Re: Naomba muongozo wa CHADEMA

By
Mtarajiwa
sasa mwkike huo ndiyo uthibitisho kwamba mimi ccm???
mnajua tusiongee kiushabiki jamani ccm imejichimbia.nendeni vivijini ndiyo mtajua ccm nani na hao ndiyo wapiga kura wenyewe..
ndiyo mana mimi nilishaanzisha thread hapa,hawa kina mbowe,lipumba,mrema,mbatia,pro f.baregu nk nk, kwanini kwanza wasianze kugombea ubunge ili waongeze nguvu kule?why urais in the first place hali wakijua wazi kuwa hawatashinda??
Ukipata sehemu nimekuita ccm hapa kwenye hii thread basi niambie ili nikachunguzwe akili. I care less kama wewe ni ccm au mpinzani. Kuna wana ccm hapa kibao tu na tuko nao kwenye mapambano ya kukomboa nchi yetu.
Unavyosema kuwa nendeni vijijini unataka nani akufanyie kazi on your behalf? kwa nini usiseme kuwa twendeni vijijini? kwa nini wewe usiwe sehemu ya haya mapambano?
Well Behaved Women Never Make History
Mwafrika wa kike is now asking President Kikwete to resign his presidency effective immediately for the sake of our nation
Follow Us Here