Maggid website yako http://mjengwa.blogspot.com haifunguki, umekuwa ukiiweka kama reference katika post zako mara kwa mara na mara zote tumeshindwa kuifungua.
Maggid website yako http://mjengwa.blogspot.com haifunguki, umekuwa ukiiweka kama reference katika post zako mara kwa mara na mara zote tumeshindwa kuifungua.
halafu siyo hivyo tuuu
Maggd umekuwa huchangii kitu zaidi ya kuposti blogu zako humu
nadhani kwa mwaandishi kaa wewe mchango wako ungehitajika sana humu lakini naona una yako
by the way mara ya mwisho niipoingia kwenye blog yako nilipendezwa sana nayo
kuwa kama mwanakijiji ana website yake na blogu yake lakini ni active member humu na haji kujitangaza tuuu
rekebisha hilo maggid
kama huwezi kuwa lurker kama MICHUZI ambaye anaingia lakini hajitangazi
Yaani CCM wanadhani ilo uwe Mtanzania safi na ufanikiwe lazima uwe CCM ? Mawazo ya kijinga haya ya Sumaye aliyasema wazi kule mwaka fulani na sasa kaja Lowasa hawazi kuua mtu kisa kikiwa madaraka .Kazi kubwa tunayo .
Kaka Maggid umeeleweka
Follow Us Here