Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Nape na mafisadi wa CHADEMA

    Report Post
    Page 2 of 10 FirstFirst 1234 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 189
    1. #1
      Speaker's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th August 2010
      Posts : 6,178
      Rep Power : 4565
      Likes Received
      2003
      Likes Given
      5095

      Default Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Kuna taarifa kua Nape nnnayuye atatoa list ya mafisadi ndani ya chadema,..
      naomba mwenye updates atupatie huko aliko,...

      update:
      inasemekana kumbe alicho ongelea chenyewe ni kile kile cha siku zote,...
      huyu mkuu atatueleza zaidi kilicho jili

      Quote By Miya View Post
      Kaongelea hayo hayo maununuz wa magar chakavu na mshahara mil.7.wa dr.slaa
      na huyu anareport hivi:

      Quote By hoyce View Post
      Amesema tu kwamba mshahara wa dk. Slaa ni ufisadi kwa sababu ni mkubwa. Pia kwamba CDM wanatumia fedha nyingi kwenye maandamano ambazo zingesaidia kuwaondolea wananchi umasikini
      Huyu ndio msemaji wa CCM au kuna mwingine tumngoje?
      Henge and jouneGwalu like this.
      Mjinga mpe cheo...

    2. #21
      Kibunango's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th August 2006
      Location : Tampere
      Posts : 6,820
      Rep Power : 44138
      Likes Received
      375
      Likes Given
      1450

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Quote By Nicky82 View Post
      Ama kweli hakuna mwenye nafuu CCM hata mmoja...badala ya kujibu hoja kwa hoja wao wanakuja na blah!blah!...hoja ya magamba na siku 90 haieleweki, mara wanakuja na hili la mafisadi wa CDM....Slaa aliwaambia anayeona kasingiziwa aende mahakamani wao badala ya kuwasupport waliosingiziwa ili wakisafisha chama wanapiga blah bhah tu
      Hoja gani ya kujibiwa?
      Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
      But, if you think again, neither does milk."
      Vituko Vya Zenj

    3. #22
      TUNTEMEKE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th June 2009
      Location : Mombasa
      Posts : 4,504
      Rep Power : 11341
      Likes Received
      324
      Likes Given
      236

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Quote By Mchambuzi View Post
      Hivi kweli tumeshindwa kabisa kuamshana na kushindana kwa hoja? Nadhani nape ni makini sana, sidhani kama na yeye ataingia katika mtego wa orodha maana katika mazingira ya azimio la zanzibar, there is a very thin line between fisadi na tajiri. Let us focus on key issues zinazowagusa wananchi jamani, ufisadi upigwe vita but usisimamishe mambo mengine muhimu, kama vita inanoga hivyo, basi tuunde vitengo kwenye vyama vyetu kupiga vita ufisadi e.g. katibu idara ya kupiga vita ufisadi ili wengine waendelee na mambo mengine muhimu (sina maana vita dhidi ya ufisadi sio muhimu).
      Ndugu yangu nilikuwa nakuheshimu sana , tena nikadani wewe ni kijana makini kumbe bure kabisa you deservr to wear that green Gamba, yaani wewe ufisadi unaosababisha nchi isiende unaona tuuache , tujadili nini sasa wewe na rais wako aliyeenda kutembela wagonjwa hospital na kuona tu jinsi wanavyoteseka bila hta kupeleka dawa kwa kuwa hazikuwepo mnafanana for each and everything, usifikiri watu ni wajinga kama wewe ulivyo, pia Nape siyo Makini kama unavyodai, mtu yeyote aliye makini hawezi kuteuliwa na Jk akakubali au tuonyeshe ni kipi alichowahi kufanya Nape akaonekana makini dont rose from now where na uanze kudanganya na kuleta story zenu za magamba hapa
      You are young like us lakini unachozungumza it like kimezungumzwa na mzee wa umri wa kingunge , leo watumishi wa umma hawajalipwa mishahara sababu ya ufisadi, barabara haziishi cause of ufisadi,madawa hospital ,mashule, no walimu, mikataba mibovu, viongozi wabovu kama wewe,nchi kukosa dira pamoja na mengine yafananayo na hayo yote ni kwa sababu ya UFISADI

      SASA KWA AKILI YAKO UNATAKA TUJADILI NINI?
      THINK BEFORE YOU ACT
      Speaker likes this.

    4. #23
      Makupa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 2,181
      Rep Power : 815
      Likes Received
      256
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Kafiribangi View Post
      Kwani serikali ya CCM imewahi kuteuwa wanachama kutoka Chadema kuwa viongozi wa juu wa serikali na taasisi zake katika zile nafasi nyeti za kufanza ufisadi?

      Nape asituijie na mambo ya ruyzuku ya vyama na kusema eti ndiyo ufisadi, au mambo ya mamilioni machache ambayo hayalingani na mabilioni ya ufisadi ndani ya CCM na serikali yake.
      ruzuku mlioyotumia kununua magari machakavu ni ufisadi wa hali ya juu

    5. #24
      Mbopo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2008
      Posts : 2,534
      Rep Power : 1088
      Likes Received
      377
      Likes Given
      13

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Quote By Speaker View Post
      Kwani ufisadi ni nini?
      au ufisadi unakua ufisadi pale tu unapo kua unaongoza serikali?
      Dr.Slaa alimtaja mangula aliye kua katibu mkuu wa ccm kama fisadi,
      au naye pia alikua kiongozi wa serikali?

      Tatizo sio kutaja,tatizo ni kuwa na uwezo wa kusimama na kutaja,..
      naamini siku itaisha hajafanya kitu,ila wakitaja pia ni mwanza wa
      chadema kuondoa magugu,..
      kusema kwamba ufisadi wa ruzuku ndogo za chama sio ufisadi tuna jidanganya,...
      hao unao waona mafisadi wadogo siku wakishika nchi na level ya ufisadi wao itaongezeka,..

      It's time to make chadema clean for the take over,and we need some one outside chadema
      to point out the weakness chadema has,...and the time is now.
      This is the most candid admission ever to be given by a CDM sympathiser. You have really made a wonderful statement of intent and revealed what other people would sweep under the carpet.
      Kakalende and Speaker like this.

    6. #25
      Mbopo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2008
      Posts : 2,534
      Rep Power : 1088
      Likes Received
      377
      Likes Given
      13

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      [QUOTE=chiefmasanja;1958557]Ndugu yangu nilikuwa nakuheshimu sana , tena nikadani wewe ni kijana makini kumbe bure kabisa you deservr to wear that green Gamba, yaani wewe ufisadi unaosababisha nchi isiende unaona tuuache , tujadili nini sasa wewe na rais wako aliyeenda kutembela wagonjwa hospital na kuona tu jinsi wanavyoteseka bila hta kupeleka dawa kwa kuwa hazikuwepo mnafanana for each and everything, usifikiri watu ni wajinga kama wewe ulivyo, pia Nape siyo Makini kama unavyodai, mtu yeyote aliye makini hawezi kuteuliwa na Jk akakubali au tuonyeshe ni kipi alichowahi kufanya Nape akaonekana makini dont rose from now where na uanze kudanganya na kuleta story zenu za magamba hapa
      You are young like us lakini unachozungumza it like kimezungumzwa na mzee wa umri wa kingunge , leo watumishi wa umma hawajalipwa mishahara sababu ya ufisadi, barabara haziishi cause of ufisadi,madawa hospital ,mashule, no walimu, mikataba mibovu, viongozi wabovu kama wewe,nchi kukosa dira pamoja na mengine yafananayo na hayo yote ni kwa sababu ya UFISADI

      Huu ni umbumbumbu wa hali ya juu. Yaani kwa sababu anafanya ufisadi mdogo aachwe tu asiguswe eti kwa sababu hakuna madhara ya ufisadi huo kwa umma, wakati hizo nazo ni kodi za wananchi? Hivi unadhani mbuyu si ulianza kama mchicha?

      Yaani unadhani kukataa uteuzi ndiyo measure ya usafi? Ndugu yangu fungua macho na uache ushabiki uliojaa upofu. Jamaa ana msimamo ulio thabiti na ni msafi lakini dhambi yake ni kwa sababu anagusa pale mnapoona nyie kuwa ni mahali nyeti lakini ufisadi unaoendelea huko CDM tena kwa fungu hilo dogo ni mkubwa na unajiuliza kama wangekuwa wamekalia mabilioni hali ingekuwaje!

    7. #26
      Bigirita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Under a mango tree
      Posts : 11,348
      Rep Power : 3064
      Likes Received
      3109
      Likes Given
      4230

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Mbopo una matatizo makubwa sana.
      Upo ki govi govi tu! Hakuna kitu!

    8. #27
      mashikolomageni's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th January 2010
      Location : Dar es Salaam, Tanzania
      Posts : 1,445
      Rep Power : 770
      Likes Received
      144
      Likes Given
      131

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Kazi kwelikweli, awataje hao mafisadi cdm tupime na kuchukua hatua, lakini yeye alisema barua ziko tayari kuwakabidhi hao mapacha watatu hadi leo kimya na sasa amebadili topic toka kuwashughulikia waliondani ya magamba hadi sasa yuko cdm kushughulikia mafisadi. Kweli sisiem ni Sikio la kufa .................

    9. #28
      Speaker's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th August 2010
      Posts : 6,178
      Rep Power : 4565
      Likes Received
      2003
      Likes Given
      5095

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Quote By Mbopo View Post
      This is the most candid admission ever to be given by a CDM sympathiser. You have really made a wonderful statement of intent and revealed what other people would sweep under the carpet.
      If we want to have a better government we have to prepare it now,and we don't need to prepare
      it by hiding some facts,...
      Mjinga mpe cheo...

    10. #29
      Speaker's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th August 2010
      Posts : 6,178
      Rep Power : 4565
      Likes Received
      2003
      Likes Given
      5095

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Quote By Bigirita View Post
      Mbopo una matatizo makubwa sana.
      Upo ki govi govi tu! Hakuna kitu!
      yaani akili zako sijui zimekaa wapi,....
      Mjinga mpe cheo...

    11. #30
      kinepi_nepi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th August 2007
      Posts : 878
      Rep Power : 1213
      Likes Received
      223
      Likes Given
      118

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      huyo Nape hajaongea tu mbona kimya au alikuwa anatishia nyau????
      "Power never takes a back step only in the face of more power. Nobody can give you freedom, equality or justice or anything. If you're a man, you take it."

    12. #31
      Speaker's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th August 2010
      Posts : 6,178
      Rep Power : 4565
      Likes Received
      2003
      Likes Given
      5095

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Quote By PakaJimmy View Post
      mKUU,
      Tuambie mwenzetu umepata wapi taarifa hizi, au hata kama chanzo ni wewe mwenyewe tujuze!

      In case list hii ikitajwa, basi itakuwa ni alarming bell kwa cdm ku'stick kwenye kile wanachohubiri kila siku kwa umma wa Watanzania!
      Lakini pia, tendo hili linaweza kumharibia sana Nape in case asipokuwa makini, na aka'miss-project! Ataonekana boya fulani lisilojua hasa anachotakiwa kukifanya kwa nafasi aliyopewa katika chama cha magamba!
      Namtakia kila la heri kijana huyu!
      mkuu hii nimeitoa kwenye gazeti lao la propaganda la
      jamba leo,...
      kwakua walikua wana waambia wana ccm wenzao,nimeona wakitaja hayo
      majina,chadema wasijibu kama ccm kua "sio kweli" ila wayafanyie uchunguzi.
      Na kama hao mafisadi wata kuwepo kweli basi chadema ioneshe mfano wa
      jinsi itakavo pambana na ufisadi ikichukua uongozi wa Tanganyika,...
      kama nilivo sema hapo juu,sijasikia popote akitaja,labda tusubiri magazeti ya kesho
      Mjinga mpe cheo...

    13. #32
      Speaker's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th August 2010
      Posts : 6,178
      Rep Power : 4565
      Likes Received
      2003
      Likes Given
      5095

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Quote By kinepi_nepi View Post
      huyo Nape hajaongea tu mbona kimya au alikuwa anatishia nyau????
      kama hakukua na mwenye kutupatia update hapa JF
      basi tusubiri kusikia kwenye gazeti zao za kesho
      Mjinga mpe cheo...

    14. #33
      TUNTEMEKE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th June 2009
      Location : Mombasa
      Posts : 4,504
      Rep Power : 11341
      Likes Received
      324
      Likes Given
      236

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      [QUOTE=Mbopo;1958654]
      Quote By chiefmasanja View Post
      Ndugu yangu nilikuwa nakuheshimu sana , tena nikadani wewe ni kijana makini kumbe bure kabisa you deservr to wear that green Gamba, yaani wewe ufisadi unaosababisha nchi isiende unaona tuuache , tujadili nini sasa wewe na rais wako aliyeenda kutembela wagonjwa hospital na kuona tu jinsi wanavyoteseka bila hta kupeleka dawa kwa kuwa hazikuwepo mnafanana for each and everything, usifikiri watu ni wajinga kama wewe ulivyo, pia Nape siyo Makini kama unavyodai, mtu yeyote aliye makini hawezi kuteuliwa na Jk akakubali au tuonyeshe ni kipi alichowahi kufanya Nape akaonekana makini dont rose from now where na uanze kudanganya na kuleta story zenu za magamba hapa
      You are young like us lakini unachozungumza it like kimezungumzwa na mzee wa umri wa kingunge , leo watumishi wa umma hawajalipwa mishahara sababu ya ufisadi, barabara haziishi cause of ufisadi,madawa hospital ,mashule, no walimu, mikataba mibovu, viongozi wabovu kama wewe,nchi kukosa dira pamoja na mengine yafananayo na hayo yote ni kwa sababu ya UFISADI

      Huu ni umbumbumbu wa hali ya juu. Yaani kwa sababu anafanya ufisadi mdogo aachwe tu asiguswe eti kwa sababu hakuna madhara ya ufisadi huo kwa umma, wakati hizo nazo ni kodi za wananchi? Hivi unadhani mbuyu si ulianza kama mchicha?

      Yaani unadhani kukataa uteuzi ndiyo measure ya usafi? Ndugu yangu fungua macho na uache ushabiki uliojaa upofu. Jamaa ana msimamo ulio thabiti na ni msafi lakini dhambi yake ni kwa sababu anagusa pale mnapoona nyie kuwa ni mahali nyeti lakini ufisadi unaoendelea huko CDM tena kwa fungu hilo dogo ni mkubwa na unajiuliza kama wangekuwa wamekalia mabilioni hali ingekuwaje!
      usiwe kama pimbi wewe, msimamo gani alio nao au shda na njaa ndiyo zinazomsumbua? msimamo gani mbona alitamaba anatoa barua kwa RA, EL na mzee wa vijisent mbona amekimbia , hiyo ngoma imemshinda hata mkuu wa kaya Vuvuzela litaweza?
      Nape mropkaji na mpuuzi kama wewe, sidhani hata kama huwa unatumia akili kufikiri, labda unatumia ngozi sasa baada ya gamba kutoka umejikuta akili nay imeenda ni BORA HATA YUSUF MAKAMBA KULLIKO WEWE NA NAPE

    15. #34
      Mr Suggestion's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd May 2011
      Location : Juba
      Posts : 324
      Rep Power : 476
      Likes Received
      61
      Likes Given
      49

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Quote By Remmy View Post
      Here we are. tumechoka na wimbo wa ufisadi, tubadilishe chorus, tufanye mambo ya msingi.
      Sizani kama ufisadi ni wimbo bali ni vita so hatuwezi kuacha kupigana vita hii ya ufisadi no matter umefanyika wapi CDM au CCM Ila kama unaathiri maisha ya mtanzania then lazima ipingwe,
      Just imagine kama kila mwananchi akawa ethical kwa kila kitu unadhani Tanzania ingekuwa vipi? Tafakari chukua atua

    16. #35
      genekai's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th February 2010
      Location : Loitering!
      Posts : 7,685
      Rep Power : 2121
      Likes Received
      1156
      Likes Given
      1601

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Quote By Mchambuzi View Post
      Hivi kweli tumeshindwa kabisa kuamshana na kushindana kwa hoja? Nadhani nape ni makini sana, sidhani kama na yeye ataingia katika mtego wa orodha maana katika mazingira ya azimio la zanzibar, there is a very thin line between fisadi na tajiri. Let us focus on key issues zinazowagusa wananchi jamani, ufisadi upigwe vita but usisimamishe mambo mengine muhimu, kama vita inanoga hivyo, basi tuunde vitengo kwenye vyama vyetu kupiga vita ufisadi e.g. katibu idara ya kupiga vita ufisadi ili wengine waendelee na mambo mengine muhimu (sina maana vita dhidi ya ufisadi sio muhimu).
      Well stated mkuu!
      The future of this country is being jeopardized by the intellectual slavery of our top leaders

    17. #36
      Miya's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 29th March 2011
      Posts : 194
      Rep Power : 455
      Likes Received
      28
      Likes Given
      11

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Kaongelea hayo hayo maununuz wa magar chakavu na mshahara mil.7.wa dr.slaa

    18. #37
      kinepi_nepi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th August 2007
      Posts : 878
      Rep Power : 1213
      Likes Received
      223
      Likes Given
      118

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Quote By Mchambuzi View Post
      Hivi kweli tumeshindwa kabisa kuamshana na kushindana kwa hoja? Nadhani nape ni makini sana, sidhani kama na yeye ataingia katika mtego wa orodha maana katika mazingira ya azimio la zanzibar, there is a very thin line between fisadi na tajiri. Let us focus on key issues zinazowagusa wananchi jamani, ufisadi upigwe vita but usisimamishe mambo mengine muhimu, kama vita inanoga hivyo, basi tuunde vitengo kwenye vyama vyetu kupiga vita ufisadi e.g. katibu idara ya kupiga vita ufisadi ili wengine waendelee na mambo mengine muhimu (sina maana vita dhidi ya ufisadi sio muhimu).
      Mchambuzi heshimu mkuu,
      Kwanza Nape sio makini kabisa, angekuwa makini na ujana wake asinge ropoka, kama kweli hawakujadiliana kuwafukuza mafisadi , kwanini aje na uzushi, sasa mafisadi hawafukuzwi na bado mnamwita makini labda umakini CCM unamaana nyingine.

      Ndugu Mchambuzi, ukiwa mtaalamu wa uchumi nafikiri unajua kabisa huwezi kuendelea kuendesha nchi kwa kukusanya mapato kama kuna wizi, rushwa, mikataba mibovu na uzembe unaosababisha serikali kushindwa kujiendesha na kuletea wananchi wake maendeleo. Kukataa kuliongelea hili tatizo ni kuficha maradhi.

      Wizi, rushwa, mikataba mibovu na aina yote ya ufisadi ndio vinasababisha hasara kubwa sana ya mapato ya taifa. Rushwa imesababisha mpaka leo nchi ipo gizani ikisaidiwa na mikabata mibovu, angali IPTL, Richmond nk. Na Rushwa hii inazaa kukataa miradi yote ya kudumu ya nishati kwani wanakula kwenye mikataba ya mlipuko hawako tayari kuiona serikali wanayoitumikia ikitatua tatizo.

      Kama umewahi kungalia ripoti ya CAG utaona fedha nyingi zinavyopotea kwenye mikono ya mafisadi, ukusanyaji wa ushuru, matumizi mabovu ya halamashauri, ikulu, na wizara karibu zote. Nchi ingeweza kujiendesha kwa asilimia kubwa kama tungeziba mianya ya ufisadi wa aina yote kwa asilimia angalau 75.

      Mfumuko wa bei unasababishwa na fedha chafu za ufisadi. Leo mtu kaiba bilioni kadhaa anataka kiwanja kwa bei yeyote, wanapandisha bei ya bidhaa kwani hawana jasho na fedha, na tuposema ufisadi tunamaanisha kuanzia rushwa za bandari, TRA, Polisi, mahakama, wizara, hospitali nk. Kama wengi wenye akili wang'eishi kwa pato halali mfumoko wa bei using'ekuwa mkubwa hivyo. Ila kubwa zaidi ni pale serikali inaposhindwa kuziba mianya ya wizi, rushwa, na uzembe hata pale ilipowazi kuona.

      Kwa hiyo mheshimiwa mchambuzi, unataka tuakae kimya haya yote yakitokea ukitegemea nchi kuendelea. Kweli mchambuzi nawe hutaki kuwa bilionea kwa pato halali kwa miaka minne kama Riz1? Kwanini tusiambiwe hizo biashara halali au ni kodi za wananchi? Fedha zinazopotea kwa wasteful spending zinaweza kuifanya nchi indelee hata centimeters kadhaa kwa mwaka.

      Mtaalalumu yeyote au mshauri yeyote kabla hajashauri lazima ajue matatizo yako kwa kina kabla hajakusaidia kuyatatua. na ni kawaida ya wanaoshindwa kuogopa kusema nini matatizo na wanayaogopa hata kuyataja.

      Mchambuzi naomba utuletee kitu zaidi kinachotufanya masikini zaidi ya Rushwa, uzembe, wizi, mikataba mibovu, ubakaji wa demokrasia na kutokuwajibika na kwa neno moja tunaita UFISADI.
      "Power never takes a back step only in the face of more power. Nobody can give you freedom, equality or justice or anything. If you're a man, you take it."

    19. #38

    20. #39
      Mtemakuni's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 18th September 2010
      Posts : 163
      Rep Power : 476
      Likes Received
      13
      Likes Given
      19

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Tunamkaribisha sana tena kwa mikono miwili...!! alete hiyo list watu wataifanyia kazi kama ni ya ukweli...!!! Ila me nataka kumuuliza Nape, vp mbona petrol inayounguza nyumba yakO haidispose anataka kwenda kuanza kuchunguza nyumba za watu kama nazo zina hiyo bizaa ndani..!! JIOKOE KWANZA WW NAPE ACHA KUKURUPUKA...!! MTATEKETEA OOHOOO...

    21. #40
      Speaker's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th August 2010
      Posts : 6,178
      Rep Power : 4565
      Likes Received
      2003
      Likes Given
      5095

      Default Re: Nape na mafisadi wa CHADEMA

      Quote By Miya View Post
      Kaongelea hayo hayo maununuz wa magar chakavu na mshahara mil.7.wa dr.slaa
      Tupe taarifa kwa undani mkuu,kayaongelea wapi hayo?
      Mjinga mpe cheo...

    Page 2 of 10 FirstFirst 1234 ... LastLast

    Similar Topics

    1. Nape, ndoto zako za kuwang'oa MAFISADI hazitatimia
      By Mohamedi Mtoi in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 13
      Last Post: 11th July 2011, 11:59
    2. Nape kabala ya kutafuta mafisadi chadema malizana na wa ccm kwanza.
      By Advocate Jasha in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 6
      Last Post: 13th May 2011, 13:54
    3. Replies: 11
      Last Post: 12th May 2011, 19:42
    4. nape asema mafisadi wamepewa barua
      By bwakea in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 17
      Last Post: 12th May 2011, 13:34
    5. Tetesi: Nape nnauye kanunuliwa na mafisadi??
      By Pdidy in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 22
      Last Post: 20th July 2009, 01:02

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...