Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

    Report Post
    Page 1 of 2 12 LastLast
    Results 1 to 20 of 31
    1. #1
      mihengeli's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 4th December 2006
      Posts : 4
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      1

      Default Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

      Wenzangu, salaam?

      Nadhani sasa ni wakati muafaka wa kuweka wazi yale madili aliyofanya huyu bwana kwa jina la Ammy Mpungwe...wakati akina yona na mkapa wakiandaliwa kesi kwenda kwa vyombo vya sheria haitokuwa sawa huyu bwana akiachwa...si vizuri kumsahau...nadhani huyu ni fisadi mwalimu...huenda wengi wao wamejifunzia kwao...nadhani huyu ndo mwalimu wao hawa woote mnaowaona sasa...alicheza michezo michafu kuanzia pale NBC, TBL, TANESCO (yeye ndo alialeta wale wazungu), Madini kule mererani...and was/ is among the top men in their boards...si mnakumbuka alikuwa balozi kule south africa? nadhani kuna mtu alimtuma akafanye madili yale na lipomaliza akaacha ubalozi...

    2. Miaka 50

    3. #2
      Lambardi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th February 2008
      Location : KITAANI ZAIDI
      Posts : 4,530
      Rep Power : 1799
      Likes Received
      657
      Likes Given
      0

      Default Re: Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

      dU NAKUMBUKA JAMAA ALIKUWA KEY FIGURE KULETA WA SOUTH TZ MAANA DUU ALIKUWA YEYE KAMA TRADE CENTRE KULEE AMELETA WACHIMBAJI...TANESCO NA WENGINEO WENGI NAKUMBUKA SANA LEO HII NI SHARE HOLDER WA TANZANIA ONE..ARUSHA HUYU NAE NI FISADI MZOEFU SANA
      Ndahani likes this.

    4. #3
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,518
      Rep Power : 46714
      Likes Received
      16434
      Likes Given
      8471

      Default Re: Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

      Hebu tuleteeeni data zake maana wengine tuko katika kuunganisha dots kwani yanayotokea Tanzania sasa si ya bahati mbaya...
      Excellent likes this.
      [email protected]
      Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji

    5. #4
      utu wangu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 10th May 2008
      Posts : 52
      Rep Power : 574
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

      Ami Mpungwe Ni Fisadi Wa Siku Nyingiii Mnoo,ndo Mhasisi.
      Ten Percent Za Makaburu Amezila Sana,atcl,tanesco Etc
      Ami Na Muungwana They Go Way Back..
      Jumba Lake La Sauzi,gumzo Tupu.

    6. #5
      Field Marshall ES's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 27th April 2006
      Posts : 13,740
      Rep Power : 0
      Likes Received
      329
      Likes Given
      208

      Default Re: Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

      Huyu alipelekwa kule South na Mwinyi, katika kipindi cha Mkapa ndio akashamiri na biashara na ku-retire foreign kabla ya muda wake, huyu sio mwalimu alikuwa akitumiwa na Mkapa, Sumaye, Idd Simba, Kigoda, Yona, Rubambe, na Kazaura, kwenye deals za ubinafsishaji,

      Ninaamini kwamba siku itakapofika, atakuwa ni shahidi mzuri sana kwa upande wetu wananchi, against mafisadi na hasa deal ya NBC
      Ndahani likes this.

    7. RukaaJuu Final

    8. #6
      Kafara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th February 2007
      Posts : 1,051
      Rep Power : 838
      Likes Received
      24
      Likes Given
      12

      Default Re: Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

      mkuu huyu ni rafiki wa karibu sana na bwana mkubwa wa south. sasa sijui kama alitumia urafiki huo kuwa kiunganishi wa dili
      za wakubwa au la.

    9. #7
      Field Marshall ES's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 27th April 2006
      Posts : 13,740
      Rep Power : 0
      Likes Received
      329
      Likes Given
      208

      Default Re: Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

      mkuu huyu ni rafiki wa karibu sana na bwana mkubwa wa south. sasa sijui kama alitumia urafiki huo kuwa kiunganishi wa dili
      za wakubwa au la.
      Mkuu wa South alipokuwa mkimbizi, alikuwa akiishi sana hapa YMCA alikuwa karibu sana na Mkapa, kule Daily News unajua bongo tulikuwa na tabia moja ya kuwaruhusu wakimbizi wengi kufanya kazi huko magazeti ya chama na serikali, ndiko walikojuana na Mkapa, sasa huyu Mkapa ndiye aliyewaunganisha na hao wengine kwenye deals ambazo zilianzia kenye ubinafsishaji,

      Ninaamini kuwa kwenye kila deal huyu mkuu alipata mgawo, na pia ni member wa bodi ya kila kampuni ya South hapa bongo, kuaniza kwenye madini, mpaka kwenye mafuta, kama sasa hivi utajiri wake labda ni level ya Mkono tu kwa bongo!

    10. #8
      JokaKuu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st July 2006
      Posts : 6,848
      Rep Power : 2972
      Likes Received
      2454
      Likes Given
      3538

      Default Re: Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

      FMES,

      ..Ammy Mpungwe alikuwa afisa ubalozi Zambia na huko ndiko walikofahamiana na Thabo Mbeki. Makao Makuu ya ANC and their government in exile ilikuwa Lusaka Zambia.

      ..baada ya Uhuru wa SA inasemekana lilitumwa ombi maalum kutoka SA kuwa Balozi wa kwanza wa TZ awe Amy Mpungwe.

      ..Amy Mpungwe aliteuliwa na Raisi Mwinyi kwenda kutuwakilisha SA. wakati huo Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Raisi naamini alikuwa Cygwiyemwisi Malecela.

      NB:

      ..kabla ya kuteuliwa kwenda SA Amy Mpungwe alikuwa mpatanishi mkuu wa mgogoro wa rwanda ktk mazungumzo yalikuwa yakifanyika Arusha.

    11. #9
      Field Marshall ES's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 27th April 2006
      Posts : 13,740
      Rep Power : 0
      Likes Received
      329
      Likes Given
      208

      Default Re: Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

      Mkuu pia wa-South walikuwepo Morogoro na Dar, kwa hiyo walikuwa waki-shift pa kukaa yaani their bigs, kwa sababu Mbeki ameishi sana bongo, pale YMCA.

      Na kama utakumbuka vizuri, hata aliyegongana na gari la Marehemu Sokoine, alikuwa ni m-South kutoka kambi yao ya Mororgoro, pia walikuwa na kambi nyingine kule Temeke, karibu na JKT, lakini biashara zzilikuwa ni za Mkapa na kundi lake, yeye alikuwa anachukua kamisheni tu na akawa mjanja na kujiingiza zaidi ndani ya biashara binafsi!

    12. #10
      JokaKuu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st July 2006
      Posts : 6,848
      Rep Power : 2972
      Likes Received
      2454
      Likes Given
      3538

      Default Re: Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

      FMES,

      ..hao Wa-Sauz inabidi uwatofautishe kati ya ANC na PAC.

      ..aliyegonga gari la Sokoine alikuwa mwanachama wa PAC akijulikana kama Dumisani Dube.

      ..Wa-Sauz wameanza kumiminika kuwekeza Bongo toka enzi za Mzee Ruksa.

      ..Tanzania Breweries ilibinafsishwa wakati wa Mzee Ruksa, kama huna taarifa. kule Arusha snake park ya wa-Sauz ilianza wakati wa Mzee Ruksa.

      NB:

      ..naamini Tanzania ilikuwa ngome kuu ya PAC na siyo ANC.

    13. #11
      Mkandara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd March 2006
      Location : T dot
      Posts : 13,770
      Rep Power : 7663
      Likes Received
      4929
      Likes Given
      4509

      Default Re: Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

      Habari za Mpungwe nilikuwa nazo siku nyingi sana wakati akiwa balozi South...
      Nakumbuka vizuri ktk moja ya mageuzi yetu ya kiuchumi moja ya agenda kubwa ya chama CCM ilikuwa kuwatumia South Africa na hiyo SADC kuwa kiungo cha maendeleo ya nchi zetu kwa sababu wao walikuwa mbele na vitu vyote vinavyotakiwa ikiwa ni pamoja na uwezo wa kitechnologia.
      Mpango huu ulianza wakati wa Mwinyi kama sikosei awamu yake ya pili na hata Mwalimu, Marehemu Nyerere aliupendekeza badala ya mazungumzo ya karibu na Mandela..
      tatizo lilokuja ni kwamba badala ya kutumia SADC na kuunda benki ambayo ingeweza kusimama ktk mikopo ya miradi ya maendeleo na ujenzi wa infrastructure nchini kama walivyofanya wenzetu wa nchi za Asia kutokutegemea zaidi IMF na benki kuu ya Dunia, viongozi wetu walikuwa na agenda zao za binafsi.

      Tatizo kama nilivyowahi kusema viongozi wetu ni watawala weusi sawa na wakoloni kimawazo na hutafuta mwanya wa kujitajirisha wao badala ya kufikiria maslahi ya nchi...
      Hivyo, Makaburu wa kwanza kuingia nchini walijengwa na Ami Mpungwe ikiwa ni pamoja na kurudi kwa De Beers kule Mwadui. tatizo lililojitokeza ni kwamba hawa wote walikuwa opportunist na kila kampuni iliyoingia nchini walikuja kuchuma kutokana na udhaifu wa mikataba yetu ambayo kama kawaida viongozi wetu walitaka kukatiwa chao.. Mikataba mibovu iliingiwa ktk kipindi kifupi sana na hawa makaburu hadi likazuka sakata la Tanzanite yetu kule Marerani na wanunuzi wakubwa kama Zales kutokana na mbinu ya Wasouth kutaka kuchukua umilikaji wa migodi hiyo..Nadhani mtakumbuka jinsi report ya uuzaji wa Tanzanite ilivyotofautiana na ile report ya taifa ktk mauzo ya Tanzanite toka hapo tukaanza kuona vitu vingine vikiibuka toka NBC,TBL, TANESCO na kadhalika...
      Kundi hilo walianza kugeukana yakazuka makundi kufikia wakati wa Mkapa kwa sababu SADC haikujengwa na kuimarishwa badala yake ilibomolewa na viongozi wa nchi zote zilizohusika kwa sababu wote hawa walikuwa na mipango nje ya jumuiya hiyo - Kujitajirisha wakati ndio huu.
      Kwa hiyo, kama alivyosema FMES, viongozi wetu wote walikuwa na malengo yao na wakamtumia sana Ami Mpungwe kufunga ma -deal huko South..Ikifika wakati muafaka huyu jamaa anaweza kuwa dhamana kubwa ya serikali kiushahidi dhidi ya Mafisadi kwa wakati huo kabla viongozi wetu hawajajitanua zaidi kufikia nchi za Ulaya, US na Canada..
      Exploration of reality

    14. #12
      Field Marshall ES's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 27th April 2006
      Posts : 13,740
      Rep Power : 0
      Likes Received
      329
      Likes Given
      208

      Default Re: Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

      ..Ikifika wakati muafaka huyu jamaa anaweza kuwa dhamana kubwa ya serikali kiushahidi dhidi ya Mafisadi kwa wakati huo kabla viongozi wetu hawajajitanua zaidi kufikia nchi za Ulaya, US na Canada..
      Bob, huyu mkulu kuanzia deal ya NBC, na mikataba yote ya madini, anahusika na ana migodi pia, siri yote ya Mkapa na wenziwe ni huyu mkulu ndiye aliyekuwa kiunganishi, ukimpata huyu umemaliza kesi zote za Mkapa!

    15. #13
      Mwawado's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2006
      Location : Tulsa, Oklahoma/MFA-TZ
      Posts : 1,263
      Rep Power : 899
      Likes Received
      113
      Likes Given
      219

      Default Re: Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

      Mzee Mpungwe, Mara nyingi huwa yupo Atlanta ni mtu wa karibu mno na Balozi Andrew Young(nae ni mkazi wa Atlanta),Ni wazi atashiriki kwenye Mkutano wa Sullivan - Arusha,Pamoja na kustaafu kwake bado ana ushawishi mkubwa kwa walio Madarakani.Ni rahisi kumpata kwani ni mcheshi na mtu mpenda media....
      Its not enough to do good if you can do better.

    16. #14
      FairPlayer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th February 2006
      Location : UK
      Posts : 4,383
      Rep Power : 1551
      Likes Received
      456
      Likes Given
      205

      Default Re: Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

      Pia ni mpenda sifa .............
      A positive thinker!

    17. #15
      IsayaMwita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th March 2008
      Location : Tarime
      Posts : 1,046
      Rep Power : 871
      Likes Received
      82
      Likes Given
      6

      Default Re: Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

      Kama vile ndoto vile, mwageni mambo hapa watalaam

    18. RR
      #16
      RR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th March 2007
      Location : Close
      Posts : 5,607
      Rep Power : 1745
      Likes Received
      1021
      Likes Given
      481

      Default Re: Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

      Huyu ndugu si ndiye aliyekua mwenyekiti AFGERM? Ambaye alikua na hisa kwenye karibia kampuni zote za SA zilizokuja kuwekeza hapa tz? Or was it just a coincidence? I think the man can be a very good lead to the roots of UFISADI..
      Bunge: Upuuzi unaolindwa na sheria...kwa kutumia hela za Watz!

    19. #17
      Kipanga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2008
      Posts : 687
      Rep Power : 708
      Likes Received
      4
      Likes Given
      0

      Default Re: Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

      Sasa wakubwa yaelekea huyu jamaa atakuwa anajua nyeti kibao za hawa mafisadi na majambawazi wanaotafuna nchi yetu...Inabidi nae tumbane akae kolokoloni ili aje kusaidia upelelezi nahofia asije kukata kona tukaambiwa hajulikani aliko Maana kama ana kiazio anaweza kututimulia vumbi tukabaki tunaangalia alama za miguu kuwa alipa hapa....wakati muda ndio huu nae tumtie kabali... Wanasheria hapo vipi kuna ushauri wa kitaalamau zaidi katika kumbana huyu mtu??

    20. #18
      mwanaizaya's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 26th April 2008
      Posts : 135
      Rep Power : 593
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

      wanandugu huyu mtu ni FISADI KIWEMBE..mwalimu aitoshi..ndie alieiuza ATCL KWA MAKABURU NA MWISHO WAKAANGUKIA PUA MASKINI SHIRIKA LILE.TUNAPENDA KUMUAKIKISHIA SIKU WAKIINGIA MAHAKAMANI MAFISADI YEYE AKAMATE VISA YA BAHREIN MAPEMA NDUGU...AKISHIRIKIANA NA JAMAA MMOJA X CEO SANGWENI WALIIMALIZA KABISA KAMPUNI ILE NA TAARIFA ZAIDI NTAWALETE STAY TUNE

    21. #19
      mwanaizaya's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 26th April 2008
      Posts : 135
      Rep Power : 593
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

      Mwado Hana Ushehsi Wowote Zaidi Ya Kulewa Ovyo Pale Kempinski Na Kuatamani Madada Zetu Huku Akiwa Na Mkewe Nyumbani ,,nadra Kumwona Hata Safari Akiwa Na Mkewe...hawa Wake Wanajuta Sana Lakini Kutokana Na Maisdha Wanashindwa Kukimbia Nyumba Wakijua Taabu Za Mbele Yao.....tena Ukome Ami...mkeo Mkeo Hata Akiwa Na Naniiii Bado Mkeo...else Utawafundisha Watoto Wako Maisha Mabaya..

    22. #20
      FairPlayer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th February 2006
      Location : UK
      Posts : 4,383
      Rep Power : 1551
      Likes Received
      456
      Likes Given
      205

      Default Re: Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

      Nadhani pia ana share kwenye kampuni ya makontena bandarini.....
      A positive thinker!

    Page 1 of 2 12 LastLast

    Similar Topics

    1. Bashe: Fisadi proxy or Fisadi in waiting?
      By DoubleOSeven in forum JF Chit-Chat
      Replies: 9
      Last Post: 24th March 2011, 05:37
    2. Replies: 0
      Last Post: 26th October 2010, 10:26
    3. Replies: 211
      Last Post: 20th August 2010, 11:32
    4. Raza: Kama fisadi ni fisadi, huo si ubaguzi wa rangi
      By BAK in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 25
      Last Post: 8th June 2009, 12:13
    5. PINDA: KAMA WEWE NI FISADI ni FISADI TU
      By Waridi in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 16
      Last Post: 4th May 2008, 01:12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...