JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

  Report Post
  Page 14 of 38 FirstFirst ... 41213141516 24 ... LastLast
  Results 261 to 280 of 750
  1. Regia Mtema's Avatar
   R I P Array
   Join Date : 21st November 2009
   Posts : 2,985
   Rep Power : 1243
   Likes Received
   787
   Likes Given
   397

   Default Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

   Wakuu,

   Hivi sasa ndio tunajipanga ili kuanza Maandamano yetu. Mji umejaa hamasa kubwa kila ukipita bendera za CHADEMA na ishara ya vidole viwili ndio vimetawala.

   Watu wamependeza sana na Kombati na Sare nyingine za Chama. Tunatarajia kuanza Maandamano mida ya saa sita. Magari yote ya msafara yako hapa Forest yakipiga nyimbo mbalimbali za chama. Maandamano yanatarajiwa kuanza maeneo ya Mafiat njia ya Uwanja wa Ndege yataelekea Viwanja vya Ruandanzovwe Mwanjelwa.

   Leo tutatembea Kilomita Mbili tu.

   Pata picha za Awali.   Aluta Continua
   Kutoka Mbeya Forest

   Regia E Mtema
   Waziri Kivuli-Kazi na Ajira
   Last edited by Regia Mtema; 6th May 2011 at 14:12.


  2. Edson's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th March 2009
   Posts : 8,515
   Rep Power : 37553425
   Likes Received
   2413
   Likes Given
   629

   Default Re: Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio


  3. 2015ready's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 15th February 2011
   Posts : 217
   Rep Power : 593
   Likes Received
   45
   Likes Given
   16

   Default Re: Maandamano ya C.D.M ni Matumizi mabaya ya Kodi Zetu

   Quote By escober View Post
   IT SEEMS YOU ARE HUNGRY-HAVE THIS
   How to Cook a Pork Roast


   Many people just learning to cook are often a bit hesitant cooking a large piece of meat. It seems so intimidating! Well, it doesn't need to be, at all. This boneless pork roast is a great place to begin. All that is necessary to cook this roast is to mix some dried spices with olive oil, rub it all over the roast and put it in the oven. That's it!

   Roasting a boneless pork loin roast slowly will guarantee moist, tender meat.
   Loin refers to the type of cut.

   Put the oven rack in the center of the oven and preheat the oven to 450 degrees.

   There is often a thin layer of fat on one side of the roast. Do not trim off this fat. It will help to keep the meat nice and moist.

   Always position the pork roast in the pan so that fat side is on the top.
   Measure one tablespoon of olive oil in a small dish.

   Add 1 Tablespoon of dried spices to the oil. You can use rosemary, sage, thyme, or oregano; or a combination of these that equal 1 tablespoon.

   Add ½ teaspoon of salt and ¼ teaspoon of ground black pepper.

   Mix this spice rub together and rub it all over the pork roast.

   Be sure to rub the spices into the top and bottom.

   Place the roast on a rack in a roasting pan, fat side up.

   If you don't have a rack you could coil some tin foil and use that as a rack.
   Put the roast in the 450 degree preheated oven. The hot temperature is going to give the roast a nice golden color.

   Set the timer for 10 minutes.

   When the timer goes off re-set the oven temperature to 250 degrees.

   Continue cooking for about 50-80 minutes or until the meat registers 150 degrees on a meat thermometer. Some roasts are long and thin and others are short and fat, consequently the cooking times will vary depending on the shape of your roast. The meat thermometer is the best way to judge the right amount of cooking time.

   Remove the roast from the oven and set on a cutting board. Cover the meat with tin foil and let it rest for about 15 minutes before slicing it. The temperature of the roast will continue to rise about another 5 degrees.

   You will get at least 6 servings out of this beautiful 3-pound pork roast.

   Huyo kibaraka wa chama cha majambazi hastahili kupewa chakula kama hicho!
   Anatakiwa apewe magamba ya samaki.
   "Yesterday's Pain Do Control Tomorrow's Potential"

  4. kagosha's Avatar
   Member Array
   Join Date : 3rd August 2010
   Posts : 92
   Rep Power : 596
   Likes Received
   22
   Likes Given
   6

   Default Re: Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio


  5. 2015ready's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 15th February 2011
   Posts : 217
   Rep Power : 593
   Likes Received
   45
   Likes Given
   16

   Default Re: Maandamano ya C.D.M ni Matumizi mabaya ya Kodi Zetu

   CCM lazima wabwage manyanga 2015.
   "Yesterday's Pain Do Control Tomorrow's Potential"

  6. Jibaba Bonge's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th May 2008
   Posts : 1,074
   Rep Power : 909
   Likes Received
   178
   Likes Given
   68

   Default Re: Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

   Quote By Edson View Post
   Angalau sasa hata akina ,MAFILIFILI SIJUI MAFILILI macho yaoyanaweza kuona


  7. Zing's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th June 2009
   Posts : 1,780
   Rep Power : 3312
   Likes Received
   437
   Likes Given
   552

   Default Re: Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

   Quote By Regia Mtema View Post
   Wakuu,.......

   Hivi sasa ndio tunajipanga ili kuanza Maandamano yetu. Mji umejaa hamasa kubwa kila ukipita bendera za CHADEMA na ishara ya vidole viwili ndio vimetawala.

   Regia E Mtema
   Waziri Kivuli-Kazi na Ajira

   Regia pole na majukumu.

   Nina ushuri kwenu nyie viongozi we wa upande mbadala. Waacheni watu wengine wafanye ripoti za maadamano. kama kunahaya ya wewe kama kiongozi nambunge kuandika thread kama hii andika mambo concrete kuhusu hayo maandamano.

   Sasa kwenye huo mkutano kama waziri kivuli wa ajira umeongea nini juu ya mawazo matatatizo na suluisho la ajira kwa vjana Tanzania. ? Haya ndo mambo ukianzisha thread kama hii utnatakiwa kuandika.

   Mambo ya sijui bendera za chadema au watu wengi hayo tuachie sisi tusiokuwa na statua ndo tutapiga kabobo.


   Ni maoni tu

  8. MC's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th October 2007
   Location : Roaming !
   Posts : 722
   Rep Power : 870
   Likes Received
   138
   Likes Given
   322

   Default Re: Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

   Quote By Maishamapya View Post
   Kuna mtu alishawahi kushauri huku kwenye mtandao kuwa kuna haja ya kitengo cha habari cha CDM kujipanga vizuri. Pamoja na kuwa siku-comment kwenye thread hiyo, lakini nilikubaliana na mtoa mada kimya kimya. Ukimya huo naona unanishinda kwa leo. Ni kipi kinazuia kitengo hicho kuwa na kamera, laptop na modem ya voda yenye kifurushi cha sh30000 kwa mwezi?

   Ni vyema Mhe. Regia anayeongoza kitengo hicho na timu yake wakajipanga vyema. Ikumbukwe kuwa wakati maandamano au shughuli fulani ya chama (public event) inapofanyika pahali; wanachama na wapenzi wa CDM walio mbali na tukio wanakuwa wanashiriki kwa namna moja ama nyingine. Njia nzuri ya kuwashirikisha kikamilifu, hasa wale tunaoonana kwenye mtandao wa JF ni kuhakikisha taarifa zote muhimu na sahihi zinafikishwa kwa wakati.

   Matukio kama ya leo ni sawa na mechi kubwa za kimataifa ambazo hurushwa hewani moja kwa moja na mashabiki wakashiriki furaha ya mchezo hata kama hawapo kwenye eneo la mchezo. Kwa kukosa picha hadi wakati huu ni kutunyima furaha ya "mchezo wa ligi" ya leo na hivyo kuwapa nafasi timu pinzani kutunyanyasa hapa mtandaoni kwa kutumia udhaifu huo.

   Naomba kutoa hoja!
   Mkuu, uko sahihi kabisa, watu tulisema baadhi ya watu wakatwambia, eti sisi tumechangia nini chadema?
   Though none go with me I still will follow, 'No turning back'!

  9. Gamba Jipya's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 16th April 2011
   Posts : 403
   Rep Power : 0
   Likes Received
   80
   Likes Given
   10

   Default Re: Maandamano ya C.D.M ni Matumizi mabaya ya Kodi Zetu

   Quote By 2015ready View Post
   CCM lazima wabwage manyanga 2015.
   Mkuu kwa hii strategy ya maandamano badala ya kujenga chama kuanzia mwenye mashina, kamwe haiji kutokea.

  10. Revolutionary's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th January 2011
   Posts : 458
   Rep Power : 647
   Likes Received
   79
   Likes Given
   70

   Default Re: Maandamano ya C.D.M ni Matumizi mabaya ya Kodi Zetu

   Wanachokifanya ni kina hoja japo wengi mnampinga mtoa mada Chadema could have done something better than that! Kuandamana andamana tu then what? Hebu tuchokonoe mambo ya msingi, suala la tume huru ya uchaguzi vipi?? au tunasubiri kuchakachuliwa tena uchaguzi ujao?
   When you have no fear anymore, you are completely free.

  11. nsimba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th October 2010
   Posts : 783
   Rep Power : 725
   Likes Received
   53
   Likes Given
   1

   Default Re: Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

   Quote By MAFILILI View Post
   Mheshimiwa RM yuko studio anachakachua picha zilizopo, mambo Mbeya yamekaa vibaya kwa CDM, siku tatu wanaona ni nyingi. Ni vigumu kuongopea binadamu siku zote.
   kwa hiyo kwako wewe mambo kama haya ni mabaya: Unaushabiki wako tu ndugu! Ukweli watu wanataka mabadiliko,  12. Mkeshaji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th January 2011
   Location : This is Anfield
   Posts : 4,293
   Rep Power : 1636
   Likes Received
   1398
   Likes Given
   356

   Default Re: Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

   Quote By Zing View Post

   Regia pole na majukumu.

   Nina ushuri kwenu nyie viongozi we wa upande mbadala. Waacheni watu wengine wafanye ripoti za maadamano. kama kunahaya ya wewe kama kiongozi nambunge kuandika thread kama hii andika mambo concrete kuhusu hayo maandamano.

   Sasa kwenye huo mkutano kama waziri kivuli wa ajira umeongea nini juu ya mawazo matatatizo na suluisho la ajira kwa vjana Tanzania. ? Haya ndo mambo ukianzisha thread kama hii utnatakiwa kuandika.

   Mambo ya sijui bendera za chadema au watu wengi hayo tuachie sisi tusiokuwa na statua ndo tutapiga kabobo.


   Ni maoni tu
   Mkuu uko sahihi lakini lazima tuwe na mtu wa kutuhabarisha habari ishu kama hizo. Si kila sehemu watakayokwenda cdm kutakuwa na mtu wa kutupatia habari, hilo linawezekana zaidi maeneo ya mijini ambako members wa jf wanaweza kupatikana kwa wingi; vipi kuhusu maeneo ambayo hayana members wa jf taarifa tutazipata vipi?
   Ni mawazo tu.

  13. Kasheshe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th June 2007
   Location : Bububu
   Posts : 4,909
   Rep Power : 1734
   Likes Received
   660
   Likes Given
   2185

   Default Re: Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

   Regia Mtema,

   Are you among CDM thinktank?

  14. Ciril's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th January 2011
   Posts : 3,557
   Rep Power : 1328
   Likes Received
   617
   Likes Given
   99

   Default Re: Chama cha demokrasia na maandamano(chadema)

   Maandamano ni haki ya kila mtanzania.Je Chadema watumie mbinu gani kukutana na kuongea na Watanzania(wananchi)?Vp viongozi wetu watajua uhalisia wa maisha ya Mtanzania Kama sio kwenda kwa wananchi?CCM mmezoea ubosi wa kukaa ofisini na kuletewa taarifa feki(za uongo)na mpo stari wa mbele kutetea maslahi yenu(sio ya wananchi)Sasa CHADEMA wanapofanya maandamano kwa nia njema nyie ccm inawauma nini?si na nyie mfanye Kama mnao ubavu?

  15. Ben Saanane's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th January 2007
   Posts : 13,684
   Rep Power : 102219496
   Likes Received
   13699
   Likes Given
   7318

   Default Re: Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

   With Courage,Tenacity,passion and persistence...The wind of change is Blowing! Tanzanians will Rally behind your Ideas and philosophy,Go Chadema!
   Wametuonyesha Jeuri ya ukaburu,tuwaonyeshe jeuri ya Umkhontho we sizwe kupitia Red Brigade.Tukiwaonyesha woga wetu, itakua silaha imara zaidi kwao kutumaliza-Ben Saanane

  16. MAFILILI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th April 2011
   Posts : 1,741
   Rep Power : 648
   Likes Received
   392
   Likes Given
   102

   Default Re: Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

   mabadiliko hayatakuja na wazee wa kununua chakavu! Usidanganyike na hizo picha, zimechakachuliwa leo watu ni wachache kupita maelezo!

  17. Froida's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Posts : 6,210
   Rep Power : 8621
   Likes Received
   1084
   Likes Given
   369

   Default Re: Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

   Hilo vumbi sio kawaida ,Regia tutahitaji postmortum ya mkutano na maandamano kwenye synopsis

  18. Olecranon's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Posts : 624
   Rep Power : 666
   Likes Received
   257
   Likes Given
   513

   Default Re: Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

   Safi kabisa. Ni maandamano hadi kieleweke. Nimependa sana hizo messages kwenye mabango. Viva wananchi, viva chadema.

  19. Froida's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Posts : 6,210
   Rep Power : 8621
   Likes Received
   1084
   Likes Given
   369

   Default Re: Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

   Quote By MAFILILI View Post
   mabadiliko hayatakuja na wazee wa kununua chakavu! Usidanganyike na hizo picha, zimechakachuliwa leo watu ni wachache kupita maelezo!
   JF haina watu wajinga kama wewe toa hoja badala ya kuja na ujinga wa kipumbavu namna hiyo facts ni facts tuu hata ukispin

  20. nyundo's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 13th April 2007
   Posts : 102
   Rep Power : 771
   Likes Received
   11
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Jibaba Bonge View Post
   Angalau sasa hata akina ,MAFILIFILI SIJUI MAFILILI macho yaoyanaweza kuona
   hii picha ni mara ya pili kuonekana hapa, ni chademalakini sio ya maandamano ya leo! Tunaomba utuletee picha za leo tafadhari

  21. Sikonge's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th January 2008
   Location : Sikonge, Tabora
   Posts : 11,221
   Rep Power : 333938464
   Likes Received
   5046
   Likes Given
   11423

   Default Re: Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

   Vijana wa Mbeya mmenifurahisha. Ndiyo maana nimebadili SIGNATURES na AVATAR kwa ajili yenu.....

   Endelezeni somo huko hadi kieleweke. Mwakani mtu akienda kwenye kibanda......

   Angalieni AVATAR na SAHIHI YANGU. Tupo pamoja.
   UKAWA O MUERTE--UKAWA AU KIFO--UKAWA OR DEATH


  Page 14 of 38 FirstFirst ... 41213141516 24 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Picha na Matukio: Mkutano wa CHADEMA Dodoma
   By Regia Mtema in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 113
   Last Post: 8th November 2011, 18:19
  2. Replies: 43
   Last Post: 17th July 2011, 23:52
  3. Chadema kuaandamana Jiji la Mbeya
   By fangfangjt in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 0
   Last Post: 21st March 2011, 08:29
  4. Replies: 0
   Last Post: 6th March 2011, 13:36
  5. Matukio ktk picha - chadema
   By ilboru1995 in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 9
   Last Post: 23rd September 2010, 10:19

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...