| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 1687
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Kwa taarifa ambazo mimi nilizipata ni kuwa waliporejea hawa wanajeshi, walifanyiwa mapokezi kwa heshima zote za kijeshi pale Airwing. Mwinyi alikuwepo kuwapokea na kwenye taarifa yake alieleza kuwa askari mmoja tu alifariki (sikumbuki jina lake). Huyo askari alifariki wakati wa harakati za kupakua mizigo katika meli, alitumbukia majini na kwa bahati mbaya mwili wake haujapatikana hadi hivi sasa.
Kuhusu suala la gharama, inabidi tuelezwe sawasawa mchango wa AU katika vita hiyo kwa sababu ni kweli inaelezwa kwa maneno tu kuwa Au ndiyo ilifund lakini hakuna anayetoa data kuonyesha ilifund kwa kiasi gani. |
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
GT, kabla ya kuchangia bandiko lako, ningependa kujua kama una chuki binafsi na JK, Membe na Mwinyi?
__________________
Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problems,
But, if you think again, neither does milk." Vituko Vya Zenj |
|
#4
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
wewe GT legality ya vita utaipinga vipi wakati the federal government of Comoros ilitoa ruhusa. How was it an illegal invasion? Na kwamfano wahaya au wachaga au wamakonde wangeamua kuvunja sheria and declare independence alafu serikali ikashindwa kuwashuhulikia kungekuwa na tatizo kama tungeomba msaada? Swala la public funds being used to enforce the rule of law in the region in a Short and Relatively cheap way with little human and financial cost halina maovu yoyote in my opinion (subject to any hidden motives of course)... Matumizi mabaya ya fedha tanzania yako in various forms... this is not one of them. Regional stability is of paramount importance
|
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
__________________
Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problems,
But, if you think again, neither does milk." Vituko Vya Zenj |
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
kwa maana hiyo kila kitakapotokea instability kwenye region iliyo karibu na Tanzania, tutatoa majshi yetu, na costs zetu kwenda kuleta amani?
kama ni hivyo, kazi ya AU ni nini basi? |
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Kwa nini serikali isitoe tamko la nani alilipia vita ya Comoro?
__________________
Well Behaved Women Never Make History Mwafrika wa kike is now asking President Kikwete to resign his presidency effective immediately for the sake of our nation |
|
#8
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Tujadili suala hili katika picha mbili, Afrika (kama bara) na Tanzania (kama nchi mwanachama). Kwa sasa rais wetu JK ana kofia mbili, moja ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (yaani AU), na pili ndiye rais wa Tanzania yetu (mwanachama wa AU).
Inapotokea kuna matatizo (kama vita, machafuko, ghasia na matatizo mengineyo) katika nchi mwanachama wa AU, AU kama taasisi hufanya tathmini ya kujua nini kifanyike ili kuondokana na matatizo hayo! Kama ni machafuko ya kisiasa (ubabe wa kiongozi mmojawapo) kama yaliyotokea kule Comoro, AU inachokifanya ni kutuma askari wa kutuliza ghasia na kumuondoa madarakani huyo kiongozi. Ili kufanikisha hilo, inahitaji askari (either wa miguu, angani, au majini), inahitaji magari ya kivita, vifaru, na wakati mwingine hata ndege ya kivita! Pia, inahitaji silaha za aina mbali mbali (kama vile, risasi, mabomu na kadhalika). Hapa naomba ieleweke kitu kimoja, taasisi hii (AU) haina ndege ya vita, Jiefang, wala kifaru!! Yenyewe ina wataalamu tu wa kufanya tathmini (wengi hawalifahamu hili)!! Mara baada ya kufanya tathmini na kutuma ripoti kwa watendaji wa juu (Mwenyekiti akiwa mmojawapo, kwa sasa JK), uomba nchi wanachama (wa AU) mwenye uwezo wa ku-provide hayo mahitaji! Ndipo hapo nchi kama Tanzania hujitokeza na kusema, nita-provide askari wa miguu - 47 askari wa majini - 12 vifaru - 2 na kadhalika! Na nchi nyingine pia itajitokeza, mpaka hapo yale mahitaji yote yaliyopendekezwa kwenye tathmini yatakapokamilika! Kisha msafara unaanza ... Kama mnavyoelewa sasa AU (kama taasisi) haina askari wala kifaa chochote cha kivita, kwa hiyo inachokifanya kwa nchi zilizojitolea hivyi vifaa pamoja na askari wake, ni kuwalipa pesa kwa gharama ya kila kifaa (kwa thamani ya sasa ya dukani, i mean brand new!). Kama Tanzania walipeleka Kifaru (kikuu kuu cha mwaka 2001), basi hujakulipwa Kifaru kipya kwa thamani ya bei ya Kifaru kwa leo (2008). Na hii ndio "bonus pekee" inayofanya majeshi mengi ya nchi za Western & Central Africa kuchangamkia inapotokea shughuli kama hii! Suala la pili ni askari, hawa huwa na mkataba maalunm kwa ajili ya kazi hii, ambao huwa nje ya mkataba wake wa sasa wa kazi na JWTZ! Ambapo sijahamu figure kamili lakini husemekana ni mnono sana! Sasa tukirudi kwenye mada, Tanzania (kama mwanachama wa AU), kutokana na majeshi yale kufanikiwa, basi inajivunia nchi mwanachama mwenzetu kupata utulivu, na tunasikia sasa wanapanga tarehe ya kufanya uchaguzi wa kidemokrasi (sote tunaamini hili ni jambo zuri). Kwa upande wa JK, yeye kama Mwenyekiti wa AU, may be alikuwa na maono (for the 1st time) kwamba hapa jeshi ni muhimu kuliko mazungumzo yasiyokwisha yaloyokuwa yakisimamiwa na Thabo Mbeki! Na hapa nakuthibitishia JK amezoa heshima nyingi sana dhidi ya Mbeki (alipinga hapo mwanzo kuhusu matumizi ya jeshi ktk suala hili)! Pili Tanzania kama nchi, nilishapata kuzungumza na "mkuu" mmoja wa jeshi kuhusu suala la kutoa majeshi yetu kwenda kulinda amani, akanieleza masikitiko yake kuwa Tanzania tumezubaa sana tunashindwa kuchangamkia "tenda" hizi, kwani zina manufaa sana kwa upande wa vifaa vya kijeshi (kama nilivyozungumzia "bonus")!! Pili alinieleza askari wa kwenda huko sio shida, kwani wao wenyewe ndio hujitokeza kwa wengi kuomba kwenda (kutokana na "marupurupu" ya shughuli hiyo)! Sasa baada ya shughuli hii, JWTZ inakwenda kupata malipo yake ya vifaa vyote ilivyopeleka Comoro (whether zimeharibia na kuachwa huko comoro au vimerudi na vinaendelea kutumia makambini kwao JWTZ!). Italipwa kwa vifaa vyote! Kuhusu askari kufa kazini, jamani hakuna kazi isiyo na "ajali kazini"! Na hakuna anayependa hilo litokee, iwe kwenye kazi yeyote! Kwa sasa, sote kama wananchi wa TZ tunatakiwa tutambue mchango waJWTZ na kutoa rambi rambi wa huyo askari mmoja aliyepoteza maisha. Naomba kuwakilisha.
__________________
Spoon-feeding, in the long run, teaches us nothing but the shape of the spoon. - Edward M Foster |
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Pinda alishalijibu hilo na hata Mkuu wa kaya alishasema,Pesa yote ililipwa na AU.
__________________
As long as I am leader, Our position is not going to change from that of our forefathers. I do not want the responsibility for selling the rights of our children yet unborn |
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Kuna ubishi mkubwa katika hili. Kuna report zinaonesha kuwa AU haikulipa hizi pesa.
__________________
Well Behaved Women Never Make History Mwafrika wa kike is now asking President Kikwete to resign his presidency effective immediately for the sake of our nation
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 06:49 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||