Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Serikali ina mpango gani na waTZ huko Bondeni

    Report Post
    Page 1 of 2 12 LastLast
    Results 1 to 20 of 26
    1. #1
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,517
      Rep Power : 46714
      Likes Received
      16426
      Likes Given
      8465

      Default Serikali ina mpango gani na waTZ huko Bondeni

      Kwa siku kadhaa sasa machafuko dhidi ya wahamiaji yamepamba moto huko Afrika ya Kusini. Hadi hivi sasa wananchi wa nchi kadhaa za Kiafrika wameuawa na idadi yao imefikia karibu 40 hivi. Miongonni mwa wanaodaiwa kuuwa ni pamoja na raia 6 wa Tanzania walioko Bondeni.

      Hata hivyo ikiwa imetingwa na mambo mengine serikali yetu haijatoa msimamo wowote au juhudi zozote zinazoeleweka kuhusu kuhakikisha usalama wa wananchi wetu uko Afrika ya Kusini.

      Hofu yangu ni kuwa wakati Serikali inataka watanzania walioko nje ya nchi wachangie maendeleo ya nyumbani kwa kutuma fedha, kuwakeza na hata kufanya shughuli mbalimbali za maendeleo, inaonekana hamu yao inaishia hapo tu.

      Serikali haina mpango wowote au sera yoyote inayoeleweka ya kuwa mtetezi wa raia wake walioko nje ya nchi. Mara kadhaa sasa watanzania wanapata matatizo nje ya nchi na serikali yetu aidha inafunga kinywa au inakuwa na attitude "si mliondoka Tanzania" au kuwaona kuwa watanzania walioko nje ya nchi ni nusu raia au wana haki kidogoo na hawana protection yoyote ya State.

      Pendekezo:

      Serikali ya Tanzania yenye madege makubwa ya kutosha iandae ndege kwenda Afrika ya Kusini na kumchukua Mtanzania yoyote anayetaka kurudi nyumbani. Hili linawezekana na si gumu. Serikali pia ioneshe kujali raia wake isiwafanye kama ilivyowafanyia vijana wetu kule Ukraine au ilivyojifanya imesahau suala la vijana wetu waliouawa hapa US. Serikali yetu isifumbie macho kama inavyofumbia macho suala la kijana Fupi ambaye amewekwa kwenye kundi la Maghaidi uko Guantanamo.
      [email protected]
      Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji

    2. RukaaJuu Final

    3. #2
      Kilbark's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th February 2008
      Location : Mbekenyera
      Posts : 483
      Rep Power : 670
      Likes Received
      25
      Likes Given
      20

      Default Re: Serikali ina mpango gani na waTZ huko Bondeni

      Naungana mkono na mzee mwana kijiji lakini akumbuke kuwa hilo ni ndoto. Nitakupa mfano hai tena hapahapa Tanzania na tukio hilo lilifanywa na kiongozi mkubwa wa serikali tena bila ya aibu wakati huo ni katibu kiongozi. Kulitokea ugonjwa wa ajabu huko kijijini kwao Mahenge jamaa alichofanya yeye alichukua helikopta ya serikali akamkomba mama yake mzazi huku akiwaacha wanakijiji wenzake wakiteketea. Kwa hiyo mzee Mwanakijiji hoja yako ni nzuri lakini kwa hawa mafisadi wataanza na watoto wao,vimada vyao hiyo ni first priority.

    4. #3
      Mtanganyika's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th July 2007
      Location : US
      Posts : 1,357
      Rep Power : 1282
      Likes Received
      106
      Likes Given
      20

      Default Re: Serikali ina mpango gani na waTZ huko Bondeni

      mpango wa nini? please give government a brake, Watanzania tuna haki ya kurudi nyumbani kama mlimpo hapana haki. Serikali didn't sent you to US or UK or SA, you decided on your own willing. Please let stop this ujamaa politics.

      majority ya Watanzania walipo South Africa walikwenda kinyuma cha sheria katika miaka 1990's. Government need to focus na mambo mengine ambayo yanaitaji more attention, we can always go back home.
      If a free society cannot help the many who are poor, it cannot save the few who are rich.

    5. #4
      Mtanganyika's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th July 2007
      Location : US
      Posts : 1,357
      Rep Power : 1282
      Likes Received
      106
      Likes Given
      20

      Default Re: Serikali ina mpango gani na waTZ huko Bondeni

      Quote By Mzee Mwanakijiji

      Pendekezo

      Serikali ya Tanzania yenye madege makubwa ya kutosha iandae ndege kwenda Afrika ya Kusini na kumchukua Mtanzania yoyote anayetaka kurudi nyumbani. Hili linawezekana na si gumu. Serikali pia ioneshe kujali raia wake isiwafanye kama ilivyowafanyia vijana wetu kule Ukraine au ilivyojifanya imesahau suala la vijana wetu waliouawa hapa US. Serikali yetu isifumbie macho kama inavyofumbia macho suala la kijana Fupi ambaye amewekwa kwenye kundi la Maghaidi uko Guantanamo.

      Watanzania wengi walio south Africa wapo pale kinyume cha sheria, hakuna takwimu zozote zinazoonyesha kwamba wapo wangapi, na wafanya nini. Wengi wamejibabu kuwa ni raia wa nchi kama Rwanda, Burundi au Somalia na wameshapata either karatasi zao au wako kwenye procidure.

      Sasa serikali ya Tanzania mnataka ianzie wapi? How will the government reach unknown number of Tanzania in unknown areas? Kwa hapa mwanakijiji natofautiana na wewe 100%. Dawa ya kila anaeona ananyanyasika katika nchi aliyokwenda mwenyewe kwa hiari yake bila kulazimisha ni kurudi Tanzania. Hakuna vita South Africa kusema inabidi B56 zisecure area kabla ya kuwachukua Watanzania, no waende kwenye office za Kamata za huko south then wapande Kamata hadi Dar. Point is reduce government expenses zisizo na kichwa wala pua
      If a free society cannot help the many who are poor, it cannot save the few who are rich.

    6. #5
      Single D's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th February 2007
      Location : Duniani
      Posts : 467
      Rep Power : 719
      Likes Received
      2
      Likes Given
      3

      Default Re: Serikali ina mpango gani na waTZ huko Bondeni

      Mtanganyika,
      Kwa nini tuache ndugu zetu wafe eti tu kwa kuwa waliingia au wanaishi SA kinyume cha sheria?Serikali iwasaidie kurudi kama wapo wanaohitaji.
      Kuna wengine wameingia ki halali lakini sasa maisha yao yako mashakani na wapo vituo vya polisi wamejisetiri.Ni vema wasaidiwe kurudi kama wataridhia.
      Tusisikilize usemi wa siasa kwamba majeshi yameingia mtaani kusaidia kukamata waharifu,huko hakufai kabisa
      Kumbuka ni hivi karibuni tu hata balozi wetu huko walimkong'oli kwenye tafrija.Sijui hata kama amepata nafuu.
      Hata kama mtu ni jambazi huwa anapelekwa hospital kutibiwa ndipo mkondo wa shule ya sheria unafuata.
      'Without unity, there is no future for Africa' J.K.Nyerere,1997,Accra Ghana.

    7. Miaka 50

    8. #6
      Mtanganyika's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th July 2007
      Location : US
      Posts : 1,357
      Rep Power : 1282
      Likes Received
      106
      Likes Given
      20

      Default Re: Serikali ina mpango gani na waTZ huko Bondeni

      Single D
      Kwa nini wasipande wenyewe mabasi wakarudi Dar? Kwani south kuna vita kusema kwamba aliyao inaweza kuwa mashakani kwenye standi ya Mabasi?
      If a free society cannot help the many who are poor, it cannot save the few who are rich.

    9. Sra
      #7
      Sra's Avatar
      Member Array
      Join Date : 5th July 2007
      Posts : 48
      Rep Power : 617
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default Re: Serikali ina mpango gani na waTZ huko Bondeni

      watoto walio zaliwa ndani ya ndoa na wale walio zaliwa nje wana haki sawa kwa baba yao !! kwahiyo watz walioko bondeni wana paswa kupatiwa msaada na serikali ya kisura

    10. #8
      Jamco_Za's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th July 2007
      Posts : 1,238
      Rep Power : 853
      Likes Received
      20
      Likes Given
      0

      Default Re: Serikali ina mpango gani na waTZ huko Bondeni

      kama kuna wanaotaka kurudi na hawana jinsi nafikiri kitu cha kwanza wanatakiwa kuwasiliana na ubalozi ili serikali kama inataka kuwafuata ijue ni wangapi wanataka kurudi, lakini serikali haiwezi kutoa ndege kwenda african kusini bila kujua idadi kamili ya watu wanaotakiwa kurudi inawezekana wapo watanzania ambao hawataki kurudi tanzania pamoja na machafuko. My Views

    11. #9
      BabaH's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th January 2008
      Location : Ikulu-Magogoni
      Posts : 694
      Rep Power : 716
      Likes Received
      7
      Likes Given
      0

      Default Re: Serikali ina mpango gani na waTZ huko Bondeni

      Huu ndio ujinga wa Watanzania jamani
      Kama tuliweza kupeleka majeszhi comoro tukapigana vita na mtanzania mmoja akafa (eti AU wanalipa, ila hii sio kweli, Tanzania iligaramia kila kitu mpaka sasa) wakati hatukuwa na haja yoyote ile, na tumeingia hasara kibao hapa na kutumia mipesa chungu nzima

      Sasa iweje ndugu zetu wafe huko na kuteseka wakati serikali inaweza kabisa,

      Pili kama serikali imeshindwa kufanya hata maendeleo kidogo nchi mwetu, hata hili la kuwalinda raia wake nalo linakuwa shida.

      Pili kwenda kuwachukua watanzania SA sio gharama sana kwa serikali hata kidogo, hao viongozi watamia pesa zetu vibaya sana tena sana lakini ya kwenda kuwachukua wa TZ south inakuwa gharama sio??

      Safari moja ya JK kwenda nje ya nchi kila kukicha ambazo hazina maana yoyote kwa maendeleo yetu inatosha kabisa kwenda kuwaleta Wabongo jamani

      Kisura kalete ndugu zetu bwana,
      IKO SIKU BUBU WATASEMA, VIZIWI WATASIKIA NA MOTO UTAWAKA

    12. #10
      WildCard's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd April 2008
      Posts : 6,453
      Rep Power : 1979
      Likes Received
      1797
      Likes Given
      59

      Default Re: Serikali ina mpango gani na waTZ huko Bondeni

      Tena hili ni jukumu la msingi na la Kikatiba la Serikali yoyote MAKINI na inayowajibika kwa Raia wake. Tunaona serikali za wenzetu zinatuma haraka ndege zao kokote kwenye machafuko kuwachukua raia wao. Hapa kwetu hata lile ONYO au TAHADHARI kwa Wananchi wetu kuhusu hali ilivyo huko SAUZI bado Serikali yetu Tukufu inatafakari!

    13. #11
      Single D's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th February 2007
      Location : Duniani
      Posts : 467
      Rep Power : 719
      Likes Received
      2
      Likes Given
      3

      Default Re: Serikali ina mpango gani na waTZ huko Bondeni

      Quote By Mtanganyika
      Single D
      Kwa nini wasipande wenyewe mabasi wakarudi Dar? Kwani south kuna vita kusema kwamba aliyao inaweza kuwa mashakani kwenye standi ya Mabasi?
      Hali si nzuri hasa mji wa Cape Town maana mashambulizi yameenea ikla sehemu.Acha kufika stendi ya mabasi yaani hata kwenda uwanja wa ndege unavamiwa njiani hata hujafika.Naamini umeona mabomu ya petrol yanatumika kuwalipua watu.
      Walio vituo vya polisi ndo tu wako salama,Serikali iwasadie.
      Siamini kuwa hawa ndo wa sauzi tuliowatunza pale mjini Morogoro ki eneo cha Mazimbu na ndo wameamua kutugeuka hivi.
      'Without unity, there is no future for Africa' J.K.Nyerere,1997,Accra Ghana.

    14. #12
      Fidel80's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2008
      Location : UVUNGUNI
      Posts : 19,067
      Rep Power : 9501
      Likes Received
      3185
      Likes Given
      1237

      Default Re: Serikali ina mpango gani na waTZ huko Bondeni

      Lakini jamani kule SA si kuna ubalozi pale??kwa nn wasiende kujisalimisha alafu serikali ikajua wapo wangapi ili iweze kuwapa msaada..tatizo wabongo wengi wameenda SA kwa kuzamia ndo maana wanaogopa kujisalimisha ubalozi hawajaenda kihalali kingine kama walipelekwa na serikali basi inafanya kosa kuto wapa msaada lakini kama walienda wao wenyewe ubalozi upo pale wanaweza kupata msaada pale sasa tunasikia wengine wamejiandikisha kama warundi,wanyarwanda na wasonjo hapo sasa kazi kweli kweli nani ataenda ubalozi wkt hata pass hana duhhh aibu wana JF

    15. #13
      Single D's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th February 2007
      Location : Duniani
      Posts : 467
      Rep Power : 719
      Likes Received
      2
      Likes Given
      3

      Default Re: Serikali ina mpango gani na waTZ huko Bondeni

      Mashambulizi yamesambaa toka J'berg hadi Capetown sasa hapo ubalozini wataendaje wakati ukionwa tu njiani unavamiwa na kushambuliwa?
      'Without unity, there is no future for Africa' J.K.Nyerere,1997,Accra Ghana.

    16. #14
      Jamco_Za's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th July 2007
      Posts : 1,238
      Rep Power : 853
      Likes Received
      20
      Likes Given
      0

      Default Re: Serikali ina mpango gani na waTZ huko Bondeni

      tusiwalaumu kuwa tuliwatunza pale mazimbu, hali ya maisha imekuwa ngumu chini ya uongozi wa Thabo Mbeki kiasi kuwa ajira imekuwa issue ndo maana wameingia mtaani kutaka kuwaondoa wageni ili wabakie wao, ili linakuja hata TZ kwani hali inaendelea kuwa ngumu zaidi kila siku.

    17. #15
      Join Date : 27th February 2007
      Location : Duniani
      Posts : 467
      Rep Power : 719
      Likes Received
      2
      Likes Given
      3

      Default Re: Serikali ina mpango gani na waTZ huko Bondeni

      Quote
      tusiwalaumu kuwa tuliwatunza pale mazimbu, hali ya maisha imekuwa ngumu chini ya uongozi wa Thabo Mbeki kiasi kuwa ajira imekuwa issue ndo maana wameingia mtaani kutaka kuwaondoa wageni ili wabakie wao, ili linakuja hata TZ kwani hali inaendelea kuwa ngumu zaidi kila siku.
      Kwa hiyo wa TZ nao wavamie makampuni ya wa Sauzi?Maana yapo mengi tu hadi ya ulinzi ambao akina Marwa,Mwita,Chacha wamezaliwa nao damuni?
      Najua hili litaleta uhasama sana ktk nchi za Afrika hasa ambazo zimeathirika na haya mashambulizi ya raia wao.
      Lilianza kidogo miaka kadhaa nyumakwa kuwang'atisha mbwa wahamiaji haramu waliokamatwa njia za vichochoroni,sasa limekuwa kushambuliwa na mabomu ya petrol na kubakwa mitaani.
      'Without unity, there is no future for Africa' J.K.Nyerere,1997,Accra Ghana.
      style="display:none;visibility:hidden;" data-cfsrc="https://www.jamiiforums.com/clear.gif" alt="Reply With Quote" /> Reply With Quote

    18. #16
      Kaa la Moto's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2008
      Location : Bristol
      Posts : 6,857
      Rep Power : 1951
      Likes Received
      435
      Likes Given
      4283

      Default Re: Serikali ina mpango gani na waTZ huko Bondeni

      Quote By jamco_za
      tusiwalaumu kuwa tuliwatunza pale mazimbu, hali ya maisha imekuwa ngumu chini ya uongozi wa Thabo Mbeki kiasi kuwa ajira imekuwa issue ndo maana wameingia mtaani kutaka kuwaondoa wageni ili wabakie wao, ili linakuja hata TZ kwani hali inaendelea kuwa ngumu zaidi kila siku.
      SI WAIBWAGE ANC YAO? HATA HAPA ccm WAKO MATATANI

    19. #17
      Gaijin's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2007
      Posts : 11,319
      Rep Power : 12954
      Likes Received
      4591
      Likes Given
      2500

      Default Re: Serikali ina mpango gani na waTZ huko Bondeni

      pressure itatoka kwa watanzania wenyewe walioko huko bondeni.
      what they can do ni kuwasiliana na ubalozini kwanza. hiyo ndo step ya kwanza. then ubalozi utakapowapa jibu lenye utata( which will probably happen), wafikiriwe mbinu nyengine za msaada ikiwa ni kama hii aliyotowa mkijiji au kutafutiwa safe house kwa muda

    20. #18
      Ogah's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Posts : 5,670
      Rep Power : 21816
      Likes Received
      736
      Likes Given
      3195

      Default Re: Serikali ina mpango gani na waTZ huko Bondeni

      Mtanganyika,

      the issue in SA is very serious, na haichagui wewe umeingia kihalali wala nini, nimeongea na Cousin wangu muda si mrefu, yeye ni Engineer na yuko SA CapeTown kihalali, kaoa kule M-SA......lakini just a few minutes ago ananiambia hali si shwari na lolote laweza kutokea.......kwani hata kusafiri toka sehemu A kwenda B huna uhakika wa kufika!!...........tena Cape Town wanatumia hata snippers!!........ananiambia wala hakutegemea kwa area anayoishi kuamka asubuhi na kuambaiwa kuwa mtaa wa pili tu toka mtaa anakoishi Warundi 4 wameuawa..........

      Hawa ndio wa-SA waliomuua Sokoine, and they got away with it, hawa ndio waSA ambao Mpungwe an rafiki yake BWM wanaowa-embrace.......damn!!

      SA Govt inabidi ichukue hatua za nguvu na zisizo za kinafiki kama apology ya Bi Winnie Mandela.........yes i said it "apology ya kinafiki"!!

    21. #19
      think BIG's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th March 2008
      Posts : 241
      Rep Power : 623
      Likes Received
      10
      Likes Given
      3

      Default Re: Serikali ina mpango gani na waTZ huko Bondeni

      Field80,

      sidhani kama unaifahamu Afrika Kusini, na kama unaifahamu labda majina ya miji tu! Hivi unajua ubalozi wa Tanzania uko wapi? Uko Pretoria, mtu wa Cape Town, Durban - (KwaZulu Natal, Pietmarziburg, New Castle, nk) au Mpumalanga, Limpopo, au Western cape atafikaje huko pretoria!! Hivi wewe unajua kweli Afrika Kusini, au umekaa hapo Mikindani, Mtwara unafikiri nchi zote ziko hivyo!

      Watanzania hawataki msaada wowote kwasasa, BALI tamko rasmi la serikali dhidi ya raia wake wa Afrika Kusini, na hata ikiwezekana kushinikiza serikali ya Afrika Kusini tuzuia machafuko zaidi! Mbona tumekuwa tukitoa maonyo kwa Burundi, DRC, ... why not Afrika Kusini? Rais Mbeki yuko nchini Tanzania, Makamu wake yuko Nigeria, wote hawa wamefunga midomo (kama Ben Mkapa) hawataki kuzungumzia machafuko! Ni zamu ya serikali kuwakaripia kwa hili, kwani wanaokufa ni raia wa TZ, na pia inajenga uhasama ndani ya Afrika kwa waafrika wenyewe! Utajisikiaje ukisikia Mozambique wameaanza kupiga raia wasioongea kireno!!
      Spoon-feeding, in the long run, teaches us nothing but the shape of the spoon. - Edward M Foster

    22. #20
      tgeofrey's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2008
      Posts : 526
      Rep Power : 683
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Serikali ina mpango gani na waTZ huko Bondeni

      hawa tuliwalinada sana wakati wa ukombozi wa bara la afrika sasa wamejisahau wanatumaliza. kweli shukurani ya punda ni mateke

    Page 1 of 2 12 LastLast

    Similar Topics

    1. Replies: 19
      Last Post: 21st November 2011, 08:59
    2. Replies: 0
      Last Post: 20th July 2011, 12:57
    3. Makamuzi ya maraisi wetu walipokutana huko bondeni!
      By Askari Kanzu in forum International Forum
      Replies: 6
      Last Post: 18th June 2011, 08:16
    4. Hizi kamati na bodi huko bungeni ni kero kwa watz
      By Kisendi in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 0
      Last Post: 15th February 2011, 11:30
    5. Watz Tumekuwa Wajinga Kiasi Gani
      By KadaMpinzani in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 24
      Last Post: 1st September 2007, 16:16

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...