| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 1906
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Ndg yangu usijidanye kwa mradi huo, hapo pana mkono wa mtu ambaye alitaka kuondoka vipanya hapo Tanzania hasa Dar, lakini amekumbana na wakati mgumu kwani hata hao vigogo wengi wao wana vipanya hivyo, pia hautakuwa Dar rapid trans (DRT) badala yake hata ukianza utaitwa jina jipya yaani Dar slow moving Trans, kwani ili hayo magari yaende kasi lazima pawepo na barabara special kwa hayo mabasi kwa maeneo ya central district area yaani bus lane je itawezekana utapanuaje hizo njia za nyoka hapo Dar?
Ni kitu kama ndoto.... au ni sawa na unavyo nunua tiketi ya LOTTO kwa mategemeo ya kupata mamilion probability yake ni ndogo sana 0.000000000001. angalia hapo nini kingine kifanyike badala ya kufikiria Dar rapid trans |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Heshima kwa wote....
Naona wenzangu wameliangalia suala hili la "Dar Rapid Trans" na kwa kweli sishangai kuona kuwa kuna wenzangu ambao ingawa mradi huu umeshaanza utekelezwaji, bado kuna watu bado tuna wasiwasi na ufanisi wake mara utakapokamilika. Tatizo ni kwamaba kumekuwa na tabia ya usiri sana kwenye serikali yetu. Usiri ni mzuri kama ni kuhusu masuala ambayo yana manufaa kwa watu wengi lakini sio lazima liwe linajulikana kwa watu wengi, "issues of national inteligence". Sasa mfano rahisi ni lile suala la DRT, 3 by 1 use of major arterials (double roads) wakati wa peak hours. Kwa kweli pamoja na kwamba miradi hii inahusishwa watu wengi, ikiwemo watembea kwa miguu, waendeshaji wa magari, wenye kutumia baiskeli/pikipiki/tairi tatu na usafiri mwingine; wengi wao hawakushirikishwa kwenye maamuzi ndio maana wengi tulisikia kuhusu mambo ya watu kugongwa na magari, ajali za magari kwa magari nk. Sasa kama vyombo vya serikali vinaimgia kwenye miradi mikubwa inayogusa kada zote za jamii ni bora na lazima wawekezaji na watumiaji wote washirikishwa hata kama ni kupata views ambazo hazitakuwa na uzito sana and decide on the final implementation plan based on weighted average of views and not based on some few individuals and what we call consultants who came from outseide the country on sorting out traffic problem for people coming from Mbagala. Kama unataka kutatua tatizo la usafiri Mbagala, usitegemee mtu wa Kigogo au Tandika kutatua tatizo hilo. It is a high time that we try and use peoples views no matter small and so called ilogical in solving their views. We have all learnt from EAC fast tracking, though wengin walisema itakuwa ni a fluke na tutalazimishwa kuingia kichwa kichwa, wote tumeona mafanikio ya watu wengi (>70%) saying, NO WE ARE NOT READY NOW......... Watanzania tuamke na kujenga nchi yetu, Haba na Haba Hujaza Kibaba..... |
|
#4
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Morani its OK unachosema lakini naona unaingiza politics kwenye vitu vinavyohitaji expert's/pro's...urban transportation system ni very complex kuliko unavyofikiria,wenzetu walioendelea wanatumia computer models to solve hili tatizo na ni software ambayo inacost pesa nyingi..kwa population ya 3m plus ujue vikao vya wananchi au politicians hawataweza kusolve hilo tatizo,its time now to use really experts and stop all the BS...issue ya Dar imefikia pagumu sana na wasipofanya kazi yao NATURE itafanya kazi yake...WAIT & SEE what i mean by saying NATURE!
|
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Koba, nashukuru kwa ushauri wako mzuri kuhusu mada hii. Lakini, unavyosema naingiza siasa, inakuwa ni ngumu kidogo. Inaelekea niliposema tutumie washika dau (stakeholders) sio siasa ndugu yangu....Hata kwenye nchi zilizoendelea kama ulivyosema kuwa wanatumia simulation (softwares) usifikiri kuwa computer software inaamua bila kuwa na inputs. Among he inputs ni hizo hoja za washika dau ambazo zinakusanywa mara nyingi through "questionnaires" na zinakuwa part of the input parameters.
Kwa hiyo ndugu yangu sio siasa, na wala computer traffic simulation softawares (many are available i.e. ITS, PTISP) haziwezi fanya kazi bila parameter inayokuwa derived from people/users comments (which includes pedestrians, drivers, commuters, cyclists and to be sincere even in some areas farmers (cattle keepers as for the case of high speed highways/cross countries through vast farm lands which at times are provided with animal crossings underpasses)!! Ndugu yangu, information technology (design and other softwares) ni kama chungu, kitakachoiva kinategemeana na zile constituents/viungo na vingenie ulivyoweka mwanzo wa mapishi. Huwezi weka mchele na kunde utegemee kupata pizza sababu nchi zilizoendelea wanapata pizza, wao wametengeneza chungu chao kuweza kutambua parameters kwa ufanisi lukuki kuweza kusaga na eventually kuwatolea pizza. Sasa chungu chao kinaweza work kwao lakini kwetu inategemea na aina ya kunde, mchele etc ambazo zinatokana na ideas za walaji (stakeholders for that case) through questionnaires!!! Naomba kuwakilisha.... |
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
75,
tatizo la usafiri dar ni la muda mrefu,viongozi wanafikiri bado wapo kwenye kampeni. kwa maoini yangu,chukua barabara ya morogoro/mandela pale inatakiwa wajenge tannel kwa wale wanao toka kimara kwenda mjini wapite juu au chini na nafasi ya kufanya hivyo bado ipo,alikadhalika pale kilwa/mandela,changombe/mandela,hata tazara pale nyerere/mandela.na kuna sehemu zingine nyingi tu wanaweza kufanya hivyo na tukapunguza foleni. |
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
..nadhani hii si politics mhe.,hapa wataalamu wanahitajika kufanya kazi yao ambayo itabidi iheshimiwe,hasa na ninyi waheshimiwa. ..huu mradi umeanza kutekelezwa kwenye vikao,majukwaa ya kisiasa,kwenye semina,na makaratasini,lakini on the ground bado. ..sasa,si wengine ni wakina thomaso,hatuwezi amini yesu aliyesulubiwa kafufuka mpaka tutie kidole sehemu alochomwa mkuki! ..ngoja tutatia kidole kuona barabara ya kilwa itakapokamilika!
__________________
Dar na Lamu yote ni miji ya pwani,lakini haifanani! |
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
SteveD.
__________________
Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09. Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09. |
||||||||||||
|
#9
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Steve Mimi Niko Karibu Sana Na Kampuni Inayohusika Na Mradi Huo Na Sasa Hivi Hata Hawashuguliki Yaani Ni Watu Wachache Sana , Ninashangaa Mwandishi Anavyosema Mradi Uko Karibu Wakati Ma Engineer Waliopelekwa Brazil Kuchukua Ujuzi Zaidi Walikaa Mwezi Mmoja Tu Na Wamesharudi Wanafanya Mradi Mwingine
|
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
SteveD.
__________________
Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09. Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 05:48 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||