| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 16627
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Mkira,
Hiyo mipango ya mvua ilishakufa. |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Mkira
Nina rafiki yangu kutoka Vietnam, wakati EL alikuwa anatembelea hiyo nchi aliniambia kitu kimojaambaco mpaka leo hii naona ukweli wake. Alisema Nchi maskini yenye viongozi wala rushwa hutembelea nchi maskini na wala rushwa ili kujilinganisha nani zaidi. Akaendelea kusema "Huwezi kuona hata siku mmoja kiongozi wa nchi ya tatu na mla rushwa akifanya ziara ya muda mrefu kwenye nchi ya kwanza na isiyokula rushwa" Nadhani alikuwa sahihi hivi mbona hatusikii safari za wiki au wiki mbili za viongozi wetu kwenye nchi zenye maendeleo ya juu, tutasikia EL kafanya ziara ya siku kadhaa Thailand lakini tutasikia kafanya siara ya siku au masaa machache Ufaransa nk.
__________________
-------------------------------------------- Wananchi Tumechoka, Viongozi Hawajitambui |
|
#4
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Jasusi,
Ina maana mpango huo wa mvua umeishafutwa na haupo tena? Wamekubaliana na ushauri wa wataalamu wetu? Nchi yetu imezungukwa na maji kusini, mashariki, Magharibhi na kaskazini! ninadhani ufumbuzi unaweza kupatikana. Hatutaki mipango ya zima moto kama ule wa wa Sumaye wa speed Governor kwa ajili ya kuzuia AJALI ZA BARABARANI!
__________________
"True peace is not merely the absence of tension, it is the presence of justice'' Dr.Martin Luther King Jr |
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Mzee Jasusi hapo umenena kweli tupu!!
Kila leo utawasikia India,Malasyia and the likes. Na huko Malyasia ndiko walikoenda kutumaliza na IPTL. Hivi karibuni walienda kununua Generator kwa ajili ya kuzalishia Umeme. Lakini matokeo yake tatizo la umeme sasa ni kubwa kuliko kawaida!!! .... wataamuka lini?
__________________
"True peace is not merely the absence of tension, it is the presence of justice'' Dr.Martin Luther King Jr |
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
I meant Aljazeera.
__________________
"True peace is not merely the absence of tension, it is the presence of justice'' Dr.Martin Luther King Jr |
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Nchi inapopinduliwa kama hivyi. nani mwenye makosa. hao wanajeshi na kamanda wao hawawezi kushitakiwa?
|
|
#8
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Ulichosema Aljazeera kina ukweli sana,
Maana huko Thailand kumbe Rushwa ilikuwa babu kubwa. Na kwa vile wanaongoza kukaka na kuuza MADINI YA TANZANIA, INA MAANA WAMEKUWA WASHIRIKIANA NA VIONGOZI WA TANZANIA?? http://www.freemedia.co.tz/daima/2006/9/11/habari3.php WAGANDA NAO WALIENDA KUTAFUTA MVUA? MAKAMO WA MSEVENI ALIKUWA HUKO WAKATI MAPINDUZI YANAFANYIKA. http://www.freemedia.co.tz/daima/2006/9/26/habari11.php RUSHWA RUSHWA DAWA YAKE NI NINI JAMANI???
__________________
"True peace is not merely the absence of tension, it is the presence of justice'' Dr.Martin Luther King Jr |
|
#9
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Mkira,
Mbona unauliza majibu? Jibu la walarushwa liko Thailand. Kama kweli watu wana uchungu na nchi, wangekaa wakitumbua nje ya nchi muda wote huo wakati hapa nyumbani kuna janga la kukosa umeme? Sasa hivi watu wanakufa mahospitalini kwa kukosekana umeme, n.k. Halafu bwana Lowasa anaendelea kutoa hongo kwa wapiga kura. Hizo milioni sitini amezitoa mfuko gani? Kama zake amezipataje? Kwa Mama Marry Ndossi? Za IPTL? Wakati wa hayati Baba wa Taifa, kulikuwa na mbiu, "WAKATI NI HUU". Ilikuwa ikiwakumbubusha wakulima majira ya kulima na kupanda mazao mbalimabali. Mimi mlalahoi, ndugu zanguni kina Junta NAWATAHADHARISHA KUWA makaburi yenu yatapigwa viboko na wajukuu na navitukuu vyetu. Ikomboeni hii nchi iliyoachwa mikononi mwa mafisadi. Angalieni tayari Lowassa anapiga mahesabu ya Urais 2010. Hiyo itakuwa nchi kweli? |
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Administrator,
Huyu waziri mkuu aliyepinduliwa alikuwa wamemchoka. Aliuza kampuni yake ya simu kwa dola billioni. Hakulipa hata senti moja ya kodi. Mali zake amelimbikizia Uingereza alikokimbilia. Mapinduzi hayakuwa na umwagaji damu kwa sababu hakukuwepo hata mtu mmoja aliyekuwa tayari kumwaga damu yake kumtetea mfisadi kama huyo.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 06:01 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||