Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Nape na mafisadi wa CHADEMA

    Report Post
    Page 5 of 10 FirstFirst ... 34567 ... LastLast
    Results 81 to 100 of 189
    1. #1
      Speaker's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th August 2010
      Posts : 6,172
      Rep Power : 4561
      Likes Received
      1998
      Likes Given
      5029

      Default Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Kuna taarifa kua Nape nnnayuye atatoa list ya mafisadi ndani ya chadema,..
      naomba mwenye updates atupatie huko aliko,...

      update:
      inasemekana kumbe alicho ongelea chenyewe ni kile kile cha siku zote,...
      huyu mkuu atatueleza zaidi kilicho jili

      Quote By Miya
      Kaongelea hayo hayo maununuz wa magar chakavu na mshahara mil.7.wa dr.slaa
      na huyu anareport hivi:

      Quote By hoyce
      Amesema tu kwamba mshahara wa dk. Slaa ni ufisadi kwa sababu ni mkubwa. Pia kwamba CDM wanatumia fedha nyingi kwenye maandamano ambazo zingesaidia kuwaondolea wananchi umasikini
      Huyu ndio msemaji wa CCM au kuna mwingine tumngoje?
      Henge and jouneGwalu like this.
      Mjinga mpe cheo...

    2. RukaaJuu Final

    3. #81
      Mpui Lyazumbi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st September 2010
      Location : Matemanga to Tunduru
      Posts : 1,363
      Rep Power : 719
      Likes Received
      156
      Likes Given
      67

      Default Re: Nape Aimaliza CHADEMA Singida,Bendera za CHADEMA za shushwa mitaani kwa nguvu,Polisi waingilia K

      Jamani jamani, tunataka viongozi manaotoa dira ya dhati kwa maendeleo ya taifa. Kama tunaona ni busara kutaja madhaifu ya mtu m1 m1 kuwa ndiyo mahitaji ya msingi ya mtanzania!? Tumepotea sana. Nyerere ataendelea kuwa "nabii"!

    4. #82
      PakaJimmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2009
      Posts : 14,718
      Rep Power : 22527
      Likes Received
      6374
      Likes Given
      2848

      Default Re: Nape Aimaliza CHADEMA Singida,Bendera za CHADEMA za shushwa mitaani kwa nguvu,Polisi waingilia K

      Quote By LordJustice1
      Hivi siku 90 walizopewa magamba hazijaisha tu?
      Wangekuwa na uwezo wa kuingia kwenye Bongo za watu na kudelete hiyo kumbukumbu ya siku 90 wangesha fanya hivyo!
      Hii ni katika vitu vitakavyowadhalilisha sana, mfano wa aibu aliyoipata Riziwan JK juzi baada ya kutisha wakongwe na kushindwa kuwashitaki, na kuishia kung'aka pindi alipoulizwa sababu za kutochukua hatua!
      "The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
      What a man is, survives him... it can never be buried"
      (GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
      [email protected]

    5. #83
      katabu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 19th April 2011
      Posts : 165
      Rep Power : 443
      Likes Received
      11
      Likes Given
      0

      Default Re: Nape Aimaliza CHADEMA Singida,Bendera za CHADEMA za shushwa mitaani kwa nguvu,Polisi waingilia K

      Nilidhani Tundu Lisu ndo kachakachuliwa na Nape Nyau-ye!. Kumbe ni vilaza wa ccm, wal'o pretend kuwa cdm!! Nape ataambulia vichaa kama hao walio logwa akili zao na ccm kwa kofia zao. Maana zimefunga fikra zao, wasitambue zipi pumba na zipi ngano. NAPE, imekula kwako!!

    6. #84
      Elungata's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 28th January 2011
      Posts : 3,736
      Rep Power : 0
      Likes Received
      417
      Likes Given
      0

      Default Re: Nape Aimaliza CHADEMA Singida,Bendera za CHADEMA za shushwa mitaani kwa nguvu,Polisi waingilia K

      No comment

    7. #85
      Omuregi Wasu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st May 2009
      Posts : 527
      Rep Power : 552
      Likes Received
      63
      Likes Given
      47

      Default Re: Nape Aimaliza CHADEMA Singida,Bendera za CHADEMA za shushwa mitaani kwa nguvu,Polisi waingilia K

      Usanii tupu!!!! chama cha wasanii kinafanya mambo kisanii tupu. Ni vigumu kuelezea hizo fugure kisayansi. Bendera na kadi hizo zimechapishwa na CCM ili kuonesha umma kama sehemu ya propaganda zao. Siwezi kuamini kuwa bendera 87 zimerejeshwa na kadi 150 tena baadae wakaenda kulazimisha vijana au watu wengine kushusha bendera zao za CDM kwa nguvu. Wanatekeleza mambo hayo kwa nguvu ipi na mamlaka ipi? Hii inaonesha wazi kuwa wahusika ni vijana wa kijiweni waliolipwa fedha na kupewa maelekezo maalum. Hawafanyi hayo kwa mapenzi ya CCM.

      Mambo kama hayo ndo yatakayo mmaliza Nape mapema!!
      Jesus is my Lord, the provider of my needs; He provides sufficient for me.

    8. Miaka 50

    9. #86
      Mnyakatari's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th October 2010
      Posts : 697
      Rep Power : 674
      Likes Received
      250
      Likes Given
      180

      Default Re: Nape Aimaliza CHADEMA Singida,Bendera za CHADEMA za shushwa mitaani kwa nguvu,Polisi waingilia K

      Propaganda za magamba.Not real.

    10. #87
      niweze's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st October 2009
      Posts : 1,010
      Rep Power : 698
      Likes Received
      112
      Likes Given
      82

      Default Re: Nape Aimaliza CHADEMA Singida,Bendera za CHADEMA za shushwa mitaani kwa nguvu!

      Quote By Mlengo wa Kati
      Mji wa Singida leo ulitekwa na CCM ndani ya Stendi ya Zamani ambapo Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa -CCM Nape Nnauye alitoa tuhuma mbali mbali zinazofanywa na Viongozi wakuu wa CHADEMA ndani ya Chama hicho na Kuelezea kuwa Viongozi hawa kwanza waangalie usafi wa Nyumba yao badala ya Kujinadi kwa usafi nje!
      Jumla ya Wanachama 153 walirudisha Kadi za CHADEMA na bendera 87 za CHADEMA zilirudishwa! Ni pale mmoja wa walio rudisha bendera na Kadi za CHADEMA kukiri kuwa tangu ajiunge na CHADEMA amekuwa akiweweseka usiku na kujihisi ana ishi na kitu cha hatari ndani ya maisha yake kwani hata akigombana na majirani zake basi anajihisi kuandamana! Aliwavunja mbavu watu kwa kusema Chadema ni Chama cha Wahuni ambao hata Katibu wao Mkuu akiamanisha Dr Slaa hajaoa hadi leo na kusema kama mtu familia inamshinda kuishi na mwanamke ni ajabu kwa wanao mfuata kwani kwa Mila za Kiafirika Slaa bado anatakiwa asipewe siri za mambo ya nyumba hadi pale atakapo kua na kujitambua na kuoa!
      Baada ya Mkutano huo vijana walizagaa mitaani na kuanza kushusha bendera zote za CHADEMA na kuharibu kila kitu chenye nembo ya CHADEMA. Kutokana na Uvunjifu huo wa amani polisi waliingilia kati na kuna vijana walikamatwa na hadi jioni walikua wameshikiliwa na polisi. Mkutano huu uliendelea huku kukiwa na mvua kubwa Mkoani Singida! Nape amesema Vijana wana haki ya kulinda Taifa na amani ya Nchi yao na kuendelea kuichagua CCM!
      Hata mwandika hii thread kumbe ni fisadi tu. Unachukua maneno ya mtoto wa fisadi na kuyageuza kuwa maneno ya watanzania, kweli ukiwa na kinyesi usoni vigumu kuona. Huu ndio umaskini wenyewe, mwandika hii thread mwambie Nape "nani anawapa ukimwi wasichana wetu Tanzania kama si nyie mafisadi na watoto wenu?" Nani anawauwa watanzania? Muulizeni kiongozi wenu ccm fisadi kikwete lini watanzania watapata umeme? Mtanzania yupi anamwamini fisadi?

      "Fisadi akishndwa kuongoza anatapatapa kama nyoka"

    11. #88
      Quinty's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th March 2010
      Location : Ouagadougou
      Posts : 464
      Rep Power : 558
      Likes Received
      66
      Likes Given
      105

      Default Re: Nape Aimaliza CHADEMA Singida,Bendera za CHADEMA za shushwa mitaani kwa nguvu,Polisi waingilia K

      Kunya anye kuku akinya bata kahara ingekuwa ni mikutano ya CDM ungesikia viongozi wako ndani wote kama vile wao ndo wamewaambia watu wafanye hayo. Sasa hizi siasa ni za kishamba sana maana sidhani kama uongozi wa nchi unataka experience ya kuwa na mke maana kama ni hivyo ni hatari sana.
      Why...everybody wants to go to heaven, but nobody wants to die....?

    12. #89
      Pukudu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Location : Maskani.
      Posts : 1,172
      Rep Power : 1386
      Likes Received
      335
      Likes Given
      82

      Default Re: Nape Aimaliza CHADEMA Singida,Bendera za CHADEMA za shushwa mitaani kwa nguvu,Polisi waingilia K

      UMASKINI NA UJINGA NDIO MTAJI WA CCM mbona asije arusha atuambie hayo au aende shinyanga au hata Babati Singida vijana bado wako nyuma kimaendeleo thats why wanawarubuni kirahisi na pesa za mohamed dewji pita stend ya Singida utaona vijana hawana nguo ni t shirt za ccm watashindwaje kupewa buku wakatapike ----- jukwaani? Nape ya kujivua magamba imemshinda anarukia mambo asiyoyajua hivi kwani ashawaandikia barua? Wale watuhumiwa ka bado namkumbusha kama akiweza kuandika na moja iende pale magogoni kwa luteni kwan nafkiri inamhusu

    13. #90
      Makupa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 2,175
      Rep Power : 810
      Likes Received
      249
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By hoyce
      magari machakavu au waliyochakaza wao kwenye kampeni
      haijalishi gari chakavu ni chakavu tu

    14. #91
      nchasi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 20th November 2010
      Posts : 235
      Rep Power : 478
      Likes Received
      15
      Likes Given
      0

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Hawana chao hawa wafuasi wa chama cha Magamba. Wamebanwa kila kona sasa wanaweweseka mchanamchana. Wanajaribu kupunguza imani kwa wanaCDM bila mafanikio, maana kila kukicha wafuasi wanakuwa wengi mno afadhali ya jana. Sasa watu wameamka na wanajua maana ya propaganda na hawawezi kuwaamini hata kidogo. Labda wakiwashughulikia hao akina RACHAEL, na wakifanya hivyo ndio mwisho wao.

    15. #92
      Zak Malang's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th December 2008
      Posts : 4,835
      Rep Power : 1922
      Likes Received
      187
      Likes Given
      2

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Hee!! Yaani ufisadi wa CDM ni mshahara wa Dr Slaa? Nape mbona unajizidishia kasi ktk kupoteza umaarufu wako? Nilikupenda ulipowatetemesha mafisadi wa jengo la UVCCM, sasa umesogezewa sahani pembeni na hao mafisadi wa mradi huo umeufyata wala huuzungumzii tena. Vijana wa UVCCM wanashangaa kitu gani kimekubadilisha?
      Being prolific doesnt mean you are an accomplished person

    16. #93
      Crashwise's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Location : Safarini
      Posts : 13,127
      Rep Power : 14289
      Likes Received
      4015
      Likes Given
      3273

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      nimeangalia tbc eti nape anasema cdm wamenunua fuso kwa zaidi ya mil 500

    17. #94
      Zak Malang's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th December 2008
      Posts : 4,835
      Rep Power : 1922
      Likes Received
      187
      Likes Given
      2

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Quote By Zak Malang
      Hee!! Yaani ufisadi wa CDM ni mshahara wa Dr Slaa? Nape mbona unajizidishia kasi ktk kupoteza umaarufu wako? Nilikupenda ulipowatetemesha mafisadi wa jengo la UVCCM, sasa umesogezewa sahani pembeni na hao mafisadi wa mradi huo umeufyata wala huuzungumzii tena. Vijana wa UVCCM wanashangaa kitu gani kimekubadilisha?

      Wanalazimisha ufisadi wa Chadema na wanalinganisha vitu tofauti. Ufisadi wa CCM uko katika serikali yake na vitu kama EPA, Deep Green, Twin Towers, Richmond, IPTL ni multibillion -- hakika ndivyo vimechangia sana kuifikisha Tanzania tulipo. Au Nape hataki kulikubali hilo?

      Nape azungumzia ufisadi wa CDM na sana sana ameona mshahara wa Dr slaa ndiyo unaimaliza nchi!

      That is bullshit! CCM you are finished -- in total! Leave us CCM!
      Being prolific doesnt mean you are an accomplished person

    18. #95
      Mzizi wa Mbuyu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th May 2009
      Posts : 3,228
      Rep Power : 1275
      Likes Received
      535
      Likes Given
      405

      Default

      Quote By Speaker
      Kwani ufisadi ni nini?
      au ufisadi unakua ufisadi pale tu unapo kua unaongoza serikali?
      Dr.Slaa alimtaja mangula aliye kua katibu mkuu wa ccm kama fisadi,
      au naye pia alikua kiongozi wa serikali?

      Tatizo sio kutaja,tatizo ni kuwa na uwezo wa kusimama na kutaja,..
      naamini siku itaisha hajafanya kitu,ila wakitaja pia ni mwanza wa
      chadema kuondoa magugu,..
      kusema kwamba ufisadi wa ruzuku ndogo za chama sio ufisadi tuna jidanganya,...
      hao unao waona mafisadi wadogo siku wakishika nchi na level ya ufisadi wao itaongezeka,..

      It's time to make chadema clean for the take over,and we need some one outside chadema
      to point out the weakness chadema has,...and the time is now.
      Tumia akili bwana, mangula alikuwa katibu mkuu wa chama tawala bwana na alikuwa anaidhinisha kuchota pesa EPA siyo CCM.
      Mawili, nikukosa akili au upotoshaji wa makusudi.
      Kweli Nape vuvuzela!

    19. #96
      Magezi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th October 2008
      Posts : 2,654
      Rep Power : 1073
      Likes Received
      33
      Likes Given
      50

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Watanzania msitegemee mabadiliko yoyote chini ya utawala wa CCM na makuwadi wake. Nchi hii itaweza pata mabadiliko pindi tu CCM ikiondoka au ikondoshwa kwa nguvu.

    20. #97
      Filipo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Location : Kiding'a
      Posts : 6,357
      Rep Power : 18617
      Likes Received
      3519
      Likes Given
      1689

      Default

      Quote By Makupa
      haijalishi gari chakavu ni chakavu tu
      Aaah Makupa!? Bado unatumika tu!? Unatumika hadi unakuwa kipofu. Kama mikutano ni gharama kubwa kwa nini asiache kuifanya na kupeleka maendeleo kwa wananchi!? Au gharama inaihusu cdm peke yao? Ni upuuzi kusema kuwa gharama kubwa wanayoitumia cdm kwenye mikutano wangeitumia kuleta maendeleo wakati nyie ndio mliopewa dhamana! Fungua akili yako usiwe mjinga!

    21. #98
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,439
      Rep Power : 10877
      Likes Received
      3814
      Likes Given
      426

      Post Nape umechemsha,slaa ni kisiki cha mpingo humuwezi.

      Nilipopata habari jana kwamba Nape Nauye ataanika ufisadi wa Chadema nilishtuka nikasema kama ni kweli basi Chadema wamekwisha.Wananchi wangeshangaa kuona wapiganaji wa ufisadi nao kumbe ni mafisadi.Nikawa na hamu kubwa kumsikia Nape akiunguruma.
      Hatimaye nimepata mshangao mkubwa kumsikia Nape akidai kwamba ana nyaraka za siri zinazoonyesha mshahara wa Katibu Mkuu wa Chadema Dr Slaa ni mil 7.5 kwa mwezi.Nimeshangaa kwa sababu kubwa kwamba mshahara wa Dr Slaa uliwekwa hadharani na halmashauri kuu ya Chadema muda mrefu uliopita.Nimuulize Nape hivi kweli amekosa chochote cha kumpakazia Dr Slaa ikabidi ataje mshahara wake kwamba ndio ufisadi? Nape alitaka Slaa alipwe kiasi gani? Nape ndiye msemaji wa Chadema? Nape hajui kazi anayofanya kuwaelimisha watanzania kuzunguka huku na huko ni kubwa kuliko anacholipwa? Mbona Nape hashangai mshahara na posho wanayolipwa wabunge wa CCM ambao wanalala bungeni na wengine hawafungui midomo miaka mitano? Nape alitaka Slaa asilipwe halafu awe ombaomba mtaani? Au Nape alitaka Slaa aanze kuwapigia magoti mafisadi ili wampe fedha?
      Pili eti Nape anadai Mbowe anaidai Chadema mil 500 kwa sababu ya magari yake yanayotumiwa na Chadema.Ebo! Sasa Nape alitaka Mbowe atoe sadaka? Nape ana mamlaka ya kuiamulia Chadema itumieje fedha zake? Naona Nape inamuuma roho anavyoona Chadema ikistawi kupita kiasi.Mbona Nape hatuanikii matumizi ya ruzuku CCM? Mbona hatuambii yeye kama Katibu itikadi na uenezi analipwa shilingi ngapi?
      Hakika kama Nape anadai haya ndiyo mambo aliyotaka kulipua basi amechemsha tena vibaya sana.Na namshauri Nape akawaambie hao waliomtuma watafute mbinu nyingine.Kama Nape anadhani kusema mshahara wa Slaa Chadema itaacha kupambana na ufisadi basi ajue amechemsha.Namshauri Nape atafute kwanini chama chake kinachukiwa kila kona ya nchi.Ajue wananchi wamechoshwa na maisha magumu na kamwe asidhani watu watashiba akiwatajia mshahara wa Dr Slaa.
      Mwisho:Niseme tu kwamba Dr Slaa ameipaisha Chadema inalipwa mamilioni ya fedha kama ruzuku kwa kazi kubwa aliyofanya na anayoendelea kufanya.Ameingiza wabunge wengi na madiwani wengi,nakumbuka Zitto Kabwe alisema Dr Slaa ameipandisha chati Chadema kwa asilimia 400.Niseme tu kwamba kwa kazi anayofanya Slaa bado Chadema inastahili kumpa heshima kubwa zaidi kuliko hata anacholipwa sasa.
      Nape Umechemsha tafuta mbinu nyingine kwani Dr Slaa si saizi yako.

    22. #99
      Filipo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Location : Kiding'a
      Posts : 6,357
      Rep Power : 18617
      Likes Received
      3519
      Likes Given
      1689

      Default

      Quote By Makupa
      haijalishi gari chakavu ni chakavu tu
      Aaah Makupa!? Bado unatumika tu!? Unatumika hadi unakuwa kipofu. Kama mikutano ni gharama kubwa kwa nini asiache kuifanya na kupeleka maendeleo kwa wananchi!? Au gharama inaihusu cdm peke yao? Ni upuuzi kusema kuwa gharama kubwa wanayoitumia cdm kwenye mikutano wangeitumia kuleta maendeleo wakati nyie ndio mliopewa dhamana! Fungua akili yako usiwe mjinga!

    23. #100
      fredmlay's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th April 2008
      Posts : 1,516
      Rep Power : 868
      Likes Received
      265
      Likes Given
      934

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Kwakifupi hawana hoja, sheria ya mamunuzi ya serikali tangu lini ikatumika kwenye chama. Kama ndivyo basi sheria hiyo itumike kwa wananchi pia sijui ni wangapi kati yetu tungeweza kumiliki magari!

    Page 5 of 10 FirstFirst ... 34567 ... LastLast

    Similar Topics

    1. Nape, ndoto zako za kuwang'oa MAFISADI hazitatimia
      By Mohamedi Mtoi in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 13
      Last Post: 11th July 2011, 11:59
    2. Nape kabala ya kutafuta mafisadi chadema malizana na wa ccm kwanza.
      By Advocate Jasha in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 6
      Last Post: 13th May 2011, 13:54
    3. Replies: 11
      Last Post: 12th May 2011, 19:42
    4. nape asema mafisadi wamepewa barua
      By bwakea in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 17
      Last Post: 12th May 2011, 13:34
    5. Tetesi: Nape nnauye kanunuliwa na mafisadi??
      By Pdidy in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 22
      Last Post: 20th July 2009, 01:02

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...