By Uncle dan in forum Nafasi za Kazi na Tenda
      Replies: 10
      Last Post: 24th August 2011, 05:05
    2. CELTEL- ZAIN now AIRTEL . SHERATON now MOVE N PICK HOTEL. tafrani!!!!
      By Robbinhood in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 8
      Last Post: 26th November 2010, 19:56
    3. Wakwepa Kulipa Kodi Wakubwa(Celtel; Zain; na Sasa Airtel)
      By VoiceOfReason in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 43
      Last Post: 24th November 2010, 11:16
    4. Sharkpod ya celtel itumie vodacom
      By Kwetunikwetu in forum Tech, Gadgets & Science Forum
      Replies: 1
      Last Post: 7th July 2008, 18:34

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...