Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: waziri mkuu Mizengo Pinda iga mfano wa waziri mkuu wa japan

    Report Post
    Results 1 to 6 of 6
    1. #1
      ffoas's Avatar
      Member Array
      Join Date : 23rd February 2011
      Location : SINZA-DAR-ES-SALAAM
      Posts : 29
      Rep Power : 423
      Likes Received
      3
      Likes Given
      5

      Default waziri mkuu Mizengo Pinda iga mfano wa waziri mkuu wa japan

      Ni hivi leo tu kumerushwa habari kwenye televisions na radios kuhusu mlipuko kwenye kwenye sehemu ya kuzalisha umeme(JAPAN),pamoja na maafa mengine yaliyo wakumba,lakini kilichonifuraisha ni jinsi waziri mkuu wa nchi(NAOTO KAN) hiyo kuwapa moyo wananchi nakuwaeleza atalitatua tatizo hilo kwa kipindi chote hicho cha hali ngumu na japani itakuwa mpya tena kama hapo awali,lakini ukilinganisha na hali ngumu tuliyonayo wananchi wa tanzania waziri wetu mkuu hatoi moyo au kuonyesha ufuatiliaji kwa yale yanayotukabili hasa kwa kipindi hichi cha hali ngumu,zaidi kutoa shutuma na kuonyesha mabavu kwenye vyama pinzani vinavyotetea maslai ya wananchi,nahitaji mchango wenu wadau juu ya hili.
      KIMASHI

    2. Miaka 50

    3. #2
      Mfwatiliaji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2007
      Posts : 1,347
      Rep Power : 871
      Likes Received
      58
      Likes Given
      68

      Default Re: waziri mkuu Mizengo Pinda iga mfano wa waziri mkuu wa japan

      hapo ni kama mbingu na nchi, viongozi wetu hawana utaratibu wa kujali wananchi. Huwezi amini yeye ndiyo kiongozi wa kamati ya dharura ya maafa kushughulikia hili janga lililowakumba.
      Sio kwetu mabomu yanauwa raia na kesho yake mkuu wa nchi anapanda ndege kutalii viwanja. Usalama wa maisha ya raia kwake sio issue..

    4. #3
      KICHAPO's Avatar
      Member Array
      Join Date : 19th October 2010
      Posts : 51
      Rep Power : 446
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: waziri mkuu Mizengo Pinda iga mfano wa waziri mkuu wa japan

      Sisi hatuna waziri mkuu,umeona jinsi huyo mzee alivyoropoka mjengoni juu ya issue ya Arusha?Tangia siku ile alipojibu utumbo wa bata nikamtoa ktk thamani yake.Yeye hana shida sisi tuhangaike kivyetuvyetu.

    5. #4
      Silas Haki's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th October 2010
      Posts : 361
      Rep Power : 508
      Likes Received
      23
      Likes Given
      49

      Default Re: waziri mkuu Mizengo Pinda iga mfano wa waziri mkuu wa japan

      Uliona wapi kiongozi msanii akakaa kufariji watu badala ya kutalii na kubembea? Kwani Tanzania tuna Waziri Mkuu mwenye mamlaka na uwezo wa kuiongoza serikali hadi ikafanikiwa kutatua matatizo ya wananchi kama siyo kuigiza tu kisiasa?
      “Samaki ana nguvu akiwa majini, si vinginevyo, ...” Mnauye

    6. #5
      mtemiwao's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2010
      Posts : 384
      Rep Power : 518
      Likes Received
      42
      Likes Given
      2

      Default Re: waziri mkuu Mizengo Pinda iga mfano wa waziri mkuu wa japan

      Yaani hii mistake ya jk ataijutia,watu wanakufa kwa mabomu ambao ni uzembe wa serikali yake anapanda ndege kutalii?,ni hatari

    7. RukaaJuu Final

    8. #6
      mmzalendo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st November 2010
      Location : ILALA
      Posts : 165
      Rep Power : 467
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default Re: waziri mkuu Mizengo Pinda iga mfano wa waziri mkuu wa japan

      pinda ni picha tu pale anasema anayo agilwa na wakubwa na yeye ni njaa zake zinamuweka hapo
      na uhuruma kama hao wa japan
      http://www.lifeofmshaba.com/ if you don't stand for something you will fall for anything,

    Similar Topics

    1. Mizengo Pinda Waziri mkuu!
      By Mpaka Kieleweke in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 196
      Last Post: 2nd March 2013, 21:59
    2. Barua ya wazi kwa mhe. Waziri mkuu Mizengo Pinda
      By Wanafunzirudn in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 1
      Last Post: 20th June 2011, 07:30
    3. Barua ya wazi kwa mhe. Waziri mkuu mizengo pinda
      By Wanafunzirudn in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 0
      Last Post: 20th June 2011, 06:28
    4. Mizengo Pinda atangazwa kuwa Waziri Mkuu tena
      By NINAHASIRA in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 519
      Last Post: 17th November 2010, 14:13
    5. Waziri Mkuu Mizengo Pinda katika matukio
      By Invisible in forum Jamii Photos
      Replies: 21
      Last Post: 6th July 2009, 21:13

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...