Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Nape na mafisadi wa CHADEMA

    Report Post
    Page 3 of 10 FirstFirst 12345 ... LastLast
    Results 41 to 60 of 189
    1. #1
      Speaker's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th August 2010
      Posts : 6,178
      Rep Power : 4565
      Likes Received
      2003
      Likes Given
      5096

      Default Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Kuna taarifa kua Nape nnnayuye atatoa list ya mafisadi ndani ya chadema,..
      naomba mwenye updates atupatie huko aliko,...

      update:
      inasemekana kumbe alicho ongelea chenyewe ni kile kile cha siku zote,...
      huyu mkuu atatueleza zaidi kilicho jili

      Quote By Miya View Post
      Kaongelea hayo hayo maununuz wa magar chakavu na mshahara mil.7.wa dr.slaa
      na huyu anareport hivi:

      Quote By hoyce View Post
      Amesema tu kwamba mshahara wa dk. Slaa ni ufisadi kwa sababu ni mkubwa. Pia kwamba CDM wanatumia fedha nyingi kwenye maandamano ambazo zingesaidia kuwaondolea wananchi umasikini
      Huyu ndio msemaji wa CCM au kuna mwingine tumngoje?
      Henge and jouneGwalu like this.
      Mjinga mpe cheo...


    2. #41
      hoyce's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th October 2010
      Posts : 492
      Rep Power : 537
      Likes Received
      107
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By Speaker View Post
      Kuna taarifa kua Nape nnnayuye atatoa list ya mafisadi ndani ya chadema,..
      naomba mwenye updates atupatie huko aliko,...
      Amesema tu kwamba mshahara wa dk. Slaa ni ufisadi kwa sababu ni mkubwa. Pia kwamba CDM wanatumia fedha nyingi kwenye maandamano ambazo zingesaidia kuwaondolea wananchi umasikini

    3. #42
      hoyce's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th October 2010
      Posts : 492
      Rep Power : 537
      Likes Received
      107
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By Makupa View Post
      ruzuku mlioyotumia kununua magari machakavu ni ufisadi wa hali ya juu
      magari machakavu au waliyochakaza wao kwenye kampeni

    4. #43
      Mimibaba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2009
      Posts : 3,354
      Rep Power : 1573
      Likes Received
      813
      Likes Given
      622

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Quote By Mchambuzi View Post
      Hivi kweli tumeshindwa kabisa kuamshana na kushindana kwa hoja? Nadhani nape ni makini sana, sidhani kama na yeye ataingia katika mtego wa orodha maana katika mazingira ya azimio la zanzibar, there is a very thin line between fisadi na tajiri. Let us focus on key issues zinazowagusa wananchi jamani, ufisadi upigwe vita but usisimamishe mambo mengine muhimu, kama vita inanoga hivyo, basi tuunde vitengo kwenye vyama vyetu kupiga vita ufisadi e.g. katibu idara ya kupiga vita ufisadi ili wengine waendelee na mambo mengine muhimu (sina maana vita dhidi ya ufisadi sio muhimu).

      Uko sahihi ila baadhi tumeumia sana na ufisadi kiwango sawa na kovu lililo kwenye uso kila ukipita ni kama tangazo kwa jamii. Kwa vile nina uhakika uko ndani ya mfumo wa chama letu la kifisadi chukua nafasi yako kuwanyamazisha akina nape wasiropokee ufisadi kama ndiyo jibu kwa azimio la CDM kuushambulia ufisadi kwa kuwasema mafisadi hadharani. kwa bahati mbaya mafisadi wenyewe hawajibu.

      Sisi wengine tunaliona kama mazingira fulani yalitengenezwa kufacilitate manufaa fulani ya kundi fulani. Kundi hilo halikujikita kuangalia athari zake zitakuwa na madhara na reaction zipi katika taswira ya taifa. Ni vema kundi hili la wenye kutuamlia mstakabali wa taifa likiri tu na kuchukua hatua kufuta hizi hisia kali zilizopo kwa vitendo. Liutazame upya mfumo uliozaa ufisadi na kusahihisha pale panapotukera wananchi na nchi kwa ujumla. Kuwaelekezea zigo hilo kwa baadhi ya viongozi wenu kwa kuwatawadha ni kama kutawadha mbwa.
      Ukweli utakuweka huru daima

    5. #44
      Speaker's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th August 2010
      Posts : 6,178
      Rep Power : 4565
      Likes Received
      2003
      Likes Given
      5096

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Quote By hoyce View Post
      Amesema tu kwamba mshahara wa dk. Slaa ni ufisadi kwa sababu ni mkubwa. Pia kwamba CDM wanatumia fedha nyingi kwenye maandamano ambazo zingesaidia kuwaondolea wananchi umasikini
      yaani nape kumbe ni kichaa sana eh?
      maandamano ya chadema na semina elekezi za kunywa chai za ccm ipi inatumia
      hela nyingi?
      dah,...kuhusu mshahara wataongelea wao wenyewe chadema ila point ya
      pili ni ya kipimbi kabisa
      jouneGwalu likes this.
      Mjinga mpe cheo...

    6. #45
      fige's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th July 2010
      Posts : 360
      Rep Power : 527
      Likes Received
      53
      Likes Given
      22

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Wanatafuta la kuongea bila kupima .Nape atuambie kama kuna sheria ya nchi inakataza vyama kinunua vitu chakavu.

      Au atuambie hayo magari yamenunuliwa kwa bei ya magari mapya ?

      Wabunge wanapata mshahara m 12 si ndio m 7 ni zaidi kidogo ya nusu ya mshahara wa mbunge cha ajabu ni nini ?

      Halafu yeye wala hasemi anapata ngapi na raisi wake


    7. #46
      kinepi_nepi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th August 2007
      Posts : 878
      Rep Power : 1213
      Likes Received
      223
      Likes Given
      118

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Kwani alifanya mkutano wa hadhara au alikuwa anaongea na makada wenzeka mafisadi? Mbona hakuna aliyemsikia akiongea au kashikwa na kwikwi kama wenzeka, CCM wazee wa ahadi utekelezaji zerooooooooooooooooooooooooooo oo
      "Power never takes a back step only in the face of more power. Nobody can give you freedom, equality or justice or anything. If you're a man, you take it."

    8. #47
      Kanigini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2010
      Posts : 830
      Rep Power : 642
      Likes Received
      208
      Likes Given
      131

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Jamani tujaribu kujiuliza huyu Np kawekwa pale kwa kazi ipi, "Job Description" yake ni kuongea kwa niaba ya Chama, na asipoonea halipwi mshahara kwa hiyo ataongea hata kama kitu ni cha kijinga ili mradi aonekane anafanya kazi.

      Mbaya zaidi katika kipindi hiki alichopigwa stop kuwazungumzia Mapacha Wa3, ataongea vitu vingi mpaka atawaboa waliompa hii kazi na soon atastepishwa down.

    9. #48
      Mbugi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th January 2011
      Location : BOX 2063 MBEYA
      Posts : 841
      Rep Power : 596
      Likes Received
      89
      Likes Given
      18

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Nataka kujua kama ufisadi unaweza kukomeshwa kwa kuweka walinzi na virungu ama maandamano hasa katika ulimwengu wa kisayansi? Lakini pia watanzania wenzengu mafisadi ni watu na mbaya zaidi ni wenzetu na mara kadhaa wamekuwa wakitumia raslimali ndogo tulizonazo kwa manufaa binafsi, mfano kujichukulia umaarufu wa kibinafsi.

    10. #49
      LordJustice1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th January 2011
      Posts : 2,069
      Rep Power : 2304
      Likes Received
      410
      Likes Given
      36

      Default

      Quote By hoyce View Post
      Amesema tu kwamba mshahara wa dk. Slaa ni ufisadi kwa sababu ni mkubwa. Pia kwamba CDM wanatumia fedha nyingi kwenye maandamano ambazo zingesaidia kuwaondolea wananchi umasikini
      Mshahara wa Dkt Slaa ni mkubwa ukilinganisha na wa nani? Kwani mishahara inatakiwa isizidi kiwango gani jamani? Poor Nape, nilimuona mtu wa maana kumbe ni vuvuzela tu! Na huo ukuu wa Wilaya anautumikia saa ngapi maana kila silu yuko majukwaani/magazetini kujibu hoja za cdm!
      Speaker likes this.

    11. #50
      Mbugi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th January 2011
      Location : BOX 2063 MBEYA
      Posts : 841
      Rep Power : 596
      Likes Received
      89
      Likes Given
      18

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Chadema naomba tuchape kazi tuache longolongo - ccm waige kwetu

    12. #51
      Izack Mwanahapa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st April 2011
      Location : Mwanza
      Posts : 319
      Rep Power : 476
      Likes Received
      129
      Likes Given
      97

      Default Nape nnauye kushindwa kueleza kuhusu ufisadi wa chadema kama alivyoahidi, je si kujichanya mwenyewe?

      Ndugu wadau;

      Taarifa za habari za jana usiku leo asubuhi na pia vichwa vya habari vya magazeti kadhaa vimekuwa vikimnukuu katibu mkuu mpya wa CCM Nape Nnauye akisema kwamba leo angeeleza ufisadi wa CHADEMA katika kile kilichoelezwa na wakereketwa wa ccm kama kujibu mapigo ya CHADEMA.

      Cha ajabu,

      Hajatoa na hatujaisikia taarifa aliyoahidi kuitoa kupitia vyombo vya habari

      Maswali ya kjiuliza

      Je alikuwa anajaribu kutikisa kiberiti?
      Je amelewa madaraka kiasi cha kutaka kusikika kila siku kwenye vyombo vya habari
      Je kama ameshindwa kutekeleza lililo chini ya uwezo wake atawezaje kufukuza mafisadi baada ya siku 90 kama anavyoahidi ilhali yeye si mtendaji?

      Au amezuiwa na wakubwa ili kupunguza moto baada ya kulipukiwa na bomu la CHADEMA waliosema kuwa wapo tayari kutoa ushahidi wa kwamba serikali imeishiwa na imekopa kutoka katika mabenki taarifa inayoonekana kuwa tishio kwa CCM na serikali kwani jana waziri wa fedha (Mkulo) alikanusha taarifa hii bila takwimu za kisayansi,

      Nini hatma ya kijana Nape kama ameanza kutoa ahadi ambazo hazitekelezeki akiwa kijana?

    13. #52
      matongo manawa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2011
      Posts : 304
      Rep Power : 476
      Likes Received
      56
      Likes Given
      46

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Mimi najiuliza wanajamvi kama chadema kufanya maandamano na kutoa hotuba za
      mwamko kwa wtz ni matumizi mabaya yafedha za umma,je pesa za ccm zinatumika
      kufanya nini.
      Ingekuwa vyema Nape akatuonesha mfano kwamba wao badala ya kufanya maandamano
      pesa zao wamezitumia kuleta maendeleo fulani.
      Speaker likes this.

    14. #53
      kinepi_nepi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th August 2007
      Posts : 878
      Rep Power : 1213
      Likes Received
      223
      Likes Given
      118

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Ama kweli CCM imepata msemaje. namshauri Mchambuzi amakalishe chini kijana mwenzeka amsaidie kupanga mikakati na jinsi ya kuongea. CDM ni wa wazi hakuna kitu chini ya uvungu.

      Mikutano ya hadhara na maandamano ya CDM ni muhimu sana kwani inaelimisha jamii na kujua umuhimu wa kulinda kodi zao na kuijua katiba ya nchi yao, haki, usawa na wajibu wa kiongozi wa umma. Ni wazi CCM ilifikiri wananchi wataendelea kuwa wajinga siku zote. Ni aibu sana kijana Nape anakosa vijana wenzake hata kuongea nao kwenye mikutano.

      Mapacha at work. Zao la ufisadi ni fisadi.Serikali ya mafisadi huteua mafisadi na hulea ufisadi hufikiri kifisadi na huishia kwa ufisadi. mwisho wa ubaya aibu.
      "Power never takes a back step only in the face of more power. Nobody can give you freedom, equality or justice or anything. If you're a man, you take it."

    15. Deo is online now
      Deo
      #54
      Deo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th November 2008
      Posts : 539
      Rep Power : 648
      Likes Received
      92
      Likes Given
      7

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Nape asiwasumbue kwa propaganda za uongo. Huu ni ujanja wa kukimbia hoja ya kuvuana magamba na siku 90.
      Shame on you Nape. Siku zako zina hesabika ndani ya chama cha magamba. Hutasamehewa hata kama ukila matapishi na mavi yako, sasa umeshikwa pabaya na unacheza zumari lao.
      Tueleze wale uliowataja mmewapa barua!

    16. Bob is offline
      Bob
      #55
      Bob's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th September 2007
      Posts : 190
      Rep Power : 655
      Likes Received
      14
      Likes Given
      69

      Default Re: Nape nnauye kushindwa kueleza kuhusu ufisadi wa chadema kama alivyoahidi, je si kujichanya mweny

      Magamba yamegoma kuvuka. Anatafuta consolation.
      "Maji ukiyavulia ......."
      Poleeeeeeee

    17. #56
      Kichakoro's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th September 2008
      Location : Brondby Strand
      Posts : 552
      Rep Power : 749
      Likes Received
      132
      Likes Given
      141

      Default Re: Nape nnauye kushindwa kueleza kuhusu ufisadi wa chadema kama alivyoahidi, je si kujichanya mweny

      Mi nshanunua tindikali (conc Sulphuric Acid) lazima tuwatoe magamba kwa nguvu.

    18. #57
      PakaJimmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2009
      Posts : 14,910
      Rep Power : 22570
      Likes Received
      6525
      Likes Given
      2933

      Default Re: Nape nnauye kushindwa kueleza kuhusu ufisadi wa chadema kama alivyoahidi, je si kujichanya mweny

      Kama wanashindwa kulipa mishahara, fedha ya kutimizia zile ahadi za trilioni 90(ikiwa ni pamoja na kuufanya mji wa Kigoma kuwa kama Dubai) itatoka wapi?
      Wanasikitisha hawa magamba!
      "The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
      What a man is, survives him... it can never be buried"
      (GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
      [email protected]

    19. #58
      Mlengo wa Kati's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 16th February 2011
      Posts : 1,382
      Rep Power : 0
      Likes Received
      197
      Likes Given
      11

      Default Nape Aimaliza CHADEMA Singida,Bendera za CHADEMA za shushwa mitaani kwa nguvu!

      Mji wa Singida leo ulitekwa na CCM ndani ya Stendi ya Zamani ambapo Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa -CCM Nape Nnauye alitoa tuhuma mbali mbali zinazofanywa na Viongozi wakuu wa CHADEMA ndani ya Chama hicho na Kuelezea kuwa Viongozi hawa kwanza waangalie usafi wa Nyumba yao badala ya Kujinadi kwa usafi nje!
      Jumla ya Wanachama 153 walirudisha Kadi za CHADEMA na bendera 87 za CHADEMA zilirudishwa! Ni pale mmoja wa walio rudisha bendera na Kadi za CHADEMA kukiri kuwa tangu ajiunge na CHADEMA amekuwa akiweweseka usiku na kujihisi ana ishi na kitu cha hatari ndani ya maisha yake kwani hata akigombana na majirani zake basi anajihisi kuandamana! Aliwavunja mbavu watu kwa kusema Chadema ni Chama cha Wahuni ambao hata Katibu wao Mkuu akiamanisha Dr Slaa hajaoa hadi leo na kusema kama mtu familia inamshinda kuishi na mwanamke ni ajabu kwa wanao mfuata kwani kwa Mila za Kiafirika Slaa bado anatakiwa asipewe siri za mambo ya nyumba hadi pale atakapo kua na kujitambua na kuoa!
      Baada ya Mkutano huo vijana walizagaa mitaani na kuanza kushusha bendera zote za CHADEMA na kuharibu kila kitu chenye nembo ya CHADEMA. Kutokana na Uvunjifu huo wa amani polisi waliingilia kati na kuna vijana walikamatwa na hadi jioni walikua wameshikiliwa na polisi. Mkutano huu uliendelea huku kukiwa na mvua kubwa Mkoani Singida! Nape amesema Vijana wana haki ya kulinda Taifa na amani ya Nchi yao na kuendelea kuichagua CCM!
      Last edited by Mlengo wa Kati; 11th May 2011 at 23:18.

    20. #59
      mkokoteni's Avatar
      Member Array
      Join Date : 25th April 2008
      Location : Johannesburg
      Posts : 19
      Rep Power : 572
      Likes Received
      5
      Likes Given
      0

      Default Re: Nape Aimaliza CHADEMA Singida,Bendera za CHADEMA za shushwa mitaani kwa nguvu,Polisi waingilia K

      mahali ambapo ujinga na umaskini umeshamiri ndo ngome ya magamba!!!!
      Sniper and genekai like this.

    21. #60
      BONGOLALA's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 14th September 2009
      Posts : 5,413
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1196
      Likes Given
      199

      Default Re: Nape Aimaliza CHADEMA Singida,Bendera za CHADEMA za shushwa mitaani kwa nguvu,Polisi waingilia K

      Waichague ccm???una akili timamu au kula yako ipo ccm?hakuna kitu hakuna mtanzania mwenye akili timamu wa leo anayeitaka ccm,kwa lipi haswa?sijui kwa wana singida maana ki umaskini ndio mkoa unaongoza pamoja na kuwa na ngombe,alizeti,vitungu,asali,m bao na mbunge muhindi toka bombay!

    Page 3 of 10 FirstFirst 12345 ... LastLast

    Similar Topics

    1. Nape, ndoto zako za kuwang'oa MAFISADI hazitatimia
      By Mohamedi Mtoi in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 13
      Last Post: 11th July 2011, 11:59
    2. Nape kabala ya kutafuta mafisadi chadema malizana na wa ccm kwanza.
      By Advocate Jasha in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 6
      Last Post: 13th May 2011, 13:54
    3. Replies: 11
      Last Post: 12th May 2011, 19:42
    4. nape asema mafisadi wamepewa barua
      By bwakea in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 17
      Last Post: 12th May 2011, 13:34
    5. Tetesi: Nape nnauye kanunuliwa na mafisadi??
      By Pdidy in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 22
      Last Post: 20th July 2009, 01:02

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...